Тёмный

KUSAH: BORA NIACHE MUZIKI KULIKO KURUDIANA NA RUBY | JIONEE MWENYEWE ANAVYOWAKATAA 

Dizzim Online
Подписаться 766 тыс.
Просмотров 297 тыс.
50% 1

#INSTAFANS #CHOOSEONE #DIZZIMONLINE
INSTAFANS PRODUCER instagram ➡️ / officialkazungu
DIZZIM ONLINE ➡️ / dizzimonline

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 412   
@beyondchannel255
@beyondchannel255 3 года назад
Kama umekuja kuichek hii interview 2021 baada ya video ya Mama Lao gonga Like hapa twende sawa
@zenaiddi2393
@zenaiddi2393 3 года назад
Hahahaa kama vile umeniona Moca
@rabyaramadhan8575
@rabyaramadhan8575 3 года назад
😂😂😂
@helenampewa9582
@helenampewa9582 3 года назад
😂😂😂😂😂😂umeuaaaaaaaa
@user-nf3iv3gf6u
@user-nf3iv3gf6u 3 года назад
Niko apa🤣
@carolnjeri6876
@carolnjeri6876 4 года назад
Huu ni mchezo wa kujenga uadui kati ya watu.Not really a nice game.
@doreenrugwa596
@doreenrugwa596 3 года назад
Kumbe ndioo maana alimpoint Aunt walikuwa na jambo lao
@credo7837
@credo7837 3 года назад
🤣🤣🤣
@elizabethkomu3116
@elizabethkomu3116 4 года назад
Yan huu mchezo unaeza kukujengea chuki bure🤔
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 4 года назад
yaa nikweli asa kwamtu asiye elewa
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 4 года назад
Hahahaha
@jacklineataah9951
@jacklineataah9951 4 года назад
🤣😂😂😂🤣🤣😂
@salmasaeed9357
@salmasaeed9357 3 года назад
Aki tena
@queen.christelle1
@queen.christelle1 3 года назад
True alafu anaonekana kama hayuko serious
@juniorcx0114
@juniorcx0114 4 года назад
Nimekupenda Ulivo mchagua Simba Platnumz 🔥 kuna lingine utasikia Wiz kid limuache mtanzania mwenzake Diamond Nimekupenda bure unajitambua
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 4 года назад
Kabisa daah amewaza sana
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 4 года назад
Mbona hajamchagua Ruby aliyezaa naye? Kujitambua kwake kuko wapi? Nyambaaaaafu kabisa hata Mimi ningemchagua mond cos niwa home ila hapo kwa ruby mjinga kayumba
@sabraramadhan5420
@sabraramadhan5420 4 года назад
@@chrissjoel7752 ww unaweza mchagua ex wako🤔🤔
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 4 года назад
@@sabraramadhan5420 Ndio cos kafananishwa na MTU ambaye sina mahusiano nae lazima nimchague X wangu ukizingatia anaye mtoto wangu Bro siku zote unaweza kuwatenganisha MTU NA mpenzi wake ila sio kuwatenganisha MTU NA mzazi mwenzake
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 3 года назад
Ingekuwa sio Rubi huo ubaba ungeupat wapi jalibu kumheshimu mzazi mwenzio kusah au unafurahiya kuyaona machozi ya Ruby kila siku nilaana hiyo kakaangu
@queen.christelle1
@queen.christelle1 3 года назад
Wangapi wana kubaliana na mimi kwamba Kusah anaonekana hayuko serious hapo mwanzoni kwenye alikua ana ogea kuusu Ruby na Anty
@rihannajackson7957
@rihannajackson7957 4 года назад
Yaani upo ka lisenge kwaiyo unaona uyo shangingi tena msagaji hadi moze iyobo kamuacha ndo wa maana utakuja kumkumbuka ruby badaye mmbwa wewe kumbuka maisha yanabadilika angalia kesho yako
@jacklinejustus5016
@jacklinejustus5016 4 года назад
Sjapend ulivyomkana ruby hata kam alikukosea kumbuka pia mema aliokufanyia
@happynessayubu1724
@happynessayubu1724 3 года назад
Asa amkatae mzazi mwenzie ant
@joynko4450
@joynko4450 4 года назад
Mbuzi mmoja wwe Kama si ruby tungekujua leo
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 года назад
Joy Nko daaaaaah, 🚴‍♂️🚴‍♂️🚴‍♂️
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 года назад
Punda hyo
@luvlynessy
@luvlynessy 3 года назад
Mungu kama kapanga mngemjua one way or another
@amenhamenh2952
@amenhamenh2952 4 года назад
Kwel mwaume sindugu yako🤔🤔🤔
@rechojoshua7326
@rechojoshua7326 4 года назад
mamy
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 года назад
Ndugu yk mkiwa kwa kitanda tu. Akimaliza adui
@saumukaisi7003
@saumukaisi7003 4 года назад
Kweli kabisa nikama wachawi kabisa
@ceciliakalumu3137
@ceciliakalumu3137 4 года назад
😂😂😂😂😂
@hashemsaef1516
@hashemsaef1516 3 года назад
Yeyote yule mwanamke akipimanishwa na wolper atashindwa wolper mzuri sana.
