Тёмный

Kurasini SDA Choir - VITA VYA IMANI (Official Music Video 2023) 

Kurasini SDA Choir
Подписаться 72 тыс.
Просмотров 204 тыс.
50% 1

VITA VYA IMANI (Official Music Video) By Kurasini SDA Church Choir
Written and composed by: SAMSON KIBASO
Video Release: 10th March 2023. Shot in Dar es Salaam TZ
Audio in Album 44 (Vita vya Imani)
--------------------------------------------------------------
Tunapambana vita vya imani kwenye dunia hii, kila siku ni mapambano. Pamoja na yote haya tunapaswa kuwa jasiri na tusiikane imani.
Bwana utushike mkono tumalize mwendo kisha utuvike taji ya ushindi, na katika makao yako nasi tuwepo.

Видеоклипы

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 243   
@ibrahimmwita2213
@ibrahimmwita2213 Месяц назад
Tuzidi kuwa ombea Hawa watoto wa Mungu kwani Wanafanya kazi Kubwa iliyotukuka. Mbarikiwe watoto wa Baba.
@josephmangala6621
@josephmangala6621 Год назад
Hakika safari ya imani inahitaji kupambana kusikokoma tukimtegemea shujaa wa msalaba. Mungu awabariki sana kurasini na Dada yangu Risper alienipatia link hii nimejengwa kwa ujumbe huu wa maana kwangu.
@gregorymsongole142
@gregorymsongole142 Год назад
Hata mimi nataka pia kuwa shujaa wa imani. Hakika nabarikiwa saana na jumbe zenu ktk nyimbo zenu. Hakika malaika ndiyo watunzi wa hizi nyimbo. 1.Eloi. nasasa ni 2. Shujaa wa imani. Tuko pamoja mpaka mbinguni. Naingoja kwa hamu kubwa na niombi langu kwenu kuisiki " kilio cha Mungu "
@eunicepaul3157
@eunicepaul3157 Год назад
Kaka peter,da bite jamani,kaka Freddy jmn Mungu awainue juuu nawamiss mwenzenu
@jane1162
@jane1162 Год назад
Kunapambazuka tuwe jasiri, mbarikiwe sana Kurasini
@empressblack777
@empressblack777 Год назад
I love you my brothers and sisters the language I don’t understand but I love your music dearly been listening and watching for 13 years now ❤
@cathymsuku9742
@cathymsuku9742 Год назад
Am from malawi Blantyre l don't know the language but l like this choir ,this song is nice and that song which says ataonesha njiya kati kati ya Giza Nene every day when am praising ND worshiping l use songs of kurasini sda choir
@madarazosonny
@madarazosonny Год назад
Ameeeeeeeeen, barikiweni Sana
@faithtelevision202
@faithtelevision202 Год назад
Mbarikiwe watoto wa Mfalme, pigeni kazi ya Baba, hakuna kutikisika.
@pendonzota
@pendonzota Год назад
Amina ,nataka nikawe jasiri ❤
@reginanyainda1406
@reginanyainda1406 7 месяцев назад
Amen
@greygoryhenry1969
@greygoryhenry1969 3 месяца назад
Mbarikiwe sanaa sister Ritha na kusoma nakusoma sauti ya kwanza hapo umenogesha sanaa baraka za Mungu ziwe nanyi
@user-wl7dl7ik2j
@user-wl7dl7ik2j Год назад
Nataka nikae Jaziri nisiikana imani
@roydadeus-cn3wj
@roydadeus-cn3wj Год назад
Hongereni san wana kurasini mko vizuri san Mungu awabarki san mfike mbali
@uriahlyala-ti1pg
@uriahlyala-ti1pg Год назад
Ingawa niko Tunduma mm members of kurasini SDA choir
@greygoryhenry1969
@greygoryhenry1969 3 месяца назад
Aisee mmenikumbusha kurasini 1998 namuona marehemu kibaso mbarikiwe sanaa hii tune yenu kwenye hii Ngoma ni 1998 safii sanaa
@georgegabriel9180
@georgegabriel9180 Год назад
Safi sana kurasini kwaya,Bwana aendelee kuwapa ujasiri. Ninyi ni kioo cha uimbaji hapa Tanzania. " Tukutane mwisho wa safari."
@kurasinisdachoir
@kurasinisdachoir Год назад
Amen
@dreamsuccess7187
@dreamsuccess7187 Год назад
Uzuri wenu hamjawahi kukoseaga na halafu kila wimbo mkitoa huwa ni mzuri sana, na huwa mnajua kuyaboresha mazingira yenu yaani hakuna wa kubishaaa. Kizuri zaidi ni kujiamini tu.
