Тёмный

Kwanini Watu Wengi Wanapoteza Ndoto Zao? 

Joel Nanauka
Подписаться 291 тыс.
Просмотров 33 тыс.
50% 1

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 119   
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 2 года назад
Mara nyingi kaka masomo yako yanatia sana moyo,barikiwa sana kaka
@barakayohanasanga3005
@barakayohanasanga3005 3 года назад
Wewe ni mlango wa mafanikio ya wengi, Mungu akuongeze hekima, maarifa, busara na wingi wa siku duniani.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Ameen Ameen, tuendelee kuombeana afya njema na maisha marefu
@hassanihassani7154
@hassanihassani7154 3 года назад
Umenitoa mbal kaka bdo tuko pamoja
@hassanihassani7154
@hassanihassani7154 3 года назад
Kwel heshimakubwa zikufikie joer By yahaya tbr
@anithamosha8719
@anithamosha8719 3 года назад
Thanks brother unasemaa ukwelii
@gracenamuchimba4960
@gracenamuchimba4960 Год назад
Amina ubarikiwe Somo hili limenibariki sana
@nasrakiango5097
@nasrakiango5097 Год назад
Mwenyezi MUNGU akubariki sana, kwa kuwafanya watu wengi wajitambue na kutokata tamaa katika maisha, na kusonga mbele.
@kennedymwaipopo5812
@kennedymwaipopo5812 3 года назад
Joel u are a blessing to me and to this nation of Tanzanian may God bless u indeed....
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Ameen Ameen Kennedy, keep praying for mee
@saidkanyonge912
@saidkanyonge912 3 года назад
Daaah mungu akujaalie kwakweli brother maaana nilikuwa nishaanza kukata tamaa katika ndoto yangu ya kuwa mchezaji mkubwa maana naona nilio kuwa nao wanafanikiwa Mimi bado nasota hakika Leo imetokea tu kuangalia lakini ghafra nimepata nguvu ya ajabu sana Allah akusaide dahh
@breezy9398
@breezy9398 3 года назад
Be blessed Mr Joel hongera sana 👍
@pambagoody4443
@pambagoody4443 3 года назад
Uko vizuri Joel, mtu akifuata mawazo yako lazima afanikiwe sn
@edinajackson4441
@edinajackson4441 3 года назад
Kaka umenifungua macho mungu azidii kukupa maarifa zaid na zaid ili uwendendelee kutufundisha, nimejifunza mengi kwak na naendelea kujifunza... Ubarikiwe sn
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Ameen, nashukuru sanaa
@mariammaligwa8887
@mariammaligwa8887 3 года назад
Najisikia kuanza upya naamini nitasimama tena, Asante Kaka!
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Kabisa Mariam, usikubali kuishia njiani
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 3 года назад
Mungu aktangulie sana Brother @Joel nanauka maana umenifanya niwe nawafunguwa macho vijana wengine ninaokutana nao nguvu uliiona kwako ukaigawa kwa jamii 💎💪🤝🙏🙌
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Wow wow, safi Sana.Endelea kufanya zaidi na zaidi
@bensonbenezeth
@bensonbenezeth 3 года назад
Asante Joel umenigusa. May God bless you
@mickdardabdul3016
@mickdardabdul3016 3 года назад
Asant brother kwa Elimu unayotypatia mwenyezi mungu akubaliki sana katika yako.🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Ameen Ameen
@richardmbasha2404
@richardmbasha2404 2 года назад
@@joelnanauka Yani Kila ninapo kusikiliza napata mwanga mpya
@kwangukazungu8299
@kwangukazungu8299 3 года назад
I appreciate you my brother, God bless you
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Ameen 🙏
@mahambagislain9618
@mahambagislain9618 2 месяца назад
Asante ku nitia moyo kaka majeraha nimengi muno 🎉🎉✍️🇨🇩
@kimsoudy9096
@kimsoudy9096 3 года назад
Thanks kwa mafundisho yako kaka joel mungu akubless my kaka thanks kwa darasa lako
@hamidaa3886
@hamidaa3886 3 года назад
Ma Shaa Allah Nikweli maneno yako
@willy_breeze
@willy_breeze 3 года назад
God bless u bro unan jenga kwa meng mungu akuweke dunian mda mrefu ili tupate maarfa
@yohanageorgekika2240
