Тёмный

LAZIMA WATUMIE UONGO ILI KUENEZA BIDAA ZAO || SHEIKH BAFANA. 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 361   
@yasirsaid8464
@yasirsaid8464 11 месяцев назад
MAA SHAA ALLAH Shekh SAID BAFANA na Shkh MUHAMMAD BACHU ALLAH Awahifadhi
@nasraabdallah
@nasraabdallah 11 месяцев назад
Allah atujaalie mwisho mwema shekhe bachu unapambana vita ya hakki allah ajaalie tuwe miongoni mwa waja wema🤲
@muhamadyabubakary6750
@muhamadyabubakary6750 11 месяцев назад
Amini
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 11 месяцев назад
Hawa wanaitwa walionusurika ama kwa lugha sahihi walio okoka .
@maktab3679
@maktab3679 11 месяцев назад
Hana elimu yakutosha. Hadith ipo na ni dhaif . Na hadith dhaif hazitupwi zinatumika kwa fadhail a3 mal
@abdallahal-khaify
@abdallahal-khaify 11 месяцев назад
Allahumma amiin
@abdallahsalem8499
@abdallahsalem8499 11 месяцев назад
Allahumma ameen soote jamian yarab🤲
@RamadhaniShembillu
@RamadhaniShembillu 11 месяцев назад
Wallaahi mimi na maulidi Tena baaas nisawa na mbingu na ardhi ,kama mashekhezetu wameshindwa kutetea uongo unaosemwa bas kweli niuongooooo
@saidymujilili4618
@saidymujilili4618 11 месяцев назад
Kwani umelazimishwa au ndio unafiq
@swalehahmed6579
@swalehahmed6579 11 месяцев назад
Hakuna alokulazimisha jiunge nao hao mawahabi wasokuwa na ilimu wala kujielewa wao mashekhe wenu walipwa na saudiya kupiga kelele zote
@Buddy9072
@Buddy9072 10 месяцев назад
فقد روى الإمام أحمد في مسنده عن العرباض ابن سارية، عن النبي صلى الله عليه وسلم، قال: إني عبد الله في أم الكتاب لخاتم النبيين، وأن آدم لمنجدل في طينته، وسأنبئكم بتأويل ذلك: دعوة أبي إبراهيم، وبشرى عيسى قومه، ورؤيا أمي التي رأت أنه خرج منها نور أضاءت له قصور الشام، وكذلك ترى أمهات النبيين صلوات الله عليهم. ورواه الحاكم وصححه، ووافقه الذهبي. Naomba mtafute Bafana akueleze hii hadithi au akudhaifishie pia ni sawa. Kisha ndio upime munayoelezwa na hawa watu yapo ama ni uzushi??? Hebu Bafana akusomeshe hapo
@AminaDodios-ml2lv
@AminaDodios-ml2lv 11 месяцев назад
Acheni kutuchekesha! kweli maulidi ni bidaa ilo wazi wanakatika chakacha mpaka basi. Bachu Allah azidi kuku hifadhi nash.wetu bafana Allah awahifadhi nyote ambao mnaitetea haki bila kumsahau swaiba wako Abu qatada mkono kwa mkono hadi peponi.
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 11 месяцев назад
Allahumma amiin
@yunusramadhan2546
@yunusramadhan2546 11 месяцев назад
Mashaallah shaikh bafana nakukubali sana Allah akuhifadh milele
@shuaibalula9003
@shuaibalula9003 11 месяцев назад
Mashaallah Allah awahifadhi mashekhe wetu wa Sunnah
@isackwaite-uf1zy
@isackwaite-uf1zy 11 месяцев назад
MashaAllah sheikh bachu ❤❤❤
@thetravelquestservices
@thetravelquestservices 11 месяцев назад
Sheikh bhachu usijali tuko nawe kielimu na sio kishabiki umedhihirisha umma ukweli ulivyo na tumetosheka...sasa endelea na da`wah yako kama kawaida na tutakuhakikishia ile silsilah ya maulid tutakua nawe sambamba... Allaah akuhifadhi na akujaalie umri mrefu na hikmah na akulinde na kila aina ya hasad na balaa zozote.
@user-ws7fb8ph9q
@user-ws7fb8ph9q 11 месяцев назад
Mashaallah sheikh allah akujaliyemwishomwema nahakuhifadhi nakwasote watuwa sunna❤
@allythabiti8150
@allythabiti8150 11 месяцев назад
Ni kwelo kabsa masheikh zungumzen msiste kurud nyuma hakika umma unaangamia
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 11 месяцев назад
mashaAllah ❤❤ vibano vitaendelea mpaka waingie kwenye line
@Mr.korongo
@Mr.korongo 11 месяцев назад
Nadhani Mohammad ataanza kuingia kwenye line nanyi mtafata
@salehothman6144
@salehothman6144 11 месяцев назад
Mashekhe hawazungumii tena haki za waislamu ,jinsi wanavokandamizwa,watoto wanavoingizwa katk ushoga na usagaji,wanavo bebeshwa mada ya kulevya,watoto wa kiislam jinsi wanavoingizwa ktk biashara ya ukahaba ! mtihani sana mayahudi wanatucheka sana wametukamata ndipo!
@furahisana7733
@furahisana7733 11 месяцев назад
Bidaa ni uozo kuliko hayo uyazungumziayo bidaa hii ni laana kabisa hata ufanye ibada ipi kwa bidaa hutoboi isipokuwa kwa rehema ya Mola kukemea bidaa ni muhimu sana halafu si kila mmoja atazungumzia mada zile zile acha kila mtu apambane wakutanishe juhudi kuna wanayofanya hayo unayoyasema nilipo mimi kila ijumaa hakuna kinachobadirika isipokuwa tarehe tu mambo yale yale muda mwingine unaamua tu ukaswali kwengine hii ni challenge watu warudi kwa Allah
@Aboodjan4-
@Aboodjan4- 11 месяцев назад
Zungumzia na wewe bas. Wenyewe alisha zungumzia hayo kitambo na mara kwa mara huwa wanayazungumzia. Pia masheikh wapo wengi sasa unataka wato wazungumzie mada moja kila siku???? Halaf hao watoto unaowasemea wengi wao wamechagua hizo njia. Pia bi-daa isipozungumziwa si ndo watu watazid kupotea bila elim??!
