Тёмный

Korea Kaskazini imewezaje kujenga mijengo bora hivi! Wanapewa bure! Jionee Mapinduzi ya Kim Jong UN 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 48 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 254   
@jerryndondole1965
@jerryndondole1965 3 месяца назад
Sma ni mtu alonifungua sana kuelewa Geopolitics, God bless Sma
@soyamBay
@soyamBay 3 месяца назад
Kwa kweli wanaumbuka vibaya wamagharb, Ahsante kwa kutufungua ubongo maana!
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 3 месяца назад
Hizi zama ukweli hata uufiche vip utajitokeza tu
@appolonation
@appolonation 3 месяца назад
Dj Sma nakukubali sana kbs!!! Nakusikiliza kutoka Rwanda Kigali 🙌
@FrancisDonald-go9cs
@FrancisDonald-go9cs 3 месяца назад
Kigali wapi uko mbinde ndani ndani
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 месяца назад
​@@FrancisDonald-go9csunaumia ww choko
@bahatihamissi1161
@bahatihamissi1161 3 месяца назад
From Mwanza nawakubali sana
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 3 месяца назад
Dj smaa hawa vichwa vigumu tuachie sie wana fuse tutawapa ngumu kumeza..😂😂😂 tutawapeleka BBCpropaganda bila nauli 🤗 🫢
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 3 месяца назад
Korea Kaskazini siyo masikini kama tunavyo aminishwa ila ni propaganda tu za magharibi
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 3 месяца назад
Ni kweli Ile ni NCHI ya kijamaa uchumi unamilikiwa na serikali na sio wananchi
@nsabimanaabedi541
@nsabimanaabedi541 3 месяца назад
In'chi inavikwazo tena inamahendeleo kuzindi in'chi zetu ambazo hazina vikwazo
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 3 месяца назад
Sisi kazi ni siasa tu
@saidibuja5050
@saidibuja5050 3 месяца назад
Nakufata sana kutoka DRC🇨🇩 kam sijapata abari kutoka kwako huwa najiisi vibaya sana
@mackjr5291
@mackjr5291 3 месяца назад
Habari, maisha ya congo yakoje ndugu?, uko congo sehemu gani?
@Yayouselim
@Yayouselim 3 месяца назад
Kama hawana chakula Sasa wanapata nguvu ya kujenga kutoka wapi😂😂
@sadikiswidik
@sadikiswidik 3 месяца назад
Nakukumbali 100%
@BUSHASHASWITCH
@BUSHASHASWITCH 3 месяца назад
Asante sana 💥🥰🇧🇮🇧🇮 ndakwemera cane 💥 BURUNDI 🇧🇮 tunakupenda sana
@RamadanPaul
@RamadanPaul 3 месяца назад
Burundi 🇧🇮 &Tanzania 🇹🇿 🤝🤝🤝🤝🤝 ♥️♥️♥️♥️♥️
@DoctorBondia
@DoctorBondia 3 месяца назад
Kiufupi jamaa wapo vizuri sana Tanzania bamoja na kuwa hatujawekewa vikwazo lakini Korea iko mbali sana kiubora kuliko sisi (Tz) 😅😂 Hongera kwa Wakoroea wote. Wazungu wamejaa Propaganda😅😅
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 3 месяца назад
Maendeleo ni maamuzi kama alivyooamua JPM wakamuua. Propaganda dunia hii ni kubwa sana. Asilimia 80 ya habari tunazopewa ni uongo.
@PaulLikwawa
@PaulLikwawa 3 месяца назад
Tupo pamoja Dj.Sma,siku hizi nimeacha kiangalia taarifa za habari. Habari zenu ni uhakika,hongera sana.
@ahmedshariffu2108
@ahmedshariffu2108 3 месяца назад
Awa jamaa ni kinyume na tunaviamishwa na mgarbi awa jamaa wapo na maendeleo wanalngana na baadhi ya inchi za maga4bi
@JohnCage-we6tp
@JohnCage-we6tp 3 месяца назад
Kenya allies 😅😅😅😅😅Alf watu wanakuja North Korea maskin ety wanasem Nigeria ni Tajiri kuliko North Korea haya Walete hat Mji wenye kufanan na huuu
@LinconLopez
@LinconLopez 2 месяца назад
asante watu maskin serekali inajenga nyumba inawapa watu waishi buree nyie majiri pakukaa mtihani
@piusrweyemamu3900
@piusrweyemamu3900 3 месяца назад
Mbona hata hizo picha wanazoonesha wa magharibi sio mbaya sana zinaonyesha kuna nafuu kuliko huku kwetu!
