Тёмный

Kontawa Ajisalimisha JWTZ Kuomba Radhi 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 41 тыс.
50% 1

Mkali wa Bongoflava Kontawa amejisalimisha JWTZ kurudisha nguo zinazofanana na magwanda ya jeshi hilo

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@ricklandennis
@ricklandennis Год назад
Mi naomba niulize wakuu kwani huruhusiwi kuchoma moto tu mwenyewe bila kuja huko😂😂😂
@diamondplatnumz.148kviews5
@diamondplatnumz.148kviews5 Год назад
😀😀😀😀
@demistusdamian6963
@demistusdamian6963 Год назад
@@diamondplatnumz.148kviews5
@kawanga0073
@kawanga0073 Год назад
JWTZ wameamua kueleimisha jamii kwny jambo hili la kuhusu Nguo zao, sasa wakianza kazi yao husiseme sikuona mimi jaman 😂😂😂😂😂😂
@YasreArafat-kk9en
@YasreArafat-kk9en Год назад
Hivi ni kweli Twende tuishi Ila bongo hakuna maisha Lets go
@Markhomestz
@Markhomestz Год назад
Kontawa anachokitafuta atakipata 😂😂😂😂😂
@AfricanSmile
@AfricanSmile Год назад
Kwel kabsa
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Год назад
Naona kamanda anakuwa star kimnya kimnya
@bonifas814
@bonifas814 Год назад
Iyoo kusindikizwaa lalaa mstaree nikwelii na kontawaa kasemaa kapewa chai
@Jmedia_Tv
@Jmedia_Tv Год назад
Safari bado ndefu sana,waliosoma 🇨🇺 wanaelewa.
@harunamsumairia6020
@harunamsumairia6020 Год назад
Eti kama rambo hyu foo sana😂
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Shule ni muhimu saaana , angalia utulivu alionao Afande , hata ukutane na askari wa Polisi ambae shule iko aise kuna utofauti mkubwa saana, we ukiona hata kuongea hujaanza ushaanza chezea makofi samehe tu yaishe, hutumia ukali kama defense mechanism ya kuficha mengi
@isayamkawa78
@isayamkawa78 Год назад
weee naijua iyo
@user-mk5jl5pg5n
@user-mk5jl5pg5n Год назад
Nimependa sana
@rachellaiza7779
@rachellaiza7779 Год назад
Muanze kazi mana kuna wanaosema ni kiki hasa arusha wanatamba wale vijana wahuni wanavaa makotu wanasema ni kiki mmmh
@SukaDmGuy
@SukaDmGuy Год назад
Kontawa ni Hip Hop kweli
@maryamharuna8051
@maryamharuna8051 Год назад
Hapo kwenye raha mustarehe siwaamini kwakwel
@lydiamahona163
@lydiamahona163 Год назад
Jeshi langu bwana linatumia busara kubwa Sana na msemaji lieutenant ilonga yupo Safi sana
@demistusdamian6963
@demistusdamian6963 Год назад
kontawa kontawa jeshi shilling moja yenye pande mbili .upande mmoja askari wengi ,upande wa pili makamanda wachachekupenya nfasi mpaka uwe mess. bro wewe komaa na nyimbo umesi utaweza.nnaitwa kontawa
@IzzahBoe-to8ng
@IzzahBoe-to8ng Год назад
Wajeshi kweli wana nidhamu duh
@Africawithme
@Africawithme Год назад
Kontawa unataka kwenda kujila aya🤣🤣😂 kila la kheri miezi 6 unahitaji uvumilivu sana aisee... lakini it is possible....
@fredrickwebiro3605
@fredrickwebiro3605 Год назад
Hapana, Kama umejitolea kwa mapenzi yako mwenyewe huwezi kulia, ila chamoto utakiona.. japo hutaumia sana kwakuwa utakuwa umeshafungua moyo
@alliyabdalla8083
@alliyabdalla8083 Год назад
@fredrick siyo kulia ni kujila 😂😂😂 dadeki utasikia amejila mixer kukanyaga nyanya za wakubwa😅😅
@demistusdamian6963
@demistusdamian6963 Год назад
@@fredrickwebiro3605 ila amna makaburi wala sio nguvu .heart ,nauvumilivu ila changamoto mda
@masatumtani1588
@masatumtani1588 Год назад
Asilimia kubwa wa Tanzania wengi wanaona jeshi linakosea hapana, hizi nguo zinazofanania na jeshi kwakuwa ni nguo za majeshi mengine, wanao ruhusiwa kuvaa nguo za jeshi tofauti lingine ndani ya nchi yetu kuna watu wanaitwa waambata jeshi ambao kila wanapelekwa tofauti na hapo basi watavaa kama wapo operation mfano DRC askari wa Tanzania wanavaa mavazi yao
@amanimusa5744
@amanimusa5744 Год назад
Bongo bado Sana
@blackkid7377
@blackkid7377 Год назад
kwann unisindikize😂😂
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Год назад
Tuko nyuma sana Tz
@stevelazaro7906
@stevelazaro7906 Год назад
Tupeleke mbele bs😂
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Год назад
Kivipi
@kedyjohn1848
@kedyjohn1848 Год назад
Safi sana. Kontawa ni kijana safi kabisa. JWTZ - Amri kitendo. 👊🏽
@adamjohn9093
@adamjohn9093 Год назад
Ahahah kwenye kusindikizwa sasa
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 Год назад
Manguo mengine wala hayafanani basi tu katembelea kambi
@oshenifrank614
@oshenifrank614 Год назад
#kontawa umepewa maokoto utukumbushe kupeleka
@uwezoseleman5530
@uwezoseleman5530 Год назад
Yes hilo ndio Jeshi la Wananchi🙏
@evamlay8997
@evamlay8997 Год назад
Kwa mimi ninavyo jua jeshi ni nizamu
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Год назад
Nidhamu
@angelomalimi2444
@angelomalimi2444 Год назад
Wanajeshi mmekosa kazi za kufanya kalindeni Bandari zetu majambazi ccm wasiuze mmekalia kukamata nguo za mitumba iliyo lipiwa Kodi na kuzibitishwa na TBS na TRA
@hamadimziraymziray-ry4vi
@hamadimziraymziray-ry4vi Год назад
Saf sn
@Ntomolapagu255
@Ntomolapagu255 Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-jjWbxenA3mU.htmlsi=Y6trhTagZUd1kFOz wanawake bwana ua basi tu
@ellytz26
@ellytz26 Год назад
Uongo huo nenda mtu ambae hujulikan sasa uone kitakachokukuta huko nchi ya mchongo sana hii
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 Год назад
😅😅😅😅
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina Год назад
mimi nimeenda na mbona nimepokelewa vizuri tu na chai kweli nimekunywa ila utani mwingi na vitisho muda mwengine unaweza kuogopa ila wako poa sana
@NomadSaka
@NomadSaka Год назад
utoto
@Ramadhan-to2ie
@Ramadhan-to2ie Год назад
wasanii ndo wanazo nyingi sijui wanazitoa wapi
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Год назад
Mitumbani nyingi mnoo tupige marufuku Mitumbani.
@allannyiti4075
@allannyiti4075 Год назад
😂😂😂😂😂
Далее
Kontawa: Mke (Lyrics Video) Based on Story
2:49
Просмотров 678 тыс.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Просмотров 9 млн
кого отпустят гулять чееек
00:53
How to win a argument
9:28
Просмотров 514 тыс.