@maryamevarista9473
@maryamevarista9473 4 года назад
Maswali ya cm mabaya bora hivi😍🔥
@fettylishazysaid2079
@fettylishazysaid2079 4 года назад
Dahhh ama kweli nimeamini huu msemo kuwa mwanaume ni ndugu mkiwakitandani akitoka hapo si mtu kwako leo hii ww wakumkana ruby hadharani 🤔🤔🤔dohhhhh
@tabyhamisi7797
@tabyhamisi7797 4 года назад
Sasa Ruby si kakufanya uitwe baba ww, uko na akili kweli we?
@veronicasiweya5507
@veronicasiweya5507 4 года назад
Jinga kabisa hili
@kitkat-pr4mv
@kitkat-pr4mv 4 года назад
Anajishaua s anapata mwengine kwa anty ezekiel lkn jinga sanaaa
@adelinaaudax2572
@adelinaaudax2572 4 года назад
Ana akili matope
@angelfransisco7839
@angelfransisco7839 4 года назад
Yaani wanaume Kuna watu akili zao😏😏
@beatricemkinga3351
@beatricemkinga3351 4 года назад
Yaani bwege huyu mpk anaboa Ruby ndo kamfanya awe hapo lkn kasahau wanaume wengne chefuuu
@kemalswaleh9527
@kemalswaleh9527 4 года назад
Watching from kenya Cecilia ilike kusah ilike u a smile 😚😚😚
@rashidmbaroukmbarouk310
@rashidmbaroukmbarouk310 2 года назад
Ipo vizuri sana sana sana tena sana kuliko za wengine ila ningetaman kuona na ya gigymoney ❤️
@maryannqueen7356
@maryannqueen7356 4 года назад
Dizzm.. KWELI KWA HIKI KIPINDI BINGUNI TUTAENDAJE,? HADI MZAZI MWENZA NA ALIYEKUTOA UNAMKANA, 😭HAPA PAGUMU🤣🤣
@duladulla2031
@duladulla2031 4 года назад
Ivi ww unajua kat ya kusah na rubby alie mtoa mwezake nan??
