Тёмный

Kwanini tunasema siku zimekwisha,Yesu anarudi!|Day4_MCH.KATEKELA|MKUTANO WA INJILI SONGEA RUVUMA TZ 

PROMOVER TV
Подписаться 145 тыс.
Просмотров 37 тыс.
50% 1

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Опубликовано:

 

27 окт 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 114   
@MatildaMakawia
@MatildaMakawia 2 месяца назад
Asante baba injili iliyo hai ndio hii barikiwa sana.dhambi ikemewe kabisa
@Pastorsteverotali
@Pastorsteverotali 8 месяцев назад
WAKATI HUU WAHUBIRI WENGI HAWA SEMI UKWELI BALI WAMETEKWA NA MAGARI NA VITU VYA VIDOGO VIDOGO, HONGERA SANA MTUMISHI KATEKELA. PASTOR STEVEN - GEITA
@jameskotte-endtimegospel
@jameskotte-endtimegospel 6 месяцев назад
Naomba Yesu atupe neema zaidi pia mandugu zetu waokolewe uzuni umeja moyoni mwangu
@NANCYOBURA-co5ph
@NANCYOBURA-co5ph 6 месяцев назад
Ameeen I beliv u r a tru man of GOD....am following you from Kenya.....may GOD give you the strength and the grace to reach as many as you can with this gospel
@BintiMwambapa-ev6kw
@BintiMwambapa-ev6kw 8 месяцев назад
BWANA YESU azidi kuwatunza watumishi wa MUNGU, kazi yenu ni njema sana,mtalipwa msipo zimia mioyo
@ifrahimadam1114
@ifrahimadam1114 8 месяцев назад
Mungu tusaidie sisi wanao Ili tufike kwako mbinguni ee Mungu tunakuomba sana haya ni maombi yangu usitusahau na familia zrtu
@MichaelMathew-ke6bi
@MichaelMathew-ke6bi 9 месяцев назад
Hakika ww ni mtumishi wa Mungu. Yesu akufunike daima. Kila hatari haiwezi kukuona wala kukupata. Zaburi 121:7-8. Yesu Kristo ni mzuri daima. Amen.
@Soni-lt6oi
@Soni-lt6oi 2 месяца назад
Bwana Yesu asifiwe asante kwa hayo mahubiri ubarikiwe sana
@florakwayu5646
@florakwayu5646 9 месяцев назад
Mch Mungu amekuita kama kijana ilinuongee lugha moja nao wamrudie Yesu...🔥🔥Tunafaidikansana kwa mafundisho haya. Mungu akulinde na akuzungushie uzio wa moto,Haleluyaaa🔥🔥🙏🙏✍️✍️
@EnockMwachofi
@EnockMwachofi 12 дней назад
Amen mtumishi wa mungu mungu akulinde karibu taita taveta
@marysanga5310
@marysanga5310 Месяц назад
MUNGU Akubariki nabwana yesu akurinde maana kukutoa kule kzimu watu waambiwe habari za mipango ya shetani . tena ni neema anaye sikia injili yako nakuamini atubu nakuziacha dhambi ataokoka
@user-xk8eg8fm2v
@user-xk8eg8fm2v 8 месяцев назад
❤❤amen ubarikiwe saana mtumishi
@user-eu7xq1sg6b
@user-eu7xq1sg6b 2 месяца назад
Yesu uturumie
@user-pd6fh8fy8b
@user-pd6fh8fy8b 5 месяцев назад
May God uplift you higher and higher,am blessed,here inkenya
@Neema-qw4cr
@Neema-qw4cr 3 месяца назад
Jaman mungu akubaliki mutumishi wabwana
@evermayala5817
@evermayala5817 9 месяцев назад
Kumshinda adui ni kumjua. Haki tunazidi kumfahamu vyema adui yetu Sasa ni kunoa siraha zetu. Asnte sana Mungu kupitia watumishi wako mbali mbali unaowatuma kwetu. Yesu akija atubebe wote aminaa.
