Тёмный

NLIKUA NAMTAFUTIA SABABU | WAKUTANISHWA 

KIREDIO
Подписаться 88 тыс.
Просмотров 171 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

15 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,5 тыс.   
@AliamryBakar
@AliamryBakar 26 дней назад
Kama upo single kama mimi gonga like uku tukijipongeza na goma la jux ft diamond nainjoy
@salisali3738
@salisali3738 26 дней назад
😅😅😅
@AliamryBakar
@AliamryBakar 26 дней назад
Skuping
@AgnessJohn-cw9bs
@AgnessJohn-cw9bs 26 дней назад
❤❤
@AliamryBakar
@AliamryBakar 26 дней назад
@@AgnessJohn-cw9bs 😍😍😍
@MadenaIphone
@MadenaIphone 26 дней назад
Naule. Mziki wa aslay naenjoy mzurisaana❤❤❤
@_kijanampole
@_kijanampole 26 дней назад
Wazazi wapo zao nyumbani gafla mtu anaona mtoto wake analilia mapenzi 😂😂
@aminamahamudumtumba5897
@aminamahamudumtumba5897 26 дней назад
🤣🤣🤣🤣🥺
@Luscious6826
@Luscious6826 26 дней назад
🤣🤣🤣
@MkakileRamadhan
@MkakileRamadhan 26 дней назад
Bwana weee, yaan wanamuona kbsa halafu usikute wanamlipia ada
@annadiada2822
@annadiada2822 26 дней назад
😂😂😂😂ila weee
@maezadam5492
@maezadam5492 26 дней назад
,,,😂😂😂
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 26 дней назад
Ila mwanamke akikupenda na akakuamini ukimvunja moyo analia sana
@JacklineShirima-hn1yt
@JacklineShirima-hn1yt 26 дней назад
si moyo tuu ata kichwa😂😂😂😂
@user-sp8zu7oh2n
@user-sp8zu7oh2n 25 дней назад
Kwan jamaa kamvunja moyo wap mbn dem ndo kazngua anamprank vp bhana ata ungekuwa lazma ujue n kwel utapanick tu
@user-tv3gy1yd8j
@user-tv3gy1yd8j 24 дня назад
Fcss_​@@JacklineShirima-hn1yt
@AmaniOmari-ev2gu
@AmaniOmari-ev2gu 22 дня назад
Haaaaahaaaa ​@@JacklineShirima-hn1yt
@user-wl8qm2yj2c
@user-wl8qm2yj2c 10 дней назад
Basi ndo mtuonee huruma tunapo wapenda mtutendee hakika jamn 😅🙌
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 26 дней назад
Sema dada cute alafu mstaarabu sana anapaswa kuwa na mwanaume anayejitabua
@abubakaliyahaya2968
@abubakaliyahaya2968 26 дней назад
Kweli kk Dem anajielewa
@user-qi5cv5gz6l
@user-qi5cv5gz6l 26 дней назад
Hawezi kua mstaarabu na hiyo blich kwa kichwa
@AmourSultan
@AmourSultan 26 дней назад
Bleach na Ustarabu Ni moto na Maji
@user-qh8kl9mu5w
@user-qh8kl9mu5w 26 дней назад
Mungu amsaidie, tatizo wanaume wanachanganya wife material na Slay queens
@judithsijaona9875
@judithsijaona9875 26 дней назад
Yes
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i 26 дней назад
Single tunaejoy sana kuona mambo kama haya😂😂😂
@elidadi1351
@elidadi1351 26 дней назад
😂😂😂😂 tunaona kama ukatumia vileeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abubakaliyahaya2968
@abubakaliyahaya2968 26 дней назад
Achane kujidanganya hakuna raha yakua singo
@sidebalenciaga6907
@sidebalenciaga6907 26 дней назад
Noma sana
@khadijasarya
@khadijasarya 25 дней назад
Hakuna raha ya kuwa singoo kwendraaa 😅
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 25 дней назад
😂😂
@yollandamushi677
@yollandamushi677 25 дней назад
Ambao hatujui kulilia mapenzi gonga likes
@adrianomaulaga1599
@adrianomaulaga1599 19 дней назад
Hawa ni waongo wanazitengeneza hizi 100%
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 26 дней назад
Kiredio mwenyewe alishasemaga anafurahia watu wakiachana😂😂😂😂😂 hayo machozi ya dadaa Kiredio roho yake nyeupeeeee😂😂😂😂😂
@Lovekidoti32
@Lovekidoti32 26 дней назад
😂😂 ila kama kweli bwan
@user-cz8qr3xu4g
@user-cz8qr3xu4g 26 дней назад
😂😂😂🙌
@ShamiAl-ww6gp
@ShamiAl-ww6gp 25 дней назад
😂😂😂😂
@witneyjerry2587
@witneyjerry2587 25 дней назад
😂😂😂
@MonnaPonda
@MonnaPonda 10 часов назад
😂😂😂😂😂
@edgercyprian964
@edgercyprian964 19 дней назад
