Тёмный

Listen to Jakaya Kikwete advice to Diamond Platnumz 

Radio Jambo KENYA
Подписаться 419 тыс.
Просмотров 216 тыс.
50% 1

Listen to Jakaya Kikwete advice to Diamond Platnumz

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 306   
@bamuurockstar2217
@bamuurockstar2217 5 лет назад
thnks kak diamond hakik unaupeo mkubw kwny akil yk n m2 amby unabusar cn ukiongea mung akuzidishie n akulind pya ameeen
@tonypochez9992
@tonypochez9992 5 лет назад
diomand is my role model vile anasaidia watu ,jinsi alivyo anza maisha yake ya mziki mpaka alika kana mambo nmeiga toka kwake.
@kasanzumasunga1898
@kasanzumasunga1898 5 лет назад
speech hii ni speech yenye kiwango cha hali juu sana. Diamond hapa hajatoa hotuba hii kama msanii Bali hii ni hotuba ya kiungozi. safi sana Diamond, love your country, love your government. Utafika mbali sana
@leticiachunga9118
@leticiachunga9118 5 лет назад
Mungu awabariki Kikwete na Basata kwa kutuokolea vijana wetu maana walipokuwa wakielekea sio pazuri kabisaaa
@ashamuhamed7676
@ashamuhamed7676 5 лет назад
well
@fabiankyando1189
@fabiankyando1189 5 лет назад
Dogo unafanya kazi zako vizuri kikubwa angalia maisha yako,heshimu watu,usirudi nyuma,piga kazi dunia inakujua,watanzania tuko nyuma yako
@serakimondo6001
@serakimondo6001 5 лет назад
was worried about all this bt m glad its been sorted out.Thanku Diamond kwa kunyenyekea nakuomba msamaha.Be humble nd our Good God will uplift u mo nd higher.
@yunusshassan8711
@yunusshassan8711 5 лет назад
simbaa nakukubali lazime tujisifie raisi wetu,anko magu ,we proud of you popote tulipo,simbaaaaaaa
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 5 лет назад
he is taking responsibilities to his mistakes..kudos Basata as you take care of whats going around when our musicians launch songs which arent appropriate. Thanks to Nasib and Raivanna for understanding where Basata is coming from.
@enosupertv2205
@enosupertv2205 5 лет назад
Kama unaikubali nyegezi weka like yako hap
@johnjoseph3773
@johnjoseph3773 5 лет назад
Mondi uko njema brother..... uko vzr ila ndo mapambano lazima yaendelee..... msijali mambo yatafunguka na muziki utaendelea. Wish all the best!
@yohanamethew4130
@yohanamethew4130 5 лет назад
Iv unajua kama nakupenda Diamond
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 5 лет назад
Kila siku nasemaga Diamond ni mwili mdogo lakin akili bahari kama unamkubali Diamond platnumz achana na mapungufu yake gonga like yako hapa
@nestoryrobert6200
@nestoryrobert6200 5 лет назад
Konk
@oswrdfidrish3131
@oswrdfidrish3131 5 лет назад
Sanaaa
@samsonimazengo8857
@samsonimazengo8857 5 лет назад
good
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 5 лет назад
Kila mtu ana a pungufu kwani uyo kiba anamachafu anayo ya fanya anayo kibao ss nn mondi kila ck
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 5 лет назад
@@nshonabdll9363 sure
@gumzootv425
@gumzootv425 5 лет назад
wakenya waanafikiria siku moja Diamond atahamia kenya na muziki wakenya utakua juuu athubutu!! kama ataendelea kua huyo Diamond wa leo yuko hapo kwa sababu ya powerfull blessings na support za waTanzania
@Zinzzi
@Zinzzi 5 лет назад
Subi Magangala it’s not that deep my friend
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 5 лет назад
Diamond ana mchango Mkubwa kwa Sasa kuitangaza Tanzania,aungwe mkono
@tonysilva649
@tonysilva649 5 лет назад
Kikwete 100%
@jenipherchristopher2230
@jenipherchristopher2230 5 лет назад
Hongera kikwete kwa kufikisha ujumbe.
