Nimefurahi sana kuona baadhi ya hawa waimbaji bado wako hai.nikiwa mtoto mdogo nakumbuka baba alikuwa na redio ya SANYO miaka ya themanini nilipenda sana mziki wa zilizopendwa hadi leo hii nasikiliza tu .MWENYEZI MUNGU awape maisha marefu na waliotuacha wapumzike kwa amani.
Hii video ni Thamani kubwa sana. Watangazaji wazidi kutuletea mengi ya kale. This is a reference point to the Music Industry. We shall surely find our roots soon.