Daaaah huyu dada anaupendo wa dhati sana kwa huyu jamaa ila nayependwa hajui kam napendwa sijui kwa nini wadada kama hawa huwa hawapati watu sahihi au wanaume huwa hawapati watu sahihi yaani hii ipo kote kote yaani sijui huwa ni kwa nini dada muache utapata akupendae hiyo anaonekana anakupotezea muda tu mdogo angu utapata chaguo lako achana na huyo mbana Nywele kama mwanamke amenikwaza sana😢😢
@user-jc3gl6li7e
@user-jc3gl6li7e 24 дня назад
Kiredio ungemshitua uyo dada na kibao kashaambiwa alikua anataftiwa sababu Aachwe badala aendelee na maisha mengine analia apokelewi simu😂😂😂😂😂 ifike mahali wanawake tujue thamani yetu
@agnestemu8382
@agnestemu8382 20 дней назад
😂😂😂😂😂yaani apigwe ht na bomba kichwani
@magangamwidaghat4324
@magangamwidaghat4324 20 дней назад
Ally anajiona hand Sam ndio maàna ana mliza mrembo wa watu ally shame on you
@jumanyassy8062
@jumanyassy8062 19 дней назад
Mapenzi hayajatibiwi huo ni Ujinga ...​@@magangamwidaghat4324
@imavel_01
@imavel_01 26 дней назад
kilichobaki ni kujifunza biblia😂😂
@user-rd7so8ee2j
@user-rd7so8ee2j 26 дней назад
❤❤❤❤
@josephsolongai6584
@josephsolongai6584 26 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂 mbn biblia
@getrudamsigwa2776
@getrudamsigwa2776 26 дней назад
😅😅😅
@user-sb7lz9xp4v
@user-sb7lz9xp4v 26 дней назад
😂😂😂kabisaaa
@user-lx8nl8hh3f
@user-lx8nl8hh3f 26 дней назад
Ila km kweli
@magrethmartin1668
@magrethmartin1668 22 дня назад
We dada ni mzuri sanaa you don’t deserve this man 😊
@dereva0
@dereva0 19 дней назад
unajuaje hadiserve...unajua anapewaga nn😂😂
@MariaPeter-kv3qk
@MariaPeter-kv3qk 26 дней назад
Sema huyu dada anaongea kipole😅
@Denatha50
@Denatha50 25 дней назад
Mwanaume mweupe mlambalamba lipsi.. mbeba kikoba like cha ally afu mfuga nywele raniiiii mai frendiiiiiiiiiii😂😂😂
@mejgodsgal1340
@mejgodsgal1340 25 дней назад
runnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn🤣🤣🤣🤣
@esterrupia8470
@esterrupia8470 25 дней назад
Ni hatali Kwa huyu mwanaume ovyoo
@rahmarashid9904
@rahmarashid9904 25 дней назад
Run away😅😅😅
@user-mp1ep1en5q
@user-mp1ep1en5q 24 дня назад
Running 🏃🏃🏃🏃
@JamillahEliya
@JamillahEliya 23 дня назад
Hahahah dada anataka kubembelezwa km mm ndo jamaa naghair naondoka zangu spend ujinga
@user-ul8nf1nw1h
@user-ul8nf1nw1h 26 дней назад
Jaman hyu msichana kaniliza sana.
@aggychinnay7344
@aggychinnay7344 25 дней назад
Ni huzuni kwakweli
@VivianSamwel
@VivianSamwel 24 дня назад
Kazii kulilia mapenzii kufanyaaa kazii aaaaah😅
@maryjosephat2885
@maryjosephat2885 23 дня назад
Analia hovyo
@Kalishi09
@Kalishi09 26 дней назад
Uyu dada mstaharabu sana jmn nimependa buree❤
@khadidjaabdi-hd8py
@khadidjaabdi-hd8py 26 дней назад
Mapenzi yanaumaaa asikwambie mtuu shid nikwamba kwanin simu haupokei majibu ni kwamba wamekuchok na anamwamnkee mwinginee anajifany tuu😅
@aaaaaah290
@aaaaaah290 23 дня назад
Usha wahi jigonga kidole kwenye kucha, kama hujawahi, POA
@pilicharo4123
@pilicharo4123 19 дней назад
​@@aaaaaah290😂😂😂😂
@WinnieKeita
@WinnieKeita 16 дней назад
Hahaa.. kumbee enh😂
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 26 дней назад
Ni bora nijitafutie kazi mapenzi niwaachie wahindi
@user-rl5qu4zj9b
@user-rl5qu4zj9b 26 дней назад
Haswaa
@user-wd6wh2cl8n
@user-wd6wh2cl8n 26 дней назад
🤣🤣🤣🤣👆
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 26 дней назад
@@user-rl5qu4zj9b ndiyo ukiendekeza mapenzi utaonekana kama mjinga
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 26 дней назад
@@user-wd6wh2cl8n wacheka
@witneyjerry2587
@witneyjerry2587 25 дней назад
Na wafilipino❤
@vannapple1
@vannapple1 26 дней назад
Mdada kaigiza vizuri sana,Very romantic and anafanya kwa hisi sana.Nusu nitoke chozi asee😅😅
@edithsmusas5675
@edithsmusas5675 26 дней назад
Ila kiredio wewe mnafiki sana 😅
@Luscious6826
@Luscious6826 26 дней назад
🤣🤣🤣🤣
@zuleykhasaid967
@zuleykhasaid967 26 дней назад
Me nimeliaa kabisaaa 🤣🤣🤣🤣
@kolethafabian2618
@kolethafabian2618 25 дней назад
Wanapenda Hawa.
