JIYA asante kwa ule wimbo wako wa "watoto wasafi moyoni",uliufanya utoto wetu kuwa mzuri sana wallahi😂😂😂🎉. Eti sasa hivi nimekuwa mtu mzima nautafuta uzee.Miaka yaenda mbio sana.
Sasa jamani sisi tumezaliwa Tanzania na wengine wetu ni kizazi cha tano au cha sita ukihesabu kutoka kwa Babu zetu. Hatuna mahusiano na India kabisa. Naam asili yetu ni kutoka India lakini kwa sisi vizazi vya tano au vya sita tunajihesabia na watanzania asili kabisa. Sielewi mtu kusema hawaa wanaongea kiswahili kuliko watanzania. Hapo kweli unakosea.
Ifike mahali Watanzania tupate elimu sahihi ya uraia aisee! Tuelewe kuwa mtu anaweza kuwa muhindi au mzungu na akawa ni raia wa TZ. Maswali ya kishamba shamba eti 'Mbona we muhindi lakini unaongea kiswahili fasaha' tuyaache.
Lakini kuna wasanii wa tz wamezaliwa bongo lakini kiswahili chao cha kuunga unga na hata herufi hawatamki sawa wanajifanya hawajuwi kiswahili lakini hawa wahindi kiswahili chao kisafi.
Umeuliza Kwa mbwembwe hapo mwenye ila ingekuwa anaongea kingereza tupu hapo mmh mngetufanya wakenya watucheke tu ...jaman jifunzen kingereza mkiwa waandishi wa habari
@@mancholotrasco8350uandishi tz uandishi ni kazi ya vilaza tz ndio maana ni watu wachache sana smart utawaona tena kwenye hizi TV za mitandao wengi viazi ingawa baadhi wako poa.