Тёмный
No video :(

Kwanini Haifai kuleta dua ya kunuti katika swala ya Alfajiri? Jawabu la Sheikh Nassor Bachu 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 63 тыс.
Просмотров 64 тыс.
50% 1

Bonyeza neno SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele ili uwe wamwanzo kupata video zetu mpya.

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 87   
@hafidhhemed5002
@hafidhhemed5002 3 года назад
Wallah nikisikia saut yake moyo wang unafurah san ((nampenda ndani ya moyo wng)), allah akurehem na akusameh dhamb zak inshaallah
@abk1127
@abk1127 3 года назад
Aamin
@hajjiyasin4255
@hajjiyasin4255 3 года назад
Amiin tutakusikiliza mpaka siku ya qiyama
@ramlamohamed1955
@ramlamohamed1955 3 года назад
Allahumma aameen
@salehjuma935
@salehjuma935 11 месяцев назад
Aamiyn
@yasinali4377
@yasinali4377 10 месяцев назад
Amin🤲🏾
@ishakafaki3501
@ishakafaki3501 3 года назад
Shkrn jazakaAllaah khayran ALLAAH AKUPE MALIPO YA JANNA TULL-FIRDAUS NA ALIJALIE KABURI LAKO LIWE MIONGONI MWA BUSTANI ZA PEPONII
@abutafawa
@abutafawa 3 года назад
Allâh Amrehemu sheikh Nassor Bachu... Jazzak Allâhu Khayran akhii Mohammad Bachu nawe Allâh akuhifadhi.
@NinoNino-fm8dr
@NinoNino-fm8dr 2 года назад
Ooh Allah Msamehe shekh Wetu, Hakika Sisi tunampenda kwaajili yako
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 Месяц назад
Allha akupe pepo siku ya kwnz tu namsikia redio Iman nilitakabr Moja Kwa Moja Kwa Allha.
@vitalcool9266
@vitalcool9266 3 года назад
ALLAH amrehemu sheikh Nassor...jazakallahul khayr..
@mrishoshabani2597
@mrishoshabani2597 3 года назад
Ni role model wangu. Allah amrehem na amsamehe madhambi yake. Aamiin.
@yussufmussa8122
@yussufmussa8122 Год назад
Amiin
@warshysaid8564
@warshysaid8564 5 месяцев назад
Amiin
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 3 года назад
Allah Akupe Rehma Zake Ewe Sheikh Nassir
@yunnusmiraj529
@yunnusmiraj529 3 года назад
shukran ustadh allah amhifadh almarhuum sheikh nassir
@mudiabdala3406
@mudiabdala3406 3 года назад
Asante sana shehe wangu mpendwa. Ukweli ndo huo aneechukiya ukweli muache achukiye
@khaledrajab3830
@khaledrajab3830 3 года назад
jazakumu llahu khayr
@suleimankhatibjogoo7236
@suleimankhatibjogoo7236 3 года назад
Allah amrehemu sheikh wetu sheikh Nassor Bachu
@selemanishukrnzakaria2490
@selemanishukrnzakaria2490 3 года назад
ما له من محيص
@adammuhidin3016
@adammuhidin3016 2 года назад
allah akulaze pema peponi shekh wetu
@nassraissa717
@nassraissa717 4 месяца назад
Mashallah Allah akuĺipe kheri
@samirsaid762
@samirsaid762 2 года назад
Allah amueke pema peponi shekhe wetu nassor abdallaah Bachu
@fadhilimussa5067
@fadhilimussa5067 3 года назад
Allah maarhamhuu good leader in Islam
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 3 года назад
الله يرحمك رحمة واسعة
@abk1127
@abk1127 3 года назад
امین‌
@sakinat2527
@sakinat2527 3 года назад
اللهم أ مين يا رب العالمين
@suleimanissa9316
@suleimanissa9316 3 года назад
Jazaka llah
@alisimba4089
@alisimba4089 2 года назад
جزاه الله خيرا
@khalidkhaild208
@khalidkhaild208 3 года назад
Allah amrehemu insha allah
@akramomar3273
@akramomar3273 Год назад
Masha Allah
@user-xn2hp4iz6k
@user-xn2hp4iz6k 5 месяцев назад
Wallah Allah atakulipa kwa kile ulicho tuachia
@YussufSaid-ok4pu
@YussufSaid-ok4pu 8 месяцев назад
اللهم غفرله و رحمه
@user-rt5vq5vc3k
@user-rt5vq5vc3k 8 месяцев назад
Allha amrehemu shekhe Nasoro bacho
@ishakafaki3501
@ishakafaki3501 3 года назад
SHEKHH TUNATAKA ELIMUU JUU YA NAMNA BADA SWALA NINII KINASEMWAA KWAMUJIBU WA SHERIA NA SUNNA YA MTUME WETU MUHAMMAD SWALA NA SALAMU ZIWE JUU YAKE
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Год назад
اللهم رحمه وسكن فلجن
@KhamisHaroub-uj5ci
@KhamisHaroub-uj5ci 5 месяцев назад
Simba wa Allah ❤️❤️❤️ anangurum na kututowa tongo # Firdaus iwe malipo yako sheikh hakika umefikisha
@HassanMohamed-vs4re
