Big boy P funk salute ✋✋ thanks to Willy m Tuva I knew u before hata nikuone.......and please block 89 you should invite that TV and radio presenter(mzazi Willy m Tuva )from 254.....
Muda mwingine mjipange watu Kama majani si wa kuuliza maswali yasiyo na taarifa sahihi unaona anavyowasahihisha? Hatupondei block 89 hapana Ila time nyingine mjipange maana majani ukimuita kufanya interview uwe well prepared. Karabani nimekuelewa kizazi sana.
Kuna maswali mnaepuka kumuuuuliza the legend p sasa sjui nikwann,,, swali inabidi umuuulize ni kwann alizima ghafra akawa hasikiki kma aliyokuwa anaskika enzi zle za akina espekta haluuuun babuuu
Album ya kwanza ya sog ili sambazwa na fm alibeba gitaa kwenye picha ya cover duu mmenikumbusha mbali cc ndio manguli wa usambazaji tulianza na music huu long time
Mwamba kachill on dis 1 mtu imara nakukbali sanaa ila P funk umeiteka block 88.9 interview yako hamna kabisaa na upate msanii mkubwa ùmsimamie itaķua poa sanàa
Hakuna kazi bila kujiandaa ila kuna maswali yanapojibiwa unakuta amejibu hadi swali namba tatu na tano... Utashi wa utangazaji sio tu kuandaa maswali, kuna muda unaangalia na mtu unaemuuliza, P funk sio Dudu baya ukamuuliza ujinga akakuchekea
Interviewers wakiwa wengi...naona km inaleta distortion cz kila ktu kinakuwa shallow ila one on one hii interview ingekuwa deep sana na tungejifunza mambo kutoka kwa interviewee!! Ni maoni tu
Mzee usiseme mtu hajui maana sidhani kama una Elimu yoyote ya utangazaji, kutangaza kuna mambo mengi sana sijui umemchukulia category gani au unamfananisha na nan...? Bango ni kubwa
P funk umetuweza million9 au8 just for shoes nani pair12 tu I can't believe that joh umetuingiza chaka kaka ata kama n nje hyo pesa siunafunga duka lako mwenyew kubw la viatu hapa bongo na mzgo ukaw unachukua huko huko nje
Watangazaji!! Jaribuni kuangalia interview za Ayo tv au clouds muone wanavyomhoji mtu kulingana na caliber yake!! Huyo Pfunk ni legendary mkubwa ila nyie mnamhoji kwa hali ya chini kiasi kwamba hatoi mambo mazuri aliyonayo katika tasnia ya muziki.
1:11:02 ma nigga mbona kama unajisema mwenyewe, you literally just said you do nearly everything kwenye label yako?? Live what you preach bro! Muchas gracias, I was expecting more wisdom from you P!
Jamaa wanamjua Soggy wa Kibanda Cha Simu!!! Kweli nyie ni watoto wa juzi. Soggy kabla ya hapo alikuwa mtangazaji RFA wakati huo akiimba Hot Pot Family. Usimuone mfupi ni mzee yule bro.
hahahahahahaaaaaaa wa bongo bhana dola 4500,sijui mkwama wapi sababu kila msanii akifanyiwa mahojiano anasema ananijiweza,ngoja apate majanga kidogo utasikia mpka mawaziri wametanjwaa akiomba msaada,acheni hizo