Duh Ila okopa Sana viumbe vyakike yan wanaona wakimpa air tym uyo mdada mwenzao kama atawazid k2 duh kumanina zenu waongoz vpnd uyo mdad kawazd uzr had uvaaji
Tatizo Lililopo Hapo Ni Kwamba Wivu Umeingia Ukimuangalia Huyo Mdada Comedian Na Hao Watangazaji Ni Vitu Viwili Tofauti Yaani Ardhi Na Mbingu Ndio Maana Wamembagua
Mnaocomment huyo dada hajaulizwa chochote mna chuki zenu hizo interview zipo 2 zimepostiwa ile nyingine walishampa airtime mnalaumu bila hata kujua non sense