@rashidsuleiman9253
@rashidsuleiman9253 11 месяцев назад
Bahati mbaya hapo hamna Sheikh ila shehena@@Aboodjan4-
@Nusrat_Khalifa
@Nusrat_Khalifa 11 месяцев назад
Kila kukucha huzidi 👌🏻👌🏻❤️ endeleeni kufanya Maulidi watu wajue kama kuna maulidi yaendelea 🥰 النبي حي في قلوبنا
@Yousouf-wn1qz
@Yousouf-wn1qz 11 месяцев назад
Shehe Bafana Mungu akuhifathi
@tvalmoftahofficial5173
@tvalmoftahofficial5173 11 месяцев назад
Wa bida hawajali kumdaru mtume inalilaahi wainailehi rajiun
@sayidshion
@sayidshion 11 месяцев назад
Allahu Bareek ya Sheikh❤
@fay9687
@fay9687 11 месяцев назад
Inalilahiwainailahirajiuun hiyo kucheza mpaka chini ni Ngoma au taarabu 😢😢😢😢😢😢😢😢
@ummy-vo6sp
@ummy-vo6sp 11 месяцев назад
Mimi nimedata na sauti tu ya bafana alipo soma voice over ❤ sauti ya qarma Neema tupu
@Aboodjan4-
@Aboodjan4- 11 месяцев назад
Chez kwel😂
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 11 месяцев назад
Ma Shaa Allah
@jumakumala1337
@jumakumala1337 11 месяцев назад
Kweli kabisa sheikh wng Said Bafana , Dini ni ya ALLAH wala msiseme tutawaonyesha laah
@abdulkarimmavuo645
@abdulkarimmavuo645 11 месяцев назад
Mwaabudu makaburi makhurafi na masheikh zenu,mwapiga twari ka wanawake,videvu hamufugi masenge nyoko nyinyi
@mbagaherbal4796
@mbagaherbal4796 11 месяцев назад
Wewe ndo Shetani mkubwa, unaetukana matusi eti nyoko. Nawe Mbwa basi
@user-bd1sy9mk6m
@user-bd1sy9mk6m 11 месяцев назад
Maa Shaa Allah. Ulimwengu mzima Barzanji kulisomwa sana. Salalaahu waswalim aleyh
@mabruqjumamponda7629
@mabruqjumamponda7629 11 месяцев назад
MAULIDI ni Bidah na hizi dalili hapa. 1. Mtume mwenyewe hakuyafanya akiwa hai. 2. Hakuna aya ndani ya Quran takatifu kuhusu maulid. 3. Mwanae wa kike Fatma (r.a) hakuyafanya. 4. Maswahaba wote wanne hawakufanya. 5. Wajukuu wa mtume wakufanya. 6. Imekuja miaka mia saba bada ya Rasul kufa. 7. Barzanji ame zaliwa 1716 juzi tuu mia mia tatu. Swali ni wamuamini vipi barzanji mtuzi wa mashahiri...salalaaa masufi hamuoni kwani nyie ni vipofu na viziwi? MAULIDI ni haramu mwisho wake ni motoni. Topokeni jamanini. Subhanaallah
@HamadMbarouk-xo9et
@HamadMbarouk-xo9et 11 месяцев назад
Ikiwa huu ni uzushi nambie wapi mtume kafundisha mpira nambie na ni sahaba gani alikua goli kipa au shabiki
@mabruqjumamponda7629
@mabruqjumamponda7629 11 месяцев назад
@@HamadMbarouk-xo9et normally i don't reply to academic dwarfs swali lako halina msingi
@medimisi6930
@medimisi6930 11 месяцев назад
@@HamadMbarouk-xo9et ndo shida ya watu wa bidaa kwa akili yako ndo umejibu au swali au.
@rashidramadhani3142
@rashidramadhani3142 11 месяцев назад
We unauliza kuhusu mpira kwani mpira ni dini??
@rashidramadhani3142
@rashidramadhani3142 11 месяцев назад
​@@HamadMbarouk-xo9etmpira sio dini
@kassamruzuru4913
@kassamruzuru4913 11 месяцев назад
Masha Allah ukwel utazid kudhihirika hawana majibu ya hoja 19. Wanasema sheikh Muhammad Bachu hana elmu na lugha inamsumbuwa lakin na masheikh wakubwa kumbe waliyaongelea hayo aceni bidaa maulid hayana ushahidi wowote
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 11 месяцев назад
Sheikh upo sahihi
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 11 месяцев назад
Masha Allah ♥️ kumbe na huu sheikh nimtu wasunnah! Acha nika mfwatilie kwenye chanel yake
@amyassyassin7909
@amyassyassin7909 11 месяцев назад
NAMSHUKURU ALLAAH KUNITOA KATIKA MAJANGA YA MASUFI NA UZUSHI WAO
@AbdallahShariif
@AbdallahShariif 11 месяцев назад
Laana ya Allah imshukie shekh bachu Inshallah kwa kutaka malipo kwa wa2 wa RU-vid
@sulaimaanunda2840
@sulaimaanunda2840 11 месяцев назад
Muogope Muumba wako ww... mas-ala ya kulaani mtu kwa kutaka malipo ya RU-vid ww yakuhusu na wapi.... mbona hao watu wenyewe wasilalamike hata walalamika ww.... usiwe mtu wa jazba, ukatumia ubakhili wako, uchoyo wako, ulemavu wako wa kiakili na ujinga wako kumlaani mtu ambaye ameambia watu ukweli.... yaani wataka kusema hio video inamfaidisha bachu pekeake na wala sio upande wa pili pili... ama hao wa upande wa pili wawatetea kwa kigezo gani wkt hao wenyewe wameshindwa kutetea nukta moja tuu kati ya nukta nyingi zilizo hitajika... FUATA UKWELI NA UACHE UPPUUZI NDUGU, hasira zitakupeleka pabaya!!!
@salimutwahiri3693
@salimutwahiri3693 11 месяцев назад
Nyinyi mnaita nashidi tamasha na sisi tunayaita maulidi wapumbavu nyinyi
@Mswahili-12
@Mswahili-12 11 месяцев назад
Wataelewa tu insha-allah.
