Тёмный

Kiwalani - Nimetikiswa Kidogo 

Kiwalani Sda Choir
Подписаться 1,6 тыс.
Просмотров 50 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 93   
@quintavitalis926
@quintavitalis926 Год назад
Sio msabato but nyimbo zenu ni another level , Mungu azidi kuwatumia
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 Год назад
Barikiwa sana mkuu
@vincentdimba1137
@vincentdimba1137 4 месяца назад
Tuwenye dhambi tena wahitaji tunahitaji msaada japo vikwazo ni vingi sana lakini tujipe moyo tulia kwake kuna amani farijiko la moyo wako usikate tamaa mwokozi yuko nawe x2 Nimetikiswa kidogo,nimeyumbishwa kidogo,nimetembea kwenye miba mikali maana mwenyewe ataaniinua tena Mahangaiko na masumbuko yote katika dunia hii wakati wake umesha kwisha mwokozi anarejea,mateso yote yatatoweka itakuwa furaha tele,wokovu wako uko karibu jipe moyo x2
@janetkemunto4543
@janetkemunto4543 14 дней назад
Huu wimbo umekuwa wa mibaraka sana. Barikiwa
@thestars7846
@thestars7846 5 месяцев назад
jameni hyo soprano kwa chorus hiko wow
@vincentdimba1137
@vincentdimba1137 4 месяца назад
Nimetikiswa kidogo....Maana mwenyewe ataniinua tena......AMINA🙏🙏BARAKA TELE
@FrenkPadon
@FrenkPadon 2 месяца назад
Mbalikiw muende mbalizaid 👍👍👍
@rademaadema7595
@rademaadema7595 Месяц назад
Wow Asanteni kwa wimbo mtamu sana wa maombi
@user-nq7lm8xj2v
@user-nq7lm8xj2v 4 месяца назад
Mungu awashikilie awatie nguvu kila siku mfanye kazi yake kwa roho na kweli
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 4 месяца назад
Amen
@LoishookiLaizer
@LoishookiLaizer 7 месяцев назад
From tiktok to hear
@amosjohn7829
@amosjohn7829 11 месяцев назад
Nimebarikiwa Kuliko kawaidaaaa. MUNGU azidi kuwapa Neema machoni pake mzidi kumtumikia hata mwisho wa Dunia🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️
@jeovanmatendo6167
@jeovanmatendo6167 Год назад
Barikiwa sana, Hongera sana SRP STUDIOS kwa kazi nzuri
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 3 месяца назад
Amina nyimbo tamu
@dishonotieno5591
@dishonotieno5591 6 месяцев назад
Kusifu mungu kwa nyimbo iko Tanganyika
@mkmedia3006
@mkmedia3006 6 месяцев назад
Amina Kazi nzuri wana Kiwalani.Mungu awabariki nyote
@SDACHURCHARARATICHOIR
@SDACHURCHARARATICHOIR 11 месяцев назад
Barikiweni Sasa Katika Utumishi Ndugu zetu na Rafiki zetu wa Muda Wote.
@marangacliff565
@marangacliff565 6 месяцев назад
Weuh you guys sing like kurasini am blessed
@amanicarlumehabel7575
@amanicarlumehabel7575 3 месяца назад
Hii ni zaidi....
@amanicarlumehabel7575
@amanicarlumehabel7575 3 месяца назад
Song of the year...
@venancemeshack3709
@venancemeshack3709 8 месяцев назад
Amen Amen Mbarikiwe sana, namuona Rafiki yangu Mnasa Elikana anaupiga mwingi.
