Тёмный

#LIVE 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 28 тыс.
50% 1

#LIVE : BLOCK 89 EXCLUSIVE INTERVIEW NA JUMA NATURE (MAY 30, 2019)

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 70   
@hassannchalika5383
@hassannchalika5383 5 лет назад
Huyu demu #black Ni fire I really love her so much And I very Appreciated and really respect for your talented
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 5 лет назад
No team, we love all +255_musicians!
@zikirination6769
@zikirination6769 5 лет назад
Huyu Dj Jaco ndo anaendana na Kasi ya hiki kipindi big up boi
@R10_Rajab
@R10_Rajab 5 лет назад
Dah nimetupa muda mwingi sana kuwangalia show kali kutoka kwa Legendary JUMA,MZIKI WAKO BADO NI MOTO MKUU YAANI UNADUMU SANA DUH HIZO NGOMA ZOTE KAMA ZIMEPIGWA JUZI KATI TU.
@esterkatoto7767
@esterkatoto7767 5 лет назад
Mfundishen uyo jamaa kuuliza maswali aisee yan sio talented kabisaa uyo mtangazaj mwenzenu
@mugishaclaude7020
@mugishaclaude7020 5 лет назад
Aminia #mtuimara love from Burundi
@nobleskillz7302
@nobleskillz7302 5 лет назад
Ngoma za kitambo ziko poa sana kuliko za sasa
@mbossokhan7766
@mbossokhan7766 5 лет назад
Nyie wasenge story nyingi
@ommie_nyzer
@ommie_nyzer 5 лет назад
#babako #wahuni c watu wazuri nakubali show LA kibabe
@alexnyawa2770
@alexnyawa2770 5 лет назад
Mtu Imara fanya research ya kitu kwanza ndo utuletee mezani.
@antonybmwanyalo3576
@antonybmwanyalo3576 5 лет назад
jonijoo napenda teamwork,creative mind,teamspirit, mko sahihi kwa maoneleo yangu nikependelea katika hii show yenu ikewezekana pakaongezeka mcheshi joti itakuwa kizazi sana
@juliusmwandiya
@juliusmwandiya 5 лет назад
Juma Nature is so intelligent. big up bro
@safiyashabani8717
@safiyashabani8717 5 лет назад
Jonijo unaaibu sana
@Kobe_254
@Kobe_254 5 лет назад
+254, nachangia story ya ex communications... is a BIG NO!! THERE SHOULD BE NO COMMUNICATION WITH EX's... from Seattle 🇺🇸🇺🇸
@papayatnzania1005
@papayatnzania1005 5 лет назад
Da yaani kwa vulugu hizi mawingu ya ajabu wajipange WASAFI ni SHIBE toshaaa
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 лет назад
Mnanifurahisha na hizo bongo zilipendwa. Huwa nazitafuta kwa you tube na kuxisave upya
@hamadimahali7531
@hamadimahali7531 5 лет назад
Babaakoo studio poa hainaga chenga big up sana
@mussadeo8416
@mussadeo8416 5 лет назад
Baada y nature daimond
@mathiasmkude362
@mathiasmkude362 5 лет назад
Nimekusoma mzee baba john jooo
@josephmsusi9424
@josephmsusi9424 5 лет назад
Jonijo unavoanzisha show ni htr fire
@raymondpius209
@raymondpius209 5 лет назад
Hatari fire
@saudanikwelibbyjmaneno.kun7372
Haria. Nakupenda. Sanaa
@papayatnzania1005
@papayatnzania1005 5 лет назад
Duuu ni shidaaaaaaa
@piusnation1401
@piusnation1401 5 лет назад
Nakubaliii shoo ni liiiiit 🔥
@yusuphmlangali7295
@yusuphmlangali7295 5 лет назад
Hili show ni hatari yaani ‌🇱‌🇮‌🇹‌
@safiyashabani8717
@safiyashabani8717 5 лет назад
Nawapenda sana
@edsonjamaa9821
@edsonjamaa9821 5 лет назад
jaman kunanyimbo mpya wanapenda kuipiga wasafi efm sijajua nani kaimba ira maneno machache nimekariri yanasema sitaki kiki niko praiveti anae jua arie imba nyimbo hiyo naomba anitumi jina rake
@josephgerald2
@josephgerald2 5 лет назад
MTU IMARA UMETISHA LEO NA IYO BLUE
@mussadeo8416
@mussadeo8416 5 лет назад
Nakubali block 89 mmeiteka dar
@dropthewizgun3726
@dropthewizgun3726 5 лет назад
Nakuelewa broo jonijoy
@mbossokhan7766
@mbossokhan7766 5 лет назад
Mwanzo wakipindi punguzeni story wasenge nyie
@daudmilan1479
@daudmilan1479 5 лет назад
hao jamaa wenyew wanaosema hawajawah kusadia lkn kukosoa aisii ndo maaana wanateswa na redio za mawingu kwasabb ka watumwa wa maneno ona nakuonesha niki wa pili clouds mwana fa cloudz roma cloudz wote wakosoaji utakuta wana tumika kupinga wat wanachokifanya
@twentyonetwelvedesign7266
@twentyonetwelvedesign7266 5 лет назад
#Nature Mbona hajibu anachoulizwa 😂🙈😂🙈
@bernardmdendemi7347
@bernardmdendemi7347 5 лет назад
Hata mm room yangu tu nasikia mshale wa saa yangu huwa nausikia sana
@patrickkioko6294
@patrickkioko6294 5 лет назад
DJ jackooooooooooo unauwaaaaaa from254 liiiiiiit
@mussadeo8416
@mussadeo8416 5 лет назад