@musarashid-xw1qm
@musarashid-xw1qm 11 месяцев назад
Uliposema inshallah umemaliza tunasubili tofiki ya alla yeye allah umuongaza amtakae
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 11 месяцев назад
In shaa allah pia Raddi zitaendelea mpaka masufi waache maulidi au wafe 😅😅
@alumbulaisinda9746
@alumbulaisinda9746 11 месяцев назад
We kikojozi bado tuu unatafuta ushindi wakati ulishashindwa kitambo
@kassimsalim6160
@kassimsalim6160 11 месяцев назад
Hakuna atafutae kiki.....kma nyie mwatafuta ushindi ila Muhammad Bachu ataka watu wajue kua yote ni bidaa.....na sio heshima kumuita mwenzako kikojozi chuki hizo..... dini haiendi hivyo
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 11 месяцев назад
hakuna anaetafuta ushindi lengo ni watu kujua haqi.ushindi utaupata ukisha kufa ndio utaelewa umeshinda au laa
@kassimsalim6160
@kassimsalim6160 11 месяцев назад
@@jumamahmoud9271 Kabisaa maneno ya busara.....kuna masuulia kesho Allah atuongoze kwenye haqi
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 11 месяцев назад
Yan nyny wapiga gitaa na piano mpo vzr sn kwa mnn ya kejeli na ufedhuli na kudhalilisha ndugu zenu, lkn kujibu hoja kwa dalili hamna...
@furahisana7733
@furahisana7733 11 месяцев назад
Kila mwanadamu ni mdhambi lakini basi maswali mengine tujipunguzie siku ya Qiyama tuache bidaa pia
@swalehahmad8947
@swalehahmad8947 11 месяцев назад
Maadamu hamutaki kusoma ilimu mutaendelea kupingapinga mawlidi na filhali munayo yenu muloyazusha kama hayo ya mawlidi lakini kwa sababu ya jahli na hawaa za nafsi hamuyaoni ... Tatizo lenu kubwa ni uhaba wa ilimu na ushujaa wa kusemasema
@nurdiniuledi48
@nurdiniuledi48 11 месяцев назад
Umese ukweli hakika Hawa nimahidali Kwa kusema ila ilmu hawana.
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 11 месяцев назад
Kama kuwa na ilimu ni huku wacha ikae 7:55
@swalehahmad8947
@swalehahmad8947 11 месяцев назад
@@abuuaisha6110 Taassub haifai katika dini ... ilimu ndio muangaza wa dini yetu ili tusipotee na kupotezana
@furahisana7733
@furahisana7733 11 месяцев назад
Nami naona kaeli hapa kuna hawaa ya nafsi hakuna elimu ya kukubali mawlid hakuna hiko kitu na wewe mwenyewe shahidi isipokuwa tu ni Qibri hakuna manufaa anayopata mtu kukutahadhaeisha na hii bidaa isipokuwa anakupa mtihani ujue halafu ukaidi yeye kazi yake keshamaliza hataulizwa siku hiyo nadhani unaijua vizuri tusijishau ndugu katika uislamu
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 11 месяцев назад
​@@swalehahmad8947ilimu ni nuru lakini ikiwa ilimu yako waitumia kuzua katika dini ya Allah itakuwa na maana gani ilimu yako?
@saidikipoto1090
@saidikipoto1090 11 месяцев назад
Pole I mawahabi kweny hakuna tofauti kati yamsiba na harusi mda wooote mmenunu tu.tuacheni mtume wetu kama hataki kumtangaza ninyinyi.swalu ghannabii❤
@omarchaijefwa729
@omarchaijefwa729 11 месяцев назад
Mumeoza twarika hata alivyongolewa meno mtume muhammad saw hamuoni ju ya kuitetea dini nyinyi mwakata viuno tu
@bakariomari8758
@bakariomari8758 11 месяцев назад
Nadhani watu wa matwari Allah keshawatia muhuri mioyo yenu na masikio yenu. Ole wenu musiporudi kwenye sunnah. Waakhasraaa
@Salimsaid-nk1qv
@Salimsaid-nk1qv 11 месяцев назад
Masha Allah
@abuujureyjkhaniykhaniy9645
@abuujureyjkhaniykhaniy9645 11 месяцев назад
جزاكم الله خيرا و احسن الجزء أنا في الاجتماع في أمان الله
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 11 месяцев назад
Hii ni vita baina ya Haqqi na batili, na batili haiteteeki hata mufanyeje, wazushi kueni na adabu basi
@nasoros.mgungo5502
@nasoros.mgungo5502 11 месяцев назад
Hadi Sasa sijasikia jibunla swali. ''Ni ITTIFAQ GANI ya Wanachuoni wa Elimu ya Hadithi waliosema kitabu kikiwa na hadithi Munkar Basi Kitabu hicho HUITWA Ni kitabu Cha Uongo au Mwandishi wa kitabu HUITWA Muongo?'' Wote tuliotazama hulle MJADALA tuliona Sheikh Bachu hakujibu.
@RaslaniAbedy-qs8vd
@RaslaniAbedy-qs8vd 11 месяцев назад
watu wa sunna ibada zao zimekamilika kwa kufa mtume ila ibada za wazushi bado zitaendelea kwasababu wao hufuata wahyi wa shaitwaan
@hemedisaidi9023
@hemedisaidi9023 11 месяцев назад
Ndugu zangu waislam tuache mchezo na dini ya Allah haqi ni haqi hata kama Hawa masufi wako wengi huo sio ushindi kwao Bali ni hatari sana kwao sheikh saaid bafanah huyu ndo kajua Nini maana ya elim na haqi Iko wapi sio sheikh diwani Al kubrah na yule wa Kenya Yuko mamrui mjinga kama yeye hakuna namuomba Allah awape haki katika nafsi zao twarika acheni mchozo na dini ya Allah kaburi sio mbali nayusia nafsi yangu pamoja na ndugu zangu waislam
@Mr.korongo
@Mr.korongo 11 месяцев назад
sikuzote Wahabi mnajikuta mnaweza kutukana
@zawiaissa8912
@zawiaissa8912 11 месяцев назад
😂😂😂 mbn wanacheza mziki ndowanampenda mtume tu hivo duuuh Allah awaongoze kweli kweli
@Mr.korongo
@Mr.korongo 11 месяцев назад
maada husika haikua namna watu wanavyo icheza Maulid. maada ni ukweli katika maulid. nilidhani ungeuliza wale wanaocheza wako sahihi au laa. wale hawako sahihi na maulid haijaelezwa kusherehekewa vile. Matendo ya mtu mmoja sio kigezo cha kusema maulid ni bidaaaa. niwaulize tyuu. ni kweli waislamu ni magaidi kutokana na imani za kigaidi za baadhi ya watu wanafanya matukio ya mauaji na kuitajwa ni wailamu?