@user-yx3fe2mm7t
@user-yx3fe2mm7t 8 месяцев назад
Barikiwa mtumishi❤❤❤❤❤😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-df3jl4mc5c
@user-df3jl4mc5c 8 месяцев назад
Amina
@faithkavete2673
@faithkavete2673 9 месяцев назад
Much love from KENYA.nimependa mahubiri
@user-rj1ef6je8k
@user-rj1ef6je8k 17 дней назад
Aleluyah Mtumishi,ubarikiwe,Mwenyezi Mung aendele kukutumia
@RachelMethod-rt1qx
@RachelMethod-rt1qx 9 месяцев назад
Amen barikiwa sana
@user-df3jl4mc5c
@user-df3jl4mc5c 8 месяцев назад
Kazi ya mungu iendelee
@OdaBihimana-do6rb
@OdaBihimana-do6rb 27 дней назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@fideleemmanuel3035
@fideleemmanuel3035 8 месяцев назад
Amena, tunakusubiri makere mtumishi
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 9 месяцев назад
Amina Amina 🇰🇪
@Estherm309
@Estherm309 8 месяцев назад
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 guza ungatwe Shika uvimbe 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤mateso ya Adai kwetu Ni mingi sana YESU KRISTO atusaidie Mimi mtumishi naota Na familia yangu mara nanyogwa mara anafufuka anazikwa Tena 😢😢😢 Ni imagination ama Ni nini
@tujengeselemani3667
@tujengeselemani3667 8 месяцев назад
Mchungaji Mimi naitwa Tujenge natoka kigoma kata yakatubuka nitapataje kitabu chako ulichoandika kinachofundisha binu zakujikombowa
@user-gy1pb4ge5y
@user-gy1pb4ge5y 9 месяцев назад
Ubarikiwe ntumishi wa Mungu karibu Mozabique
@its_keziah77
@its_keziah77 9 месяцев назад
Amen, Bwana Yesu azidi kukuficha chini ya mbawa zake.
@user-on7uj1yy4s
@user-on7uj1yy4s 9 месяцев назад
Pastor kuja Kenya
@CattySamila-wg5eo
@CattySamila-wg5eo 27 дней назад
Be blessed Mungu anirehemu
@etoabwe3451
@etoabwe3451 9 месяцев назад
Asante mtumishi ujumbe huu umetukumbusha mda wa Bwana
@florakwayu5646
@florakwayu5646 9 месяцев назад
Ukisema ukweli,uongo unajitenga.bora uwe na waumini wawili wa kweli kuliko wengi wanaopenda kusikia wapendacho huku wakijdanganya...Usiogope wanadamu chapa injili na shuhuda za kukata na shoka ili watu wapone🔥
@oscanyakunga
@oscanyakunga 9 месяцев назад
Ameeen Ameeen Ameeen.🙏💪
@failaprince9250
@failaprince9250 9 месяцев назад
Amena amena mutumishi MUNGU atusaidiye miminawewe atupe mwisho mzuri
@linetmusee6431
@linetmusee6431 9 месяцев назад
Mina! Amina! Mtumishi!
@winnieawinondinya9140
@winnieawinondinya9140 9 месяцев назад
Naomba :mchungaji maombi juu mm niko pia inchi za uwarabu naomba Mungu anilinde ili nisijenikandugwa hio micro cheap yao hio Ee Mungu naomba unisaidie
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 9 месяцев назад
Kwà nini mnaenda kufanya KAZI kwà hao waarabu mashetani mkiambiwa waarabu waabudu shetani hawafai muwe mnaerewa kila siku mnaambiwa msiende huko hamsikii. Aaaa aisee hii dunia ni ngumu sana!!!
@philemonhakiza1648
@philemonhakiza1648 8 месяцев назад
pointi ya mavazi hapo nakuunga mkono,napingana nawewe pale unapo wezesha kusuka nywele kwa wanawake
@florakwayu5646
@florakwayu5646 9 месяцев назад
Asante sana Mch. Katekela. kwenye kwaya kumeoza.
@merekan5514
@merekan5514 8 месяцев назад
Amen.mtumishi karibu kenya.twakungoja.
@RahimaShujaa
@RahimaShujaa 9 месяцев назад
Amen Mungu akubariki mtumishi Amelia kwa kutuambia injili ya kweli
@MenesAlond-hy4ug
@MenesAlond-hy4ug 8 месяцев назад
Mungu atusaidiye tushinde dunia.
@Charles-nr6tm
@Charles-nr6tm 8 месяцев назад
Hakika mungu yu hai
@rosettenyandwi6334
@rosettenyandwi6334 9 месяцев назад
Hakika wewe ni mtumishi wa Mungu . Na Mungu akubariki mutumishi
@giffttymlemwa4523
@giffttymlemwa4523 4 месяца назад
Amen Yesu Kristo ni mwema, ni kwa neema zake.
