Тёмный
No video :(

KUKURU KAKARA .. MAZINGE VS PASTOR 

KENYA DAWAH TV
Подписаться 42 тыс.
Просмотров 148 тыс.
50% 1

DAAWAH KATIKA MTAA WA KIAMBIO NAIROBI COUNTY.
23/8/2019

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 221   
@hassanhamudy6639
@hassanhamudy6639 3 года назад
Islam is my religion...proud to be Muslim
@AbubakarShariff-rc5hh
@AbubakarShariff-rc5hh 3 месяца назад
Rh
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 лет назад
Wakristo sielewi shida yao iko wapi? Mtu anadai kuwa yesu ni mungu,sekunde mbili zingine anasema yesu ni mwana wa mungu,yaani wamechanganyikiwa kiasi ambacho hata wanakosa kujielewa kabisa. Wanamtukuza yesu kuliko Mungu aliyemuumba huyo yesu,ajabu sana. Ustadh Mazinge wape aya labda watazinduka in shaa Allah
@mohammedrajabu7449
@mohammedrajabu7449 3 года назад
MaashaaAllah Sheikh mazinge Allah akupekheri Duniani na Akhera ww na jopu lako loote Allahumma Amiin🙏
@mwaks3347
@mwaks3347 5 лет назад
Sheikh Mazinge Allah akujalie umri mrefu na masheikh wote hapo
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Allahuma Amin
@hussainthe2nd233
@hussainthe2nd233 4 года назад
Ameen
@janetkahada5206
@janetkahada5206 3 года назад
Na je AL Imran 3 :49 kwa qur'una YESU mwenyewe kasema siyo Paul.
@jutotoju4809
@jutotoju4809 3 года назад
@@kenyadawahtv90ib\\p0a\\\\1qa1a\\
@faridaabdala1316
@faridaabdala1316 5 лет назад
Asante allah kwakuniumba muislam..inshallah niongoze niwe mwenye kutimiza nguzo tano za uislamu
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 лет назад
farida sema Alhamdulillah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@jumakoga2179
@jumakoga2179 4 года назад
Al handullah
@najmagudeh203
@najmagudeh203 3 года назад
AMIIN INSHAALLAH
@hamissuche6576
@hamissuche6576 2 года назад
Dadangu farida, jina Allah, unaanza na capital letter A,.. sio allah
@elphasseurei
@elphasseurei Год назад
Ushapotelea maji Nini ndgu.uko ata kwa dawa siezi kua muislamu.😂
@egetinginyemachoka2726
@egetinginyemachoka2726 5 лет назад
Uko sawa Mazinge tufungue macho Mazinge mungu akulinde.
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Allahuma Amin
@danielmahela2436
@danielmahela2436 4 года назад
Hahaha isaya Ni nabii anaongea kauli ya kinabii anaposema amezaliwa sio kwamba Tayari. Mfano ufunuo 21:1 Inasema kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena. Sasa ukisoma iki kifungu ni kana kwamba haya mambo yamekwisha tokea kumbe bado, Ivyo tusipagawe na maneno ya unabii barikiwa sana Amen.
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 5 лет назад
MashaAllah masheikh wetu,tafadhalini toeni mada za masaa mengi jaman
@kalssambaboo9705
@kalssambaboo9705 5 лет назад
Shukraan sheikhe mazinge allah atakulipa kwakazi yako
@faizabaishe5172
@faizabaishe5172 5 лет назад
MaashAllah,safi, Allah awaongeze katika njia ilonyoka na atuepushe na moto 🤲 Alhamdulilah nashukuru ni Muslim
@muhidinmohamed1445
@muhidinmohamed1445 5 лет назад
Barakallahfiq Mungu atawalipa Leo na kesho akhera In Sha Allah
@montenomontana2935
@montenomontana2935 5 лет назад
Naomba walimu kabla hamjaanza mjadala mjaribu kufunza hawa wakristo kiswahili...kiswahili ni ngumu kweli
@asaduzamanalmaxmud7671
@asaduzamanalmaxmud7671 3 года назад
Masha allah
@hashimmhashim2663
@hashimmhashim2663 5 лет назад
Mashallah sheikh mazinge! Lakini uli tuondolea utamu kidogo, kulikuwa najamaa ataka kusilimu ukamkatiliza, kwa sababu ya mchungaji, sasa sijui kama alisilimu?!
