Waziri wa utumishi wa umma Moses Kuria alilazimika kukatiza ujumbe wake ghafla, baada ya waombolezaji kununa na kutoa kauli za kumpinga rais William Ruto na wandani wake. Kuria alikuwa akizungumza katika mazishi ya babake Jimmy Wanjigi huko Nyeri. katika mazishi hayo kinara wa Azimio Raila Odinga aliwapongeza vijana wa gen z kwa kakamavu.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
4 июл 2024