@BeatriceElias-xw1rl
@BeatriceElias-xw1rl 24 дня назад
Bora nikalime kuliko kuhangaika na Mapenz 😢😢😢😢
@SiloohMilosevic
@SiloohMilosevic 9 дней назад
Dah! Demu anampenda mkali hadi rahaaa ❤❤🎉🎉 eeh MUNGU nipe nipe mtoto mwenye UPENDO Kama huyuuu😮
@saddamikoi37
@saddamikoi37 23 дня назад
Nilisha mliza dem kama hvyo kilichonitokea mungu mwenyewe ndo anajua
@debbiecharlie9532
@debbiecharlie9532 23 дня назад
Share us a story please
@MarthaAsajile-og7kl
@MarthaAsajile-og7kl 22 дня назад
😅
@saddamikoi37
@saddamikoi37 22 дня назад
@@debbiecharlie9532 npe contact yako nikusimulie
@user-gn8ny8yw3u
@user-gn8ny8yw3u 22 дня назад
😂😂😂
@user-fr7xp9re9v
@user-fr7xp9re9v 21 день назад
😂😂😂
@AdelaNyansio-em1ef
@AdelaNyansio-em1ef 26 дней назад
Ila kaka anampenda huyo dada ila kupanic ni sawa unaweza kupanic ukaongea maneno mengi ya hasira lakini ikawa sio kweli warudiane tu
@irakozeshela1809
@irakozeshela1809 24 дня назад
wana onekana wanapendana😂😂😂😂
@SalmaAlly-it8iv
@SalmaAlly-it8iv 26 дней назад
Duuh 😂😂 bola mie ninavyopenda wali mahalage kama mtukufu kuliko mapenz tangu nipigwe na kitu kizito sinahamu. Na mapenz kabisa kuusu kupenda nampenda baba yangu na mama yangu 😂😂
@anniemagayane2984
@anniemagayane2984 21 день назад
Maharage yana nazi ?? 🤣🤣🤣
@SalmaAlly-it8iv
@SalmaAlly-it8iv 21 день назад
@@anniemagayane2984 😂😂😂😂
@kuruthumsaid9719
@kuruthumsaid9719 18 дней назад
Mtukufu atamuuwa mume wa Kim kwa njaa 😂😂😂😂😂
@anniemagayane2984
@anniemagayane2984 18 дней назад
@@kuruthumsaid9719 🤣🤣🤣 kwamba dk sifuri tuu mme ashakula🙌
@NancyIlanda
@NancyIlanda 26 дней назад
Jaman uyo kaka kakosea alafu anaonekana dada kakosea daah uyu dada angemove on tuu yan natamani aone atalia vibaya
@ICEELECTRICCOMPANY
@ICEELECTRICCOMPANY 26 дней назад
Single guys gonga like tuki jipongeza
@DevothaBonophace
@DevothaBonophace 23 дня назад
😂😂❤
@asmakhalfan
@asmakhalfan 7 дней назад
Kam Masai mwanaume anasuka mwanamke ananyoa
@MICHEZODAIMATV
@MICHEZODAIMATV 26 дней назад
Apa ndo nimeamini mamen tunatumia udhaifu wa wanawake wanaotupenda sana kuwaumiza
@SalvinJastin
@SalvinJastin 26 дней назад
Kabisaaa na mnatuweza kweli yaan😢
@jescabagoka6574
@jescabagoka6574 26 дней назад
Nashukuru kwa coment yako aseeeee 👏👏👏
@connan9923
@connan9923 26 дней назад
Usituhusishe na sisi ni wewe tu
@AfricanPrincessLabel
@AfricanPrincessLabel 26 дней назад
KWeli lkn bro
@abubakaliyahaya2968
@abubakaliyahaya2968 26 дней назад
Wanaume muda mwingine tunazingia sn
@beatricesway5782
@beatricesway5782 26 дней назад
Huyu kaka hakupendi dada😢😢😢😢😢😢kimbia uvunjike yaniii hakupendii i swear 😢😢😢😢 nakuonea huruma dada hiki kikaka kinaoneksna ndo kinakua pole bby
@suzanbegas4139
@suzanbegas4139 23 дня назад
DadaHakupend Huyo🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
@AnnaBukuku
@AnnaBukuku 26 дней назад
Ushaambiwa nilikuwa namtafutia sababu sa ya nini kumng'ang'ania. Mtoto mjinga sana.
@MwanamkasiBakari-pb2gw
@MwanamkasiBakari-pb2gw 26 дней назад
Umesahau huu ndio ule mwaka😂 mapenzi shikamoo🙌
@elinapetro7136
@elinapetro7136 26 дней назад
Hajamga'nga'ania ila Ali ndio anamvuta angalia video yote ndio ucoment
@loycejackson7684
@loycejackson7684 25 дней назад
Dada angu wewe ni mzuri sana tena sanaaaaaaa nakuombea kwa Mungu umpata mwanaume utakayeendana naye ila hapo hapana mshikaji hakupendi😢daaaah huyo dada Mungu akupe wa kufanana na wewe
@winniedeo6191
@winniedeo6191 26 дней назад
Kiredio mnafiki sana😆😆😆🙌
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 26 дней назад
Huyu mwanamke anakosea sana kujielezea sana.
