Bro ndosha mzigo nakubali sana broo huu mwaka umewashika vijana wengi mkono wasogee pamoja na ww Allah akujalie mafanikio mema zaidi na zaidi bro more love tawaa
Jamaa mzuri kwenye word play .....Ni kweli ela cna nacheza michezo ya bahati nasibu ili niwe na ela kma nasibu(Diamond platinum) .Hivi leo nitakula kula kwel namuulz mwanangu Ibrahim hajibu (Ibrahim Ajibu)...hta asiependa amani anapenda peace (pisi)🧠 kibongo bongo kuna wasanii wachache wanaowez kumatch nae kwenye kucheza na maneno