@ibrahimabdi2368
@ibrahimabdi2368 5 лет назад
mashaAllah Allah awalipe kwa kazi mnayoifanya
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Amin
@abdiali224
@abdiali224 5 лет назад
Masha Allah
@mwajumamwajuma3756
@mwajumamwajuma3756 4 года назад
Hawa wenzetu hawajielewi kabisa inalilahi mazinge unawaweza kweli wanakufuru
@meekman1805
@meekman1805 2 года назад
Sheikh Suleiman Mazinge tunakupenda kwa ajili ya Allah! Hoja zako nzito sana jazakallahu kheyr.
@sabraabdilnasir8826
@sabraabdilnasir8826 4 года назад
Wakiristo allah anawaona kama mnajuwa uislam ni dini ya haki mnaubishi tu ila nawakumbushia kwa Allah tutarejea na mashekhe wetu wanajitahidi kuwasaidia namuomba allah atujaliye mwisho ulio mzuri na pia akulainisheni nyoyo zenu
@hassanyusuf4478
@hassanyusuf4478 4 года назад
sheikh Mazinge Allah akujalie elmu ya juu zaidi inshallah
@elphasseurei
@elphasseurei Год назад
Mbingu na mbinguni ni tofauti ndugu,mungu alikua mbinguni akiyajenga mbingu.kuna mbingu nne ndio ufike mbinguni.ety mwalimu wa mwislamu na haujui kueleza ya yalio direct explaination.
@jnrhassan4629
@jnrhassan4629 5 лет назад
Asalamu aleykum ya sheikh yahya .salamu zangu unifikishie ustadh mazinge
@elphasseurei
@elphasseurei Год назад
Asante ndugu kwa kujikaza be blessed alot,kama bibilia inasemaje na wao wanajua vema kua yesu ni mwana wa mungu na ni mungu, Colossians 1:15 alikua kumbe Cha kwanza so ni mtoto wake,na ndio maana anaitwa mungu kwa sababu ni mtotowe.lakn hawezi kua mungu mwenyewe,Bali ni mfano wa mungu,na kaa vnye wewe na babako,unatumia jina LA babako.....lakni haimanishi mtoto ni babake.wanakuchanganya lakni uko sawa bro.
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 4 года назад
Ustadhi mazinge Mungu akujalie na akupe rehema mafundishi yako ni mazuri sana na yanafanya uisilamu unazidi kung'aa na kumelemeta
@wadimtwana7286
@wadimtwana7286 5 лет назад
Maashaallah uislamu ni kila kitu
@nuosab
@nuosab 4 года назад
Sheikh mazenge Endelea na hii Daawah Allah atuondolee maradhi ambaye haina Dawa
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g Год назад
MAA SHAA AL-LAAH MWENYEZI MUNGU AKUPENI KHERI NYINGI
@maryamabdi7460
@maryamabdi7460 5 лет назад
Masha Allah mnafanya kazi nzuri mgekuja kajiado county
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Maryam tukiandaliwa twakuja
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 5 лет назад
MashaAllah... Mwenyezi Mungu Awabariki kwa kazi yenu ya kuwatoa watu katika giza... IshaAllah.
@asayubeejr1199
@asayubeejr1199 5 лет назад
Amini pamoja na ww
@maherzain615
@maherzain615 3 года назад
MashaAllah sheikh uko waazi kabisa .hata mtoto mdogo akuelewa tu
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 лет назад
Masha Allah SHEIKH Yahya na team yako Allah awalinde na awaongoze na awafanyie wepesi katika kazi zenu
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
amin
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 лет назад
@@kenyadawahtv90 Allahumma amiin
@kitkatpleasesubscribe6720
@kitkatpleasesubscribe6720 5 лет назад
Sheikh Yahya DAAWAH 0720900181 , My dear brother Yahya *PLEASE* do remember to watch my very important videos in my *Playlists* and please add English subtitles to your videos. *Jazak'Allahu Khairan*
@mohamedmohamed-fs1tl
@mohamedmohamed-fs1tl 2 года назад
mashaallah Allah bariik my brothers
@seluwahabdull7223
@seluwahabdull7223 5 лет назад
mashallah shekh suleiman mungu akuongezee elmu uzidi kutukumbusha nakutukumbusha in sha allah
@maryammdoe4784
@maryammdoe4784 4 года назад
Subhanallah alhamdulillah kwa neema hii ya uslam yaa rabbiy
@huxeinprince5427
@huxeinprince5427 5 лет назад
Mungu wabarik kwenye kutangaza dawa
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Allahuma Amin
@mkombozimstaff4830
@mkombozimstaff4830 4 года назад
Sawa sawa Sheikh au ma sheikh Wangu
@uwesusaid9764
@uwesusaid9764 4 года назад
Mazenge Babalao 😃😃
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 5 лет назад
Allah awape wepesi mashekh wetu nn maana makafiri huwa wanajifanya hawaelew
@gerkombo6512
@gerkombo6512 5 лет назад
Kafir ni mtume wenu muhamad ambaye hata hakujitambua enzi za utume wake.
