Тёмный

AFARIKI DUNIA BAADA YA KUPONDWA UUME NA KORODANI ARUSHA MAMA YAKE ASIMULIA ILIVYOKUWA. 

GADI TV
Подписаться 65 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Israel Paulo (36) mkazi wa Leguruki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia baada ya kupondwa korodani na uume wake kwa madai ya kushindwa kuleta fedha kiasi cha shilingi 15,000 za kuku aliyoagizwa akauze na rafiki yake wilayani humo.
Christina Paulo ambaye ni kaka wa marehemu akizungumza na GADI TV akiwa wilayani humo, amesema kabla ya ndugu yake hajafariki dunia alimuonyesha sehemu hizo zikiwa zimevimba mithili isiyotazamika.
Aidha, Mama mzazi wa Marehemu aitwae Foibe Paulo, amesema mbali na mwanae kupondwa sehemu hizo alilawitiwa pamoja na kuingiziwa vijiti sehemu ya haja kubwa.
Hata hivyo Foibe akizungumzia tukio hilo ameanza kueleza namna mmoja wa mtuhumiwa alivyofika nyumbani siku hiyo na kumchukua kijana wake na kwenda kumfanyia kitendo hicho
GADI TV ndiyo
Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: gaditvhabari@gmail.com #breakingnews #lifestyle #trending #live #livestream #trendingshorts
Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV
Thanks.

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 200   
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 2 дня назад
dah isee huuu uchungu hauerezeki mimi2 Najskia vibya je mzazi wake mama pole sana Ndio maisha mungu atakulipia
@kabulaphilipo7985
@kabulaphilipo7985 День назад
Daa! Sina la kusema. Pombe kupita kiasi ,bangi, madawa ya kulevya ni Atari kwa Taifa letu. Tuombe Mungu atuepushe na haya.
@rosemaryKalega-c5s
@rosemaryKalega-c5s 2 часа назад
Uwiiiiiii moyo wangu umeuma sana sana ukatili gani huo binadam tunaogopana sasa pole mama wa kijana
@BahatiAsael
@BahatiAsael День назад
Mwenyezi Mungu akupe nguvu mama 😢
@ElizabethPalanjo
@ElizabethPalanjo 4 часа назад
Daàa?? Hakika binadam wamekua wanyama jmn, pole sana mama ang,,, mungu tusaidie jaman!!!!!
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 2 дня назад
Utumiaji wa bangi ulevi na ukosefu wa nidhamu na kumkataa Mungu mioyoni mwa vijana wengi ndiyo chanzo cha mauaji na ukatili unaoendelea nchini.
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 День назад
Ni kweli hii ni mbinu ya shetani kuangamiza roho za watu maana neno linasema kwa kua walikataa kua na MUNGU katika fahamu zao MUNGU nae aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa waangamie ...wazazi tujifunze kuwalea watoto wetu wamche MUNGU
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 День назад
Hakika
@kizittohescary1213
@kizittohescary1213 День назад
Eee Mungu tusamehe sisi wenye dhambi this is too much,huu ni unyama uliopitiliza jmn,😭😭😭😭Arusha tuacheji hizi Mambo jmn mbna tunafanya unyama hivii
@YunisJerald
@YunisJerald День назад
Jamani😢😢 hela hiyo ndogo
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts День назад
Arusha ni jiji la tofauti na miji mingine hapa nchini... Waombaji uombeeni mkoa wa Arusha na Tanzania yote kwa ujumla,mauwaji yamezidiii.
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 День назад
Acha kuhusisha ubaya na Mji wa Arusha, mbona Dar kuna mambo mengi?