@maryannqueen7356
@maryannqueen7356 4 года назад
@@duladulla2031 unamaanisha Kusah ama Marehemu Ruge??? Mimi sitaki kujibu maswali ya wawili ambao ni wazazi wenza.... kuwa huru kusema
@hashimmzungu7359
@hashimmzungu7359 4 года назад
Ruby ndo amekukuza mpk unaitwa kusah leo tunakujuwa ingekuwa kwenye kikundi Cha hawavumii lkn wapo jinga ww
@jemambwilo4159
@jemambwilo4159 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@emanuelyjacobo5342
@emanuelyjacobo5342 4 года назад
Jamani mbona kila mtu ana mwacha hamisa
@daliaabdala8236
@daliaabdala8236 4 года назад
Penda sana kusaaa 😍😍😍
@yunaithamzahran7199
@yunaithamzahran7199 4 года назад
nice kumchagua wema
@judykimaro2271
@judykimaro2271 4 года назад
aisee wanawake tuangalie na wanaume wakua nao kaka daah kwanza bishooo sana ruby pole mama
@matildamkombachepa4320
@matildamkombachepa4320 4 года назад
Hovyooo, huna ukaribu na mtu umezaa nae,
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 4 года назад
Hujuwi mangapi kapitia kwa hiyo ni maamuzi yake usimuingilie
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 года назад
@@officialmrtop1018 sure
@khadijahrule889
@khadijahrule889 4 года назад
Inatokea mpnz mie mwwnyew nimezaa na mtu na hatuna mawasilinao wala ukaribu
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 4 года назад
inategemea mlivyo achana pia anaweza akawa anahudumia mwane sema ana ukaribu
@azizamaboda3610
@azizamaboda3610 4 года назад
Yaan huu mchezo kauweza babalav2😂😂
@iluminathawilliam6549
@iluminathawilliam6549 4 года назад
Haki aziza
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 года назад
😂😂😂😂
@azizamaboda3610
@azizamaboda3610 4 года назад
🤣🤣🤣
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 4 года назад
Kwel kabisa
@luckykiteve9411
@luckykiteve9411 4 года назад
Hahahahha af kweli
@maletonesmo2966
@maletonesmo2966 4 года назад
Huyu kusah hanaonekanaa malayaaaa
@hassanmapenzi6188
@hassanmapenzi6188 4 года назад
N kama anapenda kulelewa huyu anapenda wanawake wakubwa wakubwa
@iscmusicteam6082
@iscmusicteam6082 2 года назад
Big up sana kwenu
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 3 года назад
Nani yupo hapa Leo kusah dad wa mtoto wa ant
@halimaomar9228
@halimaomar9228 3 года назад
Kutoka kwny dada mpk kwny mpnz hahaahahahahah
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 3 года назад
@@halimaomar9228 Alikuwa anazuga hapo kalikuwa kanakula tayari
@stelahkiulah9161
@stelahkiulah9161 4 года назад
Hii mijitu inatia hasira sana MZAZI MWENZAKO KWELI???? KWELI??? DUUUH MUNGU AKUSAMEHE MBUZI WA KIA WEWE
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 4 года назад
Kweli RUBY alipotea step. Akimbie hadi avunjike mguu
@surahyaraphn8026
@surahyaraphn8026 4 года назад
Huyu kaka sio mzma Kiki za msumbufu msamehen bure
@barakathomasgabriel5708
@barakathomasgabriel5708 4 года назад
mh ko mbuzi wa kiha ndio huwa wana akiri kama hiyo
@nicksonnewton7327
@nicksonnewton7327 3 года назад
sasa watanzania wenzangu huwez jua moyo wa mtu anaweza akajionyesha iv but anajambo lake
@user-nf3iv3gf6u
@user-nf3iv3gf6u 3 года назад
Kwani lazma amchague??
@subiransasi8029
@subiransasi8029 4 года назад
Mnaomlaumu kusah mnakosea Ruby dharau nyngn
@rukiapessa5643
@rukiapessa5643 4 года назад
Kabisaaaa huyu msambaaa rubby namjua anakiburi sana ajirekebishe
@subiransasi8029
@subiransasi8029 4 года назад
@@rukiapessa5643 Anadharau kama zote mtu mpaka anaona kurudiana nae Bora aache mzk. Ujue ana maumivu
@shanybiba5172
@shanybiba5172 4 года назад
Ww auna dharau
@beatricemkinga3351
@beatricemkinga3351 4 года назад
Dharau zipi jmn mzazi mwenzake na ndo aliemfanya tumjue mpk xaxa anasahau fadhila
@khadijakhadija-ve7tv
@khadijakhadija-ve7tv 4 года назад
We subira dharau wew hauna? Yule ni mzazi mwenzie kuwa na akili usikoment utopolo ndio nyinyi
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 4 года назад
Hahahaha Dizzim nimewakubali kwa insta choice ya Leo kwa kitu kimoja tu! Kutokumlingasha Simba na hao wengine na kumlinganisha na msani mzito kama Yeye so Heshima itunzwe hivo hivo wachuwane hao wa nyuma tu pls!