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 5 лет назад
@@gerkombo6512 ww ndo kafiri pili huna akili ungekuwa na akili usinge abudu yesu waacha mungu wewe vp
@gerkombo6512
@gerkombo6512 5 лет назад
@@bahatihadijabahati7456 we ndo fala kweli
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 5 лет назад
@@gerkombo6512 sigombani na boya mimi
@gerkombo6512
@gerkombo6512 5 лет назад
@@bahatihadijabahati7456 boya mwenyewe usie na akili, mkiambiwa toeni aya ni wapi muhamad kapewa utume na Mungu mnabaki mnajambajamba hovyo.
@sheemwsnyiro6670
@sheemwsnyiro6670 5 лет назад
Mashalaah masheikh wetu ALLAH awabariki
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Allahuma Amin
@abdulshakoursalumsaid7125
@abdulshakoursalumsaid7125 4 года назад
@@kenyadawahtv90 Mashaallah, na me naitaka iyo kazi Zanzibar hamna uku.
@yassirrashid7802
@yassirrashid7802 3 года назад
Mashallah
@MA-ht7po
@MA-ht7po 4 года назад
Allah ibarik fiq sheikh mazinge ndugu yetu from watamu
@najmagudeh203
@najmagudeh203 3 года назад
MASHAALLAH MASHAALLAH TABARAKALLAH
@akhuumpweche.7935
@akhuumpweche.7935 3 года назад
Maa shaa Allah sheikh wafunguwe macho..
@maryamk4739
@maryamk4739 3 года назад
Asalaam Alykum warahmatullah wabarakatu... Nisaidieni na part 2 of this. Jameni. And please make dua for my mother for Allah to guide her to Islam. Jazakallah
@flavianmarandu5710
@flavianmarandu5710 4 года назад
Mashaallah kwanin hukuwa mwalimu wangu mazinge
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 лет назад
مشاءالله تبارك الله يا أستاذ سليمان، جزاك الله خير
@ommybaajun6762
@ommybaajun6762 4 года назад
ALLAH azid kuusimamia Uislamuu
@bihangamanywazuberi1684
@bihangamanywazuberi1684 4 года назад
Jazakallahu khayr
@salamamohamed6762
@salamamohamed6762 4 года назад
Alhamdulillah nilisilimu kupitia hizi video Allah awabariki sana nitafurahi zaidi mkikaribia kwetu +254 kutoa daawa huenda wazazi wangu wakasilimu na wengine In sha Allah
@abdulshakoursalumsaid7125
@abdulshakoursalumsaid7125 4 года назад
Mashaallah.
@mohammedrajabu7449
@mohammedrajabu7449 3 года назад
MaashaaAllah nduyangu salama mohammed allah akupe kheri na baraka tele na ajaalie wazaziwako wafe Haliyakua ni waisilamu safi kabisa
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 лет назад
Maa Shaa Allah, Uislam Raha,Nashukuru Allah,Hongereni Sana Kwa Kutuelimisha.Muendelezo Naomba Alhamdulillah.
@sidneykanumba8165
@sidneykanumba8165 5 лет назад
Allahumma Aameen
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 лет назад
@@sidneykanumba8165 Àamiin.
