The way pluto is kurusha rusha miguu juu ya furaha😂😂makes me happy hadi nimekuwa addicted huku tufikishe baba zoey a million subscribers kama unakumbaliana piga like
Team strong mpo baada ya ramadhan. Kuja tuambie Pluto hio ngumi ingemfikia mafans wako Kenya hawawezi mtoa hapo chini watangojea wenye tuko diaspora tufike ndio tumtoe. Pita na likes