@KassimuTitu-nu6jn
@KassimuTitu-nu6jn 3 месяца назад
Smaa wanao Pinga fyius ni wajinga na wame be affected na brain washed. Mm nakukubal brooo%100
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 3 месяца назад
hata marekani watu weng wanalala kwemye madaraja home less people ni weng sana . umaskin uko mkubwa tuuu
@EriyaRichard
@EriyaRichard 3 месяца назад
Hiyo mijengo ni moto sana ❤🎉🎉 cjui MAGHARIBI na media zao wameona hii
@godwinmandary5116
@godwinmandary5116 3 месяца назад
Magharibi wameipotosha Dunia kwa mda mrefu
@Zainab_salat
@Zainab_salat 3 месяца назад
​@@godwinmandary5116kweli wanasemaga Waafrika ni maskini
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 3 месяца назад
Tujishughulishe na maisha yetu tunapoteza muda kujadili magharibi hakuna aliyekuambiaufatilie media zao
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 месяца назад
Maghreb media za mashoga
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 3 месяца назад
@@goodluckmsoka3660 😂😂
@dengepandu9734
@dengepandu9734 3 месяца назад
Kutoka Zenj ddj smaa tunakuelewa vyema
@WadySaidi
@WadySaidi 3 месяца назад
Njaa hata marekani wanayo mbona Wana kuja afrika kuchukua chakula
@graceKisomopepe
@graceKisomopepe 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤natoka Congo mimi nakukubali sana ndugu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@furahamwaseba7910
@furahamwaseba7910 3 месяца назад
Bora nasisi tuwekewe vkwazo labda ndo tutapata akili ya kujinasua kamavmataifa yalio wekewa vkwazo ndo wanamaendeleo kuliko cc
@mlelwatv5831
@mlelwatv5831 3 месяца назад
Wa kwànza nipeni likes 😂
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 3 месяца назад
Dj smaa nakukubali sana uchambuzi wako
@davidndaha9607
@davidndaha9607 3 месяца назад
Mimi niko USA 🇺🇸 ila kuna city na state zimechakaa hapa huwezi jua kama ni USA
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 месяца назад
True
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 3 месяца назад
True 👍
@Kidavoxebanjro
@Kidavoxebanjro Месяц назад
😂😂
@surusuru1994
@surusuru1994 3 месяца назад
Ila mee toka niazekujua manaya siasa sijawahi kuiugamkon ulaya yote kabis ❤
@RAMAMOHA-vn9xv
@RAMAMOHA-vn9xv 2 месяца назад
mimi ni ramadhani mohammed Asalaam aleikum warahmatullahi wabarakatu kutoka kenya nairobi
@HorebuKasuku-zz8cj
@HorebuKasuku-zz8cj 3 месяца назад
Ukitaka kuwaelewa marekani vizuri ishi nao propsgsnda ndo chakula chao😂
@JumaAyo-qp3fm
@JumaAyo-qp3fm 3 месяца назад
upo poa ,👍kutoka pemba
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 месяца назад
Hongera kwa kazi nzuri Dj Smaa. Team Russia, China, North Korea, Iran tukiongozwa na Vladimir Emirovic Putin lengo ni kuwaondoa Mabepari Barani Afrika kupitia Viongozi Vibaraka.
@jumaciza461
@jumaciza461 3 месяца назад
Wakati putin anatembelea Urusi nilivyo ona Nika comment kwenye sky news. Wanavyo ponda north korera Eti hakuna maendeleo nimepata majibu zaidi ya 100 😂😂😂
@kyangwesignermohamed7867
@kyangwesignermohamed7867 3 месяца назад
Dj Smaa mimi nimshabiki wako ninakufatilia kutoka Switzerland🇨🇭
@dominic4727
@dominic4727 3 месяца назад
Mti unao pigwa mawe ndio wenye matunda
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 3 месяца назад
Mimi binafsi habari za bbc france 24 huwa sitizami kabisa naonaga ni propaganda
@mwandishimussa6319
@mwandishimussa6319 3 месяца назад
Si mlikua mnasema KOREA KASKAZINI kuna njaaa😂😂😂😂 nyiiie niwasenge Kama bado mnafuatilia WESTERN MEDIA washenzi kweli kweli Watu wenye njaaa wanamijengo kama hiyo ???
@salumkasongo7507
@salumkasongo7507 3 месяца назад
Russia sanction zote hizoooo 😅😅😅
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 3 месяца назад
Nawakumbusha Tu hao ndio waliojenga library ya UDSM ambayo nikubwa Africa mashabiki mzima hakuna kama Ile 😂😂😂😂
@Jitumasta
@Jitumasta 3 месяца назад
Nchi pekee yenye mafanikio bila IMF na WB
@jumaciza461
@jumaciza461 3 месяца назад
Pesa za magharibi ndio zimejenga iyo mijengo.
