Dora. Piga moyo konde mungu alio kuumba ndio anajua hatima yako kila kitu kina sababu hao wanao kunyanyapaa bado hawakumbuki ni binadam wana uzao ya matumbo hawajui watapewa viumbe gani mshukuru mungu kwa alicho kujariaaa nakupenda san mama unalilia mapenzi wakati hujui vitendo vyako mwanaume nukia hahabaaaaaaaah
dora nakupenda san mdg wangu ila hiyo stail yako ya nywele my dear badilisha hazikupendezi kbs unapendeza san ukisuka, haijalishi ni rasta au ni nn au ukibana nywele, yaan unapendeza san mpendwa lkn hizo km mvi wala fani jmn ni hilo tu nakupenda san