Тёмный
PROMOVER TV
PROMOVER TV
PROMOVER TV
Подписаться
Calls/What'sApp:+255 784 074 462 / +255 766 294 335
Karibu kwenye Channel ya PROMOVER TV.Hapa utapata shuhuda na simulizi za kweli zitakazo kujenga kiroho na kukupa mafundisho mbalimbali.Pia utapa mafundisho,mahubiri,semina,habari,nyimbo na taarifa za injili.Tutafte facebook instagram na twitter kwa jina hilo hilo la PROMOVER TV
Комментарии
@nyamweruhuruma9628
@nyamweruhuruma9628 14 часов назад
Ubarikiwe sana, Baba MCHUNGAJI,Hakika huduma yako ni njema.
@KemmyPrince-r4l
@KemmyPrince-r4l 16 часов назад
Hahahahhahaha uyu mchungaji jau ety kama hutoi sadaka toka kanisan
@Priska247
@Priska247 18 часов назад
P1 na zingine Tafuteni azo chini ya vyumba 351 vya kuzimu
@user-yk5re9qt6w
@user-yk5re9qt6w 18 часов назад
Thobias svitalic :ukataeeeee, uwitike ,nikweli yesu anarudi wew lala tu na ukule na ufanye Zambia t2.
@ElizabethNgusway
@ElizabethNgusway 19 часов назад
Ooh mungu akubariki mtumishi wa mungu hakika mimi na barikiwa sana
@MaikoRashku
@MaikoRashku 19 часов назад
Kiburi kinakusumbua wewe, hata akili ya kuvaa chupi auna
@marsianamsunza8172
@marsianamsunza8172 20 часов назад
AMEN UBARIKIWE
@ElizabethNgusway
@ElizabethNgusway 20 часов назад
Safi sana mtumishi wa mungu
@tumpedaudi6681
@tumpedaudi6681 23 часа назад
AMEN
@SarahMussa-w2k
@SarahMussa-w2k 23 часа назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏♥️👍👍
@SarahMussa-w2k
@SarahMussa-w2k 23 часа назад
🙏🙏🙏🙏🙏♥️👍❤️
@utawalarecordstudiosnairob5929
Somo zuri sana mtumishi wa MUNGU. Nabarikiwa sana kwa jina la YESU
@SelinaDorcas
@SelinaDorcas День назад
Acha kujitetea monekano wako uko tofauti na yesu unaye mtaja
@user-fu6fx8if6w
@user-fu6fx8if6w День назад
Good news the same binamu is now born again after having several encounters with our messiah Jesus Christ.🙏
@janetsirma
@janetsirma День назад
God help your servants.
@IsackIsaya-bi2hj
@IsackIsaya-bi2hj День назад
Jmn njoo mtumishi wa mungu na dodoma
@annkim2690
@annkim2690 День назад
Glory to God
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z День назад
Amen Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa neno hili.
@HariytAsd
@HariytAsd День назад
Amen mungu nipe mwisho mwema😢
@sallymumia8425
@sallymumia8425 День назад
Hallelujah, hallelujah for this changing powerful testimony,to transform I pray that prophet to visit. Us,Kenya,we need this..and the whole promover TV...
