Тёмный

#Live 

ARISE AND SHINE TANZANIA
Подписаться 263 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

#arisendshinetanzania #2024mwakawakutembeachiniyambinguzilizofunguka #mwamposalive
#tanzania #daresalam #afrika #afrikamashariki #ariseandshine #AFRICA#tanzania#dar#tanganyika#ubaloziwambinguni#kawe
Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
From Apostle Boniface Mwamposa Bulldozer.
WATCH ARISE AND SHINE TV
AZAM CHANNEL 469
STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 96   
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Napokea uponyaji napokea pesa napokea kaz napokea watoto mapacha wakike na wakiume naponywa ukimwi wakupandikizwa Amen
@Tanguluso
@Tanguluso 20 дней назад
Eeemungu wangu naomba nkomboe pkpk yangu kwa urahisi mimi tangulu soneka naamini nimepokea naamini imetendeka asandee yesu❤❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉asantee
@user-ok5um8jt2b
@user-ok5um8jt2b 20 дней назад
Asante sana mtume kwahuduma nimepokeya majibu ya maombiyangu watoto wangu wanarudi kwajinalayesu Amina
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Niponye yutiai sugu na fangas sugu Kuanzia sas vifungo vyote nilivyofungiwa kwenye Mwili wang vikafunguke Kuanzia sas Ameen
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Nikilala nae anikumbatie na nikimuomba hera ya matumiz anipe kuanzia 10000,kwenda juu na mm mwezi kama huu mwakan niwe na nyonyexha watoto mapacha wakike nawakiume Amen
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Nipate kaz sheli na nilipwe laki nne kila mwezi Kuanzia mwezi wa 9 treh 1,2024,Ameen na nipate pesa nyingi nimjengee mamaang nyumba ya vyumba vinne na sebule najiko na choo Ameen
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 19 дней назад
Paskazia kuanzia leo aache kumfatilia mmee wang asiende kazin kwa mmee wang kuanzia saiz Ameen
@domnickalone
@domnickalone 20 дней назад
Napokea uponyaji wa afya yangu familia na uzao wangu. Ktk jina la yesu alie hai.
@user-ok5um8jt2b
@user-ok5um8jt2b 20 дней назад
Asante sana mungu kufuta kesi ya huduma ya ulinzi watoto imeisha kwajinalayesu
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Wachaw wote wanao nifatilia kwenye ndoa yang wafe nawachaw wote wanaonifatilia kwenye afya yang wafe wanaonifatilia kwenye uchumi wang wafe Kuanzia saiz Ameen
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 19 дней назад
Mmee wang aache mazoea na wadada ajihexhim kuanzia leo Ameen
@AizakJohnsikumoja
@AizakJohnsikumoja 20 дней назад
Leo, familia yangu nyumba iinuke na funguliwa kiuchumi kwa jina lako aleluya aleluya
@user-ok5um8jt2b
@user-ok5um8jt2b 20 дней назад
Emungu nisaidiye kesi yapolisi iishe nisiende mahakamani ninaimaime imefutwa kwajinalayesu kesi ya watotowangu kubakiliya mumikono ya sosiale imeisha kwajinalayesu Amina
@AKWILINAALOYCE
@AKWILINAALOYCE 21 день назад
KESI ya ndoa inakwisha kwajina la yesu,nafunguliwa afya yangu,nafungua nyota yangu,nifunguliwa vifungo vyote vya kijini
@Evestasunzu-hc8sx
@Evestasunzu-hc8sx 20 дней назад
Kwa jina la yesu mme wangu awe wa kwanza kupata kwenye duwara lake la zahabu
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Niinuke kiuchumi kuanzia sas ninenepe nanipendeze kiafya nanikang'ae nipate pesa kirahis Ameen mwakahuu ninunue kiwanja nijenge nyumba ya kuixhi mamaang Ameen
@domnickalone
@domnickalone 20 дней назад
Ñapokea uchumi wangu. Kupanda Kwa jina la yesu alie hai.
