Тёмный

KWANINI POLISI WAZUIE MAANDAMANO! 

WACHOKONOZI
Подписаться 10 тыс.
Просмотров 3,4 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@josephatmkomi6573
@josephatmkomi6573 5 дней назад
Police=Public officer for legal investigation and criminals emergencies.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 5 дней назад
Ushagoogle mwenyewe 😂😂
@kwisa4899
@kwisa4899 5 дней назад
Ukiongea sana kuna uwezekano ukakosea au ukatoka katika mada hakuna kitu kinampatia heshima mtu kwa kusimamia ukweli wake .
@sindatongowi3412
@sindatongowi3412 4 дня назад
Hongera sana. Tena sana. Ingefaa uzunguke nchi nzima kufundisha hili somo.
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 5 дней назад
Hujakosea kaka ila watu hawajui kuandama ndio wanaona sifa watumie wapigwe hivyo kaka Leo nimekupenda❤❤❤❤❤
@MuslimYouthman
@MuslimYouthman 5 дней назад
HAYA WALE MNAOSEMAGA NAWAKUBALI SANA HAWA JAMAA KUNA STORI GANI HAPO YA MAANA LEO HATA MTOTO MDOGO HAWEZI KUWA NA FIKRA KAMA HIZI HAWA NI MAVI KABISA HAPO WAMEANZA KUJIPENDEKEZA NA KUKOSOA WANANCHI MAFALA TU HAYO HAYANA AKILI BANGI MATAKONI
@hhassan1094
@hhassan1094 5 дней назад
Kabisa ndugu yangu ❤
@josephmantago2837
@josephmantago2837 2 дня назад
Kumbe hawa jamaa ni ccm likija suala la ccm angalia wanavyolosemea angalia walivyomsifu Makonda na Tulia Aksoni
@eksielo
@eksielo 3 дня назад
Kweli kabisa mwanasaikolojia mkuu, maana hata hapa kariakoo kuna jamaa aliibiwa simu na wahuni flani, jamaa alipiga kelele kuomba msaada kwa watu lakini watu hawakujali. Kweli watanzania karibu wote ni waharfu. Asante kwa kuendelea kutusanua
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 5 дней назад
Nawakubaligi sana ila hapo mumechemuka wa jomba
@AntonyKawage
@AntonyKawage 4 дня назад
Ukijiona una akili saana busara hua inatokomea ,very factless
@ingozescopion
@ingozescopion 5 дней назад
Leo umechemka
@STEVENKAJUMBA
@STEVENKAJUMBA 5 дней назад
Leo mmechokonoa vbaya
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 5 дней назад
Mnao pinga wote hii content ya leo nyinyi ni walifu 😂😂😂😂😂
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 5 дней назад
Wa choko nozi
@lameckbuya7569
@lameckbuya7569 5 дней назад
Content ya Leo imekaa kichawa chawa
@samsoncheyo9275
@samsoncheyo9275 5 дней назад
Public Officer for Legal Investigations and Criminal Emergencies
@nixsonmkamba2895
@nixsonmkamba2895 4 дня назад
Sis sio watu dhaifu na sio waalifu sometimes police ndo waharifu
@eksielo
@eksielo 3 дня назад
Public Officer for Legal Investigations and Criminal Emergencies. Afisa wa Umma wa Uchunguzi wa Kisheria na Dharura za Jinai
@BitBroh
@BitBroh 5 дней назад
The long form of "POLICE" is "Public Officer for Legal Investigations and Criminal Emergencies." However, this is not an official acronym used by police organizations. The word "police" itself originates from the Greek word "polis," meaning city or state, and evolved into a term referring to individuals or organizations responsible for maintaining public order and enforcing laws.
@DaydreamHimself
@DaydreamHimself 5 дней назад
umeiweka vizuri sana, Police sio Abbreviation
@isaackmwakapala8663
@isaackmwakapala8663 День назад
Kwa hayo siwaelewi kwa sababu maandamano Ni njia ya kutolea hisia.
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 5 дней назад
Nawaelewa sana nyie jamaa 🎉
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 2 дня назад
Police nao mbona wengi ni wahalifu TU?.. Sasa raia ndiyo wanaonekana zaidi .
