My bro ngoma zako nimeanza kukarir toka skul na nilifanya watot wa kike skul kwetu wapende rap mana nlikuwa nkipanda kwenye stage la talent watuu woyooo mbishi kaingia
NAKUELEWA SANA Nikki Mbishi aka 1.UNJU 2. BABA MALCOM Hatunywi sumu hatujinyongi Mezani kuna supu ya kuku na tungi nyomi, Kulikoni Kulikoni game imejaa wachovu wanapiga magoti kwa Dazen na Adam mchovu
Fanyeni fanyeni muwafanyie interview ya pamoja nikki mbishi,chid beenz na one the incredible nnaimani itakua ni interview kali ya mwaka au miaka kabisa
Unaweza ukaw n akili darasani ukatusua from lakwnza to university bt when u come in street mzaz unakutn n wadau walio fel wametusuaa hap ndo kunatofaut kt y akil z darasn n mitaan wachache mmeelewa
Is fuckt I was rly fan of darasa enzi zile nikiwa cutting dah, yaan ilikua zile piga kelele za msaada ita majirani ,, ni shike mkono , no body by my side
Dah! Kumamake kumbe kiac Mawenge apanik atowe diss truck, "vigeugeu awa simba nd anaowakanyaga" 😂😂 mamae Unju. Mawenge n mtoto mdogo sn mbele ya Unju..