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Mmee wang Jastine James abadilishwe asiwe ananichukia mm mke wake bila kosa kuanzia saiz Ameen
@user-ok5um8jt2b
@user-ok5um8jt2b 20 дней назад
Asante sana kufungula familiya yangu🎉🎉🎉
@domnickalone
@domnickalone 20 дней назад
Napokea ndoa sahihi peace chiristiani myovela awe mke wangu sahihi Kwa jina la yesu alie hai.
@rachelwilliam3585
@rachelwilliam3585 20 дней назад
Mungu Nataka wachawi na wanaoenda kwa wagaga wawe ninaowafahamu na sisiowafahamu wafe au wote wageuke kuwa vichaa
@MwavitaAyoubu
@MwavitaAyoubu 20 дней назад
Vifungovyeote kwa kwa watoto wangu viteke e kwajina la yesu kirisitu
@user-ji2pr7ct2z
@user-ji2pr7ct2z 15 дней назад
Vifungo vyote kwa familia yangu wote vitekete jina la yesu
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Nataka mmee wang Jastine James abadilishwe asikae ananichukia mke wake bila kosa na kaur ya kusema kwamba hana mke kuanzia leo anihexhim mm kama mke wake wa ndoa na anipende zaid mpaka mwixho wa maixha yake Ameen
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Namfarakanixha Jastine James na wanawake wote ambao anamahusiano nao achane nao haraka kuanzia saiz afute namba zao na asipokee tena cm zao Ameen
@MwavitaAyoubu
@MwavitaAyoubu 20 дней назад
Mwanangu Mirumbe apokee nuruu kwa jinala yesu
@user-ji2pr7ct2z
@user-ji2pr7ct2z 15 дней назад
Kesi zangu zote zimeisha za kiafya kiuchumi na kielimu Mimi na familia yangu wote
@Tanguluso
@Tanguluso 20 дней назад
Kesi yakunihalibia kazi imekwisha amee ❤❤❤❤
@AizakJohnsikumoja
@AizakJohnsikumoja 20 дней назад
Bangu John sikumoja, Leo mda wa sanane, usiku huu, naiwe muru kwa familia yangu na nyota angu aleluya kwa jina lako,eemen
@user-ok5um8jt2b
@user-ok5um8jt2b 20 дней назад
Mungu upewesifa utukufu ni wako
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 19 дней назад
Namfarakanixha jastine James na mama pili wasielewane tena asipate hera yeyote kutoka kwa Jastine James na kama mtoto cyo wakwake wagombane mpaka mwanamke aseme kwanza na mtoto siyo wako ikaixhi kbs uhusiano kati ya yeye na Jastine James Ameen
@FaithNyange-ew7iy
@FaithNyange-ew7iy 20 дней назад
Naomba Patrick kama anamwanamke amuache alaka na aludi kwangu na aje anipe ndoa Patrick aludi mwenyewe kwenye maisha yangu anipende pia kwaanzia sasa anitafute mwenyewe
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Mmee wang asipende mwanamke mwingne tofaut na mm Jastine James
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Tukienda kupima Afya tukawe wazma wote na mmee wang Jastine James Amen
@EzeraMsigwa
@EzeraMsigwa 20 дней назад
Napokea ndoa yangu mpya kwa jina la yesuy
@Evestasunzu-hc8sx
@Evestasunzu-hc8sx 20 дней назад
Ntajenga kilahisi kwa jina la yesu
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Jastine James asimuhudumie tena mama pili amchukie na waachane nakama anamwanamke mwingne amuache kuanzia saiz afute had namba yake salome achukiwe na mmee wang hata akimtumia sms hata kumpigia cm. Asimjibu kuanzia saiz Ameen
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka ndugu zetu wa ulaya wote warudi tanzania kwa haraka wahamie zinga bagamoyo na amsaidie mamaangu mwamtoro ngoma maisha
@ElivaidaErnest
@ElivaidaErnest 20 дней назад
Natangaza Mme wangu afarakane na wanaweke wazinzi na marafiki wasio sahihi akina Edmundi
@AizakJohnsikumoja
@AizakJohnsikumoja 20 дней назад
Lazma niinuke, lazma nikombolewe, lazma Leo ni faniliwe, kwajina lako yesu, emen
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka kuishi maisha marefu namazuri