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi 11 месяцев назад
Saiv washaanzisha ligi eti kwa ajil ya kumsheherekea mtume yaan wamezid tena wameend ktk nyimbo na saiv washaanzisha ligi yaan mtihan mtupu ila tuwaombee dua allah awaongoze...
@kylesmeight4837
@kylesmeight4837 11 месяцев назад
Nmeion clip na mm
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 11 месяцев назад
Nimeona yani mtihani hawa masufi
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 11 месяцев назад
Raddi zitaendelea mpaka masufi waache maulidi au wafe 😂😂😂
@adamkanja6449
@adamkanja6449 10 месяцев назад
Tupinge bida'aa,,, ❤❤
@abdishivo6764
@abdishivo6764 11 месяцев назад
Maasha Allah
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 11 месяцев назад
Hawawezi suna ya kufunga kama alivofunga mtume siku ya jumatatu siku aliyozaliwa wamefungua midomo kama chewa kwa ubwabwa😂
@yokomahelamahela9954
@yokomahelamahela9954 11 месяцев назад
pole nyinyi mna mzushia mtume uongo
@rashidkhamis8282
@rashidkhamis8282 11 месяцев назад
Sira hamuijui mawahabi mnasomea ubishani tu
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 11 месяцев назад
At Yani Kuingia Vitu Ama kuongeza Vitu Kwenye Dini Ndio Kujia Seraa Kwenye Bidaa Zimekuadhirii Ndugu Yngu
@humanitydensity8974
@humanitydensity8974 11 месяцев назад
Waislamu tuacheni mizozo...tusiifanye Dini kama biashara...mfano: waupande huu wako na brand ya samsung na upande mwengine wako na brand ya Iphone...kila mmoja anamuangalia mwenzake kasoro ndogo tu ndio nafasi yake ya kujenga jina na kufanikisha soko la biashara yake kwa kupaza sauti juu ya kasoro za mwenzake kuifanya ovu kabisa ila pengine sivyo bali nikwasababu tu ni washindani katika biashara...Khofu ni tusijetukaibinafsisha Dini...kwa kuifanya kama biashara baina yetu!
@furahisana7733
@furahisana7733 11 месяцев назад
Bidaa si kasoro ndogo hili linampeleka mtu motoni moja kwa moja kukemea bidaa ni muhimu sana
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 11 месяцев назад
Watu wanakujuza haki ya Dini wewe unaona wanafanya biashara sijui kama utaelewa
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 11 месяцев назад
Sikiloza alafu fikilia lakuandika bidaa ww unaiyona zambi ndogo. Kwahiyo upotayali. Kizazichako kialibiwe. Laazima. Likemewe hili jambo katri ya uwezo wao na ss pia tuwanass familiazetu
@shadyaaboud2405
@shadyaaboud2405 11 месяцев назад
Umesema kweli
@humanitydensity8974
@humanitydensity8974 11 месяцев назад
@@suleymansalim5732 ushauri wangu ni tanbihi tu...Maa Shaa Allaah Haki ndio tegemezi sahihi kabisa ila ina mizizi yake na ni chungu katika ladha na kwa wizani ni nzito kama jabali, wewe unaye ibeba sio rahisi na yule unaemkusudia pia kwake sio rahisi...lazima iwepo mizani!
@Sheba4651
@Sheba4651 11 месяцев назад
Ati nyimbo za barzanji ...Sheikh Abdallah Saleh Farsy
@muniraali3158
@muniraali3158 11 месяцев назад
Niulizee kwenye Quran mulitajiwa,swala ni ngapi na zikatajwa na rakaaa zake?
@user-ct2lc2xh5u
@user-ct2lc2xh5u 11 месяцев назад
Wewe Bichwa bahlul
@user-oc8uo9rl3u
@user-oc8uo9rl3u 11 месяцев назад
MAWAHABI UKIWATAJIA BIDAA WANAZOFANYA WAO WATAZITETEA MPAKA KIPOVU CHA MDOMO KITAWATOKA JAPO HAWANA AYA WALA HADITHI EG. KUTOA HOTUBA YA IJUMAA KWA KISWAHILI
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 11 месяцев назад
Sisi bado twangojea itifaq ya wanazuoni kwamba hadithi ikiwa dhaifu yaitwa uongo!
@mohamedabdallah431
@mohamedabdallah431 11 месяцев назад
Hatari elimu inahitajika
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb 11 месяцев назад
BACHU HAWA WATU WASIKUUMIZE KICHWA WATU TUSHA ELIMIKA TAAALI
@Khamishajj763
@Khamishajj763 11 месяцев назад
Saivi kuna mpaka kombe la mpira la mtume muhammad,( s a w ) yaaki jambo hili limenikera kwelikweli, hivi mtu anamzulia mtume muhammad ( s a w ) uongo halafu aachiwe tu ?
@zeitunMohammed
@zeitunMohammed 11 месяцев назад
Sheikh ww na kichwa chako hicho manii wamekufa kutambo,mtume wetu kawatoa wapi akawasalisha ndani ya baitul maqdis hali ya kuwa wamekufa kama wauliza kuwepo kwa asiya kwa mazazi ta mtume?
@saidmadizi9152
@saidmadizi9152 11 месяцев назад
Lakn Hilo alifanya mtume mwenyewe na akaelezea ndio manatunamini,je hili lkuja kw Asia n wenzie nani alisema km c uwongo
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 11 месяцев назад
Jambo ambalo linanamuhusu mtume lilokuja kwa dalili kutoka kwenye quraan na hadithi sahihi hatunabudi kuliamini, lakini jambo ambalo halina dalili kutoka quraan na hadithi sahih hilo tunalazimika kulikataa na sio makosa Kuita uongo
@kylesmeight4837
@kylesmeight4837 11 месяцев назад
​@@saidmadizi9152Mung hashindwi na jambo lkn hlo la kna Asia kuja halina ushahid ndy tatzo lnapoanza
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 11 месяцев назад
Shekhe cc tunajua kwamba kwa Allah kila jmb linawezekana kwaiyo ilo la kuja Asya na Maryam linawezekana tena sn tu, suali hapa n jeeee limethibiti wapi ili ucwe n uongo???
