Тёмный
No video :(

KUKU WA PILIPLI MANGA NA LIMAU NA SOSI YA LIMAU NA SIAGI - KISWAHILI 

Aroma Of Zanzibar & Beyond
Подписаться 245 тыс.
Просмотров 56 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 160   
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH KINDLY FOLLOW THIS LINK ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-4iFL-PaoU7Y.html
@naimasaid563
@naimasaid563 5 лет назад
Nice Dear
@sheilaramadhani9434
@sheilaramadhani9434 5 лет назад
Habbty naomba msaada,nimejaribu recipe yako ya chicken sukha naomba nijuze nakosea wapi,mbona pamoja na kublendi bado machicha ya nazi yanasikika kwe ile rojo?au ni kawaida???
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
@@sheilaramadhani9434 nazi ni lazima isikike kidogo kwasababu ndio rosti lenyewe lakini pia hakikisha unasaga vizuri
@sheilaramadhani9434
@sheilaramadhani9434 5 лет назад
@@aromaofzanzibar shukrani sana
@hadijaidrisa626
@hadijaidrisa626 5 лет назад
Aroma of Zanzibar Mashallah
@ritamueni4779
@ritamueni4779 5 лет назад
Na kesho hivi ilikuwa tuchome kuku kama Familia.. Perfect recipe nitaibadilisha kidooogo tu
@zuwenasalum4660
@zuwenasalum4660 Год назад
Masha’Allah tabarak Allah Allah 🤲😋😋😋❤️
@humphreykarua5241
@humphreykarua5241 2 года назад
Potentially yo talk NY u urs most honesty H
@amadirispa8382
@amadirispa8382 4 года назад
Waw upisi mutam sana hua sijui kama unaeza pika kuku hivyo ikae kama kuku choma lakini nime sukuru sana kupata upisi mupya jamen asañte sana ubarikiwe mum y namungu akupe guvu utongezee upisi bora
@mariamissaahmed7675
@mariamissaahmed7675 4 года назад
Shukran kwa mapishi tamu tamu Mungu akubariki
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 года назад
amin
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 5 лет назад
Assalamualaikum Dada ang shukran san kwa mapish yak Allah akujaz kher
@ramlahalawi3883
@ramlahalawi3883 5 лет назад
Maa sha Allah habibty Allah akulinde wewe na watoto wako na family yoote na awajaalie muwe waja wa kher na wajaalie pepo Aamiin
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Amin kwetu sote. Shukran
@benitenyota2111
@benitenyota2111 4 года назад
Asante sana dada kwa ma pishi haya simple ila tamu
@boqoradacuntadamacan4953
@boqoradacuntadamacan4953 4 года назад
Masha Allah nime penda sana
@nussmam2009
@nussmam2009 5 лет назад
Mashallah pish nzur na simple
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 5 лет назад
MashaAllah nimetamani kwa kweli, shukran Sana
@christerkilamlilo7013
@christerkilamlilo7013 5 лет назад
Asante sana dadangu. Nafuatilia sana vipindi vyako. Kweli hujawahi kukosea.
@sifamugwaneza1178
@sifamugwaneza1178 5 лет назад
Ahsante sana mpenzi wangu #AromaOfZanzibar nimelipenda pishi hilii
@lavidalocariri5710
@lavidalocariri5710 4 года назад
Asante sana kwa recipe hiyi
@werubintalijuma3118
@werubintalijuma3118 4 года назад
Masha Allah, shukran habibty
@hassanmachemba2757
@hassanmachemba2757 5 лет назад
Maa shaa Allah nzuri sana
@lulusanga2326
@lulusanga2326 5 лет назад
Asante sana
@madinahemed3650
@madinahemed3650 4 года назад
Maashallah. Napenda mno upishi wako. JazakALlah khery.. regards from tanga
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 года назад
Thanks for the love
@nuura9347
@nuura9347 5 лет назад
Wallah hbbty napenda sn mapishi yako mungu akupe afya na kila la kheri niko kenya nakufwatilia sn
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Amin, shukran
@ummafye2936
@ummafye2936 5 лет назад
Jazaka Allahu khairan . Shukraan
@naimaali4918
@naimaali4918 5 лет назад
Looks delicious.Hodari kupika mwenyewe.Everything you cook looks good.