Jamani muwe mnampa nafac m2kujibu maswali sio mnapandikiza swali then muache makelele sanaa
@aminiraper6264
@aminiraper6264 5 лет назад
Sema watangazaji nyie mnadharau kwenye maswali kwa mtu mnaonekana mnamletea dharau san bro! Nimecheki interview yenu mliofanya na weusi mnawauliza maswali kwa wogaaa hadi ili fikia hatua wanawaletea dharau ndani ya studio yenu plz mbadilike muwe na heshima msiangalie msanii yuko vip kumbuken kila mtu anamaisha yake, sema nature anahekima sana
@mussadeo8416
@mussadeo8416 5 лет назад
Bonge la Studio bongo akuna
@azizathumanimbaga7187
@azizathumanimbaga7187 5 лет назад
Juma kiroboto
@majaliwapili2928
@majaliwapili2928 5 лет назад
Wasafi fm wasafi tv wasafi media wasafi music wasafi wcb dur ama kweli kila binadamu anaumuhimu katika dunia inamaana bila diamond platnumz isingekuwepo wasafi
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 5 лет назад
Duhhh we Fala Unavyotangaza 😀😀😀😀😀😀😀 unaniacha hoi dahh
@ChamMusic
@ChamMusic 5 лет назад
muziki unahitaji sacrifise nyingi sana ambazo usipofanya yanakukuta ya kupotea kwny game...nature ameziita majukum, sio mbaya kua karib na familia. bt kwny gem unaongeza chance ya kupotea. only way kubak ni kujidedicate muda wako na career yako ya muziki. kama wafanyavyo kina eminem.. most of them hawana mahusiano mazuri na watoto ama familia zao..pen down
@gerardsoso7014
@gerardsoso7014 5 лет назад
Kibra msitu wa vina
@zikirination6769
@zikirination6769 5 лет назад
Hii ndo bongo fleva ambayo haipo yan mnatakiwa muenzi hiz pin maa. Hazichuji coz wasanii walikuwa wanaumiza akili sana
@kigwisimulindwaclemo8541
@kigwisimulindwaclemo8541 5 лет назад
Nikumbusheni jamani, hivi huo wimbo kutoka kwenye dakika 54:28 unaitwaje? Love from Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@luckychimwejo9607
@luckychimwejo9607 5 лет назад
Kaimba Mike T ft chilla-sitobadilika
@kigwisimulindwaclemo8541
@kigwisimulindwaclemo8541 5 лет назад
@@luckychimwejo9607 thank u
@mussadeo8416
@mussadeo8416 5 лет назад
Acha kushika izo mic boy
@vicentbasigaza8100
@vicentbasigaza8100 5 лет назад
Babaakoooo
@saudrashid2476
@saudrashid2476 5 лет назад
Vp
@modaxmillano9352
@modaxmillano9352 5 лет назад
Motra The Future
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 лет назад
Kweli murder mpo juu😄😄😄
@mussadeo8416
@mussadeo8416 5 лет назад
Uyu dem black awachie wenzie nafac anaongea sanaa
@godfreybakari5320
@godfreybakari5320 5 лет назад
Hatar sanaaa
@amosilameck9584
@amosilameck9584 5 лет назад
noma
@daudmilan1479
@daudmilan1479 5 лет назад
sasa ww roma hela uliyo ipata fiesta umesadia nan
@rewmfingwa7828
@rewmfingwa7828 5 лет назад
Kwani hela ukiisotea lazma usaidie MTU?
@rtizoonlinetv
@rtizoonlinetv 5 лет назад
Jonijo babaako haujawah alibu kipindi nakufatilia kitambo xna kabla haujaingia wasaf
@twahamtito4056
@twahamtito4056 5 лет назад
Litiiiii
@fadhilimahonya4575
@fadhilimahonya4575 5 лет назад
Kama ume ona jonije ana mmega icho kidem wait gonga like
@kigwisimulindwaclemo8541
@kigwisimulindwaclemo8541 5 лет назад
Mtu imala aliesema hivyo ni rais mpya wa Ukraine Volodymy Zelenskyy. Fanya research kwanza mzee. Rwanda tunawapenda sana
@Kobe_254
@Kobe_254 5 лет назад
He was right, akili ya mtu usahau moja mbili.. but did you hear or knew the point he put across internet genius?
@kigwisimulindwaclemo8541
@kigwisimulindwaclemo8541 5 лет назад
@@Kobe_254 yes I did! But kama mtangazaji anatakiwa awe na kikalatasi atleast
@allysuleiman6254
@allysuleiman6254 5 лет назад
uyu dogo mwengine ajui kbsa utangazaji yni maswali yke ni ya kijinga sana harafu yko busy kuonekana mzur kwa boss wke wkt ajui lolote
@nicholausmbilinyi3587
@nicholausmbilinyi3587 5 лет назад
Mtu imara uwe una subira mda mwingine bwana..aaaaaagh!!kiherehere mpaka unaboa bwana!!
@josephdotto6666
@josephdotto6666 5 лет назад
NICHOLAUS MBILINYI ok
@ChamMusic
@ChamMusic 5 лет назад
NECHA BABA KANIUA KWENYE HIZO SMASH TU HAHAHAHAHAHAHA.. ANASMASH WOTEEEEE
@rishardbabuu8737
@rishardbabuu8737 5 лет назад
😂😂😂 nature anakula paka umber rutty haina umbaguzi
@R10_Rajab
@R10_Rajab 5 лет назад
Mh huyu mdada ana lovely tits wallahi
Далее
Conor Coady On His Football Career |  Inside The Game Ep 10
2:24:23
FAHAMU KUHUSU MWANAFA
14:14
Просмотров 22 тыс.