Тёмный

KUTOKA CHINA HADI TANZANIA: WAWEKEZAJI 60 WATUA "WANAJIONEA KONGANI, TUNASIFU JITIHADA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 4,5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@saimonwantango9569
@saimonwantango9569 5 месяцев назад
Wachina na ubahili wao ila hawana shida tatizo ni mmarekani hatumtaki aisee,china safi
@omarymkamba3045
@omarymkamba3045 5 месяцев назад
Hongera mama samia
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 5 месяцев назад
Hongereni Viongozi
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 5 месяцев назад
Ni lini na sisi tutakwenda wekeza kwao, na uko tupokelewe kwa kishindo na kupokelewa kwa kishindo hivo? Huruma sana kwetu Tz... Atuna ubunifu ndo mana atuna ajira.
@edsonmnego4030
@edsonmnego4030 5 месяцев назад
Hii nchi miaka mitano mbele wachina watakua wengi kuliko watanzania haki
@magorymara5515
@magorymara5515 5 месяцев назад
Huwezi zuia binadam kufanya kazi wanakokutaka kwani Dunia ni yao hakuna kwingne waache wajimwambafai
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 5 месяцев назад
Wanakuja kuwekeza kwenye nini? Wawekeze kwenye miradi mikubwa itakayoajiri watu wengi
@user-nr2ud1dm3y
@user-nr2ud1dm3y 5 месяцев назад
Baadaye tutaomba Uhuru wa kufanya biashara Nchini Wazawa.😮😮😮
@tomsijohni
@tomsijohni 5 месяцев назад
Kwanza naipongeza serikali kuweka wawekezaji wa viwanda na pia kusaidia vijana wa kitanzania kupata ajira. Sasa kitu muhimu mimi nasema ni hivi serikali anaweka viwanda mujini peke yake. vijana wengi wa vijijini hawapati hizo furusa za kazi kwa nini kwa nini serikali isiweke viwanda vingine vijijini. Dare salaam kuna viwanda vingi sana vijijini watu wanakufa na njaa
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 5 месяцев назад
Papa Gulumo ndiyo wamefika Tena Tunasubiri wa kutoka ulaya uwalete
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 5 месяцев назад
SAFI SANA HATA HAO WACHINA WALIKUWAGA KAMA SIS NA SIS TUTAFIKA HUKO
@danielkanso
@danielkanso 5 месяцев назад
Umakini unahitajika sana
@smartboytz4724
@smartboytz4724 5 месяцев назад
Ukute wanakuja kuweleza maduka kariako duhu
@innocentrichard2945
@innocentrichard2945 5 месяцев назад
Trust the chines tutengeneze kitu
@NadeemKhan-zo8dc
@NadeemKhan-zo8dc 5 месяцев назад
Mama oyeee watywaendeleekuiba
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 5 месяцев назад
Uchumi wa sasa upo kwenye fursa za kiuchumi ukimpa fursa ya kiuchumi umemmtajirisha nchi yako kizazi kijacho umekifukarisha.kula kodi ni kula makapi ya utajiri wa nchi. Mambo mengine yanatia aibu katika kufikiri.
@raphaelkatanga5335
@raphaelkatanga5335 5 месяцев назад
Uoooniuoongo hakuna wawekezajiapo jaakali wachina
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m 5 месяцев назад
Wamefwata kobe wa mboga
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 5 месяцев назад
😅😅😅😅
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m 5 месяцев назад
Hanna wawekezaji hapo siasa tu
@KasangaKalanga-vo6od
@KasangaKalanga-vo6od 5 месяцев назад
Uwekezaji inanufaisha serikali tu
@babajay3445
@babajay3445 5 месяцев назад
Hao miyayusho tuu hakuna wawekezaji hapo
@fxmeddy9567
@fxmeddy9567 5 месяцев назад
China ni watu wasiopenda vita hapo safi. Ila kwenye swala la uwekezaji ni majizi wakubwa hawa. Serikali iweke kipaumbele masilahi ya Tanzania na wananchi wake
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 5 месяцев назад
Huku tuendako hatutalima Mahindi tujipange kisaikologia
@saimonwantango9569
@saimonwantango9569 5 месяцев назад
Wachina na ubahili wao ila hawana shida tatizo ni mmarekani hatumtaki aisee,china safi
Далее
🍏 Устарели ОФИЦИАЛЬНО! 🤡
00:32
India's 'village of widows'
10:43
Просмотров 23 тыс.