@abdulkareemsimba
@abdulkareemsimba 11 месяцев назад
Tena miereka yaki sawa sawa
@issamohammednassor8688
@issamohammednassor8688 11 месяцев назад
Mawahabi ufahamu wenu ni bora mbuzi anaweza akawa muelewa kuliko nyie nyie mmenyimwa ufahamu na elimu we ungesema tu sijui mbona hujasema hujui ulijua kama umekamwa kama yale uloyaandaa yte yamekwamaaa
@Captainome
@Captainome 11 месяцев назад
Sasa kama ufahamu ni mgumu mbona hamfahishi watu 3hrs hata ibara moja kashindwa kunuku hayaa hata HADITH DHWAIF MMEPEWA OFFER MTUMIE LAKINI WAPI.TULINE UMMA UTAMBUE hakki kupitia mashekh.
@isackwaite-uf1zy
@isackwaite-uf1zy 11 месяцев назад
Sheikh bachu esta no bom caminho, bachu yuko sahihi ww n gumu wakuwelwa. Por favor vai estudar pouco Allah vai te dar bom inderesso
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 11 месяцев назад
Ebaaana❤ ni noma
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 11 месяцев назад
MashaAllah
@athmanustadh9239
@athmanustadh9239 11 месяцев назад
إنِّي عبدُ اللهِ، وخاتَمُ النَّبيِّينَ، وأبي مُنجَدِلٌ في طينتِهِ وسأُخبرُكم عنْ ذلك: دعوةُ أبي إبراهيمَ، وبِشارةُ عيسى، ورُؤيا أُمِّي الَّتي رَأَتْ، وكذلك أُمَّهاتُ النَّبيِّينَ يَرَيْنَ». وأنَّ أُمَّ رسولِ اللهِ ﷺ رَأَتْ حين وضَعَتْهُ نورًا أَضاءتْ لها قصورُ الشّامِ، ثُمَّ تلا: ﴿يا أَيُّها النَّبِيُّ إِنّا أَرْسَلْناكَ شاهِدًا وَمُبَشِّرًا وَنَذِيرًا (٤٥) وَداعِيًا إِلى اللَّهِ بِإِذْنِهِ وَسِراجًا مُنِيرًا﴾ [الأحزاب: ٤٥، ٤٦]. الراوي: عرباض بن سارية • الحاكم، المستدرك على الصحيحين (٣٦١٢) • صحيح الإسناد
@vuaisharif2718
@vuaisharif2718 11 месяцев назад
Km naww unatk mjadala hem wek siku yak uingie kweny mechi tuone km naww utafik dkk 20 sio kukaa hapo na kujadil mambo yalio pita km una pwent jamaa yupo kasem mda wowot tuu yupo tayari❤
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 11 месяцев назад
Moja kati ya sifa za masufi Ahlul-Bidaa wal-hawaa ni uongo na uzushi
@user-cb6ny2ig1s
@user-cb6ny2ig1s 11 месяцев назад
MBONA HAMUTOI DALILI ZA KUPINGA... MWASEMA KIAKILI ... DINI HAIENDI KIAKILI YAENDA KIDALILI
@saidsobongo912
@saidsobongo912 11 месяцев назад
Kupinga hivi unajua maana yake mtu akisema kitu fulan hakuna ndio kashapinga kwahvo kitu kupinga sio mpaka uletewe makaratac Wewe chamsingi ukiambiwa simu sio yako wewe thibitisha kwa kutoa fingerprint bac lakn ukianza story hueleweki
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 11 месяцев назад
Hivi wewe ukiambiwa ulete dalili ya kutofaa kuswali rakaa nne katika swala ya maghrib waeza leta dalili? anaetakiwa kuleta dalili ni aliyeleta jambo wala sio anaepinga, wewe unadai gari ni lako utaulizwa logbook, hii ni mifano ya kidunia tu kwenye dini ndio usisema, hatuna nafasi yakuengeza katika dini ibada yoyote ampaka iwe na dalilii sio kujibunia tu bila ya dalili.
@MwinyiJuma-ce3eq
@MwinyiJuma-ce3eq 11 месяцев назад
​@@abuuaisha6110hapana nyote mwatakiwa kutoa dalili anaekubali na anae kataa ndg yangu owo mtizamo wako nauheshim lkn si uwafiki.
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 11 месяцев назад
Dalili mbn zipo nyingi sana tena sn lkn kubwa n ile kua hayakuthibiti ktk Qur'an, hadithi, sunna na mienendo ya waliobora zaidi yetu..
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 11 месяцев назад
Hivi ikiwa mmb yametolewa ktk hicho kitabu chenu cha Maulidi na yakaitwa kua n mmb ya uongo, na ktk hadithi sahihi Mtume asema "mwenye kunicngizia mm uongo makaazi yake n motoni" ss hapa ama mujikubalishe kua ktk watu wanaomcngizia uongo Mtume au muje na dalili za kuonyesha kua hayo yaliyoitwa kua n ya uongo c uongo na ya kwl kwa hoja hizi baaaaas🎉
@user-us7wj3jq6b
@user-us7wj3jq6b 11 месяцев назад
Masha Allah❤❤
@alamoodyfauzi9658
@alamoodyfauzi9658 11 месяцев назад
Kabla ya kuangalia hii video nilikua ahlu sunnah wal jama³a nasherehekea maulidi lakini sasa bado niko ahlu sunnah wsljama³a na nazidi kuyasherehekea maulidi
@iddimohamed254
@iddimohamed254 11 месяцев назад
Iyo part ya bahero ndio imenigusa miaka 600 mtu anatuletea maulidi alaf wanasema ni ibada...ukiwauliza dalili wanaleta story mingi.yani shehk bachu usichoke kutuelisha ili jambo limeharibu watu wengi mno...