@yohanageorgekika2240 3 года назад
Nc
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Ameeen
@mlokahassan4882
@mlokahassan4882 2 года назад
Shukran san brother 🙏
@chrischrlesc5856
@chrischrlesc5856 Год назад
Asante sana kwa mafundisho mazuli
@nelsonmpolochacha5035
@nelsonmpolochacha5035 3 года назад
Nakuwa mwepesi sana wa kukubaliana na hali inayotokea(hasa upande wa kushidwa) naona kama sina ile nguvu au sauti ya ndani inayonitia kusonga mbele.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Anza hatua ya kwanza
@charzysimion9055
@charzysimion9055 3 года назад
Vitu vingi nimebadilika kupitia ww🙏🙏🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Nashukuru sanaaaa
@aminamyeluka7848
@aminamyeluka7848 3 года назад
Asante sana kaka Mungu akubarki
@gailamipawa8664
@gailamipawa8664 3 года назад
Maarifa mapya nimepata katika siku ya leo ubarikiwe sana
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Ameen Ameen Gaila
@neemalino5945
@neemalino5945 2 года назад
Asante kaka joel maarifa nimepata kwa leo
@nwntz
@nwntz 3 года назад
SIKATI TAMAA KABISA, SIJILINGANISHI, AM KEEP GOING NINA VIEWS 6 TU KWENYE CHANNEL ILA 1ML VIEW PER DAY INAKUJA TU...LOVE YOU BROTHER NANAUKA
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Keep going,hakuna kukata tamaa
@jumasebe_0018
@jumasebe_0018 3 года назад
Asante bro Joel Nanauka
@yusufumajinge59
@yusufumajinge59 3 года назад
Safi nanauka,nimekuelewa sana.Barikiwa sana.
@timekombo3991
@timekombo3991 3 года назад
Asante sana kaka
@amoswilliam8907
@amoswilliam8907 3 года назад
Hongela sana bro sana tena sana wew nizaid ya mwalimu nakukubali mno
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Pamoja sana Amos
@muutasimrashid135
@muutasimrashid135 3 года назад
Ahsante
@ashurakubira2682
@ashurakubira2682 3 года назад
Asanteee kaka
@langatkipkikrui2047
@langatkipkikrui2047 3 года назад
Napenda saaana himizo lako, God bless u 4 me aki
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Ameen Ameen
@dirshittz9134
@dirshittz9134 Год назад
Thanks u so much
@najayohana2111
@najayohana2111 3 года назад
Asante kaka namba123 vyote vinanihusu imefika wakati nafanya kitu tofauti na ninachokipenda kwajili ya kukata tamaa
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 3 года назад
SHUKRINI BRO
@boscobalame8018
@boscobalame8018 Год назад
Waoooh naelewa Sana Darasa laok
@Happiness_Dream_Big
@Happiness_Dream_Big 3 года назад
Barikiwa Joel
@nurdinchilambo1486
@nurdinchilambo1486 3 года назад
Aisee brother shukran maisha yanahtaji sana darasa za sampuli hii
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Pamoja sanaaa
@nurdinchilambo1486
@nurdinchilambo1486 3 года назад
Ok
@emmanuelabiud5867
@emmanuelabiud5867 2 года назад
Hii video ningeipata kabla ya Mwaka 2022 kuanza, basi ningekua mbali sana😞
@paulinambelwa6188
@paulinambelwa6188 3 года назад
Mungu akubariki nakupenda mno
@amosafrica2350
@amosafrica2350 3 года назад
Kwangu umefanyika baraka kaka Joel. Unanifungua kila siku ninapojisikia kufungwa!
@heriethnyaki4816
@heriethnyaki4816 3 года назад
Umefanikiwa mana umeleta mabadiliko kwenye maisha ya watu wengi hata mim
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Herith nashukuru sanaaa
@niriacatering172
@niriacatering172 3 года назад
Asante sana
@pascalmanyelezi3608
@pascalmanyelezi3608 3 года назад
Thanks 🙏🙏🙏
@josephboniface7506
@josephboniface7506 3 года назад
See you at the top@" 🙏🏼
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
See You At The Top
@jovinmutakumwa9611
@jovinmutakumwa9611 3 года назад
🙏at the top
@rahimaaziz8970
@rahimaaziz8970 3 года назад
Mungu akubriki kk Joel
@festoantony4673
@festoantony4673 3 года назад
Kutilia shaka uwezo wangu.