@Binarybotsltd
@Binarybotsltd 4 года назад
Thank for that knowledge
@shanizyusuf8210
@shanizyusuf8210 5 лет назад
Jmn naomba munisaidie nimpate mazinge nina tatizo lkm naona nikimpata tatizo litatatulika inshllh
@siamabakwe4274
@siamabakwe4274 4 года назад
Those people are confused basi Allah awafanyiye wepesi
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 лет назад
Kuna continuation ya hii video ya kukuru kakara?! Sheikh Mazinge umemkatizia huyo Charles alitaka kusilimu...hebu tupe mlivyomalizana naye na huyo mzee uliyemuita pia...otherwise great job mashaallah tabarak Allah
@charlesjoseph791
@charlesjoseph791 5 лет назад
Nipe namba ya huyo mazinge anaejifanya anajua
@charlesjoseph791
@charlesjoseph791 5 лет назад
Nipe namba ya huyo mazinge anaejifanya anajua
@charlesjoseph791
@charlesjoseph791 5 лет назад
Naomba namba akinijibu nasilim 0765319605 hyo namba yangu
@charlesjoseph791
@charlesjoseph791 5 лет назад
Nooor Dubem Nipe namba
@zamzamahmed5718
@zamzamahmed5718 4 года назад
@@charlesjoseph791 wewe usijifanye umeshindwa hapo kisha waleta Zako hapa 😂😂😂😂😂😂
@yekridikilatheecreativethi2540
@yekridikilatheecreativethi2540 6 месяцев назад
God is alfa and omega. God is the God of now. He is i am whom i am.
@jumaamsuya5264
@jumaamsuya5264 5 лет назад
Masha Allaah
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 лет назад
Jmni muendelezo
@kitkatpleasesubscribe6720
@kitkatpleasesubscribe6720 5 лет назад
Sheikh Yahya *PLEASE* add English subtitles... And by the way Sheikh Yahya *PLEASE* also watch my important videos in my *Playlists*
@barakakiula6443
@barakakiula6443 5 лет назад
Nakupenda sana
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 5 лет назад
Mbona tamu lakini fupi sheikh?
@mwanahamisially5234
@mwanahamisially5234 5 лет назад
Kukuru kakara mpe Mike hyo
@sabrinakhamis7731
@sabrinakhamis7731 3 года назад
Lakkini shekhe jamaa alitaka kuslimu bana mbona 😢😢ukampinga🥺
@user-ki6nw6ve7p
@user-ki6nw6ve7p 4 года назад
Nachukurumungu kuwa muislamu. Mweyezimungu akuwekee wepes, kuakufudichadiniyake, zakalaher
@sadanahimana7193
@sadanahimana7193 5 лет назад
Endelea kutufunza mengi na mungu awalinde awape umri mrefu wakutujuza mengi
@shedracksaid8402
@shedracksaid8402 5 лет назад
Mungu atajali tu lazim wasilimu wote
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
amin
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 3 года назад
Awo Wakristo wanamuabudia nimrom na mke wake na mtoto wao tamuz bila wao kujijua
@barakakiula6443
@barakakiula6443 5 лет назад
Swadakta mazinge
@bahatimkumbo7298
@bahatimkumbo7298 4 года назад
Endeleeni kunidanganya enyi kizazi cha farao sababu kuu kwangu moja ya kuikana usilamu ni dini ya farao ya wamisiro ambao walipigwa na Mungu kwa mapogo wadanganyeni wasio jua bibilia someni mstari mmoja na kukariri mdanganye watu wakristo tunajiamini tunadini ya ya Wana wa esilaely walio mshinda Miungu ya farao endeleeni kuyafuga mapepo wa wazuri
@prettyaysha7892
@prettyaysha7892 4 года назад
Enzi za farao ni umma wa Musa na Isa mnaemuita yesualikua na umma wake wa kiyahudi na umma uliosasa ni wa Muhammad mkubali mkatae maana Enzi ya Musa kina farao walimpinga, Issa (yesu ) pia kunao waliompinga na sasahivi ni umma wa Muhammad pia kunao wapingao kama nyinyi Sasa mnaojitia kwa yesu hivi nyinyi wayahudi ama hamjielewi siwashangai hamjijui mko kundi lipi, pole lakini kila mtume alikua na kizazi chake jisahau tu na nyinyi c wayahudi
@adamukasim3074
@adamukasim3074 4 года назад
Takibiliiii
@shifamakame4622
@shifamakame4622 4 года назад
Ingekuwa mm hiyo mikafiri ningeipiga mibao mn mikaidi sn Ela nyie munowafundisha muna moyo AllaH awalipe kheri ingekuwa mm na presha zangu zamanii nishamkunja km haelewi na kaahaondoka
@abdulshakoursalumsaid7125
@abdulshakoursalumsaid7125 4 года назад
Duh ww noma.