@mahmudali705
@mahmudali705 11 месяцев назад
Maulidi haikuanza leo wala jana tuheshimu ikhtilaf kila mmoja afuate anapo ona sawa lakini usimwiti mwisilamu mwenzako mushrik
@mgazamhina840
@mgazamhina840 11 месяцев назад
Hata kupigwa haikuanza leo,na kama Barazanj ingekuwa sawa tangia miaka hiyo ingetafasiriwa vizur kuwaka hayo majaz na kuifanya isiwe na mjadala tena lakini mpaka hamna bas,kuna shida ndani yake,hata maulidi ya zamani na sasa hivi ni tofauti sana,asaiv n ngoma kabisa
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 11 месяцев назад
Hakuna ikhtilafu katika maulid, kongamano ya wanazuoni maulid ni bid'a
@Munshid_Rajab
@Munshid_Rajab 11 месяцев назад
hakuna ikhtilaaf kwenye jambo lililopo wazi...uongo upo wazi..ushirikina upo wazi..asa khilaaf gani kwenye shirk
@MohammadJumah-qk2xc
@MohammadJumah-qk2xc 11 месяцев назад
Mtume hajafanya hiyana hata kidogo ktk kufikisha ibada kwa hiyo kama wew unaitakid maulid tupe dapeni dalili kama
@binaamour318
@binaamour318 11 месяцев назад
W munshid unaweza kuthibitisha huo ushirkina Kama c ushabik t ulionao? Hivi nyinyi mnadhani Kuna vitabu gani kilicho salama hakina makosa vilivo tungwa na wanachuoni ispokuw kur aan pekee bac
@khamismwalim5604
@khamismwalim5604 11 месяцев назад
Maskini😋😋 Mawahab Wataman Msosi wa Maulidin!!!! nyinyi njoni tuu!! Sisi hatuna ubaya na Mtu🙌🙌
@abdallahshabani710
@abdallahshabani710 11 месяцев назад
Bado hamjasema... tutayasomaaa sana mwaka huuu😅😅😅😅😅
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 11 месяцев назад
Hata zinaa, shirking, wizi, uongo,namengine ni dhambi za wazi na watu wote wanajua wsla haxitak dalili lakini hawaachi ingawaje Allah amekemea ktk kuran illa ujumbe umefikaaaaaaa
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 11 месяцев назад
​@@AllyAhmad-zg2ypumesema kweli
@furahisana7733
@furahisana7733 11 месяцев назад
Allah akuongoze ila tambua hiyo ni bidaa ndugu yetu katika uislamu si kwa manufaa yetu bali kwako siku utaposimama na kuulizwa ibada hii uliitoa wapi sidhani kama utakuwa na majibu tuache kibri hilo ni vazi la Allah jitoe kwenye hii shubha na Allah atakulipa inshaallah.
@mapishinasherry7671
@mapishinasherry7671 11 месяцев назад
Upofu wa haki ni mtihani mkubwa. Uongofu unatoka kwa Allah peke yake. Mambo yako bayana lakini yanafunikwa na batil
@rashidsuleiman9253
@rashidsuleiman9253 11 месяцев назад
mpe mtu fursa ya kusema ujue ujinga alionao. sheikh shukran tumekuelewa baada na wewe kusema.
@ABUUALLY-j7k
@ABUUALLY-j7k 11 месяцев назад
Mimi naamini kwamba wanyama wanaweza kuongeaaa tena sina shaka katka jambo hilooo sasa kama nyinyi munashaka basi pia kuweni na shaka pia mazazi ya nabii issa kwa sababu kama mwenyezimungu kaweza kufanya miujizaa katka mazazi ya nabii issa vipi ashindwe kufanya miujiza katka mazazi ya mtume s.a.w !
@ABUUALLY-j7k
@ABUUALLY-j7k 11 месяцев назад
😂😂😂😂 yaani wallah hojaa mulizo nazo zakitoto kabisaa ! Hii yote inaonesha wazi kuwa Badoo wadogo sana kwenye elimu ! Nendeni Mombasa mkasoneshweee ! Yaani mungu kakupeni kipaji Cha kuporojaa tuuu maneno mengii ila hojaa hamuna za msingii! Yaani unashangaa wanyama kuongea katika mimba ya mtume na wakati qur Ani inatwambiaa wanyama wanaongeaa!
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 11 месяцев назад
Hawa wana udhaifu wa fikra, maulid yanawaleta waislamu pamoja, hawa kibri kingi na ubinafsi
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 11 месяцев назад
Weee Mpuuzi Sna Nani Alikuambia ivyoo Ndivyo Ujinga wenu Mlivyo Aminishwa Et Maulidi Yanaleta Waislam Pamoja Shit Point Kijinga kabisa Iv Mtume Muhammad S,w Haliwaleta Waislam Pamoja Wakati Kupitia Matamasha Ya Maulidi 😂😂 Atuwezi Kunyamaza Kuona Dini Ya Haki Ilio Kamilika Kisha Tuone Wapuuzi Wanaichavua Kisha Tukae kimya Jambo Ambalo Halikubaliki kabisa Tutakapo Nyamaza Kesho Masuni Tutaulizwa Juuu Ya kuona Mtume Muhammad S,w Anazulia mambo Ambayo Akufanya kisha Mmenyamaza ili Hali Tunajuwa Kwaiyoo Atuta Nyamaza kabisa Kumchavua Mtume Muhammad S,w
@Hunger388
@Hunger388 2 месяца назад
❤❤❤❤
@saidilikoko291
@saidilikoko291 11 месяцев назад
Subhana llah sijaona dalili naona rai tu za hawa mashekh na kutokuwa na inswafi juu ya maulidi (elimu ???)
