Тёмный

#kivumbi 

John Ngollo
Подписаться 63 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

#mpina

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@anthonywilliam6510
@anthonywilliam6510 22 дня назад
Uyu ana uchungi na Tanzania hongera sana
@FrankMabinga
@FrankMabinga 22 дня назад
Hogera hoja nzuri mpina
@FintanMkesha
@FintanMkesha 22 дня назад
Big up sana
@kammunisi2296
@kammunisi2296 23 дня назад
Vivaaaa mpina vivaaaaaaa
@JacksonFrances
@JacksonFrances 21 день назад
Tupo na Wewe Luaga Mpina Mpaka Uwe Rais"
@allyfutto8763
@allyfutto8763 22 дня назад
Mpina ni mmoja wa kiongozi mzuri kwa watanzania anaelimisha jamii kwa kujitowa kafara maana mafisadi watamchukia
@ZakayoJoseph-g5p
@ZakayoJoseph-g5p 22 дня назад
Wewe ni kiongozi Kuna kitu ndani yako
@phchouseprintmwanza8123
@phchouseprintmwanza8123 23 дня назад
Safi sana
@MussaEmmanuel-ll2mz
@MussaEmmanuel-ll2mz 20 дней назад
Kwel
@talefilmsa8768
@talefilmsa8768 23 дня назад
Mpina Anahoja jamanii
@MkingaJulius
@MkingaJulius 23 дня назад
Luhaga tunataka agombee urais
@user-eo4bl3do8k
@user-eo4bl3do8k 23 дня назад
CCM ILE YA NYERERE SIO YA SASA ,CCM YA SASA NI WIZI ,UBADHIRIFU KWENDA MBELE,,,WIZI WANALINDWA KAMA UTAKUWA CCM,,HII INASIKITISHA. CCM HAWATAKI KATIBA MPYA KWASABABU KATIBA NI UFUMBUZI WA MATATIZO YOTE HAYA YANAYOJITOKEZA,
@user-ci7yb7ek4c
@user-ci7yb7ek4c 22 дня назад
Wewe mpina acha kujisafisha kwa kuwapakazia wenzako sema pointi za kututoa hapa tulipo
@MalimaSitu
@MalimaSitu 23 дня назад
Ww ni mbunge mzoefu 2025 uskate tamaa chukuwa from ya umbunge tena na utakuwa wazili wa kilimo
@AmenMushi-j2j
@AmenMushi-j2j 23 дня назад
Tumepewa begun bovu na mbolea mbaya hatujavuna mahindi mwaka huu
@UwezoMponda
@UwezoMponda 22 дня назад
🎉
@ConradMbokosi
@ConradMbokosi 22 дня назад
Huu niwakati wa kuchunguza wapinzani wana mipango gani
@FadhiliFedirick
@FadhiliFedirick 23 дня назад
Safi sana Kaka Mpina upo sahihi Kabisa
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 22 дня назад
Mpina peleka mahakamani hao majambazi ,bashe mwigulu, makamba na nape na mbawala
@NgolloStan
@NgolloStan 22 дня назад
Mheshimiwa Mpina kipindi akiwa waziri wa Mifugo na uvuvi ndo tuseme hayakuwepo Madudu yaliyofanyika kipindi hicho kwenye hyo wizara?Leo hii amekosa wizara ameanza kuyaona madudu yanayofanywa na wenzake?
@HabibuSalumu-iv5wl
@HabibuSalumu-iv5wl 22 дня назад
Kama vile katusaidia walaji kupima samaki katutetea wanyonge kutoka sangara aliyekuja anauzwa elfu tatu Leo tunanunua kilo ya sangara huyo sh. 13,000# Leo tunamwita anatetea wanyonge
@JohnManyilizu-rl5bm
@JohnManyilizu-rl5bm 23 дня назад
Mpina safi
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 23 дня назад
Karibu chadema chama cha wapigania haki CCM imeoza
@ZakayoJoseph-g5p
@ZakayoJoseph-g5p 22 дня назад
Sasa tunaona mbegu ya magufuli inchi Tanzania kumbe Kuna mbegu. Sasa tunaona mbegu ya mag
@FellaMbogela
@FellaMbogela 23 дня назад
YUKO VIZURI L. .MPINA
@user-ir7fv8dv2s
@user-ir7fv8dv2s 22 дня назад
Bungeni mungekuwemo wa bunge 10 wanaonena ukweli kama wewe saizi mambo yangekuwa yanaenda jinsi inavyoitajika
@KimanguShemwaliko-ht2jr
@KimanguShemwaliko-ht2jr 23 дня назад
Tunakuunga mkono
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 23 дня назад
Mana samia mpina nijembe mpe wizara ya kilimo atatufaa sana hapa kwetu tz
@SmilingElectricCar-ds4li
@SmilingElectricCar-ds4li 23 дня назад
Alishindwa wizara, ubunge tu ndio anaweza. Bora Msukuma ndio natamani awe waziri
@user-nu1oo7mt9d
@user-nu1oo7mt9d 23 дня назад
🙆
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk 23 дня назад
Alishashindwa uwaziri tangu enzi za JPM huyo. Mbwembwe tu na hofu ya kufukuzwa, Hilo Jimbo lishaenda chadema kilaini Kama lile la Awa Ghasia kule mtwara .
@lawrenceshekinyashi8243
@lawrenceshekinyashi8243 23 дня назад
Ntakupa kula yangu ukigombea.
@AnnoyedBooks-kn5pm
@AnnoyedBooks-kn5pm 23 дня назад
Muuuuuh helu maza mpena gete
@AmenMushi-j2j
@AmenMushi-j2j 23 дня назад
Mm
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 23 дня назад
Tupo nyuma yako
@augustinomlowe8059
@augustinomlowe8059 23 дня назад
Tupo nyuma Yako 😂😂😂
Далее
УДОЧКА ЗА 1$ VS 10$ VS 100$!
22:41
Просмотров 280 тыс.