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Thank you dear
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 4 года назад
Bless you Yarab!! wwaaaaww yyummmyy mate yananitoka😘
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 года назад
Pole sana
@nassorhamad8556
@nassorhamad8556 5 лет назад
Mashallah nzuri sana
@ayshunsalimsaid5247
@ayshunsalimsaid5247 4 года назад
Ma Sha Allah
@fatmaomar5783
@fatmaomar5783 5 лет назад
Mashallah mashalla
@sihamel2309
@sihamel2309 5 лет назад
Simple good idea for a lazy night
@eqbalmima2044
@eqbalmima2044 5 лет назад
InshaAllah tomorrow I will do it start tnx
@vidalcharide
@vidalcharide 4 года назад
JazakAllahkheir, looks delicious.
@his-queenaisha7086
@his-queenaisha7086 5 лет назад
Mashaallah
@safianassir3843
@safianassir3843 5 лет назад
Nice 👌
@junaynatdama7573
@junaynatdama7573 4 года назад
Maashallah!. Allah akulipe kila la kheri
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 года назад
amin
@aishahussen7698
@aishahussen7698 5 лет назад
Aisha shukran dada zidi kutupa ujuzi Allah akuweke
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Amin, kwetu sote. Ahsante
@umulkhayrali7487
@umulkhayrali7487 4 года назад
Waaaaw masha Allah i love it thank you very much 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍😍😍😍😍😍😍😍💝💝💝💝
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 года назад
Most welcome dear
@halimamshami3279
@halimamshami3279 5 лет назад
Bismillahi mashaaAllah looks yummy, shukran Allahibariqfii kwa somo habibbty♥.
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Amin, kwetu sote. Shukran
@asyaomar4950
@asyaomar4950 5 лет назад
nzuri sana mashallah
@shammoha5297
@shammoha5297 5 лет назад
MashaAllah. Nzuri saaana 🙌🏽👏🏼🤗
@mariamatan8125
@mariamatan8125 5 лет назад
Mashaallah kuku aoneshasha mtamu sanaaaa,
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Hasa mtamu
@mariamatan8125
@mariamatan8125 5 лет назад
Najivunia mapishi yako unayo tufuza
@aminahaj8780
@aminahaj8780 5 лет назад
Mashallah my faveeee thanksssss
@ilhammshana234
@ilhammshana234 5 лет назад
Kuku ananitamanisha Uyo
@ashleybeckah4452
@ashleybeckah4452 5 лет назад
MaashaAllah
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura 5 лет назад
Ma Shaa Allah habbty Simple and looks yummy
@dismassalvatorymoshy7836
@dismassalvatorymoshy7836 4 года назад
ni tamu xana
@fatmabarass416
@fatmabarass416 5 лет назад
Mashaallah looks veeery delllicious
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Indeed it is delicious
@angelcharles7731
@angelcharles7731 4 года назад
Uwe na maisha maref tujifunze mengi
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 года назад
Amin wetu sote
@ummukulthumabdulhafidh9516
@ummukulthumabdulhafidh9516 5 лет назад
Wow i appriciate it mashallah
@biyemaalim6223
@biyemaalim6223 5 лет назад
nakuheshimu mama...jazakallah kheir
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Ahsante sana
@khadijanjama9016
@khadijanjama9016 5 лет назад
Shukran hayaty
@husseinabdalla5218
@husseinabdalla5218 5 лет назад
Masha allah
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 5 лет назад
Shukran mum
@alikhamis4055
@alikhamis4055 5 лет назад
Thank you
@vibestudio4707
@vibestudio4707 4 года назад
Thanx sana kukumzuri sana nitajaribu.