@gracemachongwe431
@gracemachongwe431 9 месяцев назад
Asanteee kwa neema hii kwa watu wa Matimila na Songea
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 9 месяцев назад
Nakuunga mkono mtumishi, ukweli usemwe.
@margaretnekesa2019
@margaretnekesa2019 9 месяцев назад
Amen. Baba. Yangu. Wee. We. He
@samuelakanga5586
@samuelakanga5586 2 месяца назад
16 Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;
@user-ge4dz1re7e
@user-ge4dz1re7e 2 месяца назад
Mimi nabarikiwa sana mchungaji ila nakuomba upange safari ya kuja mwenyewe taveta kenya
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 9 месяцев назад
Hakika Kazi ya Mungu Haina Makosa,umeitwa n'a Mungu mwenyewe sio mchezo
@user-df3jl4mc5c
@user-df3jl4mc5c 8 месяцев назад
Nimekuona mtumishi wa mungu nisikilizaga ushuhuda wako
@akothchristine4752
@akothchristine4752 9 месяцев назад
Yeah glory glory hallelujah Jesus is coming back soon
@loreenakinyi5592
@loreenakinyi5592 9 месяцев назад
Karibu Kenya mtumishi
@oscarkalihamwe1621
@oscarkalihamwe1621 9 месяцев назад
Mafundisho ni mazurii ni mebarakiwa mtumishii
@RahelSalumu-pm9qx
@RahelSalumu-pm9qx 9 месяцев назад
Hakika Bwana ni mwema sana
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 9 месяцев назад
Injili ya kweli kabisa…YESU KRISTO ni BWANA na MUNGU….tumebarikiwa kuusikia ujumbe huu!
@fitinamarando
@fitinamarando 9 месяцев назад
PROMOVER TV mbarikiwe day 5 siioni
@user-28Gerardineakimana
@user-28Gerardineakimana 9 месяцев назад
Mungu naomba mwisho mwema kwahiyo siku
@CharlessZakayo
@CharlessZakayo 2 месяца назад
Mingu nanakubariki mtumishi wa mungu
@dorissamwel4575
@dorissamwel4575 3 месяца назад
Asante kwa YESU
@user-tb2jg9ct5b
@user-tb2jg9ct5b 9 месяцев назад
Kiukweli niliendaga kwa mkutano ikawa hivyo muimbaji amevaa kiganga na wimbo wake nikama singeli kwakwel sikubarikiwa
@CharlessZakayo
@CharlessZakayo 2 месяца назад
Ubarikiwe mtumishi
@MLIMA-WA-BWANA
@MLIMA-WA-BWANA 5 дней назад
Amen Sana
@JeanneNdayicariye
@JeanneNdayicariye 3 месяца назад
Amiina balikiwa mtumishi wa mungu
@AsribyNera-kf3cm
@AsribyNera-kf3cm 8 месяцев назад
Ukwelikabisamtushi emunguwetu uliyejaaneemakubwanahombaunisahidiyemwishomwema
@its_keziah77
@its_keziah77 9 месяцев назад
Ameeen injili tamu na ya kweli
@user-qc6ns8fx6q
@user-qc6ns8fx6q 9 месяцев назад
yesu
@joshuabartonpolelaab4985
@joshuabartonpolelaab4985 8 месяцев назад
hapana BWANA😁😁😁😁
@florencekasambula6497
@florencekasambula6497 7 дней назад
😂
@KasyokaKimanzi-pf2wp
@KasyokaKimanzi-pf2wp 11 дней назад
Wah nimeokoka mara Mia 😭😭
@johnmizunguofficial
@johnmizunguofficial 8 месяцев назад
Safi
@gracemachongwe431
@gracemachongwe431 9 месяцев назад
Utukufu kwa MUNGU kwa ajili ya Injili ya kweli ya MUNGU kwa kizazi hiki
@kakaemanuelelias6963
@kakaemanuelelias6963 9 месяцев назад
Ameeee ila leo nimeona maajabu mtumishi hapa dar msikiti mmoja wamekuja pale wasichana na wavurana kama 40 chaajabu baada yamda msikiti wote mlendani mabinti kalibu wote wakapandwa mapepo vikawa vilio sasa sijui kulikua nani wakati ilikua nisiku ya jumamosi MUNGU Tusaidie
