i like this guy,s music so much though i understand little Swahili but at least i got the meaning of Mbagala and ntarejea.......my best. thanks for the show.
Sasa hivi Habari ya mjini ni Harmonize 2022 mzeee wa mitandao sio magazeti ya kipindi kile global udaku Diamondplatnumz na wema sasa hivi mitandao harmonize na kajala
Watoto wa siku hizi hawaelewi kwa nn jamaa alikua anaitwa Mzee wa magazeti...enzi hizo social media sio kiivo bongo so hakuna Instagram..kiki zote ni kwenye magazeti ya udaku...sio siku hizi page za udaku....😂😂🤣🤣.....it's Jan 2021....
safi kabisa Diamond kila siku unavyozidi kufanya intervwe ndiyo unazidi kukomaa hapa umejibu vizuri umejieleza vizuri hata Salama ana haki ya kukuita shujaaa ni shujaa kweli.Diamond ameambiwa ashukuru watu watatu ambao wamemfikisha hapa alipo,kama unatembelea this is Diamond lazima amshukuru Mungu ndiyo akupe taarifa ya siku hiyo,amanaulizwa watu Mungu si mtu ,ameangalia swali akajibu linavyotakiwa uko juuu kijana songa mbele.