Тёмный

LEMA ATOA MANENO YA UCHUNGU NIMESEMA SANA NIMEKIMBIA NCHI SIDAIWI CHOCHOTE 

KUSAGA TV
Подписаться 176 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
RU-vid : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Опубликовано:

 

10 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@KesuYeile
@KesuYeile 4 часа назад
Mungu akubariki San mh lema,
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 3 часа назад
Aibu sana ktk nchi yetu uoga ukizidi ni ujinga ktk taifa
@rithaurassa
@rithaurassa Час назад
Unasema kweli mkuu kazi yakujituma ni ngum sana.Ila Mungu yuko pamoja na wewe usiogope amini tuu.
@stanastana3199
@stanastana3199 4 часа назад
Jamaa wanapiga makofi maadaye wanachagua ccm
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 часа назад
😢😢😢😢😢
@MfunjoWabaBoydays
@MfunjoWabaBoydays 2 часа назад
Unafiki ni Mwingi sana nchi hii
@peterjohnson167
@peterjohnson167 3 часа назад
Lema hutubia watu ambao hawaja tembelea maeneo mbalimbali dunia...Mimi bara zote na nchi mbalimbali dunia nimesha tembea...USA ombaomba wako wengi kuliko Tanzania... Sicilia Italy kuna machinga kuliko Tanzania...Na hizo ni nchi zenye uchumi mkubwa duniani...
@HamisLeo
@HamisLeo 5 часов назад
Mm nmekaa bench mungu anisaidie. Watz wanalia kila kona lkn bdo wanapgia kura ccm. Kuna mtu nimempa elf 5 juzi alikuwa na mtoto wa mwaka mmoja alikuwa mgonjwa kaenda kituo cha afya dawa kambiwa kanunue sasa pesa hana kanieleza mm nikampa elf 5. Leo nmeenda kujiandikisha nimemkuta ni wakala wa ccm nmeumia sana
@ZephaniaKambaine
@ZephaniaKambaine 4 часа назад
Ungemdai ela ako apo apo kumamake
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 часа назад
😢😢😢😢😢 jamaa nikweli
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 часа назад
Ungengata lipua lake
@HamisLeo
@HamisLeo 3 часа назад
@@ZephaniaKambaine hilo ndo natarajia jion atoke huko nmfate anipe pesa yangu japokuwa nilimpa km kusaidia ila leo naifata lzma
@MfunjoWabaBoydays
@MfunjoWabaBoydays 2 часа назад
Pole kakubeba ujinga
@JohnGadafi-x8j
@JohnGadafi-x8j 32 минуты назад
Ni kweli kabisa
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 3 часа назад
Kwani wewe hapo unapiga kelele unataka nini? Si uache sasa upumzike mdogo wangu! Uongozi mtamu!😂😂😂
@GeofreyMwandanji-ot2lf
@GeofreyMwandanji-ot2lf Час назад
Kweli kabisa atuji tambui bilakatiba mpya siendy kujitambulisha
@HaryPoter-zw7vr
@HaryPoter-zw7vr 3 часа назад
🤣🤣🤣🤣nyie ni wana Siasa Lema.ndio maana WATU wa maana mmewapeleka Ulaya,MKE wako, watoto wako N.K una Cha kupoteza,🤣🤣🤣🤣
@MmohamediSaidi
@MmohamediSaidi Час назад
Kweli we unafilwa
@FocusmachumuMwizarubi
@FocusmachumuMwizarubi 4 часа назад
Kwa kweli watanzania tunamatatizo ya akili
@asinahussein2176
@asinahussein2176 4 часа назад
Labda wewe usijumuishe wote
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 часа назад
Focus uliyonena ni ya ukweli
@HassanRubota
@HassanRubota 3 часа назад
Hata mm nafikili tungepimwa akili nchi nzima
@MfunjoWabaBoydays
@MfunjoWabaBoydays 2 часа назад
​@@asinahussein2176kwani wewe mtanganyika?😂
@khalifamwasha6648
@khalifamwasha6648 Час назад
Bro Lema tangu kitambo nimekuwa nikikusikiliza umekuwa ukijenga hoja na ukitumia busara sana ktk speech zako. These days baada ya issue ya maandamano umekuwa ukiwalaumu wananchi na kuwatukana softly. Kaka tambua watanzania hawajaandaliwa ktk misukosuko ya kisiasa. naamini unajua kuwa ktk siasa hawakosi mamluki. Siyo kila ahudhuriaye ktk speech za kisiasa ni mfuasi na kwamba yuko tayari likitokea la kutokea mfano hata hapo likitokea tim tim mfano mpira au tairi la gari au puto kupasuka, usishangae wanaokusikiliza usimuone hata mmoja. Jengeni hamasa na msichoke na kukata tamaa kwa kutoitika maelekezo. Leo waoga na unaowashutumu na kuwaona hawana maana kwa kuwa kimya ndiyo mnaowahitaji wakupeni kura kesho. Wapo manabii walikataliwa neno la mungu sembuse siasa. Tunahitajiana. Kaka unaonekana umechoka siasa. Tafakari Jitathmini.
@MaguguStore
@MaguguStore Час назад
