Тёмный

Jux : "Nilikaa Na Jackie Mwezi Mzima China, Akawa Hapatikani, Sikumuona Tena" | SALAMA NA JUX PT 2 

YahStoneTown
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 82 тыс.
50% 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
Juma Jux ni mtanashati haswa hicho ndicho cha kwanza na suala la yeye pia kuwa muimbaji mzuri (na anayeendelea kujengeka) kunamfanya pia awe wa kipekee, anajua maana halisi ya kufanya kazi kwa bidii ili uweze kutimiza malengo ambayo wewe unakua umejiwekea. Ana aibu pia sana ila hili unaweza ukalitilia shaka kwasababu ya kazi aliyoamua kuichagua. Kwa nilivyo muelewa mimi yeye aliamua kufanya muziki kwasababu rafiki zake walikua wanafanya muziki na zaidi akiamini yeye ni Rapper kuliko hata kuwa muimbaji.
Kwa mujibu wake kwenye kundi lao hilo la shule yeye ndo alikua sio mkali na wala hakua na neno juu ya hilo, zaidi yeye alikua anataka ku fit in zaidi. Lakini leo hii yeye ndo mwenye mafaniko zaidi kwenye fani yake kuliko wale walokua ndo wakali wa kazi hizo wakati bado wako shuleni. Jux ananiambia mpaka leo wanaendelea kuwa marafiki na rafiki zake wa shule, zaidi Cyrill Kamikaze ambaye amekua kama ndugu yake. Pia anakumbuka mara ya kwanza wimbo wake ulipoenda redioni bila ya matarajio yake na wakati anaambia B12 ameupenda na angependa akutane nae anasema baridi na uwoga na aibu aliyokua anasikia ni Mungu pekee ndo anajua.
Uzuri pia Jux ana muonekano mzuri na utanashati wake umekua ukimfanya ajikusanyie mashabiki wengi haswa wanawake na ku inspire vijana wengi watake kupita kwenye nyendo zake ili nao waweze kuja kuwa kama yeye siku moja. Combination yake na Bob Maneke nayo ni kitu ambacho kimemfanya Jux aendelee kuwa pale. Wanafahamiana vizuri na kazi ambayo wamekua wakiifanya pamoja imekua ikijieleza yenyewe.
Jux anakumbuka utanashati na kujituma kwa Marehemu Baba yake ambaye kwa maelezo yake anasema alikua Baba BORA sana, kwanza hakuwahi hata siku moja kumuona Mzee wake na Mama yake wanagombana na siku zote alikua anahakikisha watoto wake wanaishi na kusoma vizuri, nadhani nia yake ilikua kutaka kuwaona watoto wake wakiwa wasomi labda na kufanya kazi za maana zaidi au kuishi maisha mazuri zaidi kuliko yeye wakati anakua. Jux ana kumbuka Mzee wake kama mtu wa kujituma sana ambaye alijichanga kumfikisha mkewe mjini baada ya kupata kazi, yeye alikua tu fundi wa magari ila baada ya mke wake kupata kazi mjini, alihakikisha anafika na mambo mengine yaende kwa uzuri kama ambavyo alikua akiyataka kwa wanawe.
Mama yake pia humuambia zaidi siku hizi za karibuni baada ya Jux kuanza kung’ara kwenye muziki na biashara zake, Mama yake anamuambia anamkumbusha mno Marehemu mume wake na anajua fika kama angekua hai basi angekua anajivunia yeye kupita kiasi. Uvaaji wake na utanashati na jinsi ambavyo anajituma hivyo vyote Juma Jux amerithi kutoka kwa Marehemu Mzee wake. Mwenyezi Mungu Aendelee Kumpumzisha kwa Amani.
Mapenzi yake ya dhati ambayo huyaonyesha kwa watu ambao amekua nao katika mahusiano nae pia kwa kiasi kikubwa amechukua kutoka kwa wazazi wake, jinsi ambavyo Baba yake alivyokua anampenda Mama yake, ni kitu ambacho Juma amekua akikikubali sana. Na yoyote ambaye anakua nae amekua akifanya analoweza ili waendelee kudumu. Mwenzetu amekua na mwalimu mzuri sana.
