Mungu hatoshuka kusema mwenyewe anatumia watu kusema na watanzania kwaiyo watanzania mungu kashuka kufunuwa yaliyopo Tanzania lakini tunapuuza maneno hayo ok shauli zetu watanzania
Nilitegemea Bunge letu lote liwe na matamshi kama haya ya Mhe Lema kwa kipindi hiki kyenye mkang'anyiko wa mazingira lakini bahati mbaya sijui ikiwa tuna wabunge katika mjengo wetu.
Wee mpuuzi fulani tu hayajakukuta tu yanayosemwa siku yakikutokea utaona dunia yote inakuzomea. Aibu yako Jinga wewe. Mungu akulaani na kukuhukumu sawasawa na matendo yako