@lisajohn236
@lisajohn236 Год назад
Barikiwa
@josejbilshani
@josejbilshani Год назад
Ameeeeeen
@gloriousn6425
@gloriousn6425 Год назад
Hampoi, Ni mwendo wa kushusha makombora back to back👌🏽🙌🏾😍😋🤗🤗🤗🤗🤗 Yesu yu karibu, Karibu jogoo litawika 🙏🏿🙏🏿na kunapambazuka twendezetu nyumbani
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 10 месяцев назад
Amina amina amina
@junejao8047
@junejao8047 Год назад
Yesu na atusaidie tuwe majasiri, tusiikane imani mwisho wa safari.
@mgovanomp9435
@mgovanomp9435 11 месяцев назад
Mnatubariki sana kurasini
@lydiahkerubo4985
@lydiahkerubo4985 6 месяцев назад
Amen 🙏🙏🙏🙏🙌🙌
@felixsabisa9248
@felixsabisa9248 Год назад
amen
@jameschriford4029
@jameschriford4029 Год назад
Toka nikiwa mtoto mdogo hata leo kurasini aijawahi acha kunibariki kila nyimbo imekuwa mbaraka mkubwa kwangu Mungu azidi kuwatumia kama vile apendavyo nyimbo nimeisikiliza ndan ya dakika nne tok iachiwe imenibariki kabla hta sijailewa vzr God bless u all
@kurasinisdachoir
@kurasinisdachoir Год назад
Endelea kubarikiwa!
@lisajohn236
@lisajohn236 Год назад
Amina
@yusuphmakala5926
@yusuphmakala5926 Год назад
Amen sisi vijana keko tunaendelea kujifunza kutoka kwenu Mungu awatunze
@lisajohn236
@lisajohn236 Год назад
Amen. Mungu awabariki na kuwainua
@junejao8047
@junejao8047 Год назад
Asante, Mungu atubariki.
@adv.benedictpius
@adv.benedictpius Год назад
Tunawapenda sana vijana Keko Mungu awatunze
@annenyabuto6781
@annenyabuto6781 Год назад
Wueeh wamefanya ile kitu
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 Год назад
Asanteni Sana!,huyo Jamaa wa bass mwenye madevu amekusanya point nyingi Sana!,ameimba kwa hisia!
@mohamedwilson6671
@mohamedwilson6671 Год назад
Watumishi 🔥
@nyaburumapius1988
@nyaburumapius1988 Год назад
I love the song, ts so nice ooohhh God
@lucasgimonal2702
@lucasgimonal2702 Год назад
Eeh Yesu nishike mkono nimalize mwendo salama, nikiilinda Imani bila kuikana
@jacksongetangita9061
@jacksongetangita9061 Год назад
amen Kurasini
@user-rd5hq8cw7t
@user-rd5hq8cw7t Год назад
Mbarikiwe sana kurasin.
@ruthyjohns
@ruthyjohns Год назад
Aminaa❤
@hildaaboki8552
@hildaaboki8552 Год назад
Amina,baraka tele tele
@mercylinekerubo6425
@mercylinekerubo6425 Год назад
Amen 🙏
@loycemuhere8441
@loycemuhere8441 Год назад
Amina mbarikiwe Sana .,🙏🙏🙏
@sospeterojowaoloo
@sospeterojowaoloo Год назад
Napenda hizo sare.
@euniceokoth3677
@euniceokoth3677 Год назад
Amen and amen. Wimbo wa kufana sana. Mtungo bora, mdundo taratibu na ujumbe ulio na uzito. Mbarikiwe sana waimbaji choir ya Kurasini na waKristo wote. Tuwe jasiri kwa vita vya imani. Tupambane hadi mwisho wa safari.
@thompsonkumwenda7595
@thompsonkumwenda7595 Год назад
Amina muende mbali
@user-wl7dl7ik2j
@user-wl7dl7ik2j Год назад
Happy Sabbath from 7777777
@joshuamasunga2944
@joshuamasunga2944 Год назад
Amina
@Msmwasi
@Msmwasi Год назад
Mbarikiwe
@evansotienoouma1087
@evansotienoouma1087 Год назад
Tumetazama Ramani sasa
@washykhasera8374
@washykhasera8374 Год назад
Amina!