@doriceisdory8363
@doriceisdory8363 26 дней назад
ndo anatoa hasira zake mwenzio
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 26 дней назад
Asa kama ingekuw ni wew ungenyamaza au
@shahamtindo
@shahamtindo 25 дней назад
Hapo anatema nyongo
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 22 дня назад
Mwenyezi Mungu naomba uniongozee vyema bint yangu kuuma mwili haki ya Mungu
@Calvynpaul-fv8kb
@Calvynpaul-fv8kb 26 дней назад
kiredio ama kwely we silaha adimu 📷🙌
@user-bm7yw9wg6p
@user-bm7yw9wg6p 23 дня назад
Kiredio nakupenda sna kutoka leo jamn umefanya kt kzr sna❤
@Dannny690
@Dannny690 26 дней назад
Wakagongane kwanza kabla ya msamaha, alafu msamaha wenyewe ndio ufuate. Nawaza tu kwa hizi akili zangu😂
@FaridaRamadhan-de1ys
@FaridaRamadhan-de1ys 26 дней назад
Wakitoka hapo wakaogelee beach 😂😂
@zahrababygarl1568
@zahrababygarl1568 25 дней назад
😂😂😂😂😂
@Dannny690
@Dannny690 20 дней назад
😅😅😅😅😅​@@FaridaRamadhan-de1ys
@samiakikwete1762
@samiakikwete1762 26 дней назад
Yaani huyy dada nawaza Analia nn yaani siamuachee aendeee kshasema alikuwa anatafutiwa sababu sasa aendeee na maishaa
@RashidiKazala
@RashidiKazala 26 дней назад
Dada anaria kwa uchungu dada anamapenzi ya kweli kwa mshikaji
@Sweetnaah
@Sweetnaah 26 дней назад
Nilivyo kisirani huo muda wa kujielezea hivo natoa wapi 😂😂😂
@user-wr6uz1rx1o
@user-wr6uz1rx1o 24 дня назад
Ningekuwa nishamchamba na mitusi juu
@KevinPhilberth
@KevinPhilberth 26 дней назад
Mm nimefurahia sauti
@prismilammbando3761
@prismilammbando3761 25 дней назад
Mkaka anampendaaa sanaaa jamaniii!!! The guy anakupenda sis😘😘
@user-cl7jf5ol4m
@user-cl7jf5ol4m 26 дней назад
Yaan wew mwanamke pumbavu sanaaaaa kujibembeleza kwa mwanaume unaboa sana
@habibamahendo9758
@habibamahendo9758 26 дней назад
Sijui kwnn nimekwazika😂😂😂😂
@ABELUrioG
@ABELUrioG 26 дней назад
I wish n jue 😊
@decredo4293
@decredo4293 24 дня назад
mi mwenyewe sijuii an😂😂😂😂
@dianasindika5249
@dianasindika5249 26 дней назад
Bwana huyo kaka anampenda huyo dada bado wala hana shida kaka wawatu alipanik tu nihasira ila anampendaaa sana
@zilpaomary
@zilpaomary 26 дней назад
Mpaka nimetaman niende nimsaidie kujielezea😂😂😂
@WinnieKeita
@WinnieKeita 26 дней назад
Kumbe bado unaamini wanaume, kama wako ni mwema ..sio wote wako hivyoo...huyo mkaka fala ,anamtumia tu huyo mdada 😂
@user-hb8ph8fk5s
@user-hb8ph8fk5s 26 дней назад
Ally mwenyew kaweka nyele dawa kajichubua kidoooooogo😅 kabrich kwambaaaaaali​@@WinnieKeita
@clementineselemani6699
@clementineselemani6699 26 дней назад
Wanaume wengi wembamba awanaga mapenzi 🤣na ayo manywele tn ndo bs
@vumiliarichard9347
@vumiliarichard9347 25 дней назад
Kwel wote wanapendana ila alipanik kwel
@hadija_makange
@hadija_makange 24 дня назад
Pole dd inauma sana namm ishanitokea ilinipa tabu kuzoea ila nilivyojikuta nitaweza weeeeee ni nilishukuru mungu na niliweza mpaka ss nimecmama na nimepata zaidia ya yule Shwain
@PeterLyonda
@PeterLyonda 22 дня назад
Shwain😅😅
@jacquelinerutaya2204
@jacquelinerutaya2204 25 дней назад
Daah😢 nmelia sana, mapenzi mapenzi mapenzi 🙌🙌🙌🙌
@Ms.Shansha
@Ms.Shansha 25 дней назад
Kiredio mnafiki 😂😂😂eti anaomba msamaha.Afu Demu gani huelewi RED FLAGS #MOVEON
@user-qh8kl9mu5w
@user-qh8kl9mu5w 26 дней назад
Ila huyu kaka Mungu anamuona, ani mkavu ht kujutia kw alichokifanya....dada continue ktft pesa plzzz maisha ya kulilia wanaume sahv yamepitwa na wkt kpnz😢
@WinnieKeita
@WinnieKeita 26 дней назад
Pepo hiloo😂
@user-qh8kl9mu5w
@user-qh8kl9mu5w 26 дней назад
@@WinnieKeita tn kemea kbs😂😂
@rosemsaki1111