Kwa akili ya muziki na biashara nadhani tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa kijana huyu hodari wa ki Tanzania. Hivi karibuni brand yake ya African Boy imetia makubaliano na kampuni moja kutoka China ambayo wamekua wakimuona Juma anafanya biashara hiyo tokea akiwa mwanafunzi na kwa jinsi ambayo amekua akifanya kwa muda mrefu na brand na yeye kama mwanamuziki kuzidi kukua nadhani na wao pia waliona fursa ya kufanya nae ushirikiano ili waweze kumuwezesha zaidi ili waweze kushinda WOTE.
Yangu matumaini kama ada uta enjoy episode hii na kujifunza zaidi.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidSalamaNa
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Развлечения

Опубликовано:

 

4 сен 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 88   
@emmashayo5159
@emmashayo5159 Год назад
Jux is is the best artsit among the five favorite artsit in Tanzania...kuanzia mziki wako adi swag zako nakuelewa sana
@andrewmmbaga1665
@andrewmmbaga1665 Год назад
One of the best interview ever! Jux is the realest person ever!Very fluent! Salama Is the best host!anajua kubalance conversation na kumpa nafasi mtu na maswali ayajibu at right time! Nmejifunza vzuri kwa africanboy,cha msingi do ya thing,keeep going hyo brand ni kubwa sana! Utareach far....remember im your die hard fan to y'all,just keep it real son
@nakijamussa6312
@nakijamussa6312 Год назад
Muo
@williamdigge6940
@williamdigge6940 Год назад
Nilichojifunza kwenye hii interview kubwa zaidi ni kumpa mtu nafasi. Naenda mpa nafasi my wife katika maisha kama babake jux.
@classicmido88
@classicmido88 Год назад
Salama jabir one of the best journalist in this country, please mualike diamond platnumz one day, itakuwa moja ya interview kubwa mnoooo
@johnpetro1069
@johnpetro1069 Год назад
Nakumbuka ngoma iliyonishawishi kumpenda Jux ni NITASUBIRI niliisikia siku moja kwenye Radio usiku ikanifanya nisipate usingiz Jux popote pale ulipo ujuwe ninakupenda sana brother ❤❤❤❤ mwenyezi mungu awe kwenye mustari wa mbele kukuwezesha kwa kila jambo unalolikusudia❤❤❤❤
@filamupictures9349
@filamupictures9349 Год назад
😂😂 We jamaa nyimbo ya jux ilikufanya ukose usingizi na una komenti na makopa kopa hahaha thats so homo 😂😂
@iddikipulli510
@iddikipulli510 Год назад
Hahahaha Mungu amuweke anasemaa
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Год назад
Humble & smart 🤓 boy 👍👌❤🇨🇭🇹🇿
@theodoreconstantine2565
@theodoreconstantine2565 Год назад
best female presenter in East n centre Africa.
@Abbasbakarsth
@Abbasbakarsth Год назад
Interview iko ppoa .. nakubal kaz zenu Allah awajaalie mzidi kuleta watu wenye maadil na kufundisha jamii yapo kwa uchache... kila la kheri kwa yeyote aliefanikisha hiv interview
@originalplan2723
@originalplan2723 Год назад
Ise story imenibariki sana Mungu azidi kukusimamia kaka Jux
@peterfania1005
@peterfania1005 Год назад
Always Salam am your fan when it comes to interviews 🇩🇰& ,🇹🇿❤️👍🏼
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 Год назад
It's good seeing #jux talking his business side of him👏👏👏
@SaidSaid-ef8md
@SaidSaid-ef8md Год назад
One of the best interviews big up Salama and j
@kamandab7976
@kamandab7976 Год назад
“Solution sio kutafuta Mpenzi mwengine nikutafuta Hela“
@johanesnixon5473
@johanesnixon5473 Год назад
Jux ur smart kunasehemu nimekuelewa Sana kwenye kujielezea kuhusu biashara TUSIOGOPE 😎
@brittaniagrace
@brittaniagrace Год назад
Awww🥺thank you for this
@sophiaalnuru45
@sophiaalnuru45 Год назад
One of the best interviews.