@ummySheikh72
@ummySheikh72 День назад
Saana Arusha kama sio Tanźania? Balaaa😮😢😢
@ummySheikh72
@ummySheikh72 День назад
​@@Ndu-wa.uroony2sio kweli
@KisaMax
@KisaMax День назад
Arusha watu wake wana roho zakichafu sana​@@Ndu-wa.uroony2
@khalinaJuma
@khalinaJuma 8 часов назад
Arusha kumezidi
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 День назад
Pole Sana mama wajua kijana wako alikosea kwa kutokusema mapema angelipona pole Sana mama
@ElinahStephano
@ElinahStephano День назад
Aliona aibu jmn😢
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 День назад
Aisee mauwaji Tanzania yamekuwa kama mauwa viongozi wadini jitahidini kuongoza waumini kufanya Dua kuomba mungu aingilie kati aisee watu wamekuwa wakatilina Allah anomba unusuru vizazi vyetu
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 9 часов назад
Eeee Mwenyezi Mungu wewe usiye lala. Eee Mungu wetu wewe. Allahu Akbaru. Pole Mama yangu viatu vyako havinitoshi. Malipo ni hapa duniani, walaaniwe hao waovu.
@mgayamgaya
@mgayamgaya День назад
Pole sana mama, tatizo ubabe mwingi Arumeru
@conjestamashallo8458
@conjestamashallo8458 День назад
Naomba hao watu wakamatwe wafanyiwe hivyo hivyo
@norbertjosephat7831
@norbertjosephat7831 День назад
Arusha ukatili dhidi ya binadamu umezidi sana
@mwendemercy4488
@mwendemercy4488 День назад
Jamani siata angeambia family hingelipa aki mbona mumezidi kuuwana hao walio muua nao wachukuliwe hatua jamani mungu tulindie watoto....aki sisi wamama tunapitia mengi.😭😭😭😭😭😭
@NuruZebedayombise-ie5zb
@NuruZebedayombise-ie5zb День назад
Jamani shangazi yangu pole sana Mungu akupe uvumilivu kumpoteza binamu yangu
@MustafaMgeni-c9m
@MustafaMgeni-c9m День назад
Kesi kama hii kwangu mimi mahakama yangu ni panga nakula vichwa vyao hadharani,tutakutana mbinguni
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz День назад
Saw panga,hadhara,c binadamu n iblis,
@lamecksayenda
@lamecksayenda День назад
Hcho ndo klchobak!
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi День назад
Kabisaaaa
@breymbasa3451
@breymbasa3451 10 часов назад
niko na wewe mwanangu🙌🏾
@SalumMzee-cw8do
@SalumMzee-cw8do 2 дня назад
Daa Iman imetoweka duniani hii hatari kubwa sana mm nilipo naogopa hii Habar kusikiliza Jinsi inavyo Tisha
@HalfanHemedi-r8z
@HalfanHemedi-r8z День назад
Ni kweli iman
@roseafrael75
@roseafrael75 День назад
Jamani classmate wangu uwiiiiiiii umekufa kifo cha maumivu makali sana,,, hao waliofanya hicho kitendo na wao wafanyiwe hivyohivyo 😢😢😢
@HappyPallangyo-vt7xx
@HappyPallangyo-vt7xx 13 часов назад
Mwaka gani jmn?