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 11 месяцев назад
mbarikiwe sana wajori
@theheavenlysingers-kenya1996
Pure vocals, what a blessing 🎉🎉 God bless you 🙏 🙏
@decklahgesare5874
@decklahgesare5874 4 месяца назад
Hello ...you sing nicely...how I wish we have you in our makambi mwaka huu
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 4 месяца назад
You're welcome
@ZawadiStima
@ZawadiStima 11 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤❤ kiwalani nawapenda sana jaman, ntamani nirudi
@HoseaMwakasita
@HoseaMwakasita 4 месяца назад
Mungu awabaliki Kwa wimbo mzuli umenifaliji asante
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 4 месяца назад
Amen Barikiwa pia, Tunaomba uguse neno subscribe na Kuweka kengele ili uendelee kubarikiwa na nyimbo zingine kutoka Kwa Kwaya ya Kanisa Kiwalani
@enockomwoyo3526
@enockomwoyo3526 4 месяца назад
product ya mbiu
@JenipherMpelela
@JenipherMpelela Год назад
Nimeguswa na hii nyimbo. Mbarikiwe waimbaji.
@hopeandfaithmedia1999
@hopeandfaithmedia1999 9 месяцев назад
Dah mnajua Hongereni sana nimebarikiwa sana
@VictorMuze
@VictorMuze Год назад
Amen mungu awasimamie mfike mbalii
@hellenpatrice490
@hellenpatrice490 Год назад
Mara ya Kumi Sasa narudia kusikiliza kwakwwli nimetikuswa kidogo
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 Год назад
Barikiwa Sana
@isacksamwel7432
@isacksamwel7432 Год назад
Amena kubwa ,nime balikiwa sana na huu wimbo
@PeterNdembo
@PeterNdembo 11 месяцев назад
Huu wimbo ni kombola-amina sana
@SuzanJonathan-v1e
@SuzanJonathan-v1e Год назад
Mungu naawariki kwaujumbe huo🙏🙏🙏🙏
@norbertoketch1060
@norbertoketch1060 7 месяцев назад
Wonderful piece. May God's name preavil and remain lifted high. I love this.
@MariamSaleh-o2f
@MariamSaleh-o2f 2 месяца назад
amen
@mataroamos7501
@mataroamos7501 6 месяцев назад
Amen
@williesobiero765
@williesobiero765 Год назад
This is absolutely amazingly powerful. I just can't get enough of this piece honestly. I have been listening to it over and over again, this being my 3rd day ever since I came across it. Zingine ziroll tafadhali, nimeshasubscribe
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 Год назад
Amen Amen, Thanks for Choosing KIWALANI SDA CHOIR, Kwa neema ya MUNGU Zingine Zinakuja hivi Karibuni
@brianmlamire
@brianmlamire 10 месяцев назад
Powerful tunashukuru huku Kenya makambi mje
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 10 месяцев назад
Amen, Tuombee Uzima na Kwa Neema ya Mungu Tutafika
@ZioneMavuto
@ZioneMavuto Год назад
May almighty God bless SDA amen
@dennislagat3000
@dennislagat3000 Год назад
I love this song, the first time I come across this choir
@jamesmbwambo5378
@jamesmbwambo5378 10 месяцев назад
Mmeimba vizuri Sana lakini jaribuni walimu kuwa wabunifu wa kufunga nyimbo maana huu wimbo ni wa usa River Arusha
@christophermsekena616
@christophermsekena616 2 месяца назад
Wale ndo waliiba😂 wakatoa video fasta..... wale waliiba wimbo MUSA wa vijana Ubungo.... wakatoa video fasta
@alexnabibia4423
@alexnabibia4423 Год назад
This song hits different. Barikiweni
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 Год назад
Amen, Ahsante kwa kuchagua KIWALANI SDA CHOIR.
@PaulahMchomvu
@PaulahMchomvu 11 месяцев назад
Amen. Nahitaji nipate audio
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 10 месяцев назад
Karibu
@antonymachogu3051
@antonymachogu3051 Год назад
Mala kwanza kuwasikia mwaimba vizuri saana barikiwa saana
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 Год назад
Barikiwa Mtumishi wa Mungu na Asante kwa kuchagua channel ya Kiwalani Sda Choir
@workinginventions
@workinginventions Год назад
Amen Amen Kisii central church
@benardephraim6641
@benardephraim6641 5 месяцев назад
Mungu awabarika sana
@PeterNdembo
@PeterNdembo 11 месяцев назад
Barikiweni sana❤
@robertprittsomiti5291
@robertprittsomiti5291 Год назад
Great singing....great song. Amina
@directorbonny7808
@directorbonny7808 Год назад
Amen, nmetikiswa kidogo...
