Тёмный

KUMBUKIZI YA MAPOKEZI YA GADNER G HABASH CLOUDSFM BAADA YA KUONDOKA E FM 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 62 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 86   
@beautymushi6164
@beautymushi6164 5 месяцев назад
Tunawapoteza watangazaj mahiri sana,Mungu awapunzishe
@CliffordLyimo
@CliffordLyimo 5 месяцев назад
Poleni sana wana clouds R i p Gardner G habash
@veronicahlusekelo5205
@veronicahlusekelo5205 5 месяцев назад
😭😭😭😭😭😭 yani nmeona marehemu wawili daaa nlkuwa nawakubali sana hwa watu mpaka nlpata yakuwapa watoto mapacha jina la eflaim na mwingine nlmwita Gadna 😭😭😭
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 5 месяцев назад
Ukitazama vyanzo vya vifo vya Gadner Habash na Kibonde sababu kubwa ni sumu mwilini iliyosambaa kuanzia kwenye kogosho, figo, Ini ambavyo vikifeli moyo unatanuka na mapafu kujaa maji na sababu kuu ya Ulevi uliopitiliza. Mungu aturehemu na Vijana tujifunze
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 5 месяцев назад
We ni Daktari wao?
@rashid.s.mohamed2334
@rashid.s.mohamed2334 5 месяцев назад
Chanzo Cha kifo Cha magufuri
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 5 месяцев назад
Kifo ni mpango wa Mungu hata uwe makini vipi siku ikifika lazima uondoke tu
@leylampinga3575
@leylampinga3575 5 месяцев назад
Nawale ambao hawanywi pombe na wanamagonjwa hayo tusemeje?
@africa7479
@africa7479 5 месяцев назад
watu hawapendi ukweli
@batridapaul92
@batridapaul92 5 месяцев назад
Daaaa😢 walivyokumbatiana na marehemu Kibonde, 😢 hata mbinguni kampokea hivyo hivyo😢😢😢 so sad kifo ni fumbo tujifunze kutenda mema hakuna ajuaye kesho yake😢😢😢😢😢
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 5 месяцев назад
Ni Noma Sana Kumuona Kibonde Na Garder Wakikumbatiana Na Kiuhalisia Ndio Hvo Hawapo Tena Jahazin
@mimosapudica1894
@mimosapudica1894 5 месяцев назад
Inauma sana bro
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 5 месяцев назад
Kweli dunia mapito😢😢😢 Kibonde.na.Gadna R.I.P..ndungu zetuu
@judyngowi391
@judyngowi391 5 месяцев назад
Alikuwa na sauti nzuri na alipends sana utani
@leaherasto929
@leaherasto929 5 месяцев назад
Gadner alikua Peace sana
@GabrielSky64
@GabrielSky64 5 месяцев назад
Daah maskini Bandu anabaki mkiwa yena 😢😢😢baada ya mara ya kwanza kuondoka Kibonge now Tena Garden
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 5 месяцев назад
Pombe zinachangia kupoteza Afya zetu😢
@patrickmoses2101
@patrickmoses2101 5 месяцев назад
Some time stress zinachangia
@AzadZuber
@AzadZuber 5 месяцев назад
RIP Gadner mbele yako puma yetu
@fatumashabani9122
@fatumashabani9122 5 месяцев назад
Innalillah wainnaillaih rajiun
@RehemaMsita-ce6cb
@RehemaMsita-ce6cb 5 месяцев назад
Innalilah wainnalilahi lajiun nilikua nampenda Sana gadina mtangazaji mzuri sanaa
@ASMAFTAAH
@ASMAFTAAH 5 месяцев назад
R.I.P GARDNER G HABASH KIBONDE NA CAPTAIN NA BANTU DAAH WALIKUA VZUR MNOO
@waltergodwin2529
@waltergodwin2529 5 месяцев назад
Unrated bond between captain and kibonde Mungu azidi kuwapumzisha kwa amani. Kwani Legacy walioiacha ni kubwa sana but George bantu itabidi atafutiwe psychologist.
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 5 месяцев назад
Dah Dunia hii jaman!!!hapo wote wawil marehemu sasa😭😭Mungu azipumzishe roho zao Kwa aman
@uyetomato9514
@uyetomato9514 5 месяцев назад
yaani these two guuyz were so...........