@SalmaAlly-x6s
@SalmaAlly-x6s 20 дней назад
Napokea uponyaji wa damu yangu
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Mda huu mamaang afunguliwe kiuchumi na mwanang afunguliwe kihakil na kiafya Kazimily Emmanuel na Mamaang Teddy walwa afunguliwe kiafya na kiuchumi
@MwavitaAyoubu
@MwavitaAyoubu 20 дней назад
Uwatenganishe watoto wangu na roho za majalibu
@Rechodiqueen
@Rechodiqueen 20 дней назад
Eeh mungu naomba namm nipokeee pesa yakodi kilais kabis naniwez kifungulia kiuchumi
@user-ok5um8jt2b
@user-ok5um8jt2b 20 дней назад
Leo napokeya majibu ya maombi yangu
@user-ok5um8jt2b
@user-ok5um8jt2b 20 дней назад
Mungu ule mutu ambaye aliiba pikipiki yetu airudishe haraka kwajinalako
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka nihamie kwangu kwa haraka na kwanjia sahihi ndani ya mwezi huu
@ElivaidaErnest
@ElivaidaErnest 20 дней назад
Nataka kesi ya mdogo wangu KUKOSA ada ya kwenda Chuo hiishe Leo hii mwaka huu aende chuo
@MwavitaAyoubu
@MwavitaAyoubu 20 дней назад
Nipokeee. Asubuhi hiiii
@user-ki8ss4eu9k
@user-ki8ss4eu9k 20 дней назад
Zimekwisha kesi zote zinazosumbua family yangu tukafunguliwe kiuchumi kiafya tukamiliki Mali biashara n.k kirahi tukapande kiuchumi kirahis
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka NAMTENGANISHA annuary Ally Hassani Kukera na kila mwanamke aliokuwa namahusiano yakimapenzi tofauti na Mimi kwa haraka
@SalmaAlly-x6s
@SalmaAlly-x6s 20 дней назад
Napokea
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka mamamkuu saida ngoma amsaidie mamaangu mwamtoro ngoma NAMTENGANISHA na na watu wasio sahihi
@SadahJackson
@SadahJackson 20 дней назад
Kila kesi yangu imekwisha kesi ya kuzidiwa na wateja Na kesi ya kulipwa pesa zetu na jamila na ally ikaishe leo wakanitafute wenyewe na kutulipa hela zetu
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Mwnangu awe na kipaji shuleni na apate mfadhili wakumsomesha kwa haraka na kwanjia sahihi
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka Kujuakusuka kwa haraka na kwanjia sahihi
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka Anuary ally Hassani Kukera anijengee nyumba iliokuwa sahihi na kwanjia sahihi na kwa haraka
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka kakaangu iddi abdallah apate cheo cha uwenyekiti na wazidiwe na wateja kwenye biashara zake
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka nizidiwe na wateja kwenye biashara zangu
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka nipate pesa yakodì kwa haraka nihamie nyumba iliokuwa sahihi
@SolangeMujinga-nw3kx
@SolangeMujinga-nw3kx 20 дней назад
Nimepokeya
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Mmee wang anipende na kunibembeleza kama mtoto Mdogo mpaka watu wamshangae nawakimwambia kitu mmee wang asiwasikilize
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Jastine James achukue maamuz anitambulixhe kwao na anitolee mahali tufunge ndoa kabla mwaka huu haujaixha nipendwe na ndugu zake wote naniheshimike kwa watu wote
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka nyumba yetu naitenganisha na vitu vyote vibaya vitoke kwa haraka na kwanjia sahihi
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfaabdallah natakanipate pesa yakodì kwa haraka nihamienyumba iliokuwa sahihi
@user-ok5um8jt2b
@user-ok5um8jt2b 20 дней назад
Kesi ya kuenda mahakamani imeisha kwajinalayesu
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka nipate pesa yakodì kwa haraka nihamie
@marymwera2378
@marymwera2378 20 дней назад
