Тёмный

KUSIMAMA KATIKA PENGO 

Matanda Emmanuel
Подписаться 56
Просмотров
50% 1

Ezekieli 22:30."Nami nikatafuta mtu miongoni mwao,ambaye angejenga ukuta nakusimama mbele zangu mahali palipobomoka kwa ajili ya watu wa nchi ili nisije nikaiangamiza lakini sikumuona mtu yeyote"
......Inchi yetu imeporomoka,familia zetu zimekosa amani ukuta wa amani umeporomoka,makanisani mwetu kumekosa ukuta wakufanya watu wasimame katika imani iliyo yakweli, haya yote yamefanyika kwa ajili ya kuasi kwetu wanadamu nakukosa kukaa kulingana na mapenzi ya mwenyezi Mungu.lakini Mungu wetu ambaye amejawa na huruma nyingi anamtafuta atakaye simama katika pengo na kuiombea Nchi, familia na kanisa ili aweze kutusamehe anakosa.Kwanini panakosekana mtu ambaye ata intercede on behalf of others,Nikwasababu wengi wanasema wameokoka lakini matendo yao nikinyume na wanacho kisema.Ni wakati Watumishi Wa Mungu wale wakweri wasimame katika pengo la wengine na Mungu atasikia kilio Chao na kuokoa familia zetu.Je wewe yu tayari?.Yeremiah 33:3,Bwana Mungu wetu anasema "Niite nami Nitakuitika na kukuambia mambo makuu yasiochunguzika usiyoyajua".Kanisa niwakati tumlilie Bwana kwa ajili ya Nchi yetu,Familia Zetu,Watoto wetu na kwa ajili Yasisi watumishi wake ili anapo mtafuta mtu miongoni mwetu Niweze kupatikana nawe,pia uweze kupatikana Mungu aturehemu na atuonyeshe Njia zake.
#MatandaEmmanuel #RadioMatumaini

Опубликовано:

 

27 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Darubini News @imani television
4:18
Просмотров 18
FANYA MAZURI
3:08
Просмотров 2
JOPO LA WANAFUNZI
10:00
Просмотров
Mwale News @ Imani Television
16:22
Просмотров 16