Тёмный

KUMEKUCHAA.! JESHI LA POLISI LAFANYA MAAMUZI HAYA MAKALI KIFO CHA KIJANA JUMA KWA KUULIWA NA OYA 

HABARI KIGANJANI
Подписаться 293 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

#jeshi #jeshilapolisi #kifo #mauaji #tanzia #tanzania

Опубликовано:

 

10 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@JumaNjiku-df1fd
@JumaNjiku-df1fd 17 часов назад
Makampuni ya mikopo ni wizi uliohalalishwa. Hawa watu wanakopesha watu kwa riba ya asilimia thelathini kwa mwezi. Hii maana yake mteja atalipa mara 3.6 ya thaamani ya mkopo ikiwa mteja atakaa na mkopo kwa mwaka mmoja. Huu ni wizi, yafaa ukomeshwe mara moja. Unawaongezea matatizo zaidi badala ya kuwasaidia. Ikiwa riba hii indekuwa kwa mwaka ingekuwa inavumilika. Riba ya asilimia 30 kwa mwezi ni wizi, unyang'anyi, dhuluma na ulafi unaotimiza malengo yake kutumia shida za watu wengine.
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 2 дня назад
Huu uwazi ndiyo umma unauhitaji,pale maisha yanapopotea.
@SalminTenga-fx6wi
@SalminTenga-fx6wi День назад
sad kea mesh last polis happy wamezoea .kuwadhalilisha wateja. hakuna asietaka kulipa mkopo ila mtu hua hana .sasa hao wanawapga .wanawachukulia vitu naic oya ni kampuni dhaif naomba ifutiwe kibali
@JonathanMGAIWA-ow4py
@JonathanMGAIWA-ow4py 2 дня назад
Uwasilishaji duni, hujui kusoma? Au hujui unapiteza muda na bundle za watu?
@iddytwaibu4927
@iddytwaibu4927 2 дня назад
Taarifa mbaya hujui kuandaa
@noelmakere1381
@noelmakere1381 2 дня назад
Acha maneno mengi nenda kwenye hoja
@AmosJustineMtesigwa
@AmosJustineMtesigwa 2 дня назад
Hii fani ya uandishi wa habari wewe haupo kabisa kaka habari yako hata haijakaa sawa kabisa uwe una copy za wengine kama hujui kuandaa we ya kwako maana umemaliza bando langu tyu!
Далее
КУШАТЬ ХОЧЕШЬ? #дистори
00:15
Просмотров 76 тыс.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 8 млн