@yussufsheikh5111
@yussufsheikh5111 3 года назад
Wakiristo hawakubali ukweli
@mohamedissack8053
@mohamedissack8053 5 лет назад
Kafri ni kafiri tu hawakubali kueli
@gerkombo6512
@gerkombo6512 5 лет назад
Kafiri namba moja ni nyie waislamu.
@asayubeejr1199
@asayubeejr1199 5 лет назад
Subhanallaah inshallah iko siku watajua ukweli na haki
@user-wv5fq1bm5x
@user-wv5fq1bm5x 5 лет назад
@@gerkombo6512 Subhanallah yani ww mungu akutowe gizani ujue dini ya kweli ni ya Kiislam
@gerkombo6512
@gerkombo6512 5 лет назад
@@user-wv5fq1bm5x dini ya kufuga majini siyo
@husseinyhassany5696
@husseinyhassany5696 4 года назад
@@gerkombo6512 ni wewe 2 pole
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 года назад
😀😀😀hapo nikuchemka tu
@lifegoesonfunnymassia8856
@lifegoesonfunnymassia8856 4 года назад
Mazinge Ni mgonjwa wa akili, hapo Naona hela za waislamu Ni tamu Sanaa😂😂😂😂😂 mazinge nenepa kabisaa
@mundharyhabibu5361
@mundharyhabibu5361 4 года назад
Umeelwa shule iliyotolewa lakini
@abdulshakoursalumsaid7125
@abdulshakoursalumsaid7125 4 года назад
Waislam hawatoleshwi pesa mbona.
@abubakarzamir6276
@abubakarzamir6276 4 года назад
Kanisan ndio kuna pesa za shetan kila jumapili
@esthernyabuto3845
@esthernyabuto3845 5 лет назад
Waisilamu mwafunzwa kilauchao muache kuangalia mwili ju yeye alikuwepo tangu imbrahim jameni mejawa na kutoelewa ila mungu awasaidiye
@badalabdallah7761
@badalabdallah7761 4 года назад
Acha kukurupuka jitambue mtoto
@ramadhanwilbard4685
@ramadhanwilbard4685 4 года назад
Ww kama unampenda mwenyezi mungu leo kuwa mwislamu sio unaleta habari za biburia hapa
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 года назад
Takbiiiir 🙆🙆🙆
@adnansaleh3971
@adnansaleh3971 5 лет назад
Islam cannot be defeated cz u cannot defeat a victory that is predestined
@kitkatpleasesubscribe6720
@kitkatpleasesubscribe6720 5 лет назад
Adnan Saleh , My dear brother *PLEASE* you must also watch my very important videos in my *Playlists*
@amraniissa530
@amraniissa530 5 лет назад
Wakati utafika mazinge na wenzio mtapiga magoti mbele zake Yesu kristo Mungu aliye hai na kujutia haya natamani kama ningekuwepo hapo nikunyooshe mazinge na Hao unao waaminisha hapo ya kufkilika
@shemsiasalumu9200
@shemsiasalumu9200 4 года назад
Hujui ulitendalo naww utajuta siku utakapo kutana na MOLA WAKO MLENZI
@meddyhazali1470
@meddyhazali1470 4 года назад
Jielewe wewe.... mnakubali mitume yote kuwa walipewa utume isipokuwa Mtume Muhammad kisa tu alikuwa muarabu ...angekuwa mzungu mnge mkataa? Rudini kundini nyie.... mara baba roho mwana...hamuwezi kumpa cheo cha Mungu yesu wakati yeye alikuwa nabii tu.... kwahiyo Mungu alizaliwa?? Someni msipelekwe pelekwe tu
@ramadhanwilbard4685
@ramadhanwilbard4685 4 года назад
Mwenyezi mungu hana mfano wake,Hazai, haoi na haiwezekani akamuumba nabii Issa ambaye nyie mliyopotaka mnamuhita Yesu alafu yeye mwenyezi mungu aingie kwenye nafusi ya Issa heti yesu ni mungu,Yesu alitumwa na mungu,yesu kaumbwa na mungu na Yesu sio mungu na dini ya kweli ni Uislamu tu na ni 1tu.