@rosemsaki1111 22 дня назад
HUYU DADA UNAFORCE MAPENZI HUYU KAKA WALA HAKUPENDI
@user-ro2xo6fq8x
@user-ro2xo6fq8x 22 дня назад
Kweli kabisa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 16 дней назад
TABIA ZA WANAUME AU WANAWAKE WAPUUZI WANAPOPENDWA KWELI NDIPO WANAPOLIDHARAU HESHIMA WALIOPEWA KISHA WANAENDA KUTOKOMEA KULE KUSIKOKUSUDIWA
@WinnieKeita
@WinnieKeita 16 дней назад
Umetumia na herufi kubwa kuonesha msisitizo😂💔
@clementineselemani6699
@clementineselemani6699 26 дней назад
Shukuru Mungu kakupatanisha na kiredio na akavunja mausiano,kuna vitu tunapitia kwenye dunia ili tupate watu saihi we sema asante Mungu akuletee saihi .apo kwa kumpigia nimeumia 😫
@clementineselemani6699
@clementineselemani6699 26 дней назад
Wanaume wengi wembamba awana mapenzi 🤣kujumlisha na izo nywele
@ShukuruSemwenda
@ShukuruSemwenda 18 дней назад
​@clementhaineselemani6699 haaaa
@connan9923
@connan9923 26 дней назад
Sema mwanamke akiwa analalamika huku analia ukilegeza tu unazidi mpa point 🤣🤣🤣
@mahadyisaac4525
@mahadyisaac4525 26 дней назад
Kumbe anamlilia huyo mgombania dressing table asubuhi 😂😂😂😂mwaume mzuri kuliko mwanamke
@user-js4if2jf1c
@user-js4if2jf1c 26 дней назад
😂😅😂 Mungu anakuona
@user-et3sr8wx4s
@user-et3sr8wx4s 26 дней назад
😂😂😂😂😂😂
@edwinmmary8459
@edwinmmary8459 19 дней назад
Hapo hamna mwanaume walai vile Hivi kazi anaweza fanya ile ya kupasua mawe?
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 23 дня назад
Dada jitahidi mnapendana .Ally tulia ugomvi haufai❤
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 26 дней назад
Nikifikia hii hatua 😢 ndugu wanipeleke mirembe😂😂 labda sio mimi 😂
@Official83640
@Official83640 26 дней назад
Bado hujapenda yaani ukipenda kosa lake samahani unaomba ww chezea kufikishwa mlima Kilimanjaro ww😂😂😂
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 26 дней назад
@@Official83640 unajua boyfriend wa kwanza wewe vile huwa tunawapenda, but me ckuwah mlilia sema me ni jeuri kiasi Afu naamini katika ridhki mafungu saba ndio maana huwa nachkulia poah, let's me tell u short story, kuna boy nilikua nae mara akarudi mkoa wake, then kanipigia Naj nataka kuoa, nikamwambia poah ,🤣🤣🤣 si akaanza uliza mbona haujaonesha kuumia wala kulia? Nilikua natania, 🤣 me ni yule mtu unavyotaka nataka🤣
@issamdoe1836
@issamdoe1836 26 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@DativaMbowe
@DativaMbowe 26 дней назад
@Official83640 point
@HawaMangulo
@HawaMangulo 26 дней назад
😂😂😂😂😂
@cliniusdawson8046
@cliniusdawson8046 26 дней назад
An mdada anabembelezwa ila ndo anazd kuwakaaaa🔥🔥🔥😅😅😅🙌
@user-yy2ve5rv7x
@user-yy2ve5rv7x 26 дней назад
Wakuu nipe like zangu me ndio wakwanzaa leooo
@abdiyjaaz8180
@abdiyjaaz8180 26 дней назад
Ndugu zkoo wanajua km unalilia mapenz sema ikisikiliza nyimbo y rema itampunguza asil
@GetrudeChengula
@GetrudeChengula 25 дней назад
Na kweli ambao tuko single tunainjoy kuona mnakomeshwa achan usalit
@user-ic8nl1dl9n
@user-ic8nl1dl9n 24 дня назад
Pole kipenzi ila huyooo Kaka anakupenda sana msaheme Tu mpenzi wangu ❤
@CatherineShirima-fj4sj
@CatherineShirima-fj4sj 26 дней назад
Masingo hatutaki pressure kama hizi kabisa tupo bize na kutafuta pesa😂😂😂
@RehemaFabian
@RehemaFabian 26 дней назад
Mwanaume mbeba kimkoba na mbana nywele ndo analiliwa 😂😂😂. Jinga kweli hy dada
@Jordan-ov4yc
@Jordan-ov4yc 26 дней назад
Nihatariiiii😂😂😂😂😂😂😂😂
@witneyjerry2587
@witneyjerry2587 25 дней назад
Gemu😂
@NellyHadrah-wy2vh
@NellyHadrah-wy2vh 24 дня назад
Hahaha😂😂 Nicheke kidogo uwiiii mapenzi haya jmn hpn bora kuwa single.....