@nasmajuma4843
@nasmajuma4843 4 года назад
Yani nyie wanaume siwatu wazuri luby amekuzalia mtoto unamkana kweli ata Kama ampo nae vzr naye ndo kafanya ujulikane katika mziki kweli nyie wanaume mnamatatizo gani lakn😭😭
@catrinapatrick787
@catrinapatrick787 4 года назад
Mzazi mwenzako kusa unamkana leo
@mligosandrah7851
@mligosandrah7851 4 года назад
Sijawahii hata kumfatilia uyu mbuzi msaliti.Mheshimu rubby ww mbwa ww
@mellahwilly4212
@mellahwilly4212 4 года назад
Kabisa
@princessshannia4215
@princessshannia4215 4 года назад
😂😂😂😂😂😂
@noelmtewele4158
@noelmtewele4158 4 года назад
Kwanza hajui kuimba kabisaa
@rihannajackson7957
@rihannajackson7957 4 года назад
Kweli kabisa matako uyu ruby ndo kafanya ata nimjue
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 года назад
mligo sandrah 😂😂😂😂🚴‍♂️🚴‍♂️🚴‍♂️
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 года назад
Ila huu mchezo unaweza kukujengea chuki Ila kwa upande mmoja au mwingine wewe ni wa ovyo kabisa eti huna ukaribu na Ruby wakati wewe huyo umemzalisha halafu unasema haumfahamu mfyuuuuu acha ujinga wakati hapo anakulelea mwanao Eti siwezi kurudiana naye bora uache mziki mmmmhu,makubwa!
@rachelmukazayire8293
@rachelmukazayire8293 2 года назад
Kuna wanaume wajinga ujuwe 😢😢 halafu mtoto akikua na kua tajiri vibaba vinaanza vituko tena 😢
@aminashaban2363
@aminashaban2363 2 года назад
Nimekuchukia sanaa kenge wewe muheshim huyoo mwanamke amekupa heshima ya kuitwa baba
@iryneshyla8591
@iryneshyla8591 4 года назад
Hiii jinga kweli baby mama ruby wamwacha juu ya Aunty kweli men
@sekelamwangosi3289
@sekelamwangosi3289 4 года назад
Nimependa mlivo muweka mond na wizkid na ally kiba na homonize kila mtu na level yake😂
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 4 года назад
😂😂😂😂😂
@gwakisamwakabulutu4247
@gwakisamwakabulutu4247 4 года назад
@@beautyibrahim8428 mumekalia umbea tu nyoooo
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 4 года назад
@@gwakisamwakabulutu4247 😏😏😏😏😏
@laughtnessjoseph742
@laughtnessjoseph742 4 года назад
Kweli kila mtu na level zake🤣🤣🤣
@josephinepeters909
@josephinepeters909 4 года назад
For sure ally sio wa kumfananisha na harmonize, Wala mondi mwenyewe mkatae mkubali Sasa wizy ndio nini yn tz bwana
@gloriouslameck6909
@gloriouslameck6909 4 года назад
Y lunya na y killer mm swz chaguwa hat mmoj maan wote nawapenda sanaaa
@rehemamwachalula2915
@rehemamwachalula2915 4 года назад
Happ kwa Simba umenishika sanaaa
@master-dk9nw
@master-dk9nw 3 года назад
You take extra effort to answer. Big up
@swaumabuu4408
@swaumabuu4408 2 года назад
Nawashangaa mnaosema kuhc kumchagua aunt na kumuacha Ruby , kila ktyu na wakat wake aache kumchgua mwanamke ambye kwasas ndo anaish nae achague yule kisa ndo kaanz kumzalia kuwen seriously khaaa🙌
@aishajumanne5195
@aishajumanne5195 3 года назад
POLE RUBI MWAYA MWANAUME ANAONEKANA HANA UPENDO HUYO AUNT EZEKIEL MWENYWE KWA 💞BADO JIPYA ILA LIKICHUJA NA YEYE ATAITWA MZAZI MWENZANGU😥😥🤣🤣🤣🤣🤣