@mwlpierre
@mwlpierre 3 месяца назад
Lakini anatumia magari kama Benz(Germany) pia naiona Land Cruiser V8(Japan) ni sawa uchumi wake anategemea zaidi malighafi za madini kama Congo ambazo anauza kwa nchi kama China na ulaya lakini ingekuwa na maana zaidi kama angeuza bidhaa za viwandani ingetoa tafsiri kubwa ya uchumi kama kiwango cha ukosefu wa Ajira
@technicalgearboxenginebysc1360
@technicalgearboxenginebysc1360 3 месяца назад
Ngozi nyeusi tuna laana wizi ndio tunajua
@MasomeAbell-cr1um
@MasomeAbell-cr1um 3 месяца назад
Halloo kweli
@sharifali178
@sharifali178 3 месяца назад
BBC ,DW,CNN, Ni vyombo vyakwao wenyewe haviwezi kusema ukweli
@niyibigiratimothy5448
@niyibigiratimothy5448 3 месяца назад
Nakufuata kutoka Cape Town city center CBD, Cape Town 🇿🇦 ila mimi ni mwananchi wa Burundi 🇧🇮 Bujumbura.
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 3 месяца назад
Moja kati ya sera za mashoga (west) nikuuhadaha ulimwengu yaani uwongo kila maali
@iskiji1240
@iskiji1240 3 месяца назад
Mzee unatuonyesha mandhari ya Pyongyang ambako ni mji mkuu. Hapo wanaishi watu wakubwa katika nchi. Hizo media za magharibi mbona wanaonyesha sana hizi video. Hata watalii wanapelekwa sehemu nzuri tuu, tena wanachaguliwa watu wa kuongea nao. Pyongyang ni mji wa watu waliochaguliwa na serikali, huwezi ishi hapo bila kibali. Achana na BBC, DW, CNN etc pia youtuber kibao wameenda huko, hawapelekwi miji mingine nje na Pyongyang tena wanapewa matour guide wa serikali. Drew binsky, indigo traveller na wengine kibao tumeona video zao unfiltered. Nchi kuwa masikini haimaanishi hamna sehemu chache ambazo ni nzuri. Hata bongo kuna oysterbay na vingunguti.
@franksiame8441
@franksiame8441 3 месяца назад
Makonda anaweza rahisi tu kwake
@mrdocta3106
@mrdocta3106 3 месяца назад
Ndo maana nili unfollow bbc swaili, baada yakugundua bbc, DW, Rfa, VOA na mengi kathaa mashirika hasa yanao leta habari kwa lugha nyepesi ya mama hasa sisi tunaongea swali!. Kiufupi sipendi taarifa zao. Smaa try one day huonyeshe namna marekani kuna homeless wengi na maauji yalioo kithirii! Zakuambiwa changanya na zako…
@talents7934
@talents7934 3 месяца назад
Uzalendo na kauli moja Ndio imewafikisha hapo walipo😢
@MosonVevo
@MosonVevo 3 месяца назад
Hayo majengo yapo kwa eneo dogo tu la aridhi ko sina lakusema
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 3 месяца назад
Africa tu ndio tupo nyuma ila nchi nyingi za Asia zimeendelea na licha ya vikwazo vyote Korea kaskazini sio masikini
@muska4real
@muska4real 3 месяца назад
Tuko U.S na sisi kuna shida nyingi 18:02 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-NuIHEPD3_Ic.htmlsi=cdi-carpQB10IYrY
@catprettyworld
@catprettyworld 3 месяца назад
Swala langu la ICON DJ SMA , appreciate sana kazi yako🎉
@USDisdoomed
@USDisdoomed 2 месяца назад
Nchi zamagharibi ziko nawivu sana na nn hasidi dhidi yahii nchi ndio maana wanmuita huyu jmaa dictator,,,,,N.korea haijawai kuvamia nchi zengine nakuziharibu kma walivyofanya wao manya'ngau
@husseinhamisimwindadi2211
@husseinhamisimwindadi2211 3 месяца назад
Walikuwa wanatuaminisha kuwa Urusi njaa kali,mpaka wakatufanya kwenye viwanja vyetu vya mpira,wanaokaa upande wamashariki(waopingwa jua usoni)wamekaa upande wa Urusi.Wakati ukweli...watu wa wamagharibi wategemea mafuta,gas,nani nk.kutoka huko