@HassanMohamed-vs4re 3 года назад
Usiibezee elimu, Elimu ni bahari chukua kama ukiona haikufai achaa
@rashidmsita6588
@rashidmsita6588 6 месяцев назад
Allah ampe kher kubwa kubwa kipenzi cha wengi,hakika Darsa zako hazina mfano,sikupata kukuona ila nikikusikoa ni kama nakuona bayana kabisa
@daudijuma5914
@daudijuma5914 3 года назад
shukraaan
@yussufjumaomar5903
@yussufjumaomar5903 3 года назад
Asant sheikh
@KIMSwahili
@KIMSwahili 2 года назад
Alhdullah
@ismailnamtuma1830
@ismailnamtuma1830 2 года назад
rabbana ghfirlahu warhamhu
@ummually1918
@ummually1918 Год назад
Shekhe mohammed fuwata mokoba ya mzee allah amsamehe makosa yake
@fatmamohdmuhidini7663
@fatmamohdmuhidini7663 3 года назад
Allah amrehem
@YassirmohdAli
@YassirmohdAli 5 месяцев назад
Mung akup pepo na sis sot waislam
@Mwadaba
@Mwadaba 3 года назад
Asalam alykum brother nakuomba siku moja uelimishe watu au umma kuusu uwahabi na madhehebu mbalimbali
@saidmakame8867
@saidmakame8867 3 года назад
Uwahabi ni nini kwani brother...
@maryamshuraim4163
@maryamshuraim4163 3 года назад
Ashafariki zamani huyu shekhe
@cideboy4676
@cideboy4676 3 года назад
Sheikh nasoro bacho mwenyewe watu wanambeza kwa kumuita wahabi 😥
@kkutanzania5386
@kkutanzania5386 2 года назад
@@cideboy4676 Wahabi ni ni kwan
@asriyaaljabry27
@asriyaaljabry27 3 года назад
Kweli kabisa hiyo ni dua baada ya swala
@ibrahimmwilo1586
@ibrahimmwilo1586 3 года назад
🙏
@adammuhidin3016
@adammuhidin3016 10 месяцев назад
Simba uyoo Allah amlipe kheri
@huseninchasi
@huseninchasi 6 месяцев назад
Imamu shafi tunamfuata ww kama huleti kunuti kaa kimya usimtukane mwenzako
@abubakarnassor8280
@abubakarnassor8280 Месяц назад
no commandments but kumbusha hakika ww ni mkumbushaji maamuna wakiona ww unaondoka na wao haooo mbio nyingi hakuna nyuradi wala salamtume ila ww ukitulia pale utakumbusha in term of body language na wao watabaki kufanya nyuradi but ukiondoka na wao kma unawaruhusu na karne hizi tucdanganyane mtu akitoka masjid hakuna sehem m2 ataenda kaa kufanya nyuradi.😎
@husein202
@husein202 Год назад
ماذا الله
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 3 года назад
Hakika tumempeteza mtu muhmu ktk uislam, ww ulikuwa mkwel wala sio mbabaifu hakika bado tunakuombea dua
@aliomar612
@aliomar612 3 года назад
@Yahya tulitarajia mwanawe Muhammad bachu atarithi ilimu ya Marhum babake kule htaa yeye ameshika mambo ya Radi tuu....yasiyo nifaisha dini bali kuleta chuki na husma na kugawanya waislamu
@Mwadaba
@Mwadaba 3 года назад
@@aliomar612 hujamfatilia marehemu Allah amuifadh. Maana brother haleti chuki bali anasema ukweli na uzur haneni maneno take yeye ananukuu kutoka kwa mtume Muhammad S.A.W na wanzuoni sasa kosalake lipi kuelez umma kuusu itikadi potovu
@aliomar612
@aliomar612 3 года назад
@@Mwadaba naongelea mtoto wake Mohammed bachu sio Marhum mwenyewe
@aliomar612
@aliomar612 3 года назад
@@Mwadaba bro kurekebisha na kukosowa kma mtu amekosea nisawa kabisaa wala halina mjadala hilo....tatizo yeye anakosea kwenye kurekebisha kwake hatumia njia ya sawa na busara wala hikma yeye anakejeli na kudharau wakati kila mmoja ana ufahamu wake ulivyo fahamu wewe sivyo nilivyo fahamu kwahio inatakuwa hikma na busara katika kurekebisha pasi na hivyo inaweza kuwa chuki na husma kama ilivyo sasa inasababishwa na watu kma sheikh Muhammad bachu
@tandalesse4544
@tandalesse4544 3 года назад
Kuna hawa wanaojinasibisha na #Usalafy wakati mwingine huitafsiri QUR'AN kwa matakwa ya nafsi zao na si kwa kuwafuata #mufasirina katika #wajawema_walotangulia mfano kuna #Sheikh mashuhuri huko #Mombasa_Kenya ambaye aliitafsiri visivyo AYA ya 03 ya SURA ya 05(QUR'AN 05:03),yule na wengineo mfano wake,wanastahiri kufanyiwa ruduud ili wajirekebishe. Na hakuna lugha mbaya aloitumia Sheikh @Muhammad_Nassor_Bachu(الله amuhifadhi) katika kuwanasihi wanaokosea.
