Тёмный

#LIVE 

Shadhuly East & Central Africa
Подписаться 4,9 тыс.
Просмотров 2,7 тыс.
50% 1

=================================
SHADHULY EAST AND CENTRAL AFRICA
قناة الطريقة شاذلي شرق ووسط أفريقيا

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@KubwaKuliko-dk4bm
@KubwaKuliko-dk4bm Год назад
Ametakasika mfalme wa watu Hili limenikumbusha mtume rehma na amani ziwe juuyake,,pale alipo mwambia swahaba wake amsomee qur'an yule swahaba akasoma mpaka pale alipo fika ::kila umma utakapo kuja na shahidi wake na wewe ukatujia na huu umma wewe ndio shahidi wao:: mtume wetu akalia sana,,,kumbe umma watu wenyewe ndio namna hii inastahiki mtume wetu kulia na hata sisi tusikitike sana nakumlilia الله atuongoze umma ndio hali hii sasa..الله atuongoze sisi na vizazi vyetu katika usawa wa hakki..
@hassanzaina7895
@hassanzaina7895 Год назад
ALHAMDULILLAHI, MAA SHAA ALLAHU
@nourannouuran3514
@nourannouuran3514 Год назад
Hii ñi kaswida au shaelewa
@سليمانجمعةمسعود
Subhanallah uislamu gani huu
@saidkhamisi9592
@saidkhamisi9592 Год назад
Laahaulaa walaaquuwata illa bil laa Allah awaongoze hakuna ibada isipokua ile aliotufundisha Mtume swalallahu alaihi wasalam kupitia maswahaba wake waliongoka (swalafu swaalih).....Nas alu llah aafiya wasalama aafiya wasalama
@najaributest
@najaributest Год назад
Sawa atatuongoa na ww pia akuongoe uwache uchawi
@MuhammadAnwarhajji
@MuhammadAnwarhajji Год назад
@@najaributest 😁😁
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Год назад
😢😢😢😢 nyie hiki nini jamani nisaidieni mbona wamevaa kanzu au wakristo washaanza kuuchezea uislam 😢😢?????
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Год назад
Afu mbona kama wapo msikitini???
@AbdulJuma-h7f
@AbdulJuma-h7f Год назад
Watu wanazini wanaangalia mipira wanamuaswi mungu lakin hamuafuati kuwaambia lakini mkiona watu wana piga maulidi na dhikiri munawatukana... sasa uislamu gani huo au ndio sunnah gani hiyo. Acheni tupate raha ndio starehe zetu hizi nyie endeleeni kufuga ndevu na kukata kanzu
@omaryjonathani2168
@omaryjonathani2168 7 месяцев назад
Hivi hakuna group la Whatsapp la shadhully
@AbdulJuma-h7f
@AbdulJuma-h7f Год назад
*kama wewe sio mpenzi wa mambo kama haya basi wewe wacha kaa kimya ila usiwahukumu wengine kumbuka kuhuc kuhukumu ni kazi ya allah. Ni khitilafu tu hizi. Kwaiyo tuache wenye mambo yetu.
@jamiiljiddah.07
@jamiiljiddah.07 Год назад
Kabisa
Далее
#LIVE 🔴 Maulidi ya Mgombezi 2024
26:58
Просмотров 1,3 тыс.
Сказала дочке нет!
00:54
Просмотров 215 тыс.
У БЕЛКИ ПОЯВИЛИСЬ КОТЯТА#cat
00:20
Ziara ya Habib Umar bin Sumaith, Ngazija, Comoros
1:57:54
Qarii yusuph  mwamba alipokuwa jijin Arusha katk maulidy
10:48
DHIKRI MOMBASA, Ng'ombeni 2021.
2:19:47
Просмотров 78 тыс.
Habib Umar bin Ahmed bin Abi Bakr bin Sumait
8:15
Просмотров 4,5 тыс.
#LIVE 🔴Maulidi ya Oysterbay - PART 2
1:25:01
Просмотров 14 тыс.
Сказала дочке нет!
00:54
Просмотров 215 тыс.