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 11 месяцев назад
Et Ujaona Dalili Subhannallah Daah Bidaa Zimewadhiri Sana Unataka Dalili gni Ikiwa Matamasha Yenu Ya Maulidi hayaja dhibitika Kwenye Qur'an Wala Kwenye Adith Sahihi Sasa Wewe Una taka Dalili gani Mpuuzi wewe
@fay9687
@fay9687 11 месяцев назад
Pilau watapata wapii wakiwacha maulidi watu hapo ndio wanaponea wanaimba imba baadae pilau bidaaa tupu na kufru
@user-yw1jp4mh7c
@user-yw1jp4mh7c 11 месяцев назад
😅😅😅wee watha mchezo weye...pilau n chakula hupewa watu km swadaka ...kwaio kutoa swadaka pia n bidaa...nyiee nenden mukasome achaen ushabk katka DNI😂 SubhanaLLAH
@mubaarakellofiy
@mubaarakellofiy 10 месяцев назад
Maulidi anayo pigania shkh mohd bachu kweli sio sahihi , lkn ndugu zetu wakiibadhi Wafanya maulidi kwa nia ya kukumbushana sira y bwana mtume na iyo inafaaa, sio kama hawaisomi sira ispokuwa ktk maulidi laa, bali wanazidisha
@FuadHamed5804
@FuadHamed5804 10 месяцев назад
Baina ya Nabii Daud(AS) na Mtume Muhammad(SAW) nani bora kuliko mwengine? Na mbona Nabii Daud(AS) imesemekana wazi kuwa na ndege na majabali walipiga tasbihaat na ya wanyama kuongea kuhusu Mtume Muhammad (SAW) haikuelezwa na Allah (SW) . Waislamu amkeni Maulid ni uzushi mtupu..... Anaetaka aamini asietaka akufuru. Bora ujumbe umewasilishwa na masheikh zetu na hio ndio wataitumia kama hoja mbele ya Allah(SW)
@user-yk2lh8gl8i
@user-yk2lh8gl8i 11 месяцев назад
Usitukane kasome ufahamu wote ni wasomi sikiliza huyu na huyu
@ABUUALLY-j7k
@ABUUALLY-j7k 11 месяцев назад
😂😂😂 kama lazima upate andiko kama unavyo taka weww basii watu wasinge wenza kufutu maswali maana kila miaka ikienda na maswali yanatokea mapyaa! Kwahiyo kama jambo halikutajwa kwenye qur ani wala sunna ndo tuliache tuseme halifai hata kama ni jambo halipingani na qur ani ?
@swalehahmed6579
@swalehahmed6579 11 месяцев назад
Hawa mawahabi wanachuki na mtume kitu kinacho wakera ni kusifiwa na kusherehekewa kwa mtume basi kufeni na machungu yenu
@idarusalwi7962
@idarusalwi7962 11 месяцев назад
Wakati mtume aliwahi kuwasalisha mitume na washakufa haya hiyo iseme pia (Israi na miiraj) mtume muhammad aliwasalisha mitume na washakufa wewe huna ilimu yeyote huna fanni yoyete wategeme tafsiri ya sheikh saleh Al faris.
@fareedahmad6857
@fareedahmad6857 11 месяцев назад
Mikusanyiko ya kheri sh Bahero ni dini na thawab Allah anawapa waja wake tene anajifakharisha kwa mikusanyiko ya kheri... Thawabu hutoi wewe wala mie wala baba zetu wala mama zetu Wewe si muandishi wa thawabu Tusivamie mamlaka ya Allah
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 11 месяцев назад
Mtume amesema: من أحدث في أمرنا هذا ما ليس منه فهو رد Yoyote mwenye kuzua katika dini jambo ambalo halina asili ya quraan na hadithi, basi ataregeshewa mwenyewe. Maelezo: Kuzua katika dini kumekatazwa hairuhusiwi mtu kufanya ibada yoyote pasina kuwa na dalili kutoka kwenye quraan au hadithi, ibada yoyote ambayo inafanywa kinyume na mafundisho kutoka kwenye quraan na hadithi haikubaliwi wala haina thawabu bali ni dhambi na huenda mwenye kuifanya akakumbwa na adhabu siku ya kiyama kwa muujiju wa hadithi nyingine ya mtume كل بدعة ضلالة وكل ضلالة في النار Kila uzushi ni upotevu na kila upotevu motoni
@ABUUALLY-j7k
@ABUUALLY-j7k 11 месяцев назад
Wewe sheikh unaonekana qur ani huijuiii au huisomii ! Kwa sababu qur ani inatwambia kwamba wanyama wanaongeaa ! Kama qur ani inakubali kwamba wanyama wanaongeaa basi hakuna shaka kwamba wanyama wanaweza kuongea ktk mimba ya mtume s.a.w ! Sasa hapo uwongo upoo wapi ? Na wakati qur ani haijapinga kwamba wanyama wanaongeaa! Ingelikuwa qur ani haikusema kwamba wanyama wanaongeaa basi tungesema kweli hili jambo ni lauwongoo! Na lazima tuelewe kwamba kuongea kwa wanyama ni jambo la kimiujizaa na jambo hilii hutokea kinyume na mazowea ya watu na kwa vile mtume .s.a.w alikuwa ni kiumbe boraa na kiumbe kitakatifu ndio maana wanyama wakaongeaa ! Kwahiyoo hiyoo sio hoja ya msingii kupinga kwamba wanyama kuongeaa ni uwongoo ! Basi kama hivyoo basi pia unakanusha qur ani kwamba wanyama hawawezi kuongeaa ! Hilii jamboo linawezekana kutokea tena bila ya shaka yoyote ilee kwa sababu halipingani na qur ani !
@athumaniamiri3764
@athumaniamiri3764 11 месяцев назад
Mbona mlikimbia kwenye munaqasha alaf huku prmbeni mnaongea sana
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 11 месяцев назад
We nae kaoge ubwabwa2
@mj.tv.forpeople992
@mj.tv.forpeople992 11 месяцев назад
Chunguza mengii, wanazusha kama walivyo zusha haya, yasiyo na faida
@mohamedabdallah431
@mohamedabdallah431 11 месяцев назад
Inshallah tutafika
@sheeqassim6274
@sheeqassim6274 11 месяцев назад
Huyu nae ni nan mawahabi nyie hata kuongea hawez 😂😂😂😂
@salehothman6144
@salehothman6144 11 месяцев назад
Yaani saivi mitandao ya kijamii dini ya kiislamu imehamia kutukanana na kukejeliana tu hakuna tena elimu inayopatikana ,kila mtu anaonesha uhodari wa kuongeaa na kuwa yeye ni msomi kuliko mwengine!!
