Hahahahaha leo sopa amekuwa Spiderman kazi nzuri joti ww ni genius wa comedy bro unatisha big up kwa joti,malima,sopa,dada,pia huyo polisi mmenifanya nicheke mpaka mbavu zinauma Asanteni kwa kuniongezea siku za kuishi
Hii comedy ya leo inamafunzo makubwa wanaume kama sopa ni weengi waongo waongo wababaifu wajanja wajanja yaaani ni balaa kwa ahadi tuu hawajambo hahahaaaaa....bora hata kamchomesha akomeee
Yesu anaokoa,anakupenda,anakuhitaji kwake,haya maisha yapo utajiri hauishi n bora ukapoteza muda mwingi kumtafta Mungu,ukisoma neno lake na kuishi atuamuruvyo kuliko kuwa bze na maisha hakuna kitu utafanya ukaridhika kama upon nje ya Yesu,yohana3:16,,2timotheo 3:1_4