@ramadhanwilbard4685
@ramadhanwilbard4685 4 года назад
Yaani ww ukizaa mtoto,mtoto huyo anakuwa ana nafsi yako?
@sebantunganyankurunzinza3516
@sebantunganyankurunzinza3516 5 лет назад
Zaburi moja moja heri ya MTU asie kweda katika shauli la wasio haki wala hakuketi kwenye mabaraza ya wenye mizaihau wala mabaraza ya wasio haki
@shukranoberd2490
@shukranoberd2490 5 лет назад
Yesu ni mungu ama laa Jibu liko yoh 14:7 na yesu ndo kakuumba yoh 1:1--3
@officialkamdudu
@officialkamdudu 5 лет назад
Shukran Oberd kwani yohana 1:1 ni maneno ya nani ?
@shukranoberd2490
@shukranoberd2490 5 лет назад
Official Kamdudu niya yohan na ht hivo nyie mnakataa wingi wa mungu lakn qolohan yen inasema mfano kipindi Muhammad anapewa utume hakupewa na mungu moja maana quoran inasema tulimpa sio nilimpa so mna miungu mingi sio mungu mmoja
@officialkamdudu
@officialkamdudu 5 лет назад
Shukran Oberd acha porojo Allaah anatumia katika Qur’ani kwa njia ya wingi inatumika katika lugha nyingi na katika Kiarabu ni Jam‘u Lita‘dhiim (Majestic or Royal Plural au wingi wa ukubwa na utukufu au wingi wa kifalme). Oxford Advanced Learner’s Dictionary inafasiri We (Sisi) kwa kusema: “Formal used instead of I by a king, queen or pope or by the writer of an editorial article in a newspaper, etc. The ROYAL WE (Inatumika rasmi badala ya Mimi na mfalme, malkia, papa au na mwandishi wa tahariri katika makala ya gazeti na kadhalika. Hii ni Sisi ya kifalme” (uk. 1443). Na Allaah ni Mkuu zaidi na Mtukufu na kwake ipo mifano ya juu zaidi na ni aula katika kutumia utukufu wake katika hilo, hivyo ‘TUME’ au ‘SISI’ inapotumika katika Qur’an inaonyesha Utukufu wake akiwa Yeye ni Yeye tu wala hana mwendani.
@shukranoberd2490
@shukranoberd2490 5 лет назад
Official Kamdudu kwanini atumie wingi wakati ni nafsi moja km sio dini ya kihun et mpaka mnadanganya watu et waloasi sabato walikua manyani yaan ni utoto kabisa mbona mpaka sasa wanaasi na hawawi mnyani
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 5 лет назад
mungu kazaliwa😁😁duuu mungu sijui huko tumboni aliwekwa na nani na kabla yakuzaliwa sasa mama ake yesu alikuw anaabudu nini😁😁kweli hamuwezi kuelewa milele na milele
@esthernyabuto3845
@esthernyabuto3845 5 лет назад
Jameni utabiri manabii wengi walitabiri yeshu
@ahmedfarah1646
@ahmedfarah1646 5 лет назад
Assalamu Aleikum
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 5 лет назад
Waalykum Salam Al Akh
@sabrinakhamis7731
@sabrinakhamis7731 3 года назад
Usiende tena kanisani 😂😂😂😂😏
@jbjaphet1465
@jbjaphet1465 5 лет назад
Huyo dogo hajuwi wanitafute mimi
@davidochieng2975
@davidochieng2975 5 лет назад
Waje kwangu pia hawatoshi ni vile hawapendi kupeana muda kwa wenzao.Ubishi tu na kutokubali ukweli wa biblia.
