Merci beaucoup, ma chanson préférée qui a beaucoup de l'inspiration , malgré je ne maîtrise pas encore le TSHUAYILI , mais ce catholique toujours au cœur 💓 de méditation profond
Refrain 1:Kwa nema yote uliyo nitendea sina kintu cha kukupa ilakukusifu wewe 1.Mtamwimbia bwana wangu n'ta mtukuza muumba wangu(bis) Refrain2:Nita mwimbia bwana wangu Nini? Nita mwimbia bwana wangu sifa. Aksanti Sana bwana kwa wema wako alleluya shangwe hozanna juu binguni 1.bwana wangu nakushangilia, wewe ndiwe muumba wangu sifa kwako 2.nafurahi kwa maana ni mwema ameni tendea mimi maajabu 3.bwana wangu uni saningiche kwa nguvu Yako unifaniye Ali 4.sifa iwe kwa baba na mwana ni mwema na kwa roho mtakatifu milele Amen
Please j'aime ce chant mais je ne maitrise pas de parole . Pouvez-vous m'aider avec le texte de la parole de chant. Merci et bonne suite sera à ma faveur.