Тёмный
No video :(

Kusah Na Aunt Ezekiel Kufunga Ndoa Hivi Karibuni, Aeleza Kila Kitu "Nampenda Sana Mwanamke Wangu" 

Mwendokasi Tv
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
FOLLOW US
Follow on Instagram: / mwendokasitv
Follow on Facebook: / mwendokasimedia

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 49   
@janeroselusuva1918
@janeroselusuva1918 3 года назад
Naipenda sana couple yenu, Mungu awasimamie na kuwaongoza kwa kila jambo. Nice family.
@mwanaidytaifa3329
@mwanaidytaifa3329 3 года назад
Ant mungu akusimamie natamani kuwaona kwenye ndoa
@rehemakaberege3209
@rehemakaberege3209 3 года назад
Hongera jamoniiiiiiiiiii
@ab3ab313
@ab3ab313 3 года назад
mungu aqajarie👌kapo napenda sana
@asyaasya3766
@asyaasya3766 3 года назад
Mungu awafanyie wepesi, ma shaa Allah
@gvg8648
@gvg8648 3 года назад
Wow! Dats nice,hongera kusah na mama lao
@neemaibrahim679
@neemaibrahim679 3 года назад
Hongera zenu Mungu awasimamie
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 3 года назад
Aamin
@estherjuma934
@estherjuma934 3 года назад
Kusa mungu amekujalia hekima unaongea hekima. sana mungu akubariki
@christinachalse298
@christinachalse298 3 года назад
Niko nasoma commet..
@alicenice1711
@alicenice1711 3 года назад
😂😂
@MctMct-tt4rq
@MctMct-tt4rq 3 года назад
ILA KUSA MSTARABU NA ANAHESHIMA HAPENDI KUROPOKA MANENO YA OVYO MPOLE SIJUI RUBY ALIKOSEA WAPI !!! ILA ANTY ANAVOJIELEWA NA YEYE KUSA KAFIKA NNAVOONA HAWA WATU WANAELEKEA KWENYE NDOA MUNGU AWAFANYIE WEPES WAOWANE NAWAPENDA SANA
@saniaidrisa3920
@saniaidrisa3920 3 года назад
Ndg usiseme Ruby kakosea wap nyumba zina Siri Sana hii ni mitandao hata mwanzo na Ruby alikuwa hivihivi lakn kilichotokea tumejionea usishangae hata aunt yakaja kutokea ya kuogofya tukajiuliza so tusimjudge mtu
@dynesshirima5611
@dynesshirima5611 3 года назад
Uko sahihi ndugu yngu sania wanaume ni watu hatar sana kwa anayewajua anaelewa namaanisha nn wao ndo chanjo cha ubaya wetu
@saniaidrisa3920
@saniaidrisa3920 3 года назад
@@dynesshirima5611 kabisa ndg yangu mwanamke anayewajua hawez kumcheka mwenzie kisa kaachwa yawezekana mwanamke ndo kamuacha mwanaume ila kwa kuwa tulishakariri mke ndo anaachwa tunasema kakosea wap tunakimbilia kumbe unaenda beba zigo lenye miiba mwanzo inakua mifupi kadri muda unavoenda inarefuka ndo unaanza kuona makali yake
@saniaidrisa3920
@saniaidrisa3920 3 года назад
@@dynesshirima5611 ulishawahi kujiuliza kwa nn nowadays Kuna single mama wengi? Baadhi ya wanaume wa Sasa hivi wengi wamekua makatili sana kias huwez kumvumilia unaamua kuanza maisha yako.uhai na amani ya moyo ni Bora kuliko kitu chochote asikwambie mtu
@rehemagomba4535
@rehemagomba4535 3 года назад
Huyo moze Kwan alikua na mapungufu,jaman kunguru afugiki na kitanda usicho kilalia ujui kunguni aliopo mshukuru mung yako uanaenda sawa
@zamdajofrey3568
@zamdajofrey3568 3 года назад
💕💕💕💕hatar ety mapnz wazwaz
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 3 года назад
Atari lakin salama
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 3 года назад
Jina la kisilamu hilo
@estherjuma934
@estherjuma934 3 года назад
Unaongea kwa hekima sana
@hajrahussein3793
@hajrahussein3793 3 года назад
Kusah unaekima San Mung awasimamie
@ignasbukombe9225
@ignasbukombe9225 3 года назад
Aunt kapendeza
@ashaali7154
@ashaali7154 3 года назад
Dah katoto kamepata pa kushikilia sasa kanaolewa moja kwa moja. Ama kweli wamama wasanii wanajua kuchukua jumlajumla polen wazazi wa watoto wa kiume.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 года назад
Yani usemayo ni kweli. Wazazi wawaombee sana watoto wa kiume pia.
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 года назад
Ati ana bahat mtoto anakuja na barak za keo
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 года назад
@@joharishabani2893 Ujinga wako niwadaraja la ngapi?
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 года назад
@@damariszuckschwert9489 ww ukuwand wako kwanza ni wadarasa langap . Maan kuwad siku zote uwa wanaroho chafu kokote wana waponda wenzao.🤸🤸🤸
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 3 года назад
Muowane bc zinaa si nzur
@teddlyimo6020
@teddlyimo6020 3 года назад
Haya kibenteniiii
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 3 года назад
Unamuonea choyo tu kama muislamu hatusemi kibinteni bali nisuna mana mtume wetu kamuowa bihadija anamiaka 25 nabihadija 40
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 года назад
@@ukhtyrayyan7884, kabisa! Kusah ana 23 na madam ana 41
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 года назад
Bb na mjukuu
@agnesgervas8070
@agnesgervas8070 3 года назад
@@nahyialetomia9284 hamba bana anayo thelasin ant cyo alobain
@nellymasengo1419
@nellymasengo1419 3 года назад
@@nahyialetomia9284 acha uongo kusah mwenyewe alisema ana mwiaka 27
@aishabrondo6037
@aishabrondo6037 3 года назад
Wemwenyewe haujaowa acha kulazimisha wenzio nawewe owa kwanza
@graceaabongo4698
@graceaabongo4698 3 года назад
Kashindwa moze iyobo utaweza kusah
@gamgangweesechota3589
@gamgangweesechota3589 3 года назад
Mmmh binadamu Bwana,
@rafbrownmose4310
@rafbrownmose4310 3 года назад
Ataweza tu
@graceaabongo4698
@graceaabongo4698 3 года назад
Poa tuwatakie kila la heri
@neemazee1864
@neemazee1864 3 года назад
Kwani uyo moze yeye nani, dada mbn una zalau wew
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 3 года назад
NOUMAN NI KINA LA KIISLAMA JAMANI WABONGO MSIWE WASHAMBA SANA .NDIGU ZETU WAKRISTO WAO INAANDIKWA NORMAN EMBU JARIBUNI KU GOOGLE BEFORE HAMJAMHOJI MUHUSIKA
@sylviah9666
@sylviah9666 3 года назад
With your broken writing 😏😏😏😏
Далее
La Tierra Robó El Anillo De Saturno #planetballs
00:14
Kusah - Fundi ( Official Lyrics Video)
3:24
Просмотров 89 тыс.