@HappyPallangyo-vt7xx
@HappyPallangyo-vt7xx 13 часов назад
Yaan mlimaliza shule mwaka gani
@neemareuben311
@neemareuben311 5 часов назад
😢😢😢😢😢😢uwiiiiii nimeumiaaa aiseeee
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u День назад
Pole Sana mama. Kuna makabila mengine huwezi hata kuwapa nchi waiongoze watawaua wananchi kwa siku moja
@AngelJuma-q2n
@AngelJuma-q2n 10 часов назад
Apumzike kwa amaniii kaka angu tulikupenda sana iila pole mama a ng u😭😭😭😭😭😭😭😭
@christermlewa8471
@christermlewa8471 12 часов назад
😭😭😭Mungu naomba ututetee hali imekuwa mbaya sana wanadamu tumekuwa wakatili sana
@jerome3143
@jerome3143 День назад
poleni sana ndugu sasa walikuwa vijana wangapi
@mwanamwendy9265
@mwanamwendy9265 2 дня назад
Eeeeee Mungu weee upo wapi jamaniii, njoo Mungu wangu tupunguzie haya daaah 😭😭😭
@w4058
@w4058 День назад
Ndio maana kuna majanga na kupewa Viongozi waovu pia Subhanallah
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 День назад
Ila arusha nyie sio wa Tanzania mnaroho mbaya Mungu anawaona
@SilasJacob-z6v
@SilasJacob-z6v День назад
Daah hatariiiii watuhumiwa nao wafanyiwe ivohivo
@Pixxmoleli
@Pixxmoleli 2 дня назад
Mungu husika
@JennyPallangyo
@JennyPallangyo День назад
Daah jamani...siamini mungu asimame maana siyo akili za watu kbsa
@LoveMwakihaba
@LoveMwakihaba 2 дня назад
Jamaniii mbona tunaumizana ivyo😭😭😭😭😭😭😭 uwiiii
@estonhaule9253
@estonhaule9253 День назад
I feel that pain oooh God im sorry for that
@GoodnessTarimo
@GoodnessTarimo День назад
Dhaaaa??? Mungu ampe nguvuu mamaa
@ElinahStephano
@ElinahStephano День назад
Duh 😢😢 poleni Familia
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts День назад
Pole sana mama.
@EstherJerald-tc6ct
@EstherJerald-tc6ct День назад
Uwiiiiii Nimeumia kama na mwoona huyo kijana Poleni sana jamani rip kijana
@supermoodworld
@supermoodworld День назад
Mzazi pole san 😭😭😭
@ruthdavie1175
@ruthdavie1175 День назад
Duh kafa kifo cha maumivu sana jmn😭😭😭
@SwahiliSister-o5v
@SwahiliSister-o5v 2 дня назад
Subhana llah yarabb atustiri 🤲
@TullyMwakibete-xt5xm
@TullyMwakibete-xt5xm 21 час назад
Dunia imeisha hii ,ee Mungu tuhurumie
@ZainaRashid-t3m
@ZainaRashid-t3m День назад
Poleni familia ila mungu anawaona waiuaji wote
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg День назад
Elf kum n tano kwel au wanavisa jaman mbon binadam kawa mnyama
@reginaedward4883
@reginaedward4883 День назад
Hii Arusha ni hawa wanyongwe iwe fundisho kwa wengine,
@faridsalehmohamed1230
@faridsalehmohamed1230 День назад
Arusha kuna nini kila siku ni mauwaji
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 День назад
Du is too painful mtoto wa mzazi mwenzako umfanyie ukatili kama huo, na hapo unakuta watu wanakamatwa harafu unaambiwa upelelezi unaendelea.
@breymbasa3451
@breymbasa3451 10 часов назад
marehem pia alikosea sana suara la kumficha mzazi wako wakati umeumizwa ninini sasa😢 Nini cha aibu unaficha kwanini asingeenda hospital dailyct Ni makosa sana R.I.P kijana na Hao walomponda mwenzao Tafuteni mabandit Wapite na vichwa vyao Tu over
@CashMoney-zf4qr
@CashMoney-zf4qr День назад
Kisa elfu 15 tu utafkiri Sheria hazipo aah hapa Dunia iko ukingoni Mwenyezi Mungu tupe mwisho mwema sisi wanao na utusamee dhambi pale tulipokosea😢😢😢😢
@SwahiliSister-o5v
@SwahiliSister-o5v 2 дня назад
Matatizo mengi sana mtihani huu yarabb 🤲🤲
@yohananyamaruri9105
@yohananyamaruri9105 День назад
Dunia hii usiamini mtu kabisa kisa ni Rafiki yako😢😢😢😢😢
@monicamassawe3435
@monicamassawe3435 День назад
Ee mungu simamaa kwa hilii
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b День назад
😢😢😢 Aiiii mungu na hii inchi bado ina serikali kweli?