@lutfiyahsaidi6666
@lutfiyahsaidi6666 22 дня назад
😂😂😂 mapenzi upofu
@Dipeson700
@Dipeson700 25 дней назад
I appreciate this man🤝🤝
@OllerDesononline6333
@OllerDesononline6333 20 дней назад
Huyu dada muigizaji mzuri xanaaa Bongo movie wampe kazi.
@pierreadams3114
@pierreadams3114 26 дней назад
Mtu kakutapika waziwazi na bado unaendelea mpigia,ouch
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 26 дней назад
Kiredio embu lete namba nina kakayangu kama Ukoo tunahitaji aoe na huyu atamfaa😊😅😅
@Husseinommy15
@Husseinommy15 26 дней назад
Jamaa fala sana ww😂😂😂😂
@oswiitvonline6514
@oswiitvonline6514 7 часов назад
Yan Kiredio unajua kutengeneza tatizo ila kulitatua hujui haya sasa😅😅😅
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 26 дней назад
Kwaiyo kiredio baada ya kuvunja mahisiano ya watu ndo unaenda kuwahinga KFC 😂😂😂😂
@jordanjonas8009
@jordanjonas8009 26 дней назад
Amnakitu kinauma kama unakimbilia comment arafu kumbe wewe niwatatu 😂😂
@JosephBalele-cd7fg
@JosephBalele-cd7fg 26 дней назад
😂😂😂
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 26 дней назад
😂😂😂😂
@zuhurahamisi8687
@zuhurahamisi8687 26 дней назад
😂😂😂😂
@Saraphina_
@Saraphina_ 26 дней назад
Umbeya 😂😂😂😂
@AraphaCheki
@AraphaCheki 26 дней назад
😂😂😂 watu wanalala umu umu
@WinnieKeita
@WinnieKeita 26 дней назад
Huyo sio binadamu ..Hilo ni pepo dada ,achana nae asikuumize kichwa😂
@WinnieKeita
@WinnieKeita 26 дней назад
Nusu nijiue, na nikiwaambia fala mwenyewe ni huyu hamtoaminii😂💔,mapenzi upuuzi tu
@WinnieKeita
@WinnieKeita 26 дней назад
Kiredio mi nakubali , umemuumbua huyo msenge kumanina zake , Kwanza demu hashtuki hadi jina kadanganywa 😂, mfatilie vizuri ally sio jina lake 🤣fala kweliii huyo 🤣
@PerpetuaJackob-sg5yq
@PerpetuaJackob-sg5yq 24 дня назад
Wenyew wamependana co waacheni jmn co vizuri
@WinnieKeita
@WinnieKeita 16 дней назад
​@@PerpetuaJackob-sg5yqmh ,wapi buanaa, ila wanaume mh😂
@pendogeorge1813
@pendogeorge1813 26 дней назад
Hamna mwanaume hapo, dada kimbia kama huwezi nambie nikuvute kwa kamba.....unapoteza muda na machozi yako
@user-vz4xv7lg3x
@user-vz4xv7lg3x 23 дня назад
Akimbilie wapi sasa😂😂😂
@pendogeorge1813
@pendogeorge1813 23 дня назад
@@user-vz4xv7lg3x kwa mwamposa🤣akaombewe hilo pepo limtoke
@user-vz4xv7lg3x
@user-vz4xv7lg3x 23 дня назад
@@pendogeorge1813 jamaa bado anampenda lakn🤣🤣
@user-em3dl6nc8i
@user-em3dl6nc8i 26 дней назад
Kadada kajanja kweli kanazunga kuondoka ningekuwa mimi ningesema nenda😂
@MacrinaLameck-yv2mu
@MacrinaLameck-yv2mu 25 дней назад
😆 😂 😆 😂 we mbaya kweli 😄
@SarahJoseph-cv3ji
@SarahJoseph-cv3ji 26 дней назад
Mwanaume mwenyewe wakumlilia ni huyo mbana nywele kweli
@jasminemgaya-lo7gj
@jasminemgaya-lo7gj 26 дней назад
😂😂😂
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 26 дней назад
Kwakweli mapenzi ni upofu kbs
@catherinenenula7450
@catherinenenula7450 26 дней назад
Makubwa😂😂😂 MapenZ MapenZ sema ally mzuri jmn mashallah
@Godliver-so9ql
@Godliver-so9ql 26 дней назад
Sasa huyo dada hajaelewa nn ange mwambia nn hata angepokea mbn simple tu😂😂😂
@user-it3dc1mg5o
@user-it3dc1mg5o 26 дней назад
Muhindi aliye chokaaa😂😂😂😂
@lizzyshaur5970
@lizzyshaur5970 26 дней назад
😂😂😂😂
@NeemaAbdallah-vd7th
@NeemaAbdallah-vd7th 23 дня назад
😂😂😢
@Official83640
@Official83640 26 дней назад
Mwanaume mwenyewe sasa loh😂😂😂😂
@Luscious6826
@Luscious6826 26 дней назад
🤣🤣🤣
@user-jb1vh9nl1v
@user-jb1vh9nl1v 26 дней назад
Mwarabu 😂😂😂
@monicarichard8802
@monicarichard8802 25 дней назад
chekibobu 😅
@user-ji9wf9dh8h
@user-ji9wf9dh8h 25 дней назад
Kulia mtu unapaswa kulia nyumbn sio kama apo unalia mbele ya adui kweli 😮😮aaah sio sawa
@princesstum-ks7pb
@princesstum-ks7pb 26 дней назад
Sikua na maanisha kwaiyo alikua anatania jmn pole dada bora single tuu🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️
@janethmdollo9529
@janethmdollo9529 26 дней назад
Mhh mapenzi upuuzi kutopokea simu ushaambiwa hutakwi kiakili
@HadijarashidiSadiki
@HadijarashidiSadiki 26 дней назад
Ako ka dd nako kwaiy mtu kashasem alikuw anatak kumkataa lakin bado anamtafuta😅😅😅kwan anamng'ang'a mtu
@ArafaAmirAmir-ci7ld
@ArafaAmirAmir-ci7ld 26 дней назад
Yani kanakera😂😂😂😂
@HadijarashidiSadiki
@HadijarashidiSadiki 26 дней назад
Kajinga kapuuzi
@ArafaAmirAmir-ci7ld
@ArafaAmirAmir-ci7ld 26 дней назад
😂😂😂😂😂
@sheinmpayo
@sheinmpayo 26 дней назад
Alex anasema niomgelee kiredio mm mwanaume mwenzio😂😂😂 keredio ww jamaa utapigwa mawe unafufua sana makabuli ya ma legend
@isaacluwondo4506
@isaacluwondo4506 23 дня назад
Kiredio kupatanisha huwezi ila Mr.uky anaweza sana. HONGERA KWA KUWAPATANISHA.