@user-wv5fq1bm5x
@user-wv5fq1bm5x 5 лет назад
Hamna lolote nyie mnakataa tuu dini ni ya kiislam
@adamtamim6048
@adamtamim6048 5 лет назад
@@davidochieng2975 haya hebu tupe andiko linalosema ukristo ndio dini ya kweli Na lialosema yesu ni mungu
@adamtamim6048
@adamtamim6048 5 лет назад
@@davidochieng2975 hebu jiulize swali dogo tuu kabla yesu hajazaliwa binaadam walikuwa wanamiabudu mungu gan
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 4 года назад
Hahaaa’ wanashindwa kina Papa Paulo wanaoandika biblia kila mwaka’ utaweza ww ndugu...! Ukisoma maandiko utaelewa kwamba hujitambui ...!..unakwenda Kwa kukaririshwa na wachungaji..!
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
jamani uwiislam raha yani nimefulahi sana waiislamu kuwaelekezo wakristo ktk njia lmustakim iliyo nyooka
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 лет назад
twasubiri muendelezo insha Allah
@fetychina3273
@fetychina3273 3 года назад
Shekh unaendelea au?
@bachuhamza2396
@bachuhamza2396 3 года назад
Ww
@davallamchambe5275
@davallamchambe5275 3 года назад
Mwenye namba ya huyu shekhe suleiman mazinge anigee
@kelvinmichae728
@kelvinmichae728 5 лет назад
huyo shekhe hajielewi
@aliimwasiri2764
@aliimwasiri2764 5 лет назад
Nenda ukamueleweshe mwenzako anahaha kama kameza uji moto ajui aumeze au auteme😁😁😁
@asmaaabdalla9372
@asmaaabdalla9372 5 лет назад
Msiba Kwa wakristo mungu mwana roho mtakatifu wote wanks 1+1+1=3
@asmaaabdalla9372
@asmaaabdalla9372 5 лет назад
Mungu WA wakristo kazaliwa katahiriwa msiba anae tahiriwa mungu mwanadamu fikirieni maneno yaupunbavu munatukuwa kanisani
@minaminaa1669
@minaminaa1669 5 лет назад
@@asmaaabdalla9372 😊😃😃😃
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 5 лет назад
yesu kaumba nini kama ni mungu na huyo yesu anatahiriwi dahh msibishe ila mshukiru waislam wanavyotoa miadhara inawasaidia nyie msio jua hadhi ya mungu ivi yesu kweli awe mungu alaf mlivyokuwa maboya na nyumba zenu mmejaza picha za yule alieigiza picha la yesu na kumpigia magoti😁😁
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 5 лет назад
yani kiukweli kwa mtu mwenye akili timamu akisikiliza haya kwa makini basi wakristo kweli mnapotea ivi mbona hamuelewi kila siku yesu mingu ewe mkristo kaa utafakari
@jaredmisiaimochokoroomusa1260
@jaredmisiaimochokoroomusa1260 4 года назад
Soma Tito 2:13 yesu ni Mungu
@ramadhanwilbard4685
@ramadhanwilbard4685 4 года назад
Ww soma Quran ndicho kitabu kikamilimu cha mwenyezi mungu na hakina shaka ndani yake.
@NahyaShaban-ve4qe
@NahyaShaban-ve4qe Год назад
ww huyo ni paul aliwadanganya🤣🤣🤣
@officialkamdudu
@officialkamdudu 5 лет назад
wakristo mna vichwa vigumu aise...
@user-wv5fq1bm5x
@user-wv5fq1bm5x 5 лет назад
Aisee yani mungu awanusuru yani wengine wagumu kufahamu
@ukhtyruqyah7860
@ukhtyruqyah7860 3 года назад
😂 namuonea uruma uyo mchungaji anabwabwaja tuu sijamuelewa ata nusu jaman ee Islam ndio dn ya kweli wakubar wakatae
@janetkahada5206
@janetkahada5206 3 года назад
Sio tu Bible hata qur'una YESU aliumba AL - Imran 2 :49 Na ni mutume kwa wana wa lsreal kuwaambia mimi nimekujieni na lshara kutoka kwa Mola mlezi wenu ya kwamba na kuundieni kwa udongo kama ndege sura ya ndege Kisha nampuliza anakuwa ndege kwa idhini ya mwenyezi MUNGU.