@iam2gether189
@iam2gether189 5 лет назад
karibuni kenya hata mwaka somalia insha allaH
@joerichards1000
@joerichards1000 5 лет назад
There is something serene about TZ people in terms of discipline which their neighbours lack..
@bigboy8508
@bigboy8508 5 лет назад
Queen Darleen looks stunning
@kizibotv9661
@kizibotv9661 5 лет назад
kwl kaka uko vizuri kwenye kingereza na pia unatuwakirisha tanzani pw sana kaka
@michaelwilondja5257
@michaelwilondja5257 5 лет назад
Hee nyege nyege nyegezi kwetu mwanza nyegezi diamond platinumz upo fresh
@ndamayapemakanda1338
@ndamayapemakanda1338 5 лет назад
Safiii xna chibu hakiri mingi xna unaongea kama prof big up xna Tandale boy
@tujuewote9695
@tujuewote9695 5 лет назад
Kaka simba me toka moyoni nakupenda sana maana unajiamini sana
@mathaadam2608
@mathaadam2608 5 лет назад
Simba mie sina hela dada yako niliziona kwako naomba
@akinyililian3330
@akinyililian3330 5 лет назад
Kisungu wachia 254 haaa karibu citizen kenya
@ludacrissrangiyabank3737
@ludacrissrangiyabank3737 5 лет назад
Kikwete mzungu
@umiy1971
@umiy1971 5 лет назад
mie si mshabiki wako chibu sipendi adabu zako zilivyo , lakini nimependa ulivyoongea namuomba mungu akujaalie uelekee kwenye maisha yaliyo sahihi.
@timelessbeauty5677
@timelessbeauty5677 5 лет назад
Napeñda Diamond sana
@pillykenedy2140
@pillykenedy2140 5 лет назад
Kama umesikia mheshimiya gonga like
@Sanyah-le1od
@Sanyah-le1od 5 лет назад
I said it yesterday - Simba had no otherwise but to " eat humble pie". I'm glad this is resolved.
@shabanikitogo6613
@shabanikitogo6613 5 лет назад
Dogo D upo vizuri
@Iam_rehema
@Iam_rehema 5 лет назад
Karibu Shem.
@favourspapatv
@favourspapatv 5 лет назад
KARIBU 🇰🇪🇰🇪🇰🇪Upo vizuri bro,una akili Sana Simba .Hivi Vita naona unapigwa ajili unawazidi akili,wanaona Bora wakukomoe.
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 5 лет назад
Ongea kiswahili baba. Kinge kinakuumbua. Ila umejikokota asante Zari. Na tanasha kweli anakujuilia maana si kwa sifa hizo. Ila hana hadhi yeye wala wewe. Kama utaoa mke asiejulikana basi hadhi yake itakua kubwa watu watakua wanatamani kujua habari zake kama Amina wa kiba shauku ilikua kubwa. Ila oa tuu mnaendana. Letu jicho
@leticiachunga9118
@leticiachunga9118 5 лет назад
Now your good Tanzanian boy. Tunatakiwa tuwe na heshima hasa watanzania tuwe watofauti na mataifa mengine.
@samwelinyika4434
@samwelinyika4434 5 лет назад
I real like this guy he is the fighter
@irenemumbiofficial2282
@irenemumbiofficial2282 5 лет назад
Hahaha vijana mmefika Kenya karibuni sana sana lakin heshima hidumu
@meshakiurio542
@meshakiurio542 5 лет назад
Nice
@ochuclassic2305
@ochuclassic2305 5 лет назад
Asante sana
@judylesingo3289
@judylesingo3289 5 лет назад
Wapi like yangu,Don't give up.