@rayyanothumanmohammed8261
@rayyanothumanmohammed8261 3 месяца назад
Kwa kweli north Korea na sanctions zote hatuwezi kuwapata vile cc Bado niwatumwa tu Mm na doubt shuleni tunafundishwa kuwa warabu walituteza na utumwa lkn mm na doubt sio kweli maana warabu walikuwa wanafanya biashara na bantu kabla kuxaliwa mtume Muhammad (p.u.b.h) hii pia kufundishwa shuleni sio kweli watu wa magharibi wametutengenezea tu
@selemancokker4994
@selemancokker4994 3 месяца назад
Dj smaa ubalikiwe
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 3 месяца назад
Walitowa amri kwa laia wote waende barabarani kuonyesha upendo wao kwa Putin
@mohamedmarijani
@mohamedmarijani 3 месяца назад
North Korea yenye vikwazo ni Bora kuliko tz isiyo vikwazo
@African511
@African511 3 месяца назад
Mimi binafsi huwa siwaamini wazungu,maana akikuambia maneno yake,weka uchunguzi wako wa kina ili uone kupitia maono na usikilize kwa kina zaidi hawa wajomba waongo mno,unaweza kuambiwa Africa kuna tembo wa kupaa na usipochunguza unaweza kulishwa matango pori😂😂😂
@AlmachNestory
@AlmachNestory 3 месяца назад
Hakika vikwazo vinafanya kazi kwa mataifa ambayo viongozi wake hawajitambui kama wa kwetu Afrika, Korea kasikazini ina vikwazo lakini wana maendeleo endelevu yao wenyewe.
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 3 месяца назад
Mimi nilipenda gisi waliwazani wao not Korea kua maskini Ivyo kuvichika Siri ya inchi nisawa sn hihi inchi sheria yao mimi nahipenda sn ongera sn inchi zamangaribi n'a uyo bwana wao marekani mwenye kujaha wivu wote ni waongo kazi yao nikutangaza vitu vibaya kwa inchi zingine wao wahonekane bora kumbe wao ndo wabaya mbona ata marekani kuna watu wanahangaika 😂😂😂😂😂😂
@issajumaali4009
@issajumaali4009 3 месяца назад
Binafsi nadhani vikwazo vimesaidia sana vimewafanya kutumia akili zao vizuri
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 месяца назад
Kutoka dodoma kaka
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 3 месяца назад
Safi sana ndugu!! Haydom Manyara hapa. Team Russia!! Pamoja sana rafiki.
@davismuzahula907
@davismuzahula907 3 месяца назад
Nchi zenye watu walio serious na maisha
@shegiahuseinshegia9008
@shegiahuseinshegia9008 10 дней назад
BBC,Hawajawahi kutangaza mazuri yoyote sio kwa North Korea tu,hata Tanzania ya kijani wanaona magojwa na uvunjifu was haki za mashiga tu.
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 3 месяца назад
Congratulations sana DJ Smaa na Hao maraisi Putin na Kim
@RashidRajab-oz5ec
@RashidRajab-oz5ec 3 месяца назад
Ruto kazi anayo
@RamadanPaul
@RamadanPaul 3 месяца назад
😂😂
@OthmanThabitJuma
@OthmanThabitJuma 3 месяца назад
Safi sa hata huko magharibi kuna watu wapo vibaya na wanahama kwend nchi nyenginezo
@omarysaid8725
@omarysaid8725 3 месяца назад
Wenzetu wamewekewa vikwazo lakini bado wanafanya maendeleo ila sisi sasa Tz hatuna vikwazo lakini bado hatuna maendeleo na tuna ombaomba tu kila kukicha wakati rasilimali tunazo na zina hitajika sijui elimu yetu ndio haitusaidii au
@abdaboking1463
@abdaboking1463 3 месяца назад
Mbona kwenye Group tukiingia hatuoni uptodat
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 3 месяца назад
Me naona hizo nchi zinazopewa misaada na hazijawekewa vikwazo ndio taabani kuliko hao wenye vikwazo.