@mustaphareginald3264
@mustaphareginald3264 Год назад
Nice interview...Mungu akuweke tushuhudie mengi sana kwako dada salama
@edwardmachaku1661
@edwardmachaku1661 Год назад
My favorite interview show
@mapekhamis3882
@mapekhamis3882 Год назад
🤝nimependa saaana Salama&Jux hao wazazi waJux ni mimi na mumewngu kidg nilie the way mumewng na mm tunavoishi allah atueke na watt wetu wajifunze mazuri 🙏
@lareineminah1353
@lareineminah1353 Год назад
ALLAAH awalinde jamani
@munezerozuzu2351
@munezerozuzu2351 Год назад
Now i am seeing why Diamond keeps respect to Jux💥
@greeneraston6102
@greeneraston6102 Год назад
Very inspired boy napenda saana
@sayeedmash6928
@sayeedmash6928 Год назад
Wooow very good story I want to do some business Leo ume ni chanua Jax
@bravthebrand
@bravthebrand Год назад
Very smart eloquent guy..
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Год назад
Last minutes za hii interview he talked sense. Najifunza sana jinsi ya kumuongelea mtu, hasa yule nisiyemjua kiundani... streets got a lot of shit talkings
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Год назад
I love the interview
@mfamauomary7969
@mfamauomary7969 Год назад
Plz ufanye interview na Millardayo plz plz
@mustaphareginald3264
@mustaphareginald3264 Год назад
Hongera sana dada salama...
@marianajoachim1658
@marianajoachim1658 Год назад
To be honest,i remember, i was Maneno aliyo yarudia sana Bwana Jux😂
@MrSokwe
@MrSokwe Год назад
Mm sijawahi kuona wazazi wangu wakigombana wala kuhisi wana ugomvi mpaka baba yangu anafariki ila najua lazima walikuwa wanagombana kwa siri.
@mfamauomary7969
@mfamauomary7969 Год назад
Heshima kwako #Salama Jabir
@rodgersgregory7198
@rodgersgregory7198 Год назад
6:22-23 (swali zuri kutoka kwa salama)
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 Год назад
interview konk sana 💪💪💪💪
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 Год назад
Nimependa sana
@alitunu3086
@alitunu3086 Год назад
Allah atuhifadhi J jux
@patraychriss5723
@patraychriss5723 Год назад
Kaligraph,J makamba,Cathy Magige,Riziwan and Izzo Business
@dryna9512
@dryna9512 Год назад
Millard ayo please aje
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 10 месяцев назад
Jack nimekaa nae lugalo Area J na tumesoma wote lugalo primary chini ya Mwalimu Mkuu Kabigi
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 8 месяцев назад
Sim unknown 😅 Kisha ukaipiga haipatikani 😅😅😅😅
@xasaxuma9835
@xasaxuma9835 Год назад
salama next Zuchu pls
@UgandanAllstarTales
@UgandanAllstarTales Год назад
the portions of the food samaki samaki gives to the guests on this show deserves a round of applause👏👏👏👏👏
@coleilukcole3816
@coleilukcole3816 Год назад
mlafi
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 Год назад
He is honest for everything but agekuwa diamond duhh😁😁😁 uwongo ugenkuwa mwingi au sio?