@tamashamagoma2941
@tamashamagoma2941 11 месяцев назад
Tumekuwa umma Bora kwa sababu ya kuamrishana mema na kukatazana uovu. Ubaya hauwezi ukaachwa hivihivi. Msione vibaya mkiambiwa Kweli. Fuata haki ndugu yangu
@hassanmsumari1200
@hassanmsumari1200 11 месяцев назад
Haki ibanishwe akili kichwani mwako huu sio ukristo au ushia
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 11 месяцев назад
Mtume alipotumilizwa, alipowalingania makureshi, baadhi yao wakasema kuwa Muhammad anawatukana miungu, ndani ya barazanji kuna uongo na ushirikina mashekh wakisimama kuyazungumza hayo mwasema mashek wanatukana
@salehothman6144
@salehothman6144 11 месяцев назад
Katika mtaa wako kuna majirani wangapi hawaswali ,kuna ndugu zako wangapi hawaswali ,kuna watoto wangapi wanaishi katika mazingira magumu sababu wazee wao wametengana au wamefariki bada ya muda wanabakwa na kulawitiwa ,wafanyaji ni waislamu,na wanaofanyiwa ni wasilaamu,kwa nn tusijikite huku,tukaweka mjadala tukajua tunatatua vipi changamoto zao,sisi tumewekwa ktk sehem ya kupigana madongo,wakiristo wanajadili mambo ya msingi ktk kueneza injili yao na kuwa na maisha bora!
@salehothman6144
@salehothman6144 11 месяцев назад
Namkumbuka sana sheikh Mohamed Rogo na Ustadh Ilunga hakuna aliyevaa viatu vyao mwenyezi mungu awalipe malipo makubwa sana kwa kazi waliofanya!
@maktab3679
@maktab3679 11 месяцев назад
Kumbe ulisoma maulidi we pia ?
@HemzTmT
@HemzTmT 11 месяцев назад
Mashallah🤲🏻 Tom & Jerry waliongea kiarabu??😂😂😂
@athumaniamiri3764
@athumaniamiri3764 11 месяцев назад
Bachu ulimifurahisha sana pale kwenye kiti haukua ukipayuka kama unavyo payukaga ukiwa kwenye membari zenu ila pale skuile ulikua wanywa maji tu
@zawiaissa8912
@zawiaissa8912 11 месяцев назад
nikweli et ndy mana wakashikilia nkuta Moja tu ila tusha jua haki saivi na maulidi tushaacha Allah atusamehe na awaongoze watu wa bidaa waijue haki
@Abuunuwayra
@Abuunuwayra 11 месяцев назад
Hii Ni Shirki Sio Ikhtalafu Hapa hawa nkama Mushriki wa kawaida
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 11 месяцев назад
Mnyama yoyote km kuna jambo kubwa linataka kutokea basi allah anawapa khbar tena mambo haya tunayashudia leo nyie mnajiita mashekhe mnashangaa tukio kubwa la kuzaliwa mbora wa viumbe ?me sishangai ni lakawaida tu ikiwa kw mtume SAW.
@mohamedumri4176
@mohamedumri4176 11 месяцев назад
Jibu swali..
@Nusrat_Khalifa
@Nusrat_Khalifa 11 месяцев назад
Bahero wafkiria kuna kula tu kwenye maulidi🤣🤣🤣 huwa waenda yaonesha
@Buddy9072
@Buddy9072 10 месяцев назад
فقد روى الإمام أحمد في مسنده عن العرباض ابن سارية، عن النبي صلى الله عليه وسلم، قال: إني عبد الله في أم الكتاب لخاتم النبيين، وأن آدم لمنجدل في طينته، وسأنبئكم بتأويل ذلك: دعوة أبي إبراهيم، وبشرى عيسى قومه، ورؤيا أمي التي رأت أنه خرج منها نور أضاءت له قصور الشام، وكذلك ترى أمهات النبيين صلوات الله عليهم. ورواه الحاكم وصححه، ووافقه الذهبي. Naomba mtafute Bafana akueleze hii hadithi au akudhaifishie pia ni sawa. Kisha ndio upime munayoelezwa na hawa watu yapo ama ni uzushi??? Na hii hadithi Bafana ataidhoofisha vipi ama ataifahamisha vipi, ama hakuwa ameiona?
@saidikipoto1090
@saidikipoto1090 11 месяцев назад
Kingine hamna jipya zaidi yachuki hata daghawa yenu hainaga ladha hii nidini sio siyasa.lau ungekuwa natabiya mbaya mwenye roho mbaya watu wangekukimbia.,,
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 11 месяцев назад
Kakaa huku kwenye sunnah ni kutamu sana na sisi tulikua tunaosoma maulidi lkn Sasa tumeacha tuna enjoy kuwa wanasunnah
@shadali7616
@shadali7616 11 месяцев назад
Wallah muna jisumbua akili maulid yata bakia ya ki somwa mpaka kiama na kila uchao yana zidi daima .....nibora mtu afuate lake analo liona nisawa kwake allah ata tu hukumu ....
@HadijaAbdukadiri
@HadijaAbdukadiri 11 месяцев назад
Menye kusema mushrik yeye ndio mushrik kuliko wenzake
@mahmudali705
@mahmudali705 11 месяцев назад
Nyinyi chuki na mtume tu hakuna mulijualoo
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 11 месяцев назад
Kama unapenda mtume fata Sunna zake fungal kila Monday Wacha kufata uongo wa barzanje Sasa wewe unaona kufata uzush ndio kupenda mtume ama kufata mafunzo yake
@Munshid_Rajab
@Munshid_Rajab 11 месяцев назад
ila wacheza ngoma wakata ndevu ndo wapenzi😂😂😂
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 11 месяцев назад
Wewe unaweza kupenda mtume kulikowatu wa Sunna kama unapenda mtume Wacha uzush fata tu mafunzo yake tu na ya Allah Wacha kufata uongo na uzush
Далее
Tunavyopaswa Kuitakasa Nafsi | Sheikh Said Bafana
1:02:17
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 1,6 млн
Китайка и Зеленый Слайм😂😆
00:20
BARZANJI MAULIDINI Sheikh Said Bafana
47:08
Просмотров 42 тыс.
Makosa mengi waislamu wanafanya kwa ibaada zao
1:37:04
Просмотров 37 тыс.
MAJUTO YA SIKU YA KIYAMAH. SHEYKH; SAID BAFANAA
37:25
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 1,6 млн