@user-pi3vj5sn3l
@user-pi3vj5sn3l 3 месяца назад
Mimi binafsi nasema Korea kaskazin hakuna njaa na wanaishi vzr sana hayo ndio maisha yao nchi za magharib tushazielewa mipango yao ni kutia ila maendeleo ya nchi nyingine
@safitechnologies2000
@safitechnologies2000 3 месяца назад
Lakini sisi tuna demokrasia😅😅
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 месяца назад
Mashoga marekani wanaupotosha ulimwingu
@KhalidSultan-k1r
@KhalidSultan-k1r 4 дня назад
Sijawii kukubali Kula matango Poli ya ainayoyote Yale kutoka magh
@ndiiyolazaro1125
@ndiiyolazaro1125 3 месяца назад
Nipo bagamoyo
@ellysomemoremwansasu450
@ellysomemoremwansasu450 3 месяца назад
Dunia ukiwa sawa kiulinzi na intelligence na uzalendo wewe ni mshindii
@Mumewangu
@Mumewangu 9 дней назад
Propaganda za magharibi ndio huwaga wanasema Korea ni masikini
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 2 дня назад
Mkiendelea kujiuliza wamewezaje jibu ni kiongozi yoyoyte yole anayependa nchi yake na watu wake basi hashindwi kufanya hvi samia alipewa hii nchi ikiwa aina deni ata moja sasa hvi dunia iko number 4 kudaiwa jiulize pesa hzo anapeleka wapi na ushuru anapeleka wapi
@michaelkessy5740
@michaelkessy5740 3 месяца назад
Maendeleo makubwa yanafanywa Kwa njia ya usiri. Ili kupunguza changamoto kutoka Kwa maadui wako wa karibu. Notes: Kuna watu ni lazma uwaonyeshe, Mtazamo wa kawaida Ili uweze kuwapumbaza kwenye malengo yako, Wasijue una malengo gani. NDIO SIRI YA MAFANIKIO KWA MAADUI. #HonMichaelDeusdedityKessy.
@mansooranam831
@mansooranam831 3 месяца назад
SNS ni wazungumza ukweli yaani facts and logics mungu awasimamie, amiin!!
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 3 месяца назад
Damn it, North korea is fuccin beautiful
@INFORMATIQUE-yr5mx
@INFORMATIQUE-yr5mx 3 месяца назад
Ili niwe kwenye groupe tunafanyaje
@dr.chaplickobaraka1398
@dr.chaplickobaraka1398 3 месяца назад
Asa mbona sisi hatuna vikwazo na bado tunahangaika2
@AziziSelemani-t9x
@AziziSelemani-t9x 3 месяца назад
Naskuliza kutoka chuga nakukubali sana mwamba
@SarhaSaid
@SarhaSaid 3 месяца назад
Yani wamagharib niwaongo sana
@millionairementorndobandol4724
@millionairementorndobandol4724 3 месяца назад
MAREKANI PIA KUNA SEHEMU MBAYA SANAAA NA WANAKAA WATU
@DANIELWILLIAM-jo5bw
@DANIELWILLIAM-jo5bw 3 месяца назад
kutoka kagera kayanga nakupata vyema dj sma
@jumamnumbwa9483
@jumamnumbwa9483 3 месяца назад
Nchibza kijamaa hazina hali mbaya ya maisha ,ni uongo
@19ddr
@19ddr 3 месяца назад
Sma kama Richard medhust
@kenochieng3098
@kenochieng3098 3 месяца назад
Dj sma wewe utaki mumerika kweli kweli amerika ako kwa power kwa ajili ya mungu
@JansanMokiwa
@JansanMokiwa 3 месяца назад
Daah kama bongo KUBABAKE 😂😂
@bakarussi5428
@bakarussi5428 3 месяца назад
Hawa jamaa barabara zao nimezikubali sana kwanza ni safi sana
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 3 месяца назад
Hata wewe huwezi kujenga nyumba kama unanjaaa
@HajiMwanz-to3vg
@HajiMwanz-to3vg 3 месяца назад
Kutoka kagera muleba nakupata nvema
@dlumala
@dlumala 3 месяца назад
Niliwahi ukiishi biriani na watu wa NO NIKIWA ULAYA Du wapo Mbeki walikuwa na viatu vizuri zaidi kulipia week naNl
@dlumala
@dlumala 3 месяца назад
NO wanavuta zaidi ya nchi nyingisana
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 3 месяца назад
Kumbe hizo nyumba wanakaa bure
@SarhaSaid
@SarhaSaid 3 месяца назад
Ndio
@FadhiliAlly-fy2tx
@FadhiliAlly-fy2tx 3 месяца назад
Dj sma ningekuwa na pesa ya kuwapeleka Korea oya nyote mngeenda mukaimbia ukweli dunia mungu awabaliki sana
@NasoroMaurid
@NasoroMaurid 4 дня назад
Mimi nishajiwa kitambo kuwa waongo
Далее
HA-HA-HA-HA 👫 #countryhumans
00:15
Просмотров 565 тыс.
HA-HA-HA-HA 👫 #countryhumans
00:15
Просмотров 565 тыс.