Wewe ndiyo ujitambuwiiiii ,
@rizmarkabraham3921
@rizmarkabraham3921 4 часа назад
Mungu alipiganie taifa
@MfunjoWabaBoydays
@MfunjoWabaBoydays 2 часа назад
Mungu amesha shoka jipiganie ndiposa naye atawesa saidia
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 3 часа назад
Mzee Lema polen sana najua kuwa unaumia sana ila hiyo ndio nchi yetu sasa twende wapi maana ccm imegawa nchi kuwa makundu mawili wanaolindwa na kutunzwa na ambao hawana ulinzi wanaolindwa wajitaba kupita kias na ambao hawana haki.
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 часа назад
Hawajielewi Tatizo shule Tz tumelogw wp, elimu n tatizo, Tanganyika,
@AmisiLulacha
@AmisiLulacha 3 часа назад
Maneno ya lema ya umiza sana ni maneno mazito sana
@CosmasParkire
@CosmasParkire 3 часа назад
😢😢daah inasikitisha
@christophermwatendela9500
@christophermwatendela9500 18 минут назад
Ccm walishafanya Yao kitambo , watu wa hovyo kabisa ,nadhani dawa Yao Bado haijapatikana
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Час назад
Chi iliisha piganiwa na kukombolewa acha uhuni
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 3 часа назад
Amesema""Hakuna kazi ngumu kama kupigania "haki" ya watu ambao hawajitambui"" je ni kweli au sio kweli?
@kajsun5918
@kajsun5918 4 часа назад
👏
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Час назад
Hakuna mtu mpuuzi kama lema yeye alikua mbunge na walishika alimashauli alifanyanini zaidi ya kujiongezea posh tuu
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 26 минут назад
Mafisiemu. Mnatusumbua. Mnaumwa. Mavi. Mkanye mtuache bana
@SaraSara-i1l
@SaraSara-i1l 3 часа назад
😢😢😢
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 4 часа назад
Lisu unamwiita mh ila Raisi wa nchi unamwiita Samia! Unawaita maboya! Hizo kauli zenu zitawagharimu! Kiongozi gani una kauli mbaya na unategemea watu wakuchague! Rekebisheni kauli za kibabe ni machukizo hata mbele za Mungu!😢😢
@patymwita5834
@patymwita5834 4 часа назад
Bumbuwazi😂
@emmanuelmziray1073
@emmanuelmziray1073 4 часа назад
Pimbi wewe Dora
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 часа назад
Tahira nyumbu wewe Dora au nikuite doa
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 54 минуты назад
Mubwa wewe tena kenge mukubwa jinga wewe ​@@MiriamAbdallah
@peterjohnson167
@peterjohnson167 4 часа назад
Lema kwisha kabisha watu wengi wako wapi????? Lema mambo yamegeuka sio miaka ilio pita.....Kwa sasa wana nchi wamejielewa zaidi...
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 3 часа назад
Ila wewe utaishi milele! Halafu huyu hata la kusema hana!
@TallTallmysha-v3u
@TallTallmysha-v3u 3 часа назад
Hhhhhhhhh maboya hawa
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 4 часа назад
Hata mimi nimesema wakiiba mungu atafanya kitu atazima soketi kabisa kweli mtaona
@AdelinaAloys
@AdelinaAloys 4 часа назад
Ndg MUNGU akupe heri wewe ndy unaifanya kazi MUNGU watu wengi wanaganga njaa
@simonsadala2386
@simonsadala2386 4 часа назад
Acha matusi wewe jamaa nani hajitambui ni njaa zako ndio zinakufanya utukane iache hiyo kazi uje tupige boda boda
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 53 минуты назад
Mubwa wewe tena kenge mukubwa
@shabanikimpinga6769
@shabanikimpinga6769 4 часа назад
Hamasisha.watu.wajiandikishe.acha.blabla.mukoje.maneno.yeleyele.
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 4 часа назад
Yeye anafikiri kufokea watu kwa lugha za kihuni ndio watakupigia kura! Hamasisha watu kwa sera nzuri pia wajiandikishe kupiga kura! Acha maneno ya shombo hao watu wanajitambua!!😮😮
Далее
MWAMBIGIJA AMPA ONYO TULIA KUJIITA RAIS WA MBEYA
15:04
No money for Pre workout ?? 😱😱
00:37
Просмотров 3,6 млн
Bro think he the MC.. 😂👊🔥
00:20
Просмотров 9 млн
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
TUNDU LISSU AFUNGUKA MAZITO AKIFANYA MAHOJIANO NA DW
9:09
EXCLUSIVE: MKEWE LISSU AFUNGUKA, NGUMU KUAMINI (PART 1)
26:26
No money for Pre workout ?? 😱😱
00:37
Просмотров 3,6 млн