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 26 дней назад
Dada unatuaibisha wanawake, ukome kugawa kabla ujaolewa.
@umfahad2609
@umfahad2609 26 дней назад
Hilo nalo neno.😅😅😅
@vumiliarichard9347
@vumiliarichard9347 25 дней назад
We ulitoa baada ya kuolewa 😂
@hendricamallya5781
@hendricamallya5781 25 дней назад
😂😂😂
@enockmaige8936
@enockmaige8936 24 дня назад
Mmh
@PerpetuaJackob-sg5yq
@PerpetuaJackob-sg5yq 24 дня назад
Wew naye vp
@justinemico1871
@justinemico1871 26 дней назад
Demu anazidiwa uzuri na mchizi ilo Ni tatizo....demu mwenyewe pacome zouzou
@AnethKayombo
@AnethKayombo 26 дней назад
Hahaha eti pacome
@Kiriaritha
@Kiriaritha 25 дней назад
Daaah! Mbingu utaisikia tu mwanangu😂😂😂😂
@youdya
@youdya 25 дней назад
pacome au yao yao huyu dem😂😂😂
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 25 дней назад
😂😂😂😂 jamani tofauti mavazi
@Craypotter
@Craypotter 25 дней назад
😅😅😅
@fredanthony740
@fredanthony740 26 дней назад
Mwanaume mwenzako muelezee I still need her 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-st1zs1ng2x
@user-st1zs1ng2x 26 дней назад
Ivi sisi wanawake Nani alitulogaaa😂😂😂😂😂
@ABELUrioG
@ABELUrioG 26 дней назад
Njoo zanzibar kiredio😁😆😁
@emanyordickson8961
@emanyordickson8961 26 дней назад
Hana passport
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 22 дня назад
Unataka akafirwe sasa😅😅😅
@janethndunguru3538
@janethndunguru3538 22 дня назад
😂😂😂😂😂😂​ we rajab wewe😂😂😂@@rajabrwambow9660
@user-em3dl6nc8i
@user-em3dl6nc8i 26 дней назад
Dada kapenda tu nywele😂😂
@babbyj.4612
@babbyj.4612 26 дней назад
Good Job❤❤❤😊
@winfridagabriely4759
@winfridagabriely4759 19 дней назад
Msichana , mdada i wish uone hii komenti. Mungu akusaidie utoke kwa hayo mahusiano trust me hakuna lako hapo, aliepo uwanjan sikuzote ni ngum kuusoma mchezo tuliko nje ndo tunaona vizur, kaza utaumia ila utapona tu.,Kuliko hiyo shubaamit
@user-rt6wi4qv4b
@user-rt6wi4qv4b 17 дней назад
Nmecheka 😅😅😅😅
@ester2515
@ester2515 26 дней назад
Kwan mapenz n lazm jaman khaa kulia lia tu kutafuta pesa aaah😅😅😅
@mbogokadome2524
@mbogokadome2524 26 дней назад
Ukitafuta pesa mwisho wake utataka penz
@NeyMosha777
@NeyMosha777 26 дней назад
😂😂😂😂😂
@umfahad2609
@umfahad2609 26 дней назад
Pesa zina sehemu yake. Na mapenzi yana sehemu yake.😅😅
@FatmahMatumla
@FatmahMatumla 24 дня назад
Ndio Mapenzi ni lazimo 😂😂😂
@KevinPhilberth
@KevinPhilberth 26 дней назад
Kiredio hajui kusuruhusha,, anajua kuharb 2
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 26 дней назад
😂😂😂😂😂Muharibifu
@modestajamada3496
@modestajamada3496 26 дней назад
😅😅😅😅
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 26 дней назад
Sio msukuhishi. Ni mvurugaji tu huyu dogo.
