Тёмный

Kurasini SDA Choir - MAKUU YOTE YA ULIMWENGU (Official Music Video 2023) 

Kurasini SDA Choir
Подписаться 74 тыс.
Просмотров 166 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 190   
@eximamtv926
@eximamtv926 Год назад
Jina la Bwana Yesu aliye hai lizidi kuinuliwa siku zote kupitia kwenye Sauti hizi za watoto wake. Bwana awabariki siku zote katika jina kuu la mwokozi wetu Yesu
@eunicepaul3157
@eunicepaul3157 Год назад
Ameeen
@bluetick_officialkenya
@bluetick_officialkenya Год назад
There's nothing else that feels nice like waking up to a notification of a new upload from the one and only Kurasini SDA choir❤❤❤❤❤❤💯
@sporakibaso5687
@sporakibaso5687 Год назад
Kurasini Mko vizuri wimbo umeamsha nia yangu upya kuwasha taa yangu nisiwe kwenye kundi la wanawali watano wapumbavu bali kwenye kundi la werevu.Kurasini nawapenda.Mungu awapigani siku zote za maisha yenu .Endeleeni mbele kujihusisha Yesu anakuja upesi kea hakika asiwepo Kati yenu anayetatizwa na jambo lolote mwambie Yesu,yuko nawe kama kivuli chalo. Samahani wapendwa ,Nawapenda zaidi,nionapo soloist wapya pia.
@NyashaMatanga
@NyashaMatanga 21 день назад
Great harmony.Thank you Group may God bless you ❤
@isayambetwa6564
@isayambetwa6564 Год назад
BWANA AWABARIKI KURASINI MMEKUJA KITOFAUTI NA HUU WIMBO,MMEONESHA UKOMAVU WENU.
@junejao8047
@junejao8047 Год назад
Atukuzwe Baba yetu juu mbinguni.
@sophiamlenga1513
@sophiamlenga1513 Год назад
Nimebarikiwa Sana na wimbo huu. MUNGU awabariki Sana awainue katika viwango vya juu siku zote.
@selinamuyenjwa5601
@selinamuyenjwa5601 Год назад
Mbarikiwe sna Wana Kurasini kwaya..wangwe MUNGU azidi kukuinua ktk viwango vya juuu kabisaaaaa umetendea Haki wimboi🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@joanemtwale6533
@joanemtwale6533 Год назад
Amina.
@johnmataro6132
@johnmataro6132 Год назад
Kabisaa endelea kumuombea Kolera
@selinamuyenjwa5601
@selinamuyenjwa5601 Год назад
​@@johnmataro6132 Amina colela
@ayukeokal5363
@ayukeokal5363 Год назад
Jamani nimebarikiwa Sana na huuu wimbo WAPENDWA kweli makuu Yote ni jui ya Mungu muumbaji
@LucyHaule-c5x
@LucyHaule-c5x Год назад
Mnaimba vizuri Sana Mbarikiwe Sana naipenda kwaya hii nabarikiwa nayo sana
@godonnguru9862
@godonnguru9862 Год назад
Mungu wetu tukiwa naye tuna dhamana, tuna bima ya maisha, tuna akiba ya vyote, nikutembea kifuambele chini ya neema yake
@NyashaMatanga
@NyashaMatanga 21 день назад
Powerful message
@sergesadi5412
@sergesadi5412 3 месяца назад
Watu wa Milki ya Mungu Barikiweni sana!
@gregorymsongole142
@gregorymsongole142 Год назад
"Wale wanawali 10 ni mfano wetu, kati yao wachache hawakujali " Nimeu repeat huu wimbo tangu nimeupakua , umenifanya baki kuusikiliza wenyewe kila ninapopata nafasi. Mungu atukuzwe duniani na mbinguni
@nsibwenekaswaga6267
@nsibwenekaswaga6267 Год назад
It's Kurasini SDA church choir again!!! I never regret to have subscribed to the channel. Such a blessing to Tanzania Adventist church
@eliamndeme4016
@eliamndeme4016 3 месяца назад
Be blessed Mwl. Nguru
@NyashaMatanga
@NyashaMatanga 3 месяца назад
Aaaaaaaamen
@FrancisOntomwa
@FrancisOntomwa Год назад
Fantastically done! Melodious soloist and as aways bless you Gibson Nguru!!