@joiceaoko8623
@joiceaoko8623 Год назад
Jasiri all the way kurasini I wiss if kibaso was still a live great job
@janetmbaheze4450
@janetmbaheze4450 Год назад
Well done , mmetoka mbali keep your faith. God bless you. From Kisii
@thebereangospelministers
@thebereangospelministers Год назад
Amina, mbarikiwe sana
@deborahkemuntomogaka7961
@deborahkemuntomogaka7961 Год назад
I want to be a brave warrior to carry cross.....God bless you
@Kemmy28
@Kemmy28 Год назад
Shujaa wakubeba msalaba. Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 Kurasini choir tunawapenda.
@kurasinisdachoir
@kurasinisdachoir Год назад
Ahsante, ubarikiwe
@danypetrosimeo8194
@danypetrosimeo8194 Год назад
Mko vzr
@herikuyenga4944
@herikuyenga4944 Год назад
I like it
@madafaofficial9826
@madafaofficial9826 Год назад
I Miss My Dady my teacher Kibaso na wengine sijawaona wameenda wapi jamani
@elibarikimaganga9571
@elibarikimaganga9571 Год назад
Naona baada ya Kibaso kufariki nao wametoka pengine walifikiri kwaya ingetetereka
@patrickomondi9155
@patrickomondi9155 Год назад
Amen Good redition
@MaryanSalim-xt2cp
@MaryanSalim-xt2cp Год назад
…. Nishike mkono nisiukane Imani - karibu jogoo litawika
@phinaphina3201
@phinaphina3201 Год назад
Barikiwa sana waimbaji.
@samuelmuhindosivamwanza4988
Amina Amina Amina
@maotolalumbe2411
@maotolalumbe2411 Год назад
Ameeeni ameeeni ndugu zangu
@lisajohn236
@lisajohn236 Год назад
Pastor endelea kutuombea
@davidmajor6493
@davidmajor6493 Год назад
Wow. I'm humbled with the song. Mungu aendelee kutupa ujasiri katika vita hivi vya Imani. Tubarikiwe sote tunapoendelea kuinua Yesu kupitia nyimbo hizi.
@amosdaniel1327
@amosdaniel1327 Год назад
*AMINA' AMINA"'"*
@sporakibaso5687
@sporakibaso5687 Год назад
Kurasini ,tunawaombea kuwa wajasri kweli kweli na ushujaa mwingi Mungu hapendi waoga,Joshua anaambiwa," Uwe jasiri na ushujaa mwingi maana ni wewe ndiye utakaye warithisha waisraeli nchi ya Kanani'' Hivyo nawatia moyo kusonga mbele KWA ujasiri mwingi na ushujaa maana Mungu hataki kabisa Waoga .by z.kibaso
@rehemamiriam588
@rehemamiriam588 Год назад
Aminaaa
@luckysichone6705
@luckysichone6705 Год назад
Very well krasini
@gideonkasozi7632
@gideonkasozi7632 Год назад
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen!
@lisajohn236
@lisajohn236 Год назад
Be blessed Mwalimu 🙏
@marksonasial2077
@marksonasial2077 4 месяца назад
​@@lisajohn2361:40
@joshuamasunga2944
@joshuamasunga2944 Год назад
Good
@antonymachogu3051
@antonymachogu3051 Год назад
Neema ya mwokozi wetu Yesu kristo iwatoshe milele
@kevinkaymoma5171
@kevinkaymoma5171 Год назад
Sooo Sweet
@lameckmogaka1640
@lameckmogaka1640 6 месяцев назад
❤❤❤❤
@joshuamasunga2944
@joshuamasunga2944 Год назад
waooooo
@meshackaggrey7248
@meshackaggrey7248 Год назад
Mubarikiwe kwel Mungu ana watu
@amos1234ful
@amos1234ful Год назад
Nimebarikiwa na wimbo
@boniphacenagagwa8436
@boniphacenagagwa8436 Год назад
Vita vya imani Mungu mwenyewe atusaidie ….Barikiweni sana
@samwelmwilongo
@samwelmwilongo Год назад
Kwakweli kurasini mtaniua na furaha Kwaya yangu mpaka hapo mmerudi livingine
@josephnjenga8946
@josephnjenga8946 Год назад
Amen amen
@dicksonmtalaze114
@dicksonmtalaze114 Год назад
Asante
@lawrencewanjuki2242
@lawrencewanjuki2242 Год назад
Mbarikiwe sana for this .... Nilikua na audio nimeona video sasa
@megejames21
@megejames21 Год назад
naomba nisiikane imani jogoo karibu inawika. Mubarikiwe
@annasadiki-kf6st
@annasadiki-kf6st Год назад
Kila sku nimapambano Yesu njoo karibu unishike mkono
@charlesmmbaga5284
@charlesmmbaga5284 Год назад
Barikiwa sana kurasini choir , Shujaa wa kubeba msalaba , wimbo una ujumbe mzuri sana
@jamesmgonda
@jamesmgonda Год назад
Aiseee Mungu kanileteaa ujumbe huu
@danielmkwizu8131
@danielmkwizu8131 Год назад
Wimbo mzuri sana. Unanipa ujasiri. YESU kuwa nami
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Год назад
Yesu atukuzwe maradufu! Mungu awe pamoja nanyi
@stanleychikwanda4733
@stanleychikwanda4733 Год назад
Nice songs
@abbykomba8277
@abbykomba8277 11 месяцев назад
Tunasubr LIVE streaming ya Sabato jion au hamletii
@lizzybethmayengoh
@lizzybethmayengoh Год назад
Nice song. I'm blessed with a song
@djhudd5574
@djhudd5574 Год назад
Great message...
