Mimi huwa sipendagi wakati kp ana cheza na mutu mwingine kama mpenzi, wakati wanachezaga na zebuuu huwa ndo mambo yana kuwaka vizuri❤ mimi natokea congo🇨🇩🇨🇩
Kubadilisha ni muhimu kipenz,ili vijana wao wengine wasione kama kuna upendeleo,kwakuwa wao ni mabosi na pia ni wapenzi,and then inategemea na wanachotaka kuigiza kwenye hiyo clip.
Mmependeza fanyeni kazi hata likoma akiigiza mume wa shei shei sawa kwn ni kwer si hakuna ila mnacho lenga ni kufikisha ujumbe mlioukusudia kwa jamii big Up all of u
Kp,kp,kp,,nimekuita mara ngapi😂,,unaona vile umezoea kumweka zebuu wacheze na kisai,wewe na sheila,,mmmh,🤣🤣nyinyi endeleeni tu,,,zebuu dada yangu kuwa makini🤣🤣🤣anyway,mpo vizurii nawapenda bure yaani