@dianerditto
@dianerditto Год назад
Mualike millardayo cku moja
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 Год назад
Kabisa
@filamupictures9349
@filamupictures9349 Год назад
Kashawahi kumhoji Millard ayo ila zamani, nadhani kwenye mkasi
@dianerditto
@dianerditto Год назад
@@filamupictures9349 kuna mengi yameishapita hapo katikati kuna mengi hatujayaskia kutoka kwake kama kaoa kweli au lilikuwa tangazo hajatujibu mpk leo tuna mambo ya kujifunza mpk kafika alipo
@boisalym9935
@boisalym9935 Год назад
Lavalava next pls
@momu1687
@momu1687 Год назад
Mdada alomvunja moyo ni jack wolper ukisikiliza kipindi cha salam na wakina fid q alisemaga maneno hayahaya anayosema jux kipindi amepewa gari na Dalla
@salummaguo1950
@salummaguo1950 Год назад
Nakubali
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 Год назад
Salama tultee mandonga mtu kazi 🤣🤣🤣🤣
@martinngenzi6276
@martinngenzi6276 Год назад
Namkubali huyu jamaaa
@ninjadamour5592
@ninjadamour5592 Год назад
Wolper huyu 😃 alimtesa sana dogo
@satwanthoogan6429
@satwanthoogan6429 Год назад
My Favorite,#Jux!❤👌🏻😍
@maryigogo8699
@maryigogo8699 Год назад
JUX🔥🔥
@sleyumsleyum6297
@sleyumsleyum6297 Год назад
😘😘
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 Год назад
Jux is smart
@rashidmzungu4335
@rashidmzungu4335 Год назад
Konde nae anatuhusu boss
@chiticollemans
@chiticollemans Год назад
“Its possible”
@richmelody695
@richmelody695 Год назад
harmonize je
@charlesmasele8454
@charlesmasele8454 Год назад
Penda sana
@andrewmatiko3337
@andrewmatiko3337 Год назад
Kununua madaftari 😂😂😂
@mashakashobo2529
@mashakashobo2529 Год назад
alihongwa x5
@farajakabinji3451
@farajakabinji3451 Год назад
woow♥️♥️
@Project1986p
@Project1986p Год назад
Champion boy mbwana samatta lini??
@kazkaz1943
@kazkaz1943 Год назад
Bb
@anajohn8132
@anajohn8132 Год назад
Wolper huyo
@jenniferjosephath9093
@jenniferjosephath9093 Год назад
Ni kweli ulimtongoza Mimi mars 🙄😠
@jrlamar8925
@jrlamar8925 Год назад
JUX ANATUSHAURI TUTAFUTE PESA
@jrsaid4270
@jrsaid4270 Год назад
Ee tuache uvivu
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Год назад
Huyo mtu wa kwanza Wolper kapewa mpira mkali BMW X6 biashara zangu
@jamilmwinge3695
@jamilmwinge3695 Год назад
Ivi kwann ma*** tu na isiwe watu wa kawaida. Salama what do you think to establish this period of to enterview some body where you got this idea? When and me?
@edwinmbugua7738
@edwinmbugua7738 Год назад
Salama na LavaLava next
@yusuphpilion2465
@yusuphpilion2465 Год назад
Hicho kiti lazima nije nikae
@neemamoses7011
@neemamoses7011 Год назад
In Shaa Allah
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 Год назад
Inshaallah
@mnyamatv505
@mnyamatv505 Год назад
NJIA ZA KUFANIKIWA KWA KUACHA UWONGO ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-2S0f_vEWbD8.html
@godblessmwacha5201
@godblessmwacha5201 Год назад
mmmmh
@lawimalanda8907
@lawimalanda8907 Год назад
Plz make with Aishi manula!!!
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 Год назад
4:30 🔥 6:24 18:04 19:54 23:08
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 Год назад
China upewe three bedrooms bure? Kuna business behind unafanya
@encernstudios3745
@encernstudios3745 Год назад
Kwamba china unapajua snaa au sio
@jaymshana1426
@jaymshana1426 Год назад
SIKILIZA KWA UMAKINI
@irenejerome5894
@irenejerome5894 Год назад
alionga hela ndo akapewa
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 Год назад
@@encernstudios3745 kama hupajui ni wewe
Далее
World Record Tunnel Glide 🪂
00:19
Просмотров 21 млн
ПОЮ НАРОДНЫЕ ПЕСНИ🪗
3:19:41
Просмотров 1,9 млн
У тебя проблемы?
00:20
Просмотров 524 тыс.
Да блин 😀
0:19
Просмотров 1,2 млн
Роналду совсем другой! 😱
0:45
Просмотров 3,9 млн