@Jumamabela
@Jumamabela 5 месяцев назад
Dah.kibonde.kama.dwigt.yorke.pumzikeni.kawa.amani.mabroo
@NeemaGabriel-r6s
@NeemaGabriel-r6s 5 месяцев назад
😭😭🙏 mungu kwahili
@AGNESSINGANO
@AGNESSINGANO 5 месяцев назад
Apumzike kwa amani Gadner
@ukhtyjabutv6368
@ukhtyjabutv6368 5 месяцев назад
Dah
@bosskid_yoo
@bosskid_yoo 5 месяцев назад
Mkakumbatiane tena na Efraim K. Daah so sad 😢😢
@hanifamziray277
@hanifamziray277 5 месяцев назад
Pumz8ka kwa amani broo
@hailinhelen4675
@hailinhelen4675 5 месяцев назад
Inna llillahi waina ilayhi rajuun
@sarahbuberwa7219
@sarahbuberwa7219 5 месяцев назад
Ooh! jamani ! pumzika kwa Amani Gardna
@aaa64sa13
@aaa64sa13 5 месяцев назад
Inalillahi waina ilayhi rajioun
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 5 месяцев назад
A good man is Gone. Rest in peace
@StimaOfficial
@StimaOfficial 5 месяцев назад
Safari njema Captain 💔
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 5 месяцев назад
Rest in peace kibonde & garder pumziken kwa Aman
@ASMAFTAAH
@ASMAFTAAH 5 месяцев назад
EEH BANA JAHAZ HIL HAPA GEORGE BANTU NKO NA WANANGU KABSAA CAPTAIIIIN....MUSA HUSSEIN MPKA SA 3 USKU📻
@Economically-Growth-Musicians
@Economically-Growth-Musicians 5 месяцев назад
😢😢😢
@AngelAbbah-wc5un
@AngelAbbah-wc5un 5 месяцев назад
Yan alikua anaongeaga mambo hata km hutak kucheka utacheka tu nimeumia mnoooo😢😢😢😢😢
@georgenkanawa7156
@georgenkanawa7156 5 месяцев назад
Dunia mapito😢
@Kabwela776
@Kabwela776 5 месяцев назад
Poleni sana wafiwa, hapo ndio marehemu kaumaliza mwendo na kitakachomsaidia huko mbeleni akiwa peke yake ni matendo yake hapa duniani…. Kwa hiyo tujifunze tunaishi vipi maisha yetu … huku duniani kama uliacha mtoto wako wa kike au mke wako nunaweza kukuta wale marafiki wa Karibu au ndugu ndio wanaanza kumtongoza na kutaka kulala naye heshima yote inatoweka, na kama ulicha Mali zako matatizo yanazuka ya kugombea Mali , na kama ulijenga nyumba utawasaidia watoto wako ila kama ulikuwa mtu wa kupanga na kutanua kwa nyumba za watu fedheha inaanza za watoto wako ! Tuko duniani kama tuko safarini na dunia sio makazi yetu ya kudumu tusijisahau !
@Rizikiulili
@Rizikiulili 5 месяцев назад
CAPTAIN gadna g habash RIP😭😭😭😭
@jenjoseph7270
@jenjoseph7270 5 месяцев назад
😭😭😭😭😭😭 Sina hata Cha kuongea
@luisojr3480
@luisojr3480 5 месяцев назад
R.i.p Big broo Captain
@barakawisdom9326
@barakawisdom9326 5 месяцев назад
kifo hakina mwenyew kila chenye roho kila kilicho chini ya jua lazima kitaonja maut R I p
@janeyjohnson9274
@janeyjohnson9274 5 месяцев назад
Sauti ya zege,rest in peace bro!!
@dn.n4983
@dn.n4983 5 месяцев назад
RIP kaka
@robinsonjames9711
@robinsonjames9711 5 месяцев назад
R.I.P mkali wa ma-jiggle
@marthageorge5043
@marthageorge5043 5 месяцев назад
😭😭😭😭😭
@atupelemwasambili4476
@atupelemwasambili4476 5 месяцев назад
Rest in peace Gardner
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 5 месяцев назад
,😢😢😢😢😢sad
@sebastiannwaka5847
@sebastiannwaka5847 5 месяцев назад
R.I.P
@maase2023
@maase2023 5 месяцев назад
Kwa kweli huu mtandao wa youtube bora hata ufungiwe tu kwa kuwa habari zake nyingi ni za utata na za kutengenezwa ambazo hazina ukweli! Na ukijaribu kutoa taarifa kwa wengine kuwa umeona kwa youtube media basi utajikuta unaadhirika tu maana always inakuwa ni taarifa isiyo na ukweli
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 5 месяцев назад
Kivip wewe
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 5 месяцев назад
Aloo umeandika nini mbona hueleweki wewe
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 месяцев назад
Weka wazi
@maase2023
@maase2023 5 месяцев назад
@@MiriamAbdallah yani mariam youtube uongo ni mwingi mno duh! Unaweza kusoma habari ukashtuka kumbe uongo mtupu
@maase2023
@maase2023 5 месяцев назад
@@joycekaguo8476 stori zao nyingi ni fake
@rahema1992
@rahema1992 5 месяцев назад
Dah jmn allah awarehem😂
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 5 месяцев назад
Kwan inachekesha???mbona umecheka?
@bosskid_yoo
@bosskid_yoo 5 месяцев назад
😢😢
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 5 месяцев назад
WALE MNAOSEMA NI POMBE SIJUI SUMU KALI SIJUI UKIMWI,,,TUNAWAAMBIA,,,WE BAKI SALAMA TU ATA MIAKA 200 ATA USIUMWE,,ILA UTAONDOKA TU ATA UKIWA KWAKO UMELALA
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 5 месяцев назад
Duu kibonde
@jemaida4642
@jemaida4642 5 месяцев назад
Rest in peace
@AtuganileAsubisye
@AtuganileAsubisye 5 месяцев назад
Mhm kifo ni fumbo aisee ukimwona utazani yupo hai kumbe amekufaa..........
@msellemmohammed7232
@msellemmohammed7232 5 месяцев назад
RIP
@uyetomato9514
@uyetomato9514 5 месяцев назад
good man is gone for sure
@KidawashiManyara
@KidawashiManyara 5 месяцев назад
Grdghhfffru-vid.com/show-UCcsh_MamETjVbacronGcXxw
@Vampiretrust.
@Vampiretrust. 5 месяцев назад
RIP
@kampotkanangila9647
@kampotkanangila9647 5 месяцев назад
R I P
Далее
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
MASANJA COMEDY INALIPA KULIKO UCHUNGAJI
36:21
Просмотров 1 тыс.