Zebuu dada wangu nakupenda Sana kutoka kwenye filam Ya biti nyoka Wamangushi Last card Sonaa. Nimekuwa nawafata sana wew na kp mpenzi wako nikweli nawapenda alfu pia nyinyi nitaendeleya kuwafatilia mimi chabiki kutoka 🇧🇮
What amazing content? Hii centent ni mpya kuskia wakuu. Hii kolabu yenu vijana mtaenda mbali Bora tu mwuweke mapenzi kando. Nawafuatilia kazi yenu vizuri nikiwa Kenya Nairobi, kazi nzuri wakuu KP kanaswa hadi akabadilika kua shehe 😂😂😂
In fact, this is very funny and this zebu has done well and this kp will not increase sleeping with other women, he will settle down with his marriage😊😊🤭🤭🫂🤵👰👰🤵