Тёмный

KUSAGA -"Nilimuachia RUGE Kampuni SIKUJUTA Nilimuamini Sana" 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 98 тыс.
50% 1

KUSAGA -"Nilimuachia RUGE Kampuni SIKUJUTA Nilimuamini Sana"
Miongoni mwa watu wanaomfahamu vizuri marehemu Ruge Mutahaba na wameishi nae kwa muda wa miaka zaidi ya 20 ni Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, ambaye amesema kuna wakati aliondoka na kumuachia Ruge ofisi na hakujuta kwani aliisimamia vizuri na kila kitu kikaenda sawa...
#RIPRUGE
www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@mustafajuma5037
@mustafajuma5037 5 лет назад
Poleni sana ndugu zetu msiba wetu wote clouds imetuma sana sana mungu amlaze pema ameen
@asiamohamed7829
@asiamohamed7829 5 лет назад
B g p sana sana nawapenda bure mungu awape Moyo waimani muendelee crauz jamn
@mathayomkumbuchile2808
@mathayomkumbuchile2808 5 лет назад
Hongera vyombo vya habari nchini kwa umoja mkuu
@hosearwechungura5391
@hosearwechungura5391 5 лет назад
Nawapenda sana Clouds Asante kwa msikamano wenu wote, hakika nitaendelea kuipenda kampuni yenu daima!
@banshbansh2329
@banshbansh2329 5 лет назад
Innalillah wainalillah rajiun mungu awape subra
@obillaezra6205
@obillaezra6205 5 лет назад
Cjajua kama Media zingine, zinajiita Familia kama Clouds wanavyojiita familia Moja!!! Hii kauli inaleta umoja na thamani ya Kila Mmoja katika kuipeleka mbele Clouds!! Binafsi nimependa hii kauli""""""
@alexmerck2568
@alexmerck2568 5 лет назад
hata mmi nimeipend sana hio kauri 🙏
@leaherasto929
@leaherasto929 4 года назад
RIP Kibonde
@teddykassinde4608
@teddykassinde4608 5 лет назад
Msife moyo simameni imara madam kazi mnazijua wajibikeni kikamilifu kuilinda heshma ya ruge, MUNGU AWAPE UPENDO NA MSHIKAMANO,@ clouds media grp
@alexmerck2568
@alexmerck2568 5 лет назад
Teddy Kassinde kweri kabisa
@elizabethkesi6043
@elizabethkesi6043 5 лет назад
RIP
@salmamshana1928
@salmamshana1928 5 лет назад
Tanzania tumewezwa kwa hili jamnnnnn dahhhh sijuiiiii
@joycematonya1241
@joycematonya1241 5 лет назад
pole san kusaga
@zainabumtubwi263
@zainabumtubwi263 5 лет назад
Pole Kwa wazazi pole Kwa Tanzanian uwo umati wote aliuweza kuedeleza hii jamiii
@restymlale6003
@restymlale6003 5 лет назад
Well done Joe.R.I.P RUGE. URE AN AMAZING HUMAN BEING.💖
@josephinagustino9866
@josephinagustino9866 5 лет назад
Sijui Niseme 😢😢
@stellaloves9879
@stellaloves9879 5 лет назад
Poleni nyote jamani inauma Sana
@pilikasimu1593
@pilikasimu1593 5 лет назад
So sad
@elizabethmligo3180
@elizabethmligo3180 5 лет назад
PILI KASIMU
@africanreal8782
@africanreal8782 5 лет назад
Uyu mzee kajaza familia yake atatokomea na share za mzee baba
@sakinaomar301
@sakinaomar301 5 лет назад
Inalillah wainaillah rajiul
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania 5 лет назад
Share za Ruge zisitokomee sasa sio kuleta porojo za kujidai kama Clouds ni yakwako pekee!!
@jacksonpeter3120
@jacksonpeter3120 5 лет назад
pumzka ruge pumzika ruge pumzka Hushaja muongoza njia,
@salarytz6911
@salarytz6911 5 лет назад
Kwl
@franciscomasungulwa3575
@franciscomasungulwa3575 5 лет назад
Namna pekee ya kumuenzi RUGE, ni kuyaishi yake mema aliyoyaamini RUGE.
@africanreal8782
@africanreal8782 5 лет назад
Uyo sheba kusaga n nani
@emmanuelcharles9505
@emmanuelcharles9505 5 лет назад
The amaizing TV mdogo jo
Далее
Inside Out 2: BABY JOY VS SHIN SONIC
00:19
Просмотров 4,8 млн
How to Build a Homemade Bike Using a Barrel
00:21
Просмотров 996 тыс.
Hii Ndio CLOUDS MEDIA GROUP Mpya / THE NEXT CMG
8:57