@wakwetu2444
@wakwetu2444 4 месяца назад
Sasa wanaoleta kunuti sala Yao haikubaliki?
@hajjisanga789
@hajjisanga789 9 месяцев назад
Kunut ipo ktk suna mtume alikua akikutut mpaka anaingia kaburini ktk swala ya alfajir lete hadithi inayo pinga hii hadithi sio maelezo
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 3 года назад
Simba huyo m/mungu amrehem
@nooroman2535
@nooroman2535 3 года назад
MashaAllah Mungu hakusamei makosa yako shelkh wetu shukra
@ahmadiibrahimahmadi3513
@ahmadiibrahimahmadi3513 3 года назад
Proffesor Sheikh Nossour Bachu Allah amrehem
@khamismbarouk9014
@khamismbarouk9014 3 года назад
Huo ndi ukweli ukweli usemwe2 at a w2 wkinuna
@daressalaamtanzania2736
@daressalaamtanzania2736 3 года назад
Na haijathibiti ktk kitabu chochote cha shafiy ninachosema qunut ni laazima
@khamikhan9998
@khamikhan9998 3 года назад
Mtume ﷺ alisali vipi sala ya Alfajir je! alikunuti? na kama alikunuti lete ushahidi wa hadithi sahihi.Na tufahamu tu mtume ﷺ amesema kuwaambia masahaba wasali kama walivyomuona yeye anasali maana yake na sisi tufanye hivyohivyo.Tunapokosea sisi ni kutaka kulazimisha kuweka majambo mahala ambapo si pake yawezeana kuwa jambo ni zuri lakini linafanywa wakati sahihi na mahala pake. Sharti za kukubaliwa Amal (matendo); 1.Mfanyaji awe Muislamu 2.Afanye kwaajili ya Allah 3.Afanye kama alivyofundisha Mtume ﷺ mwenye kufanya kinyume na hivyo hana ujira atakaoupata. Na Allah ndiye mjuzi zaid.
@EtihadBega
@EtihadBega 6 месяцев назад
Kamsome Anaa ibn maalik
@damondhamonaizbadowangu4559
@damondhamonaizbadowangu4559 2 года назад
kwa iyo tumfuate nan kati u ya imam shafii na said swadik
@hilalskanda3567
@hilalskanda3567 2 года назад
Vipi lei twaswali taraweh kwa jamaa na iwe sawa hilo na kuleta dua baada ya swala kwa jamaa isiwe sawa??? Yote haya hayakufanywa na mtume bali mawahabi wakubali tarawehe.!!
@adammuhidin3016
@adammuhidin3016 10 месяцев назад
mamb yanaend kielimu nasiyo kiakili tutafute sehem tusome
@khaledrajab3830
@khaledrajab3830 3 года назад
jazakumu llahu khayr
@fatumamwantumu4081
@fatumamwantumu4081 3 года назад
Mashalla Allah
Далее
Как дела перцы?
00:25
Просмотров 63 тыс.
NINI HUKUMU YA MTU ANAEISHI NA KIMADA
8:47
Просмотров 24 тыс.
JE QUNUT NI HARAMU
4:23
Просмотров 12 тыс.
MAISHA YA NDOA KATIKA UISLAMU NO 1  #SHEKHE NASSOR BACHU
40:01
NASSOR BACHU   MADHARA YA ZINAA
52:32
Просмотров 114 тыс.
Nassor Bachu, mawaidha ya kusisimua
15:15
Просмотров 46 тыс.