@levinomari5716
@levinomari5716 Год назад
Was eagerly waiting for your next song l really love your songs it encourages me motivate and keeps me moving be Blessed.
@collinsotieno2643
@collinsotieno2643 Год назад
Nataka nikae jasiri... powerful song Waimbaji wamejituma vizuri,ujumbe umepitishwa kwa ustaarabu.Vyema sana
@kurasinisdachoir
@kurasinisdachoir Год назад
Amen
@leahemmanuel9029
@leahemmanuel9029 Год назад
🙏
@oumavictor3254
@oumavictor3254 Год назад
Finally the long awaited video is out.
@yokereward7877
@yokereward7877 Год назад
Ameen, ujumbe mzuri,
@danielpius4009
@danielpius4009 Год назад
Mungu awape nguvu mzidi kusonga mbele
@mwaisejeimtv5113
@mwaisejeimtv5113 Год назад
Barikiweni sana kurasini
@evansoluoch6060
@evansoluoch6060 Год назад
Good one,mbarikiwe
@titusmuyekho1438
@titusmuyekho1438 Год назад
Good luck kurasini
@olivermlebele3894
@olivermlebele3894 Год назад
Amina 🙏
@naomimwakalonge3995
@naomimwakalonge3995 Год назад
Hongereni sana wapendwa mnamuinua sana Yesu
@user-wl7dl7ik2j
@user-wl7dl7ik2j Год назад
Napambana na Imani Happy Sabbath from Kenya 7777777
@gracekilingo6502
@gracekilingo6502 Год назад
Amina Mungu aendelee kuwaimarisha
@stephenmaki340
@stephenmaki340 Год назад
Safi sana. Yesu unishike mkono. Karibu jogoo litawika, kunapambazuka, nisiikane îmani mwisho wa safari. Mbarikiwe sana ndugu zangu
@festusongaga9560
@festusongaga9560 Год назад
Maintaining standards and being consistent. Good job kurasini. God bless you.
@eunicepaul3157
@eunicepaul3157 Год назад
Shujaa wa kubeba msalaba tuko hapa...Injili daima
@kurasinisdachoir
@kurasinisdachoir Год назад
Amen...
@eunicepaul3157
@eunicepaul3157 Год назад
Kibibi nabarikiwa japo umbali huu kiroho tuko pamoja my family
@jacintaawino1464
@jacintaawino1464 Год назад
Hakika Mungu awabariki katika hii safari🙏
Далее
Kurasini SDA Choir - ELOI  (Official Music Video 2023)
5:54
Kurasini SDA Choir - Haja ya Moyo
5:27
Просмотров 4 млн
Kurasini SDA Choir - Kando ya Bahari
4:55
Просмотров 407 тыс.
AHADI ZAKE -OFFICIAL VIDEO -ILALA SDA YOUTH CHOIR 2024
4:04
Kurasini SDA church choir Mix 2022
39:42
Просмотров 23 тыс.
KURASINI SDA CHOIR | BEST MIX SONGS
48:43
Просмотров 13 тыс.
Swahili SDA Songs, Video Mix
1:19:38
Просмотров 3,7 млн
Kurasini SDA Choir - SAUTI YANGU
5:30
Просмотров 182 тыс.
Aarne, BUSHIDO ZHO - SOS (Official video 2024)
2:07
Просмотров 194 тыс.
Stray Kids "JJAM" M/V
3:20
Просмотров 9 млн
Sevinch Ismoilova - Xayollarim (Konsert version)
3:38
Просмотров 278 тыс.