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 года назад
Inshallah
@niniarutek7257
@niniarutek7257 5 лет назад
Thank you🙏🙏🙏 be blessed
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 3 года назад
Hi aromo napenda sana mapishi yako. Mmungu akubarik amin tunafaidika sana nitajaribu huyo kupika anaonesha mtamu mate yananidondoka
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 3 года назад
Shukran sana kwa support 😘
@fatmaomar5783
@fatmaomar5783 5 лет назад
Mmmmm tamu mate zanitoka
@fatmasaleh4917
@fatmasaleh4917 5 лет назад
mashallah habibty
@leilamohamed7445
@leilamohamed7445 5 лет назад
Mashaallah safisana
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 года назад
Ya na mbatata nzur sana
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 лет назад
Mashallah
@aminabukenya231
@aminabukenya231 5 лет назад
Mashaallah tabaraka Allah
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Amin, shukran
@aminajuma2778
@aminajuma2778 5 лет назад
Shukrannn
@hanunarashid4677
@hanunarashid4677 5 лет назад
Shukran
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 5 лет назад
Mim wapish wang maaruf Dada ang Aroman Zanzibar na Dada shunu's saazotee kama sina kaz bas nipo youtube naangalia mapish yenu nayapenda sana wallah😘mubarikiwe daima inshaallah
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Amin kwetu sote. Tunashkuru kwa mapenzi
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 5 лет назад
@@aromaofzanzibar ❤❤❤❤❤
@hafsahcletty5968
@hafsahcletty5968 5 лет назад
Mashaallah👌
@aminahali1106
@aminahali1106 5 лет назад
Shuqran sana
@sabraabdulla913
@sabraabdulla913 5 лет назад
shukran
@hazelbrown4712
@hazelbrown4712 4 года назад
MashaAllah looks yummyy😋😋 umetumia Unsalted Butter?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 года назад
unaweza kutumia salted au unsalted zote zinafaa
@malmo4235
@malmo4235 5 лет назад
Shugran mrembo ❤️❤️🙏🙏😘😘
@khadijaabdulqadir1662
@khadijaabdulqadir1662 5 лет назад
Assalamu aleikum. Hhmm 🤤🤤mashaallah matee yamenijaa mdomoni 😍shukraaan habibty. Allah akuhifadhi 😘
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Amin kwetu sote. Shukran
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 5 лет назад
Jmn iv awa wanaoweka 👎kwel hawapend awa ndio wanatak kutia ila tu?? Manak sion kitu kibaya chakuwek dislike ila usikate tamaa Dada ang wewe songa mbele sisi typo tutakugongea like kama ingekua kuna uwezekano wakueka ata kila mtu 100 mie ngekuwekea ata 100 I love u aroman of zanzibar songa mbele dunian hukos wapinzan haiw mtume wetu kakutana na vikwaz ivo vyakukataliwa je sisi ila haturud nyuma inshaallah
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Shukran, mimi hazinikeri hizo ni kawaida tu. Ahsante kwa kunipa moyo
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 5 лет назад
@@aromaofzanzibar 😚😚😚😚u are welcm habibty❤
@shemsairakoze5973
@shemsairakoze5973 4 года назад
Hua natamani kukuona sauti lako kama la zuhura yunusu wa BBC Unaongea vizuri sana
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 года назад
Ahsante sana, nipo kwenye hii video ya 100k utaniona ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-n_aZF8w9-6s.html
@khalekichambo2143
@khalekichambo2143 5 лет назад
Yummy
@FatmaMohamed-yv2vl
@FatmaMohamed-yv2vl 5 лет назад
Masha Allah... ndio maana nafurah nikipata notifications zako...😙
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Ahsante sana
@christinahillary3417
@christinahillary3417 5 лет назад
Udenda umenitoka walahiiiiiiii
@a.856
@a.856 5 лет назад
Thx🙏😋
@zuwenakassim5624
@zuwenakassim5624 4 года назад
Kuku Ameliwa Dakika tano ameisha......hahaaaa
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 4 года назад
Akiwa kuku mtamu km huyo.. yes kwa dk 3 ataliwa wote👌
@maimunaathman4664
@maimunaathman4664 5 лет назад
😋😋😋
@salimalmarhoobi5675
@salimalmarhoobi5675 5 лет назад
Shukran sana dada mimi nipo Oman, unaweza kufanya kuku nzima umepasuwa tu
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Unaweza kufanya kuku mzima pia lakini inachukua mda kupika
@labelle_tz5712
@labelle_tz5712 5 лет назад
U got me for this😋😋 lazy me yummy
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 года назад
Pili pili Manga kwenye kuku napendaga anakuwa mtamu hata Kuna ndugu yangu alikuwaga anatia hata mie natiaga
@rajabmohamed9930
@rajabmohamed9930 4 года назад
A.alykum dada...mie nmejarbu ila wametokea wachungu
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 года назад
Wachungu ! Itakua ile zest ya lemon umepara mpaka ile ngozi nyeupe , unatakiwa ya manjano tu .