@aishajumanne5195
@aishajumanne5195 3 года назад
Kabisa
@sophiajackson5001
@sophiajackson5001 4 года назад
Ruby jamani yuko wapi??? Hasikikii kabisaaaa
@terrybihansha8302
@terrybihansha8302 3 года назад
Big up
@SennyFleva_1
@SennyFleva_1 4 года назад
Aunt. Amberlulu
@juma_xo
@juma_xo 4 года назад
That's crazy
@alimabegam8328
@alimabegam8328 3 года назад
Kusaumeweza
@neysanga
@neysanga 4 года назад
Kaka we mzurii
@hassanrashid231
@hassanrashid231 3 года назад
Funguka vizuri
@farhatfarhat3816
@farhatfarhat3816 4 года назад
Yani uo mtihani kuweka pc za watu 2 uwapendao
@enestinajosephat1269
@enestinajosephat1269 4 года назад
Maelezo mengi kama nn jamani chagua sio ujieleze Sana unaboa huna shukran wew mwanao akija aone ulichosema kwa mama ake unazan ataflai fikiria Kwanzaa mfyuuuuuu ovyoooo
@musarabi5154
@musarabi5154 4 года назад
mmmh
@jacklinejonas5096
@jacklinejonas5096 4 года назад
Nmependa anavyoongea😍😍
@credo7837
@credo7837 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 года назад
Nimekupenda ulivyomchagua Hamo😏♥️🏋️🏋️🙏🙏🙏🙏
@credo7837
@credo7837 3 года назад
Kondee boy
@fatimamwinyi1110
@fatimamwinyi1110 3 года назад
Duh
@priscadaudi7578
@priscadaudi7578 3 года назад
Acha tamaa wew kiben ten
@neemadenis31
@neemadenis31 3 года назад
❤️
@anithawimbe3440
@anithawimbe3440 4 года назад
Lakini angekuwa kama siyo ruby tusingekujua nyau wewe
@fatmamakame9305
@fatmamakame9305 3 года назад
Lub uyo ndo alomzaa au kamuumba ad yy ndo awe chazo
@suzimsodok8099
@suzimsodok8099 4 года назад
Season
@timothypaul1714
@timothypaul1714 4 года назад
Mshambatu
@benahmoureni3587
@benahmoureni3587 3 года назад
waaaah kali sana
@aminamgaya7511
@aminamgaya7511 4 года назад
Yani wanaume jamani ni kuomba sana mungu kwa kweli
@maggymgaya2504
@maggymgaya2504 3 года назад
Sanaaaa
@paulogodwin6912
@paulogodwin6912 4 года назад
Dah kusah Unazarau saaana Eti Bora aache mziki kuliko kumrudia Ruby 🤣🤣 Ambae kampa jina kweli tenda wema nenda zako Usingoje shukulani LO..!!!!
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 4 года назад
😂😂😂😂
@faridaessa7844
@faridaessa7844 4 года назад
😃😃😃kusah ww
@gloriouslameck6909
@gloriouslameck6909 4 года назад
Yaan dharau tuu viwanaume vyeup duh
@naomioman9794
@naomioman9794 4 года назад
Ata kusa slimrudisha rubi
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 4 года назад
Usifikiria ulikotoka kuna mda moyo unachoka🤣🤣🤣kusah bora awachee mziki
@saumukaisi7003
@saumukaisi7003 4 года назад
Aaaaah mapenzi maninaaa mkiachana kasoro kibao unachwa unazarauliwa Alf picha ya ruby mmeiweka imezeka jamniiiii
@fadhilikibaso3335
@fadhilikibaso3335 4 года назад
Nic
@habibasamade2615
@habibasamade2615 4 года назад
🤭🤭🤭
@hadijjahshajara5433
@hadijjahshajara5433 4 года назад
😂😂😂 wolper alijisemea sura yenyewe ka chuchunde wataka handsome boy ndio hayo Sasa🤣🤣🤣🤣🤣
@Hasha-zt2oy
@Hasha-zt2oy 4 года назад
Ovyoooo kabisa 😏
@sheyvanny2236
@sheyvanny2236 4 года назад
Kwel kapatikana baba Aaliyah😂 ila nmepende kawa muwaz....
