Тёмный

KISUGU AMVAA GSM YANGA ANAMILIKI TIMU 8, YANGA NINA WASIWASI WACHUNGUZWE WALE KABLA IGI HAIJAANZA 

SPOGA ONLINE
Подписаться 136 тыс.
Просмотров 1,4 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@saidingumbo-is2oe
@saidingumbo-is2oe Месяц назад
We ACHA ushamba na kiingereza anachojuwa this is football
@matiankomola2391
@matiankomola2391 21 день назад
Hata kama GSM ataacha kudhamini timu, mtaendelea kukandwa na ubigwa hamjukui. Timu yenu bado sana haijaimirika ndiyo maana mko nafasi ya 3.
@DicksonAmbilikile
@DicksonAmbilikile 10 дней назад
Emirate hana timu tofauti na gsm anaifali yanga na zingine
@kaysischirwa6759
@kaysischirwa6759 Месяц назад
Ongelea mpira sio mavazi
@kolosii4351
@kolosii4351 Месяц назад
Mwambie Mo amalizie hizo zilizobaki ni ruksa. Midomo haikusaidii.
@user-wl3sv2xn9e
@user-wl3sv2xn9e Месяц назад
Simba amepingwa mara 3 na yanga tena kwa magoli mengi je!wao Simba wamedhaminiwa na gsm?Hali kadhalika Azam jana kaadabishwa kwa goli nyngi Naye amedhaminiwa na gsm? Jibu ni Moja tu ubora wa timu huamua matokeo chanya,zngne mtatafta pakujifichia tu!na bado hamjasema msimu huu mtapigwa Hadi na timu furani za daraja la chini kabsa
@noelmakere1381
@noelmakere1381 Месяц назад
Akili fupi Emirrate inadhaminiwa kwenye vilabu vikubwa duniani vipo kibao... fifa hawajui Ukiona hivyo basi ndo amekubali kushindwa
@zephaniasirikwa7495
@zephaniasirikwa7495 Месяц назад
Kisugu nenda ukadhamini mojawapo ya timu hizo.ngombe wa jembe.
@LinusKyando
@LinusKyando Месяц назад
TIMU YENU YA SIMBA NA AZAM MNAFADHILIWA NA GSM? MBONA NA NYIE MNAFUNGWA NA YANGA KILA SIKU MMEPOKEA RUSHWA?
@paulmwandambo7799
@paulmwandambo7799 Месяц назад
Arsenal, PSG , Real Madrid wapo UEFA na wanadhaminiwa na Emirates, vipi wanapanga matokeo ? Hili nikubwa jinga
@ZabibuMwenda
@ZabibuMwenda 25 дней назад
Ww emirate hana team
@oliverwhite1676
@oliverwhite1676 24 дня назад
Wengi wanapenda ushabiki Hawa pendi mpira ndiyo maana wengi hawana hoja wao ni kubisha tu.!
@LinusKyando
@LinusKyando Месяц назад
AZAM ANGEKUWA BINGWA KILA SIKU,?HIYO SIO KELO NI UJINGA TU
Далее