@magangibernard8771
@magangibernard8771 Год назад
My favourite choir
@wisleynaafyabora
@wisleynaafyabora Год назад
MUNGU AKUBARIKI SANA! KAZI yenu IMETUKUKA!!
@GomelliaNgoie
@GomelliaNgoie 3 месяца назад
Mubarikiwenabwanakabisaa
@atxfast5538
@atxfast5538 Год назад
Amen napenda Sana kwaya kurasini muinuliwe Sana na Mungu
@uriahlyala-ti1pg
@uriahlyala-ti1pg Год назад
Kazi ya Bwana haiwezi kuanguka kamwe
@georgenyangi3685
@georgenyangi3685 Год назад
Wasafiri tuziwashe taa zetu tusilale tujihusishe Yesu yuaja tuepuke Mambo ya Giza Ili Nuru njema iangaze kwetu
@arnoldpastory2998
@arnoldpastory2998 Год назад
It’s amongst of the recent Songs which I normal Love it🔥🔥🔥
@annasadiki-kf6st
@annasadiki-kf6st Год назад
Asante Mungu Kwa ujumbe huu .tufanye kuwa watu wa mfano tunapokusubiri kurudi kwako hivi krb.
@sylivesterdeus
@sylivesterdeus Год назад
Amiana barikiwa sana watu wa MUNGU
@antonymachogu3051
@antonymachogu3051 Год назад
Whoever who thought different maybe forgot you remain to be my best choir ever , the song that touches my inner heart makes my eyes cry Amina Amina.
@samuelmuhindosivamwanza4988
Bwana Yesu Asifiwe sana. Mungu na Aendelee kuwabariki sana. Nawafuata nikiwa GOMA-DRC 🇨🇩
@jumacostantine8003
@jumacostantine8003 Год назад
Mbarikiwe na Bwana nawapata vyema kutoka katavi mpanda
@HavilaMganga
@HavilaMganga Год назад
Mungu awadumu kuwatumia❤❤❤
@ibrahimmwita2213
@ibrahimmwita2213 3 месяца назад
Wimbo huu kila ninapousikiliza Nina barikiwa sana. Mungu awatie nguvu.
@joanemtwale6533
@joanemtwale6533 Год назад
Yani sichoki kuwasikiliza mbarikiwe sana.
@emmymjema8400
@emmymjema8400 Год назад
Ujumbe unaogusa moyo. Mbarikiwe sana
@douglasmarube3201
@douglasmarube3201 Год назад
Blessings from me and my family from Kisii Kenya, we Love your songs,,, Let the Name of the Almighty God be Praised through your singing
@learninginactiontv
@learninginactiontv Год назад
I feel joy with your songs from Kenya you are the best choir that still sing music and heavy messages.