@jumabima723
@jumabima723 5 лет назад
Judy Lesingo weka naomba nikutumie wasp
@nicholaskirwa4472
@nicholaskirwa4472 5 лет назад
Diamond simba mwenyewe big up brother
@erickmaleya4590
@erickmaleya4590 5 лет назад
Judy Lesingo , I beg you your phone number plz, (+255624631598 This is my number), i'm From Tanzania. Find me on Whatsapp.
@bahatialex5243
@bahatialex5243 5 лет назад
Hi
@judylesingo3289
@judylesingo3289 5 лет назад
@@bahatialex5243 hi 2
@omorondobwenkogeolematusi3139
@omorondobwenkogeolematusi3139 5 лет назад
Nyege nyege kwetu masimba nyege
@staceyorrico2194
@staceyorrico2194 5 лет назад
Karibu nyumbani tuwaonyeshe Mizuki unavyo kubalika
@zjuniorofficial2464
@zjuniorofficial2464 5 лет назад
Karibuni nyunbani
@castomwatwebe4596
@castomwatwebe4596 5 лет назад
Simba karibu kenya huku kuna mtaa tunataka tuanzishe uitwe Nyegezi hapa Nairobi
@euniceevans7780
@euniceevans7780 5 лет назад
I love my country kenya hakuna matata kila shetani akitoka aliko toka anakuja kenya, karibuni wasafi lakini msituletee uhenga na ujinga wenyu Kenyans hatupendi ushenzi ni chini ya maji
@leticiachunga9118
@leticiachunga9118 5 лет назад
Ukikubali kula utumbo jua usha kubali kula hadi mabaki ya kinyesi cha huyo mnyama.😂😂😂😂Hakuna cha lakini
@sirchuti
@sirchuti 5 лет назад
Father Abraham welcome to Kenya
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 5 лет назад
"as a good citizenship" km umeckia iyo kitu like apa 😀😀😀 shikamoo kingereza...
@congratskendy1845
@congratskendy1845 5 лет назад
Karibuni kenya hadi turukishe mwaka inshallah
@beatricewanga3502
@beatricewanga3502 5 лет назад
Huyu mond amekuwa in kenya mwezi huu mara tatu sasa,niwakati wetu sasa tuanze ku support wa sanii wetu,kenyans let embrace our own and support them
@MrRush-ev6nr
@MrRush-ev6nr 5 лет назад
hamjui Kuimba
@anetaaneta1216
@anetaaneta1216 5 лет назад
Mond anapenda kenya coz kenya kuna madem wapoa but welcome 🇰🇪sharia na mashariti utii na uwache ushoga bahnaa?
@blaise_nkengurutse
@blaise_nkengurutse 5 лет назад
Nimependa advice za MH Kikwete
@yoshuahaule8325
@yoshuahaule8325 5 лет назад
Noma sana dangote kama umezariwa nacho cha nche duh
@edsonsibuti6914
@edsonsibuti6914 5 лет назад
Nyie wakenya mnaosema tuwape diamond sawa na sisi tupeni bandari ya Mombasa maana mnamtaka Sana he is source of our income afu diamond Una code mixing na switching kisenge
@mackenzie8037
@mackenzie8037 5 лет назад
Hahaha mzee umeua,watupe bandari tuwape mondi
@rosendalio7558
@rosendalio7558 5 лет назад
Dont giv up bro dee ur the best
@omanoman-gs4zb
@omanoman-gs4zb 5 лет назад
Lugwe lalo.. kwani weye Unafaa Unapomnyoosha mwenzako kidole na wewe jitizame vingapi vimekuelekea wewe.... ndio mana Kikwete Alimuita na kumsihi kuwa kuna watu. Hawana kitu na wengine ni mahasid sasa weye ndio hasid.
