Wasukuma ni magenius sana, hapo hana elimu na ameishi kijijini lakini angalia uwezo wake wa kujieleza, uwezo wake wa kukwepa maswali ya mtego na namna anavyoweza kumuelezea mtu mwingine bila kuathiri chochote.
Mie Niko kwenye kampeni ya kupandisha solo la wanawake weusi maana ni watiifu na wavumilivu maishani tutaanza kuwapa ng'ombe 60kwa 70 tuwapiku mie ndo nitawafingulia jahazi
Mwanaume wa kisukuma anaelezeka:- Sifa ya 1st kbsa: Siliazi sana,alisema ndio ni ndio. Hapana ni hapana. 2nd. Akipenda amependa ila ukimfanyie asiyopenda akigeuka nyuma habadiliki tena 3rd......, ......... ........
Kuoa unaangalia familia ambayo inamisimamo sio unaokota tu mwanamke ambaye hawezi kuvumilia shida wanawake wa mjini wanataka wakae na mwanume mda wote SISI wasukuma hatuna hiyo ukisgidwa kukaa kwa kuvumilia tembea ukikuta familia uliyooa Misimamo akifika mwanamke analudishwa kwa mmeww
Watangazaji mnapapara sana yaan mnataka nyie ndio mtoe majibu 😅😅😅mnakera ulizeni maswali sio kutoa maelezo meeengi mpaka mnajijibu wrong😅😅😅😅😅😅 Bora huyo dada