@akaniwa04tv35
@akaniwa04tv35 Год назад
Safii
@breaking13327
@breaking13327 Год назад
@ElishaExavery
@ElishaExavery Год назад
Mbarikiwe san kurasini sda
@joltermbwambo-jj9mm
@joltermbwambo-jj9mm Год назад
Kurasini mpo juu Mungu awababariki Sana
@kiangianthony5112
@kiangianthony5112 Год назад
Aaaah itoshe kusema The Light Bearers mmetisha sana
@chachanashon9540
@chachanashon9540 Год назад
Amina mbarikiwe wana Kurasini
@havieralphonce7620
@havieralphonce7620 Год назад
Amen
@tiadsmtucasachoir9044
@tiadsmtucasachoir9044 Год назад
Good song our family
@alvinangode6748
@alvinangode6748 Год назад
Amina. Nabarikiwa nikiwa taifa la Kenya
@collinsotieno2643
@collinsotieno2643 Год назад
Powerful singing Soloist ameufanyia wimbo haki
@sweetestgospelmelodies5723
@sweetestgospelmelodies5723 Год назад
AMEN 💥💥💥💥💥
@MAGAFUSILISI
@MAGAFUSILISI Год назад
Bwana atukuzwe sana wapendwa
@kimilasayi2626
@kimilasayi2626 9 месяцев назад
Mungu awabariki sana wapendwa
@asamtulli4598
@asamtulli4598 Год назад
Aminaa japo mlitaka kuyumba ila mko vzl
@felixsabisa9248
@felixsabisa9248 Год назад
amen
@gordonrakiro3053
@gordonrakiro3053 Год назад
Amina
@joelmoturi3047
@joelmoturi3047 Год назад
AMEN 🙏🙏🙏
@boniphacenagagwa8436
@boniphacenagagwa8436 Год назад
Mungu azidi kutukuzwa
@DavidChaula
@DavidChaula 8 месяцев назад
Amen🙏🙏
@jssaa4733
@jssaa4733 Год назад
HAPPY SABBATH
@MelinaMpanduji
@MelinaMpanduji 7 месяцев назад
Mbarikiwe waimbaji
@mariehkwamboka6243
@mariehkwamboka6243 Год назад
Amina nice arrangement
@michaelmaina990
@michaelmaina990 Год назад
A good example of God's true form of worship by music.. kurasini has and will be for ever be the best choir.. may God bless you people 🙏 dressing has never been compromised 🫴
@wangwepaul
@wangwepaul Год назад
Jina la BWANA lipewe sifa.
@johnambrose7223
@johnambrose7223 Год назад
Kwaya master wangu baba tells
@ayukeokal5363
@ayukeokal5363 Год назад
Amin Amin Kurasini Sda kwaya Nyimbo zenu Zina ujumbe muhimu Sana Katika maisha
@EsterYohana-wr4vk
@EsterYohana-wr4vk Год назад
Hongereni sana kwa kumtumikia Mungu na Mungu awabariki sanaaaa
@RodaJames
@RodaJames Год назад
Ongereni sana sana Mungu wa mbinguni awabariki siku zote.
@eunicepaul3157
@eunicepaul3157 Год назад
Amen my family,tuwe macho wokovu u karibu ..I love this more❤ happy to see my Sister Matrida Mbunda no matter wat she still prayers her King in Heaven wow
@awinodan4064
@awinodan4064 Год назад
Amiiinaaa,My best chior,my number 1 Chior,i feel blessed,May God continue blessing you Kurasini Choir,you are a blessing to many,we are with you always in prayers,May God lift you high and highas you lift God's name high,go! go!Amen,am happy for you i tell you.
@mercymoraa-i9p
@mercymoraa-i9p Год назад
kurasini blesses me with God's word through wonderful and quality singing. God bless you
@emmanuelnduki6089
@emmanuelnduki6089 Год назад
Im proud of you Kuradini
@AlfayoNyakundi
@AlfayoNyakundi Год назад
The time is near ❤
@siryamawamasungamawa176
@siryamawamasungamawa176 Год назад
Nabarikiwa kwa ujumbe mzuri
@EstherKemba-hr2zr
@EstherKemba-hr2zr Год назад
Kurasin baba wa mbinguni awabarik mko kwenye uhalisia wa mwanadamu na
@SaidiJuma-j3z
@SaidiJuma-j3z 6 месяцев назад
Mubarikiwe
@gwalambafredy4469
@gwalambafredy4469 Год назад
Another Fantastic,meditational and inspirational song.Mungu awabariki sana watumish WA Mungu
@cassianmaira9160
@cassianmaira9160 5 месяцев назад
Mungu awe nanyi watu wa mungu
@mathiasmangwanya4112
@mathiasmangwanya4112 Год назад
Mungu atukuzwe; hongereni sana Kurasini kwa wimbo juu. Nabarikiwa sana.