ameen
@user-ki8ss4eu9k
@user-ki8ss4eu9k 20 дней назад
Grant afunguliwe kiakili roho ya kibuli imekwisha wachawi wte wanaomfatilia grant kimasomo kiafya wameshindwa na kufa kbs Kes juu ya grant zote zimekwisha leo
@Rechodiqueen
@Rechodiqueen 20 дней назад
Kupitia komboa family namm nimefunguliwa kiuchumi
@AizakJohnsikumoja
@AizakJohnsikumoja 20 дней назад
Aleluya
@SadahJackson
@SadahJackson 20 дней назад
Liz one akanilipe pesa zangu
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka nilipwe madeni yote kwa haraka na kwanjia sahihi
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka nipate mahitaji yote kwa haraka na kwanjia sahihi
@user-ki8ss4eu9k
@user-ki8ss4eu9k 20 дней назад
Niinuliwe kiuchumi nipate pesa kirahis ninunue kiwanja kirahis nijenge kirahi nanimiliki biashara kubwa kirahis
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Nifunguliwe kizaz chang kupitia komboa familia hii
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka kakaangu iddi abdallah apate cheo cha uwenyekiti achaguliwe na wanakijiji wote wa zinga bagamoyo
@user-ki8ss4eu9k
@user-ki8ss4eu9k 20 дней назад
Nuuman Kes zako zoko zote zimekwisha leo kimasomo kiafya n.k
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka nipone macho kwa haraka na kwanjia sahihi
@user-ki8ss4eu9k
@user-ki8ss4eu9k 20 дней назад
Mamaangu apate kibali popote atakapo enda akawe wa mbele na kuaminiwa Kila kitu akapate hitataji la moyo wake akafunguliwe kiuchumi na kiafya
@user-ok5um8jt2b
@user-ok5um8jt2b 20 дней назад
Kesi ya dadangu kukosa kibali chakuenda Amerika imeisha
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 19 дней назад
Mahusiano yao yaixhie hapo kuanzia leo Salome aache kumfatilia mmee wang asimjali chochote tena hata kama akimpigia cm
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka mwanangu binur juma NAMTENGANISHA na na watu wasio sahihi
@ReyJohnson-gr3fw
@ReyJohnson-gr3fw 20 дней назад
Asubuh na mapema nitumiwe hera 30000 ma Mzee anaeitwa Zimbwe bila hata kumuomba siku ya kexho isipite bila kunitumia hera huyo Mzee na aniombe msamaha MUNGU Naomba unikutanixhe nawatu sahihi kwenye maixha yang Kuanzia kexho
@user-ji2pr7ct2z
@user-ji2pr7ct2z 15 дней назад
Wachawi wanaonirudisha nyuma wafe au wahame
@RoseMalema-v2g
@RoseMalema-v2g 20 дней назад
Na pokea kufunguliwa kiuchumi
@ElivaidaErnest
@ElivaidaErnest 20 дней назад
Kesi ya KUKOSA kibari Cha ndoa imekwisha
@AizakJohnsikumoja
@AizakJohnsikumoja 20 дней назад
Emen
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka nizidiwe na wateja kwenye biashara zangu
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka nipate pesa yakodì kwa haraka nihamie nyumba iliokuwa sahihi
@Rechodiqueen
@Rechodiqueen 20 дней назад
Kupitia komboa family namm nimefunguliwa kiuchumi
@AizakJohnsikumoja
@AizakJohnsikumoja 20 дней назад
Aleluya
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka nipone macho kwa haraka na kwanjia sahihi
@ZureyaAlly
@ZureyaAlly 20 дней назад
Zulfa abdallah nataka nipate pesa yakodì kwa haraka nihamie nyumba iliokuwa sahihi
Далее
#live  :  [11.09.2024] OPERATION KOMBOA  FAMILIA
1:03:56
Просмотров 4,6 тыс.
Tambua umuhimu wa sala .
30:08
Просмотров 28 тыс.
To mahh too🫰🍅 #abirzkitchen #tomato
01:00
Просмотров 3,4 млн
MBINU ZA KUOMBEA MAJARIBU || Mwl Christopher Mwakasege
1:23:21
MAOMBI YA ASUBUHI  REV  MUHORO
40:06
Просмотров 24 тыс.
MAOMBI YA KUMALIZA KESI.
16:06
Просмотров 26 тыс.
MWIZI ANARUDISHA MARA SABA .
16:51
Просмотров 14 тыс.
prophet miracle paul
14:12
Просмотров 15 тыс.