@Latrattoderibes
@Latrattoderibes 4 года назад
Hello,Swali ni kua, hii kitungu zumu na tangawizi waichangaña vipi? Hapa naishi haiuzwi, ndo nataka niitengeneze mwenyewe, is it 50 × 50
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 года назад
Mimi nasaga fresh kila nikipika . kama unataka ya kuweka angalia Shuna's kitchen ameonyesha vipi anatengeneza
@malikraheem7825
@malikraheem7825 4 года назад
Dada mimi naishi Europe nilikua nataka spices tofauti kama naweza kumtuma mtu zenji itawezena?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 года назад
Spices zote inapatikana maduka ya wahindi popote pale duniani , mie siishi zanzibar
@kennethkwai1519
@kennethkwai1519 3 года назад
Eti iyo unayotumia kusaga limao inaitwaje kwa kiingereza
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 3 года назад
Zester
@nellyann3200
@nellyann3200 3 года назад
Nice cooking ila to ningependa kujua siagi ni nini in english
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 3 года назад
Siagi ni butter
@armstrong_007
@armstrong_007 4 года назад
Je unaweza kuweka paste tu za Ginger na Garlic ??
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 года назад
Yes
@ghatimuhiri5493
@ghatimuhiri5493 5 лет назад
Mamy mbona nimeona umeshallow fry hujaweka kwenye oven??😞
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Sio lazima unaweza kumalizia kwenye oven su kufunika kama nilivyo fanya mimi hapo
@ahlaamhassan1204
@ahlaamhassan1204 5 лет назад
ASSALAM aleikum..did you use salted butter or unsalted?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
I used unsalted, but if you use salted you can omit the salt later on
@shiijam6771
@shiijam6771 4 года назад
Dada kama limao ya kijani si inafaa pia?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 года назад
Inafaa hamna tabu
@shiijam6771
@shiijam6771 4 года назад
Dada ukitumia kuku wa kienyeji ataiva kweli😅😅😅?? Na ukitumia vipande vingine kama vipaja jee?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 года назад
Mpike mda zaidi dear
@shiijam6771
@shiijam6771 4 года назад
@@aromaofzanzibar haya ntajaribu nione itakuaje
@jenijeni9785
@jenijeni9785 5 лет назад
Asaalam.aleykum,limau zile za green za Tz hazina tatizo?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Tumia yu
@eqbalmima2044
@eqbalmima2044 5 лет назад
Upon mbona kimya
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Nipo nimeshughulika kuhama kidogo
@vdhhhgduue3577
@vdhhhgduue3577 2 года назад
Kama sina lmao naweza tumia ndim??
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 2 года назад
Unaweza
@khizralghawy9489
@khizralghawy9489 5 лет назад
Part gani ya kuku hio
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Kifua
@khizralghawy9489
@khizralghawy9489 5 лет назад
@@aromaofzanzibar asant tupo pamoja sanaaa Juz japo mwanamme nimepika birian ya kuku Asant
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
@@khizralghawy9489 most welcome upishi hauchagui kama unapenda kupika endelea tu
@matasaka4726
@matasaka4726 2 года назад
Dada izo spais unauza ww
@matasaka4726
@matasaka4726 2 года назад
Nakama nataka nakupata wapi
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 2 года назад
Hapana siuzi
@matasaka4726
@matasaka4726 2 года назад
Oke , Ila ww he hauchukuwi wanafuzi ambao wanahitaj kusomea mapishi
@matasaka4726
@matasaka4726 2 года назад
Naipenda Sana kusema kweli yani
@huldaholiud5428
@huldaholiud5428 5 лет назад
zesiti ni nini?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 лет назад
Zest ni hayo maganda ya limao nilopara
@huldaholiud5428
@huldaholiud5428 5 лет назад
Aroma of Zanzibar Asante
@eqbalmima2044
@eqbalmima2044 4 года назад
A. W. Dear you lost a lot where are you in this day
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 года назад
Nipo , I was little busy
@nassorhamad8556
@nassorhamad8556 5 лет назад
Mashallah nzuri sana
@fatumaalishebibi5561
@fatumaalishebibi5561 4 года назад
Mashaallah
@halimamohamed3747
@halimamohamed3747 5 лет назад
Mashaallah
Далее
KUKU WA KUPAKA - KISWAHILI
10:05
Просмотров 122 тыс.
KUKU WA PERI PERI
8:59
Просмотров 37 тыс.
BUTTER CHICKEN WA TUI LA NAZI - KISWAHILI
8:07
Просмотров 20 тыс.
FAIDA 8 ZA  MKAA KWA KUKU
8:27
Просмотров 211 тыс.
JINSI YA KUPIKA SHAWARMA NYUMBANI - KISWAHILI
6:25
Просмотров 81 тыс.