@KING-kv1pe
@KING-kv1pe 4 года назад
Kali hiyo
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 4 года назад
Dada ako ant mbwa weee Huku una vua chipi
@kautharramadhan2188
@kautharramadhan2188 4 года назад
Wapumbavu sana hawa
@rihannajackson7957
@rihannajackson7957 4 года назад
Ni lisenge Sana ili likaka
@jenifamligo5199
@jenifamligo5199 4 года назад
Mmmmh
@naomihgsenyamoya4109
@naomihgsenyamoya4109 4 года назад
Nice
@aishamachapele8515
@aishamachapele8515 3 года назад
Unaeleka kua shog
@SennyFleva_1
@SennyFleva_1 4 года назад
Carry
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 3 года назад
Ndo maana kila nikitaka kuingia kwenye mahusiano nikigumbuka wanaume vitabia vyao nakwama. Eti kuliko kurudiana namzazi mwenzake bora aache mziki!🤔
@ruthmusau5190
@ruthmusau5190 4 года назад
Nice fan game
@nanaafofie278
@nanaafofie278 4 года назад
Msimlaum kusah coz yeye anasababu kufanya hivyo muaecheni ya ngoso mwachien ngoso plz kesho mtawaona wapo wawili aibu kwenu hiyo ni media tuu
@shagoldtz8866
@shagoldtz8866 4 года назад
Pole #kusah mana pole😁😁
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 года назад
Kigugumizi kinakushika eti ni mzazi mwezangu lakini Sina ukalibu nae .lakini ni mzazi mwezio . Yani kusah umechemja Sana alafu umewakwaza watu .luby ndiyo kila kitu
@francesmpangwa8801
@francesmpangwa8801 3 года назад
Hayo yanayo Cheka Cheka yananifanya nacheka sana
@halimanasihu1200
@halimanasihu1200 4 года назад
Msambaa mwenzangu nice
@olivermfinanga1268
@olivermfinanga1268 3 года назад
Anajisikia San kumbe kam sio ruby asingejulikn duh
@soaromary5740
@soaromary5740 4 года назад
Sikumoja mwanao ataona hii sasa sijui atajihisi vipi fikili kabra yakutenda sasa utaangukia pua
@tunumponda8150
@tunumponda8150 4 года назад
Tena Mungu mkali balaa kitamkuta kitu kisa kuangalia furaha yake asijali ya mtoto akiona
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 года назад
Mh . Jifunze kukumbuka kusah . Luby ananafasi kubwa sana
@eliyaserushago6051
@eliyaserushago6051 4 года назад
Mukono yangu unaipata kwa sababu Diamond
@reginasoki5025
@reginasoki5025 3 года назад
Ww ni fala kweli yani
@pendomariki6562
@pendomariki6562 4 года назад
Ila kusah kajisahau kipind mko na mahaba na ruby ulikuwa kimya leo ni mzaz mwenzio unasema huna ukaribu nae ruby katulia sana
@tunumponda8150
@tunumponda8150 4 года назад
Ila hii kitu sio yakufanya kwa sifa maana mtoto anakua itakua mbaya Sana kwake
@pendomariki6562
@pendomariki6562 4 года назад
@@tunumponda8150 kabisa hafikirii maisha baadaee
@musamsuya8278
@musamsuya8278 3 года назад
Ubaya unakuja ukiwa muoga ktk kutafuta lazima ukubali kutembea na mama zako wadogo ili tu ulelewe
@njaunestory761
@njaunestory761 4 года назад
Wew mwenyewe ruby ndo kakutambulishaa kwenye mziki ukajulikaanaa na nw umepoteleaaa mbali yaan wew na ruby na kama utumbo na maini tu ruby level nyingine kimziki mbwa wew
@neematobias2630
@neematobias2630 4 года назад
Chz mmoja hv
@pemahprincess5887
@pemahprincess5887 4 года назад
Wanaume banaaa MTU kakuzalia kabisa lakin unamchagua hawalaaa mama mayeeee
@maryamsalim4626
@maryamsalim4626 4 года назад