@janetkahada5206
@janetkahada5206 3 года назад
Sorry it's AL Imran 3:49
@samuelkombo3559
@samuelkombo3559 2 года назад
Na hata "shahada" Katika Coran hakuna
@janetkahada5206
@janetkahada5206 3 года назад
Kwani hata qur'una mupinga hata qur'una nyinyi ovyo akili punguwani
@rashidimanyoka4125
@rashidimanyoka4125 4 года назад
Mmh
@najatnasma5017
@najatnasma5017 4 года назад
Sheikh namba yako naipata je na kwa dar uko sehemu gani
@abdulshakoursalumsaid7125
@abdulshakoursalumsaid7125 4 года назад
Hayupo Tz uyo yupo Kenya.
@gerkombo6512
@gerkombo6512 5 лет назад
Wewe mazinge huna lolote umejaa ubishi tu, utawakamata wakristu wajinga tu ambao hawaijui vizuri biblia.
@hanifajuma342
@hanifajuma342 5 лет назад
Gervas Kombo kile mnapenda ni uongo, na ubabe, utapeli plus mazingambwe kanisani ati N miujiza na hamjui ni ushirikina hamuoni? hio si ujinga? vipi wewe!
@user-wv5fq1bm5x
@user-wv5fq1bm5x 5 лет назад
@@hanifajuma342 hata bora wangesema mungu wao ni Nabii Adam maan yy nabii adam hana baba wa mama ila nabii issa yy ana mama
@husseinyhassany5696
@husseinyhassany5696 4 года назад
Pole sana
@husseinyhassany5696
@husseinyhassany5696 4 года назад
Wewe unajua nini kweli pole sana ataandiko ujui
@user-wv5fq1bm5x
@user-wv5fq1bm5x 4 года назад
@@husseinyhassany5696 nani huyo mimi au
@paulndungu523
@paulndungu523 5 лет назад
Wacha kuchanganya huyo Jamaal, hiyo hoja huwezani nayo ispokuwa, nikumchanganya, kama unajiamini kabisa na hoja zako please nitafute tujadiriane.
@zakialustan722
@zakialustan722 5 лет назад
Akutafute nani wewe bankrupt
@davidochieng2975
@davidochieng2975 5 лет назад
@@zakialustan722 Mbona mnakataa ukweli nyinyi?
@mundharyhabibu5361
@mundharyhabibu5361 4 года назад
@@davidochieng2975 unahoj gani..... Maandiko bibilia nzma hkun hta moj linalosem ukristo ni dini
@janetjackson9586
@janetjackson9586 5 лет назад
Mazinge unatoa hoja au unaipinga biblia kweri ww ni dajali
@husseinyhassany5696
@husseinyhassany5696 4 года назад
Aki wewe kweli janet sasa nani anapinga bibilia hapo sema
@mundharyhabibu5361
@mundharyhabibu5361 4 года назад
@@husseinyhassany5696 hajapinga bibilia..tatizo ndgu zetu ni wavivu wakos vitabu. Viongz wenu ndy wanao wapotez tna kwa mujib wa hyo hyo bibilia
@abdulshakoursalumsaid7125
@abdulshakoursalumsaid7125 4 года назад
@@mundharyhabibu5361 Umemtag sie apo.
@justineogeto6213
@justineogeto6213 4 года назад
Mbona mnaendea watu awaju Bible Ila kw pastor ndacha
@ramadhanwilbard4685
@ramadhanwilbard4685 4 года назад
Hakuna habari ya Biburia sio kitabu ya mungu,Quran ndicho kitabu cha mwenyezi mungu.
@prettyaysha7892
@prettyaysha7892 4 года назад
@@ramadhanwilbard4685 taurat, zabur, injil na Qurqn zote ni vitabu amba yo Mungu alipea manabii wake ila vote vina shaka ila Quran tu ndio Safi maana haibadilishiki abadan
@samuelkombo3559
@samuelkombo3559 2 года назад
Waislamu hote ni wajinga kama nabihi wao hamukubali mandiko yoyote
@babossjr862
@babossjr862 2 года назад
Inalilahi wa in ilayhi rajiun
Далее
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Просмотров 4,1 млн
MILLION JAMOASI 2024 4K
2:17:51
Просмотров 12 млн
Friends
00:32
Просмотров 175 тыс.
UST. HABIB OTHMAN  MAZINGE | MZEE YUSUF NAKUDAI
21:06
Просмотров 71 тыс.
MAZINGE KUKURU KAKARA.
54:09
Просмотров 49 тыс.