@GraceLucas-t7l
@GraceLucas-t7l День назад
😢😢mmh! Jamani
@OmaryLupange-yd3cw
@OmaryLupange-yd3cw День назад
Jamn nimeliaa 😭 kwann jaman hvii, 😭😭
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 День назад
😭😭😭😭😭Jamani
@HafsaShekigenda
@HafsaShekigenda День назад
Eee mungu tunusuru waja wako
@modestamodesta3940
@modestamodesta3940 2 дня назад
Jmn 15000 unatoa uhai wa mtu ee mungu baba tuhurumie😭😭😭😭😭uwiiii daah
@monicachacha455
@monicachacha455 13 часов назад
arusha arusha jamani
@hidayamarawi3764
@hidayamarawi3764 День назад
😭😭😭pumzika kwa amani israa
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs День назад
Pore sana mama mm imeniuma sana binadam atuna uruma jamn
@lidiamageta9958
@lidiamageta9958 20 часов назад
Najiuliza kwann Arusha imekua na visa vingi vya unyanyasi na mauaji kila kukicha! Mungu tusaidie waja wako
@theopisterngimai3986
@theopisterngimai3986 День назад
Duh Mungu wangu
@RoseKimishabhalemi
@RoseKimishabhalemi День назад
Watu wa arusha namoshi mnapenda pesa mno
@MonicaMsoka
@MonicaMsoka День назад
Arusha arusha arusha😭😭
@joshuanassary8774
@joshuanassary8774 16 часов назад
So sad
@navokisembo
@navokisembo День назад
Uchungu wa hali ya juu jamani what a death? Poleni saana wafiwa. Sasa serikali ya huyo makonda inaamuaje? Sad country
@loitengia4217
@loitengia4217 День назад
Unyama huu jamani😢
@endeshyamat6773
@endeshyamat6773 2 дня назад
Mungu wangu😢😢😢
@HawaJohn-h9g
@HawaJohn-h9g День назад
Mh jaman ni uchungu sana
@JOSEPHMwakibinga
@JOSEPHMwakibinga День назад
Kweli tuko pamwosho. Watu wanapotea wanasema ni kawaida
@PendoMatemba
@PendoMatemba День назад
Mama pole sana, Ila someni albadiri
@Lily-rn6xc
@Lily-rn6xc 2 дня назад
Eee Mungu 😢😢
@philipodamian7741
@philipodamian7741 День назад
Mnajiita chuganistan watu wana roho mbaya😢😢
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz День назад
Ye alificha,kachelewesha, matbab,kisa elf 15 imeondoa uhai+pombe,
@FekiHappy
@FekiHappy День назад
Mnashitako nini jmn mda.mwingine ni kulipiza tu kwa hao mbwaaa nao hvyohivyo walivyomfanyia kijana
@NeemaJohn-x6w
@NeemaJohn-x6w День назад
Siamin kam broo ameondk kimchezo
@amoonatnzani9834
@amoonatnzani9834 День назад
Yani mtihani kwa kweli watu tumekua kama wanyama hata huruma hatuna daah
@marundakisaka2637
@marundakisaka2637 День назад
Huu ni ukatili mbaya sana na kilichofanyika hapo ni kitendo ambacho hakitakiwi kufumbiwa macho. Naomba kusema tu kwamba Mila za kimeru ndizo zilisababisha huyu Kijana akashindwa kumwezeka Mama yake hayo yote yaliyotokea kwani kwa kijana na umri huo inakuwa aibu kutaja baadhi ya viungo vya mwili wake kwa Mama. Huyu kijana na Binamu yangu na ukweli amekufa kifo cha mateso mnoo, Natoa pongezi kwa jeshi la Polisi kwa kazi nzuri waliyofanya na umahiri wao hadi kukamilika kukamatwa kwa wahusika. Naamini sheria itachukua mkondo wake.