@IbrahimuLikolinji-ly2tp
@IbrahimuLikolinji-ly2tp 26 дней назад
Hahhahahahhahaha😂😂😂😂
@user-fv2gv2mq2j
@user-fv2gv2mq2j 26 дней назад
😂😂😂😂😂😂hamna bana
@SalvinJastin
@SalvinJastin 26 дней назад
We dadaa kimbiaaa ohooo😂😂😂
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 25 дней назад
Kiredio hii kazi 😂😂😂unalia mwenyewe etii n wewe😂😂😂kunywa maji mengi utawasaidia kulia sana ❤
@pillyramadhani3726
@pillyramadhani3726 25 дней назад
Aloooh nani mwenye no za huyu kaka Kuna ten linazagazaga😂
@BrendaJimmie-hj1lf
@BrendaJimmie-hj1lf 23 дня назад
😂😂
@ShukuruSemwenda
@ShukuruSemwenda 18 дней назад
Ninazo mm
@pillyramadhani3726
@pillyramadhani3726 18 дней назад
Nipe
@ShukuruSemwenda
@ShukuruSemwenda 18 дней назад
@@pillyramadhani3726 lete ilo teni kwanza nikutumie
@missfetty4173
@missfetty4173 26 дней назад
Kaka mzuri dada lazima alie😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 26 дней назад
Sasa atakula uzuri wake
@missfetty4173
@missfetty4173 26 дней назад
@@rosemilingi7860 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-js4if2jf1c
@user-js4if2jf1c 26 дней назад
😂🤣😅😅🤣😂🤣😅
@amdee99
@amdee99 26 дней назад
😂😂😂💔​@@rosemilingi7860
@alexmuli1681
@alexmuli1681 26 дней назад
Mambo mengine mnajitafutia wenyewe,,,Alafu kiredio pia ww ulichangia mazee
@user-mj8jv1hn8e
@user-mj8jv1hn8e 11 дней назад
Wanaume washenzi sana mfyuuuuu 😅😅😅 pole Dada
@allymtunge5530
@allymtunge5530 26 дней назад
Mwana namulewa
@bushbabytz
@bushbabytz 26 дней назад
waliosema wanaume weupe hatupendwi nani!?😂😂 nikupe siri mwanaume mweupe mwenzangu, ukitaka kupendwa kirahisi komaa na mademu chocolate na weusi...wanatupendaga wanaume weupe vibaya mno
@eggysulle7988
@eggysulle7988 26 дней назад
Kuna kabila kama letu linapenda watu weupe balaa mietu wanamme weus nilikua siwapend tang mdg 😂😂😂 alhamdulilah Mungu kanigea kitu roo inapenda 😄
@bushbabytz
@bushbabytz 26 дней назад
@@eggysulle7988 eggy we ni kabila gani!?🤣
@amdee99
@amdee99 26 дней назад
😂😂tupe siri
@eggysulle7988
@eggysulle7988 11 дней назад
@@bushbabytz wa kabila lang wakiifkia Ii comment lazma waelewe👌
@bushbabytz
@bushbabytz 11 дней назад
@@eggysulle7988 kabila gani hilo!? itakuwa wanyaturu eeh?? au wambulu!?
@RachelJulius-h1p
@RachelJulius-h1p День назад
Aii nixhavukaa uko😂😂😂 tafuta hela dada
@avitrugakingirajr1669
@avitrugakingirajr1669 26 дней назад
Huyu demi ni kenge tu anajua mapenzi au anaigiza amsamehe mshikajii alafumshikai akamtombe Kwa upendo mkuu❤❤❤
@blaqyrn3655
@blaqyrn3655 26 дней назад
😂😂
@vumiliarichard9347
@vumiliarichard9347 25 дней назад
😂😂😂😂mbon umetamka neno ilo aisee
@deodathsilayo3639
@deodathsilayo3639 26 дней назад
Dada kampendea nywele😅😅
@user-em3dl6nc8i
@user-em3dl6nc8i 26 дней назад
😅
@user-js4if2jf1c
@user-js4if2jf1c 26 дней назад
Eeeeeh 😂😅
@Luscious6826
@Luscious6826 26 дней назад
Jamani comment 🤣🤣🤣
@mtotiimkwizu
@mtotiimkwizu 26 дней назад
🤣🤣🤣🤣
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 26 дней назад
Sio uongoo
Далее
NILIKUA NAMTAFUTIA SABABU, SIMTAKI TENA
10:10
Просмотров 53 тыс.
100❤️
00:18
Просмотров 1,1 млн
Good dad 🥰 #demariki
00:17
Просмотров 10 млн
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
Просмотров 112 тыс.
JAMAA ANASA KWA SHEMEJI, MPENZI WAKE AKASIRIKA
3:39
Просмотров 116 тыс.
FUMANIZI KIMARA | Shemeji Anasa Kwenye Mtego PART 1
16:21
AMZAWADIA BFF WAKE GARI AINA YA HARRIER
8:01
Просмотров 30 тыс.
NINA WANAUME WAWILI, NANI ATANITAJA??
5:08
Просмотров 68 тыс.
Happy 4th of July 😂
0:12
Просмотров 60 млн
🤣МАЛО КУПИТЬ ЛОШАДЬ
0:18
Просмотров 6 млн