@vailethoreko1455
@vailethoreko1455 5 лет назад
Never give up my brother
@halimambwego7706
@halimambwego7706 5 лет назад
Nimekusoma vema baba tee
@allyiasachogogwe3753
@allyiasachogogwe3753 5 лет назад
Mzeee katk kuongea point nakuelewa uko vzr
@gamalsankara1388
@gamalsankara1388 5 лет назад
Karibu kenya. Hiyo show ya Mombasa twaingojea kwa hamu na ghamu.
@lovemonjemonje5777
@lovemonjemonje5777 5 лет назад
Kkkkkk nyenge zikondii Kenya karibu sana
@mwasitimmbelwa6066
@mwasitimmbelwa6066 5 лет назад
kwelii usiwaonyeshe watu pesa zako kuna wengine hawapendi sio ote wanaokupenda
@wemamelkioli7722
@wemamelkioli7722 5 лет назад
Hereni za nn sasa mtoto wa kiume Mzee baba duh hapo tu ndyo nakuona wa ajabu sana
@goldenson1340
@goldenson1340 5 лет назад
Am very happy now.
@mayungantugwa6092
@mayungantugwa6092 5 лет назад
jirekebishe uwage unaweka maneno ya heshima kwa jamiii maana nyinyi ni kioo cha jamiii sio kuweka pumba muuache
@Dennis_Okelo
@Dennis_Okelo 5 лет назад
Wosia ya rais Kikwete no ya muhimu kaka
@gasparmoris7233
@gasparmoris7233 5 лет назад
Pga kaz mbaba 💪💪💪💪💪
@athumanisimbeye475
@athumanisimbeye475 5 лет назад
Diamond ana akili sana
@Commedianbeststar
@Commedianbeststar 5 лет назад
Good
@wamburamagesa6577
@wamburamagesa6577 5 лет назад
He got the smart brain..
@josephinemakungu8447
@josephinemakungu8447 5 лет назад
karibuni kwetu twawapeda
@jumasobo7026
@jumasobo7026 5 лет назад
Jamaa mjanjamjanja sana katika kuongea
@ibrahimkanuto3514
@ibrahimkanuto3514 5 лет назад
nyie RAIA gud sana mnapeperusha bendera
@rojakijana1162
@rojakijana1162 5 лет назад
Shika moo KINGEREZA
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 5 лет назад
BASATA inabana 😀😀😀i'la NYEGE-ZI iko palepale😀😀
@Allymahnn
@Allymahnn 5 лет назад
Wise💯
@anglehope8534
@anglehope8534 5 лет назад
Nyimbo zako zote Zina matuzi
@allynamputu2691
@allynamputu2691 5 лет назад
Kweli
@goldenbluez
@goldenbluez 3 года назад
Muambie mimipia nakujakimziki
@phedriclhusna3949
@phedriclhusna3949 5 лет назад
Dia weee kngerezaa atar
@kiluwasalum5002
@kiluwasalum5002 5 лет назад
Ndio ushaamia kwetu Kenya au
@topdtoppajnr680
@topdtoppajnr680 5 лет назад
I luv u chibbu denga..
@ltalallekulal9919
@ltalallekulal9919 5 лет назад
wat.karibu.Kenya.eshima.adumu
@lazarokisiki439
@lazarokisiki439 5 лет назад
Sawa chinu
@judylesingo3289
@judylesingo3289 5 лет назад
Please nitumiwe iyo nyimbo ya nyengeza😁😁
@كيفي-ض2ج
@كيفي-ض2ج 5 лет назад
Uko nyege🤣🤣🤣
@irenemumbiofficial2282
@irenemumbiofficial2282 5 лет назад
Utamnyegeza nani
@judylesingo3289
@judylesingo3289 5 лет назад
Nyege za gulf lol!