@theboysfiveboys4261
@theboysfiveboys4261 Год назад
Amen. Very inspiring....... Can't get enough listening again and again may we be like the wise virgins
@charlesibrahim2789
@charlesibrahim2789 Год назад
Mbarikiweeeee
@DorothyMwanyalo-gw9vj
@DorothyMwanyalo-gw9vj 7 месяцев назад
Hongera sauti tamu🙏🙏
@ayukeokal5363
@ayukeokal5363 Год назад
Nice Songs
@keshimartin2946
@keshimartin2946 Год назад
Utukufu Kwa Mungu juu, Haleluya
@aswilemkumbwa4744
@aswilemkumbwa4744 Год назад
Barikiweni Sana Kurasini choir, mnainua mioyo iliyochoka. Joseph Oola Yuko wapi siku hizi simuoni kwenye kwaya yenu.
@RitaRubanza
@RitaRubanza 9 месяцев назад
Mbarikiwe sana
@joltermbwambo-jj9mm
@joltermbwambo-jj9mm Год назад
Nimebarikiwa sanaaa
@LilianNgure-uy6wn
@LilianNgure-uy6wn Год назад
God bless Kurasini
@amondeus7747
@amondeus7747 Год назад
Amina mnajuwaaaaaa
@georgegabriel9180
@georgegabriel9180 10 месяцев назад
Kwaya yangu ya nguvu hii,hongera brohter Nguru kwa solo nzuri sana. Narudia mara kwa mara kuusikiliza ujumbe huu wa siku za mwisho
@villaroxaspormiento1723
@villaroxaspormiento1723 Год назад
Happy Sabbath ❤❤❤
@ellyakoko2986
@ellyakoko2986 Год назад
Another piece here... Makuu yote ya ulimwengu, hayazidi ya Mungu muumbaji. Mwanadamu ni mfano wake akiongozwa na roho mtakatifu. Always blessed
@everlynemogoi2681
@everlynemogoi2681 Год назад
Wimbo mzuri huo.
@emmanuelmhina1983
@emmanuelmhina1983 Год назад
Barikiwen sana
@juliuswilliam5486
@juliuswilliam5486 Год назад
mmetisha sana
@agreymsalilwa7804
@agreymsalilwa7804 Год назад
Kurasini again 😜😝
@jonathaneliabu2298
@jonathaneliabu2298 Год назад
Utunzi bora
@oolamedia7256
@oolamedia7256 Год назад
To God be they gloty
@kihongolebaby-ku6vl
@kihongolebaby-ku6vl Год назад
Mbarkiwe ❤
@edwinkobuya
@edwinkobuya Год назад
Your songs are very inspiring kindly make a hymnal with all your songs for generations and generations.
@eliachacha4974
@eliachacha4974 Год назад
Mbarikiwe
@euniceokoth3677
@euniceokoth3677 Год назад
Mungu azidi kuwabariki mnapo endelea na kazi ya kueneza injili.🙏🙏🙏
@johnsonsebastian3248
@johnsonsebastian3248 Год назад
asante kurasini
@BushishiNjige
@BushishiNjige Год назад
Mungu awasaidie mwende mbali
@rubanasda-choir2262
@rubanasda-choir2262 Год назад
Mbarikiwe sana wapendwa mzidi kusonga mbelee
@joshuamasunga2944
@joshuamasunga2944 Год назад
amina
Далее
Kurasini SDA Choir - Kwenye Njia Kuu
8:14
Просмотров 547 тыс.
Kurasini SDA Choir - ELOI  (Official Music Video 2023)
5:54
Купил КЛОУНА на DEEP WEB !
35:51
Просмотров 2,7 млн
Nina Siri
11:10
Просмотров 1 млн
ASANTE YESU
6:06
Просмотров 7 млн
Mbiu SDA choir - Mji mzuri
6:18
Просмотров 2,4 млн
Kurasini SDA Choir - Sitaki Kujua ilikuwaje!
3:35
Просмотров 1,7 млн
Kurasini SDA Choir - Haja ya Moyo
5:27
Просмотров 4,1 млн