@VeraSaimon
@VeraSaimon 3 месяца назад
q
@tumpedaudi6681
@tumpedaudi6681 2 месяца назад
Ee MUNGU UTUREHEMU 😭😭😭
@user-gy1pb4ge5y
@user-gy1pb4ge5y 9 месяцев назад
Amém❤
@preciousgrayson2021
@preciousgrayson2021 9 месяцев назад
Ameeeeeen
@user-df3jl4mc5c
@user-df3jl4mc5c 8 месяцев назад
Ameee kubwaaa
@fwambamarkd5735
@fwambamarkd5735 9 месяцев назад
Sio mbali mtumishi hapa kenya jana tume train kutengeneza smart card inamaana kilakitu itakuwa humo ikuwe driving license
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 9 месяцев назад
Na kisiii uliona wanasema kesha ya kanisa ulipe 20 ks ukitaka kesha
@fwambamarkd5735
@fwambamarkd5735 9 месяцев назад
@@getrudeliyayi8050 hatari sana mpendwa
@BerylSeer1
@BerylSeer1 9 месяцев назад
Amiinna
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 9 месяцев назад
Hallelujah
@Allmediaworldvrf
@Allmediaworldvrf 9 месяцев назад
Ameeenn saaannnna
@JeremiaShimba-cq8mq
@JeremiaShimba-cq8mq 9 месяцев назад
Yesu anatupenda tumtii
@leonidasbzzojoyhatung3118
@leonidasbzzojoyhatung3118 9 месяцев назад
Barikiwa sana mchungaji na promover TV
@KulekatsengeHaruni-sb6qc
@KulekatsengeHaruni-sb6qc 9 месяцев назад
Amen
@AminaKyungu
@AminaKyungu 3 месяца назад
Tena huyo sio mwamba Yesu pekeake ndio Mwamba
@AKIMANAAfsa-ki3vk
@AKIMANAAfsa-ki3vk 8 месяцев назад
Mutumichi wamungu unskuwa wapi??
@JacklineMoti
@JacklineMoti 9 месяцев назад
Amen 🙏🙏
@HarryMbale-ie1ex
@HarryMbale-ie1ex 9 месяцев назад
AMEN
@winnieawinondinya9140
@winnieawinondinya9140 9 месяцев назад
Amen 🙏 🙏
@philipsimiyu2443
@philipsimiyu2443 9 месяцев назад
Macho Yao itiwe giza
@user-sx6xb2hg3l
@user-sx6xb2hg3l 9 месяцев назад
Ameeen ❤❤
@NaftaliMhemi-du5re
@NaftaliMhemi-du5re 8 месяцев назад
500/= kikombe cha babu. Jamani taabu tupu
@NaftaliMhemi-du5re
@NaftaliMhemi-du5re 8 месяцев назад
500/= kikombe cha babu. Jamani taabu tupu
@user-on7uj1yy4s
@user-on7uj1yy4s 9 месяцев назад
True
@naomicharles5444
@naomicharles5444 4 месяца назад
Link ya kujiung na gruop la watsap plz
@MaikoChisauke-bt8wo
@MaikoChisauke-bt8wo 9 месяцев назад
Tufundisheni Ili tufike kwake alietufilia msalabana
@user-28Gerardineakimana
@user-28Gerardineakimana 9 месяцев назад
Amen Amen amen amen
@luciasteven3314
@luciasteven3314 9 месяцев назад
😂😂wanakwaya kwazikeni ila vidonge mmevipata 😅😅❤❤
@JaneDoe-hf3zy
@JaneDoe-hf3zy 9 месяцев назад
Ameen
@vailetlemenya6576
@vailetlemenya6576 9 месяцев назад
🙏🙏🙏💪
@PolycarpTC-SDB
@PolycarpTC-SDB 8 месяцев назад
May be those things are there, yees, but rather than narating them to the poor and innocent and desperate souls, keep them with you and gove only a message of hope accompanied by prayer. You narrating them all to them doesn't help anything rather that kuwakatisha tamaa ya kuishi
@user-rj1ef6je8k
@user-rj1ef6je8k 17 дней назад
Ameeen,Mtumihi waMungu Hongera kwa kweli waMungu
@user-kd8cb7es8k
@user-kd8cb7es8k 4 месяца назад
Amina
Далее
Вопрос Ребром - Субо
49:41
Просмотров 1,4 млн
THAMANI YA WOKOVU; MWINJILISTI AMIEL KATAKELA.
31:51
Вопрос Ребром - Субо
49:41
Просмотров 1,4 млн