@IsayaJoseph-v3s
@IsayaJoseph-v3s 5 дней назад
People organization law investigation criminal emergence
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 5 дней назад
Kweli wengi hawajui maana ya Police 😂😂😂
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 5 дней назад
Hata nyie ni wahalifu na mna waogopa sana askari ndiyo maana mna shindwa kuwakosoa na mna wapamba ili wawapende
@NachaKing-nj7cp
@NachaKing-nj7cp 5 дней назад
Huna antena ww
@josephmantago2837
@josephmantago2837 2 дня назад
Kwenye siasa za nchi mmeferi sana kumbe ninyi mna marengo ovu ndo maana mnasema hakuna Mungu hpo naanza kuwaogopa japo kuna ninayowakubari
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 5 дней назад
Hujafikwa na polisi, we bogoma tu fala wewe
@FellaMbogela
@FellaMbogela 4 дня назад
NI HAKI KUANDAMANA ILA DUNIANI KOTE UNAPO ANDAMANA UJUE MISIBA NI LAZIMA NA UHARIBIFU, NA NDIO NJIA PEKEE YA KULAZIMISHA KUDAI HAKI
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 5 дней назад
Wewe intelejensia gani tanzania nanyie,rasilimali zetu zingeibiwa???nyie michawa tu ya ccm wasenge nyie
@allyrasi3515
@allyrasi3515 3 дня назад
Katiba inaruhusu kuandamana au hapana
@angelousfrank6945
@angelousfrank6945 5 дней назад
❤❤❤
@IshengomaRugemalila
@IshengomaRugemalila 5 дней назад
Tuko wote,mnaelimisha
@peterconrad6546
@peterconrad6546 5 дней назад
Kazi nzuri
@fmleli.tz2004
@fmleli.tz2004 5 дней назад
Hawa wamekuwa hovyo mapema
@assambakizamossi3948
@assambakizamossi3948 5 дней назад
Pamoja sana kila siku
@BarakaTito-f3u
@BarakaTito-f3u 3 дня назад
Memuona shemej etu anapika
@mhabimina4023
@mhabimina4023 4 дня назад
🔥🔥🔥👌
@hhassan1094
@hhassan1094 5 дней назад
Hapo mmefeli kuandamana ni popote pale sio lazima ikulu sauti ya raia ni kubwa sana na kwetu hatuiti POLICE tunaita askari au POLISI tutafsirie kerefu cha POLISI Hamna kitu hapo katafureni kazi mkafanye
@IsayaJoseph-v3s
@IsayaJoseph-v3s 5 дней назад
Duh ww kicha kigumu sana kuelewa katafute mwenyewe me nakupa hii. People organization law investigation criminal emergence
@hhassan1094
@hhassan1094 5 дней назад
@@IsayaJoseph-v3s kwa Kiswahili tunita POLISI au akari Polisi( POLICE ) ni neno la kingereza ndugu mwenye kichwa chepesi
@josephmantago2837
@josephmantago2837 2 дня назад
Hyo ikulu mnapita wapi hawa ni wagonjwa acha waropoke yaani mnasema vijana wa gz waende bungeni au Ikulu aisee mnatuchanganya
@SamsonSamsonkayanda
@SamsonSamsonkayanda 5 дней назад
Naawaamini sana wachokonozi
@denismasao520
@denismasao520 5 дней назад
Machawa
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 5 дней назад
Ni kweli wambie hao wasio elewa
@jacksonseleman4292
@jacksonseleman4292 5 дней назад
🙌🙌🙌
@kalidushimathias7236
@kalidushimathias7236 5 дней назад
Kwel
@BarakaTito-f3u
@BarakaTito-f3u 3 дня назад
Memuona shemej etu anapika
@BarnabasFabiani
@BarnabasFabiani 5 дней назад
Kazi nzuri
Далее
WENYE AKILI NDOGO WAENDELEE KUAJIRIWA
12:11
PESA YA MAGOLI YA MAMA, KUMBE NI SIASA!  WACHOKONOZI.
21:55
Random Emoji Beatbox Challenge #beatbox #tiktok
00:47
ASKARI POLICE WANAOGOPEKA, KWANINI?
11:46
Просмотров 5 тыс.
SHEIKH KISHKI AVURUGWA NA MASHARIF FEKI
29:55
Просмотров 14 тыс.
UISLAM SI DINI YA MWENYEZI MUNGU
17:24
Просмотров 39 тыс.
P DIDDY NA WACHOKONOZI
11:44
Просмотров 15 тыс.
WACHOKONOZI WAMJIBU MBARIKIWA. Part2
7:28
Просмотров 13 тыс.
BUNGENI
8:46
Просмотров 4,8 тыс.
MAWAKALA WA UKOLONI 《3》
14:09
Просмотров 8 тыс.