@shukranjulius5910
@shukranjulius5910 3 года назад
Kaka Mungu azidi kukupa maono mengi barikiwa zaidi hakika umekuwa mbaraka mkubwa kwetu
@بلغوعنيولوأية-ض6ر
@بلغوعنيولوأية-ض6ر 3 года назад
Kaka joel mungu akuzidishie
@vicentbjohn
@vicentbjohn 3 года назад
Kaka Joel hii ya mwisho "settling for less" umenigusa sana . naifanyia kazi
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Please, ifanyie kazi usonge mbelee
@vicentbjohn
@vicentbjohn 3 года назад
*Sawa asante sana and meet me at the top* 'I will be uncomfortable until am fulfilled in my dream.'
@amanimbichitriplea3726
@amanimbichitriplea3726 3 года назад
That true bro
@frankmwatosya132
@frankmwatosya132 3 года назад
ahsante kaka yani unavyosema nikweli kabisa
@jeyshillyjack4470
@jeyshillyjack4470 3 года назад
Wow,see u at the top💓
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
See You At The Top
@richardmadede9974
@richardmadede9974 3 года назад
Wewe ni mtaji wa waliofilisika kiuwezo wa fikraa
@abubakarjuma2711
@abubakarjuma2711 Год назад
And money also
@omarysabih507
@omarysabih507 3 года назад
Big up my bro,,,
@miracleslike191
@miracleslike191 3 года назад
#more then knowledge
@shimiyusuleman1432
@shimiyusuleman1432 3 года назад
Kweli hata mm nilikuwa na wasiwasi
@salmamacha517
@salmamacha517 3 года назад
Napenda sana kukusikiliza nna imani ntapata nguvu na ntainuka tena nilijaribi kujiajili mwenyewe nikafeli na nikapoteza pesa nyingi sana kwa sasa jimerud kwenye kuajiriwa tena lakin nataman sana kuacha kaz na nijiajili ila cjui ntaanzia wapi msaada tafadhali
@protazipius6281
@protazipius6281 3 года назад
Nashukru sana kaka Joel mimi unaishi ndani yangu toka 2014 nimepiga atua sana sana kwa kusikiliza video zako cha ajabu siku ya kuamkia leo 12 ,04,2021 nimeimbiwa pikipiki yangu nimeamkia police nimerudi nyumbani ikanibidi nipumzike kidogo wakati niko kitandani nikasema ngoja niweke bando jabo kwa sasa bando lenyewe unapewa tone ili niweze kupitia video zako kufungua tu ikaingia video hii apa kama umeandaa kwa ajili yangu imenipa matumaini upya nashukru na mungu azidi kkuinua
@lesusi7872
@lesusi7872 3 года назад
Mm naandika kabisa ili cku nikikosa ytb narejea daftari
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Safi sanaaaa
@adamumsangi8389
@adamumsangi8389 7 месяцев назад
Docter naomba no yako unisaidie jambo langu.
@albertmbwilinge5449
@albertmbwilinge5449 2 года назад
📝💥
@King_David2.
@King_David2. 3 года назад
Value education mengine hayo Ni kuhangaika tu😁😁
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 года назад
🙌💐
@abubakarjuma2711
@abubakarjuma2711 Год назад
Lack of saporting
@eliviraedward9466
@eliviraedward9466 4 месяца назад
Mimi natamani vijana Tz na watu wa Dunia wakusikie
@isayasemwali671
@isayasemwali671 3 года назад
Kutokujiamini kumeangusha watu wengi hasa pale unajaribu kufanya jambo ukakatishwa tamaaa!!!!