@ireneshao7950
@ireneshao7950 2 дня назад
Haya mambo hata gerezani naona kumejaa Sasa hiv mbona watu wakatili hivi mbona tuna kosa utu jamani haya maumivu Mungu mpe mama yake faraja😢
@mwaget0815
@mwaget0815 День назад
Ila jamani adhabu ya kifo ingekuwa ikitolewa kwa wajinga kama hawa haya mambo yote yasingetokea.
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw День назад
Inalilah wainalilah rajuuni
@faridsalehmohamed1230
@faridsalehmohamed1230 День назад
Hii dunia watu wamekua na roho mbaya sana
@gladnessterry8430
@gladnessterry8430 День назад
Wanyongwa kabisa
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 День назад
Wachaga wengi Bangi na Pombe ndio shida😊
@oliviahill7891
@oliviahill7891 День назад
😢😢
@LovenessDaud
@LovenessDaud 2 дня назад
Mwili umenisisimka jamani 😢😢
@FatumaSaid-t4r
@FatumaSaid-t4r День назад
NAOGOPA NAOGOPA.DUNIA SIO SALAMA TENA
@ASALABOY
@ASALABOY День назад
GADI tv ukweli n uwakika
@NajmaramadhaniAlly-is6mf
@NajmaramadhaniAlly-is6mf День назад
Arusha mna roho mbaya sana nyie sijui sio watanzania kha
@faridsalehmohamed1230
@faridsalehmohamed1230 День назад
Zamani tulizoea wakurya Leo Arusha kila siku
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 День назад
​@@faridsalehmohamed1230huo ni uongo kwani ukatili dhidi ya watoto na watu kuaawa ni arusha peke yake ? Mungu ilinde arusha dhidi ya vinywa vya watu
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 День назад
Uuwii! Jamani mbona wanadamu wamekua wabaya hivyo?
@lilianmartin5075
@lilianmartin5075 2 дня назад
😢uwiii
@AnnaUrio-x1b
@AnnaUrio-x1b День назад
Arusha kuna nini mbona watu wana roho ngumu hv jmn kila siku mambo yakutisha kuua kujeruh😭😭😭
@stellakyando9674
@stellakyando9674 День назад
Ila Arusha elf 15 ya kuua mtu kwel? Mungu atusaidie sanaaa😢😢😢
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 День назад
😢
@evachuwa3809
@evachuwa3809 2 дня назад
Duh 😢
@GabrielNnko-v1z
@GabrielNnko-v1z 20 часов назад
Mm naomba serikali iwatafute awo watu waliofanya ukatili Kama uo aiwezekani risi popote alipo alitolee macho jambo ili Kama ilakweli awasaidie walio kutwa na jambo ilo linaumiza
@maswamills3161
@maswamills3161 День назад
Uuuuwuiiiiiiii!!!!.
@christaoman8890
@christaoman8890 День назад
Mungu wangu mbona ni unyama mkubwa huu jamani ukatili gani huo watu wamegeuka wanyama na hata shetani mwenyewe anashangaa 😢
@elizabethrichard7694
@elizabethrichard7694 День назад
Nachoka naizi habari zakuumiza mioyo yetu Yesu rudi ata leo
@veronicakayungi
@veronicakayungi День назад
Mungu akutie nguvu mamaangu,duh
@ashuumuhammad8269
@ashuumuhammad8269 День назад
😢😢😢😢😢😢
@KeiFerouz-fn9oc
@KeiFerouz-fn9oc День назад
Hy ndiyo kaskazini uwape nchi hawa duh
Далее
KIMENUKA!! USALITI NDOA YA PROPHET IPM/NITAUA MTU
39:57
Mkasi - S02E01 with Dida Wa G
26:13
Просмотров 364 тыс.
TUNDU LISSU AFUNGUKA MAZITO AKIFANYA MAHOJIANO NA DW
9:09