@كيفي-ض2ج
@كيفي-ض2ج 5 лет назад
@@judylesingo3289 pia mm niko gulf .nilizoea nyege
@judylesingo3289
@judylesingo3289 5 лет назад
@@كيفي-ض2ج tuzoei my friend akuna lingine
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 лет назад
nikweli sio vizuri mana MTU ataleta chuki kubwa sana
@kiissrajabu964
@kiissrajabu964 5 лет назад
Other factor remain costant .....kiufupi jamaaa mawazo sanaaa
@salimhadija2369
@salimhadija2369 5 лет назад
Modi my boy kp up by muoye tanasha is yr wife she can make a Gd wife coz she never listen to rumours. welcome to our beloved and PEACEFUL country WITHOUT negative restrictions feel free.pergorm with CONFIDENCE. 😍😍😍😍😍💞💞💞
@justusthescorpionking3227
@justusthescorpionking3227 5 лет назад
Karibu Kenya Mr Kadinya😂🙌
@danielmsumo7798
@danielmsumo7798 5 лет назад
diamond
@afrarugakingira5862
@afrarugakingira5862 5 лет назад
Honestly hata mm niliboreka ulipopost mihela
@pampamie2375
@pampamie2375 5 лет назад
Chukueni tuu citizenship kenya haha welcome 254
@ukirudottie6256
@ukirudottie6256 5 лет назад
Kwani uko huku Pam?? diamond asitulete nyimbo zake za nyegeza huku
@pampamie2375
@pampamie2375 5 лет назад
@@ukirudottie6256 huhuhu kenya tunanyegeza tuu
@alfanm.8221
@alfanm.8221 5 лет назад
Kenya tukianza kunyegezana mimba zitatapakaa kila eneo
@leticiachunga9118
@leticiachunga9118 5 лет назад
@@alfanm.8221 😂😂😂😂😂
@leticiachunga9118
@leticiachunga9118 5 лет назад
Mchukueni tu haina shidaaaa, ila mfupa ulio mshinda fisi wewe mwanadamu uta uwezea wapi? 😂😂😂😂
@maryamhussein9419
@maryamhussein9419 5 лет назад
nyinyi kuonyesha pesa ulaya kawaida wanajitangaza utajiri wao pumbavu nyinyi
@emedishebabinbawili4732
@emedishebabinbawili4732 5 лет назад
Nyegezi ndo kali
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 5 лет назад
Safi sana
@alvinjacksontz270
@alvinjacksontz270 5 лет назад
Jackson
@ramadhanzmlay1331
@ramadhanzmlay1331 5 лет назад
sio kwel sema umejifunza kwa kiba inabidi ujifunze kwa brodah wako kiba,, unapenda Sana kushow off mdg wng
@fakihalhakimalhakim5143
@fakihalhakimalhakim5143 5 лет назад
We jamaa is a deval
@cosmasally6003
@cosmasally6003 5 лет назад
Daah mbona mashoga wamepoa sana
@kiissrajabu964
@kiissrajabu964 5 лет назад
Kuna kenyani girl umuuu ......basi anichek
@maureenmuhonja722
@maureenmuhonja722 5 лет назад
matiang'i n 🔥🔥🔥 kenya atakuchota na spade heri uko kwenu n maneno basi Kenya wananchi pekee n 🔥🔥🔥 sembuse serikali n venye kenya hawaimbi uchafu wanafaint na mix ya swahili na eng basi
@josephgichine431
@josephgichine431 5 лет назад
siwezi sema kitu
@naderthermostate791
@naderthermostate791 5 лет назад
Mwanza nyegezi is a street man
@rehematawalani9185
@rehematawalani9185 5 лет назад
YAANI ww mwenyewe haujiongezi hadi iambiwe na binaadamu wenzio unafanya mambo km limbukeni wa pesa au ndo ulikuwa unawacheka na kuwasemanga wasokuwa nazo
Далее
Kikwete On Grand Coalition.
1:47
Просмотров 5 тыс.
Mkasi - SO4E01 with Diamond Platnumz
27:57
Просмотров 1 млн
Тренеруем память physics drop 103 - 104
00:51
Gachagua's Crossroad | #K24Live
Просмотров 3,4 тыс.
Rayvanny kifo (Magufuli)
3:56
Просмотров 4,4 млн