@queentellynyaga2645
@queentellynyaga2645 3 года назад
👌
@mlengetheson6745
@mlengetheson6745 3 года назад
💯
@yassirmohammed5067
@yassirmohammed5067 3 года назад
PESA NDIO ILOUWA NDOTO YANGU, KWANZA NITAFUTE PESA WALAU KIDOGO
@pendorose8056
@pendorose8056 3 года назад
Kaka Joel mm nakuwa muoga kufanya jambo langu na ninaweza nikapanga vizuri lakini nikitaka kuanza nakata tamaa,nisaidie katika hilo kaka
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Amua kuanza.Hofu ya KUANZA huondoka kwa KUANZA
@tumwesigekayungi1709
@tumwesigekayungi1709 3 года назад
Hicho kitabu nakipataje
@tumwesigekayungi1709
@tumwesigekayungi1709 3 года назад
Daa umenipa nguvu ya kuamka na kuanza Tena kaka....
@ammaaaar
@ammaaaar 3 года назад
Nahisi Kila Ninalolipanga linatokea kuwaudhi watu wakt hii haikuwa nia yngu..
@azizaisack2572
@azizaisack2572 3 года назад
Asant San kaka
@filchesimishirima1301
@filchesimishirima1301 3 года назад
Mr Nanauka kwanza hongera sana kwa uwezo mkubwa wa ushawishi wa kiuchumi pamoja na ushawishi wa kufanya watu kutokata tamaa regardless na alicho kutana nacho... nimejaribu sana kukupata kwa simu yako ya mkononi nilitaka unisaidie.. please naomba nitext number yako nikupigie .... filly_s79@yahoo.com
@sadaseif8286
@sadaseif8286 3 года назад
Kaka Joel yaan kunakitu kimekwamwisha sina raha ndoto zangu naona iko mbali sijui nifanyaje
@evahedwin8174
@evahedwin8174 3 года назад
Ww ndomie nilikua nafanya kazi ambayo inanilipa vizuri dah nilivyoolewa 2 naona kama ndoto zangu zinapotea mbele ya macho yangu yaaan cjui atanifanyaje kuna muda natamani ataniachike ..ilinikasake maisha yng
@simonrwiza4829
@simonrwiza4829 3 года назад
Kiukweli kikawaida kunawakati maneno ya watu na vitisho vinarudisha maendeleo nyuma
@maryamsaid1307
@maryamsaid1307 Год назад
Kabsa
@nurdinchilambo1486
@nurdinchilambo1486 3 года назад
Brother naangalia hii video point ya kwanza na yapili nmecheka sana ulivyo zielezea ni ukweli mtupu, acha nimalizie kuskiliza
@zulekhaomar9060
@zulekhaomar9060 3 года назад
Ndio mm nilipewa msingi na mume WANGU nikafanya biashara lkn msing wote ulikufa mpaka leo najiona nimekata tamaaa kwa Hilo sijuw nifanye nini
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
Pamoja sanaa
@joelnanauka
@joelnanauka 3 года назад
@@zulekhaomar9060 anza tena upya, ulipofeli kuna mengi ulijifunza ya kukusaidia kufanikiwa kwa sass
@shawejimnipera2937
@shawejimnipera2937 3 года назад
Thanks brother Joel nanauka
@nevagasmsamba5060
@nevagasmsamba5060 3 года назад
🤝
@mwajumakassim6632
@mwajumakassim6632 3 года назад
Asante Sana kaka
Далее
Njia 4 Za Kuongeza Thamani Yako Ili Ulipwe Zaidi
22:28
UNAPOSAIDIA WATU - JOEL NANAUKA
7:39
Просмотров 53 тыс.
Ufanye nini watu wa kupende zaidi?
9:09
Просмотров 132 тыс.
Siri 4 Za Kuvutia Watu Muhimu Kwenye Maisha Yako.
9:48
VITU VINAVYOUA UWEZO WAKO/JOEL NANAUKA
7:08
Просмотров 10 тыс.
TABIA 11 ZINAZOZUIA MAFANIKIO   SEHEMU YA  PILI (2)
19:28
ISHARA 4 KUWA WEWE UMEKUA | You're Matured
14:45
Просмотров 61 тыс.
Wajue Maadui 4 Kwenye Maisha Yako
7:49
Просмотров 144 тыс.
Aina Nne (4) Za Watu Wanaoua Ndoto Zako - Joel Nanauka
8:43
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
11:26
Просмотров 66 тыс.