Wanaume nikama mbwa tu unamfuga nakumgaramia lkn muda wowte anaweza kukutafuna
@ameenasur656
@ameenasur656 4 года назад
Tena nima mbwa sana
@beatricendasa3646
@beatricendasa3646 4 года назад
Wanaume sio kabisa yaani unaweza kumuweka moyoni ukijua nae anakuthamini kumbe anakukana kila sehemu, siwapendi kabisa hawa viumbe
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 4 года назад
Ruby ndo alifanya tukakujuwa leo unachaguwa awara🤔🤔🤔
@muukizzy8653
@muukizzy8653 4 года назад
Ujui ww nymb Ruby alikuwa anatungiwa na kusah ujui ki2 ww
@kiunofeni1107
@kiunofeni1107 3 года назад
Kusah kaganda kama anataka kupigwa picha
@christinashaban7262
@christinashaban7262 4 года назад
Hapa duniani usipotumia akili utapata tabu sana unaona ni sifa subiri badae na hao lengo lao ni kugombanisha tu hamna chengine
@rachelmukazayire8293
@rachelmukazayire8293 2 года назад
Halafu anaona amepata😂 ninachojua Aunty ni msaani mkongwe hata inje ya tz tunamjua na ananyota sana anaeza kuishi bila wewe 😂, huu kusah anadhani anafurahisha aunty 😂ila kuna kitu wanaume hawajakijua 😢 unavyomchukulia mzazi mwenzio ndivyo wanawake tunakupima hakili yako 😂😂 Usidhani unamfurahisha Aunty, siku mtaachana utajiua hujui mi naona Aunty anajitaftia kizazi tu hana issue na wanaume 🤷🏽‍♀️
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 года назад
Ruby ndiyo ulitakiwa umchague kusah umebolonga
@SennyFleva_1
@SennyFleva_1 4 года назад
Billnega
@maryamjey6340
@maryamjey6340 4 года назад
Light skin men ovyoo sana. Most wanapenda kulelewa
@oneclick2023
@oneclick2023 4 года назад
Sio wote mama.
@crucialdavis8416
@crucialdavis8416 4 года назад
Samahan sana...wengine wapambanaji kinoma.
@gwakisamwakabulutu4247
@gwakisamwakabulutu4247 4 года назад
Kweli kabisa
@nelsonbillama4035
@nelsonbillama4035 4 года назад
Kussah kamchaguwa wema sepetu kwa sababu ni team aunt ezekiel
@nasmafarmsltd9146
@nasmafarmsltd9146 4 года назад
Alye anzisha kipind hik mbingun hata siku mòjà anajua ku komoa
@zakiangwalu9866
@zakiangwalu9866 4 года назад
Mm nakutafuta we kinoma
@dokasalim943
@dokasalim943 4 года назад
😂😂Eti lakini Leyzer Kaja speed 😂😂😂😂
@lightjames9151
@lightjames9151 3 года назад
Dadake
@neemashilingi3355
@neemashilingi3355 4 года назад
Kweli mwanaume sio dungu yako unaacha kumuchangua muzazi mwenzak unaend kumuchangua hawala
@esterelias8189
@esterelias8189 4 года назад
Jmn Ruby ana mtoto??
@husnamkwata7431
@husnamkwata7431 4 года назад
Umewaza kma mm yani ni mtihani wallah kikubwa kuomba mwisho mwema tu, na Mwenyezimungu atuongoze ktk mema
@illuminathersunzura1153
@illuminathersunzura1153 4 года назад
@@esterelias8189 mkubwa tu
@ameenasur656
@ameenasur656 4 года назад
Yan umewaza km mimi
@esterelias8189
@esterelias8189 4 года назад
@@illuminathersunzura1153 hallooo sijawahi sikia sijui naishi dunia ya ngapi??
@hadijapazia8255
@hadijapazia8255 4 года назад
😂😂😂Bora nicheke 2
@salomekiduda4629
@salomekiduda4629 4 года назад
Huna akili anamucha mwenzako aliyesababisha uitwe baba mxiuu
Далее
БЕЛКА РОЖАЕТ? #cat
00:21
Просмотров 521 тыс.
Тарковский - гений
00:48
Просмотров 485 тыс.
Kusah - Rafiki ( Visualizer )
3:01
Просмотров 243 тыс.