Тёмный

KUMBUKIZI: JPM ASIMULIA ALICHOJIBIWA NA MKAPA BAADA YA KUMUAMBIA ANAUTAKA URAIS 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 62 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 61   
@auntdorah9141
@auntdorah9141 4 года назад
Asante muheshimiwa...ulimtanguliza Mungu na hata ktk janga la Corona umemtanguliza Mungu na tukaishangaza dunia.. Mungu azidi kukutunza!
@danielmoto7557
@danielmoto7557 4 года назад
Aisee kwakweli hii haizungumziki maana nigafra mnooo japo kwa mwenyezi mungu si gafra kama tuonavyo sisi lakini imetushtua sana,mungu ailaze roho ya marehemu mzee mkapa raisi wa tatu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Ameen,
@epifaniamzena9384
@epifaniamzena9384 4 года назад
Nimeipenda . Ulimsifia kabla hajaondoka kwenye hii dunia😇
@mohamedIbrahim-lc6zz
@mohamedIbrahim-lc6zz 4 года назад
Ssa
@milkamugomo218
@milkamugomo218 4 года назад
Poleni watanzania majirani wetu
@asiamuhoya7795
@asiamuhoya7795 4 года назад
Asante.
@J4UPro
@J4UPro 4 года назад
Asante sana
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 4 года назад
Thanks a lot
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 года назад
🙏🙏🇹🇿🇿🇦🇺🇬
@hylinenyakweba3435
@hylinenyakweba3435 4 года назад
Babaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaa magufuli God ndio kila kitu kweli penda sana magu mimi
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 4 года назад
Allah amuondoshee adhabu katika kabri lake Amin
@tarsissingano9693
@tarsissingano9693 4 года назад
Kusifia kunatakiwa hata kabla ya uhai kutoweka. Mh Magufuli amelionyesha hilo kinagaubaga kwa Hayati Raisi Mstaafu wa Awamu ya Tatu. Mungu akurehemu.
@smstore5535
@smstore5535 4 года назад
Rais magufuli alimpenda sana mzee mkapa... 👏👏 R. I. P mze mkapa💔
@rev.nuhubombo8795
@rev.nuhubombo8795 4 года назад
Hongera kwa maneno ya matumaini
@jumaramathan2219
@jumaramathan2219 4 года назад
Allah amlipe anachostahili. 🙏🙏🙏
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 года назад
Mcha mungu angeuwa wanzibar pemba na yeye na Raisi Mwinyi wange, zuwiya uchaguzi wa zanzibar you 2015, CUF ilivyo shinda, unakuaje mcha mungu alafu unadhukumu watu au mnasemaje wapendwa
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 4 года назад
Mkundu wako kama shimo la taka
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 года назад
@@mohamedpesambili9460 Ameen M/mungu akulinde wewe na familia yako na ukupe upendo katika nafsi yako ameen.
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 4 года назад
@@ukweliunauma4570 tena uxipost ujinga xku nyngne.kwn umeskia mkapa alikua mungu hakosei.bwege ww
@Anitajoseph792
@Anitajoseph792 4 года назад
Hakuna anayejua hatima yake mbele za Mungu
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 года назад
@@Anitajoseph792 kila mtu atavuna alicho kipanda
@rechrontv2453
@rechrontv2453 4 года назад
HISTORIA YA MH. RAIS BENJAMIN MKAPA (gusa link👇👇👇Kutazama) ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-_bVo1ZcdyMQ.html
@zubeirsalum128
@zubeirsalum128 4 года назад
Mungu atamlipa alichokitanguliza wakati wa uhai wake
@kandecharlessanduku1539
@kandecharlessanduku1539 Год назад
R I P mzee
@mwalimrajab4363
@mwalimrajab4363 4 года назад
🙊RIP BABU YETU
@teknotekno1288
@teknotekno1288 4 года назад
Muheshimiwa leo ndio unasema aaaa ila pole
@maatumkadhi1760
@maatumkadhi1760 4 года назад
Hii ni hotuba ya zamani mkapa alikuwa hai anamsifiwa akiwa yupo hapo
@salumkazumari5833
@salumkazumari5833 4 года назад
RIP mzee wetu tutakuenzi yote mazuri uliyoyaacha
@el-gibbortv5564
@el-gibbortv5564 4 года назад
#RIP Mkapa baba letu
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 4 года назад
R i p mzee😭😭
@josephyango7078
@josephyango7078 4 года назад
Pumzika kwa Aman
@auntdorah9141
@auntdorah9141 4 года назад
RIP MH.B .W .MKAPA
@shabaniddy6410
@shabaniddy6410 4 года назад
Rip mzee wetu
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 4 года назад
Hongera Rais wetu wewe nimwingi wa shukrani tunamuombea mkapa Allah amuondoshee adhabu za kabri amin
@elishamasereka5122
@elishamasereka5122 4 года назад
Apate mapumziko mema Mzee Mkapa!
@magneticofficialtz
@magneticofficialtz 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-1mhaev4gbhU.html Bonyeza link hii kuona maajabu ya mtu anayefanana na mh. mkapa
@respiciusdeodatus80
@respiciusdeodatus80 4 года назад
Rest in peace!
@paschaldamian4597
@paschaldamian4597 4 года назад
R I P babal Mkapa
@jacksonmashaka9322
@jacksonmashaka9322 4 года назад
Pumzika kwa aman mkapa
@jssaa4733
@jssaa4733 4 года назад
😭😭😭😭😭😭
@aishachogogweaishachogogwe3705
@aishachogogweaishachogogwe3705 4 года назад
Rlp baba etu
@lamekingunda5327
@lamekingunda5327 4 года назад
P
@calistamgendwa9356
@calistamgendwa9356 4 года назад
Rip
@hilalionhilaliont2324
@hilalionhilaliont2324 4 года назад
Rest In Peace
@denysemariebaziruwiha702
@denysemariebaziruwiha702 4 года назад
RIP
Далее
На самом деле, все не просто 😂
00:45
NDARO KAMCHOMEA STEVE TENA AYAAA
12:27
Просмотров 356 тыс.
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018
59:24