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 Год назад
Hakika Bwana Akiwa Upande wako Utainuka tena, Barikiwa Sana
@Ruthsamson746
@Ruthsamson746 Год назад
Aminaaaaaaaaa Mbarikiwe wajoli wa baba
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 Год назад
Barikiwa Pia Mtu wa Mungu
@jacktoneoriko1141
@jacktoneoriko1141 Год назад
Waw..moto
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 Год назад
Ahsante kwa kuchagua Kiwalani Sda Choir na Endelea kuwa karibu
@lukaisaya
@lukaisaya Год назад
Amina
@gloryrimy230
@gloryrimy230 Год назад
wooow ❤
@radiancerecords1482
@radiancerecords1482 Год назад
Wonderful ❤
@mzangwamalicalvin3544
@mzangwamalicalvin3544 Год назад
AMEN 👌👌👌🍓🍹🇿🇦
@PatleesJosep
@PatleesJosep Год назад
Amen 🙏
@isacksamwel7432
@isacksamwel7432 Год назад
Wapo mkoa gani jamani
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 Год назад
Wako Kiwalani Dar es salaam,
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 6 месяцев назад
Dar es salaam
@alfrednsekiete1750
@alfrednsekiete1750 Год назад
Choras ya wimbo wa usa river youth choir hiyooo tungeni nyimbooo
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 Год назад
Tumtukuze MUNGU na kumpa Sifa
@alfrednsekiete1750
@alfrednsekiete1750 Год назад
Aliutunga mwalimu waoo acheni mnajiaibishaaaa
@kiwalanisdachoir4164
@kiwalanisdachoir4164 Год назад
MUNGU Akubariki Sana na Ahsante kwa kuchagua Channel ya Kiwalani SDA Choir
@alfrednsekiete1750
@alfrednsekiete1750 Год назад
Tungeni nyimboooooo acheni kuiba nyimbooo za watuuu vocal beti la kwanza mmechukua salasala choirs usa river youth ahhahaha
@conradmbanga5957
@conradmbanga5957 Год назад
hii ni injili mtumishi unga mkono watu wahubiriwe waokolewa twende sote mbinguni sio kukaa kukosoana mjoli
@breslineanyango
@breslineanyango Год назад
😇😇
@wilfredchagwa1128
@wilfredchagwa1128 11 месяцев назад
Mbarikiwe ila chorus ya wimbo huu, mliongea na kwaya yenyewe wanaomiliki chorus na mtunzi wa chorus hiyo?….
@beavonogembo6995
@beavonogembo6995 4 месяца назад
Kwani hii chorus ni ya choir ingine?? Sidhani
@beavonogembo6995
@beavonogembo6995 4 месяца назад
Nimeona chorus ni USA Arusha hapa Mwalimu amekosa ubunifu
@margretmoraa7747
@margretmoraa7747 8 месяцев назад
Amen
@LoishookiLaizer
@LoishookiLaizer 7 месяцев назад
From tiktok to hear
@godwinwilson3837
@godwinwilson3837 11 месяцев назад
AMEN
@mariapongah5012
@mariapongah5012 5 месяцев назад
Amen
@TabletKevo-nl6kx
@TabletKevo-nl6kx Год назад
Amen
@PatleesJosep
@PatleesJosep Год назад
Amen
@havieralphonce7620
@havieralphonce7620 Год назад
Amen
Далее
AYUBU  { Ulikuwa wapi nilipo iweka misingi ya Dunia?}
5:51
연준 (YEONJUN) ‘GGUM’ Official MV
02:44
Просмотров 7 млн
Israel Mbonyi - Amenisamehe
9:25
Просмотров 7 млн
Ufunuo Choir - Ngao Yangu (Live  Perfomance Video)
6:03
SIMBA WA YUDA
8:11
Просмотров 462 тыс.
WAFIA DINI - SALASALA SDA CHOIR (Official Video)
4:58
Просмотров 134 тыс.
연준 (YEONJUN) ‘GGUM’ Official MV
02:44
Просмотров 7 млн