@PromovertvTz
@PromovertvTz 15 часов назад
Amen,kwa neema ya Mungu
@user-gr7in2mb4w
@user-gr7in2mb4w День назад
Wanadamu wanashingo ngumu mbingu niyawachache mama
@JumaStanslaus-ds1qu
@JumaStanslaus-ds1qu День назад
MUNGU akulinde
@Priska247
@Priska247 День назад
Mubarikiwe na Bwana Yesu Christo kwa kutufikishiya ushuhuda na kuweka translation ya kingereza 🎉
@borntosucceed6877
@borntosucceed6877 День назад
Amina mmbarikiwe na Bwana tunatamani Aston aje 🇺🇸 USA
@borntosucceed6877
@borntosucceed6877 День назад
Amina nimebarikiwa
@MuyiMumbere
@MuyiMumbere День назад
🇨🇩🇨🇩🇨🇩 niko makini sana kukusikiliza kutoka congo drc,
@christinaisanguisangu2974
@christinaisanguisangu2974 День назад
Sasa kama mlioana hamjaokoka mkaja kuokoka inapasa kufanyaje kwenye hiyo ndoa
@toshalulinda1493
@toshalulinda1493 День назад
Amen
@ElineMakundi
@ElineMakundi День назад
Nina ndiyo kwa YESU amen
@tumpedaudi6681
@tumpedaudi6681 День назад
AMEN
@rttfft7861
@rttfft7861 2 дня назад
AMEN
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 2 дня назад
Barikiwa sna Nabii wa Mungu aston Adamu mbaya kw shuhuda hizi 🎉
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 2 дня назад
Nabarikiwa sana n ushuhuda huu Kw nabii Aston Mungu akupe maisha marefi🎉❤
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 2 дня назад
Amen
@NeemaJonathan-d2e
@NeemaJonathan-d2e 2 дня назад
😅😂😂😂😂😂 mecheka..me naamini katika Imani ya mtu na Mungu huangalia moyo WA mtu sio mavazi
@jeniphatemu2937
@jeniphatemu2937 2 дня назад
YES, WE LOVE YOU ALL , MBAYA IS OUR LOVELY SERVANT OF GOD. MAY GOD BLESS HIS FAITHFULLY.
@user-bo7hp4hh1x
@user-bo7hp4hh1x 2 дня назад
Katekela njoo dodoma nzuguni huku watu wamemalizwa na mtume wa maji na mafuta na keki njoo nzuguni A Dodoma njooo
@angelibrahim5539
@angelibrahim5539 2 дня назад
😢kwaiyo wewe huwamini Kama nikwer Murize Bwana
@LucyWanjiku-bp7nd
@LucyWanjiku-bp7nd 2 дня назад
Shalom mtumishi Aston...Mnaowasiliana na jacktan mwambieni ajichunge sana na katekela kimaombi hata shetani hujigeuza kuwa malaika
@user-bo7hp4hh1x
@user-bo7hp4hh1x 2 дня назад
Unamaanisha nini kuhusu Amiel katekela???
@user-bo7hp4hh1x
@user-bo7hp4hh1x 2 дня назад
Relax huyu n mtumishi wa Mungu alie hai wa mbinguni
@JeremiaMwamuzi
@JeremiaMwamuzi 2 дня назад
Asante yesu
@Priscilla-w3r
@Priscilla-w3r 2 дня назад
Ubarikiweee san
@FollowGospelSingers
@FollowGospelSingers 2 дня назад
Mungu akubaliki Sana kwa kazi nzuri sana kurudi kwa yesu bwana namwokozi wetu wa maisha
@LylianeBauma
@LylianeBauma 2 дня назад
Amen
@tulibakobellon1235
@tulibakobellon1235 2 дня назад
Bwana YESU akutunze Mtumishi wake.
@lightnessshirima5445
@lightnessshirima5445 2 дня назад
Hakika Yesu ni mzuri sana
@neemamwalende9740
@neemamwalende9740 2 дня назад
Asante mfalme wa falme
@christineamukoye3920
@christineamukoye3920 2 дня назад
Jee lile tawi elisha alitumia kulitoa shoka lililokuwa limetumbukia majini likaelea sionguvu aliziweka kwa hilo tawi. Na ile vitambaa za Paulo alitumana kwenda kuwekelea kwa wagonjwa wakapono haikuwa nguvu za MUNGU kwa hivyo vitambaa. Jee kwa keki itakosaje kuwekwa. Shida yetu wakristor tuna ile wivu na kuwapiga vita walio pewa maono tofauti. Ndio maana shetani anatupeperusha kama makabi ya ngano. Hapa babu unawapotosha wengine. Ungewaambia wachunguze kila nguvu sio za MUNGU. Maana shetani naye hutumia hiyo njia kuwapotosha wengi
@peshkaris1801
@peshkaris1801 2 дня назад
Amen be blessed man of God 🙏🏽🇰🇪
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o 2 дня назад
Kuna mawakala wa shetani walioingia kwa siri ktk vyuo vya Biblia, ndiyo hupotosha wachungaji vyuoni humo.
@aidanibrahim5034
@aidanibrahim5034 2 дня назад
Hongera kwa ushindi