Тёмный
No video :(

NIKKI MBISHI ; AMEMCHANA CHIDI BEENZ KUHUSU KULALAMIKIA WATU | OTILE BROWN SIMJUI | WAKENYA HAWAJUI 

EastAfricaRadio
Подписаться 508 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 77   
@geffects1141
@geffects1141 6 месяцев назад
Huyu jamaa anaweza kuwa hata Presenter🎉🎉🎉 Unjuuuu think about it man ❤
@kibwamoko8767
@kibwamoko8767 5 месяцев назад
Huyu jamaa bado fundi mpaka leo kwa Freestyle
@tamiymkongo5045
@tamiymkongo5045 6 месяцев назад
Unjuu the king of freestyle 🙌🤣
@user-fy5im4nw4q
@user-fy5im4nw4q 6 месяцев назад
Ni mtu mwenye uwezo wa kujibu na anaejua vitu vng sana yani respect unju
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 месяцев назад
Shule ipo,na watu wa hiphop akili kubwa,wanasoma vitabu
@Ym_classic_tz
@Ym_classic_tz 6 месяцев назад
😂😂Uyu msenge genius manina🙌🙌🙌
@mussarashid2216
@mussarashid2216 6 месяцев назад
Hili jamaa ana UPEO mkubwa kama wakima Napoleon Bornapate 111,Prince Metternich na wengineo ambao walipewa nafasi na DUNIA ikawajua wao ni nani.....RESPECT sanaaaa UNJUUUU
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 5 месяцев назад
Weeee mzeee umemsema Napoleon umenikumbusha European history fala wewe
@mussarashid2216
@mussarashid2216 5 месяцев назад
@@ikramalmas7039 Ndo watu kama hawa aiseeeee si unajua Historia zao wale watu
@abushiridachie6865
@abushiridachie6865 5 месяцев назад
Ana upeo wa kina nani?????
@MTOTOWAvitoto
@MTOTOWAvitoto 6 месяцев назад
Unju unasauti ya kua presenter sana niaje upande huo unuq
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 6 месяцев назад
umeona mbaki sana
@user-cr6px2wk6x
@user-cr6px2wk6x 6 месяцев назад
Oya muacheni huku huku kwenye hip-hop tu enjoy naye
@mzuzukaka
@mzuzukaka 6 месяцев назад
Napanda ngazi masikini tajiri anashuka chini uamini niulize mm mgodi umeisha madiniii
@modekaijames
@modekaijames 6 месяцев назад
Nini mnataka mazee mafans hawakujibu zamani walijibu rhymes Leo imebaki aibu
@hassanjongo3445
@hassanjongo3445 6 месяцев назад
respect mmbishi❤
@joashambogo3464
@joashambogo3464 6 месяцев назад
Akili nyingi sana
@benjaminkambona7783
@benjaminkambona7783 6 месяцев назад
Freestyle 🔥🔥🔥
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 6 месяцев назад
ukiwa unamuhoji nikki mbishi itabid uwemakin sanaaa
@daijatlb221
@daijatlb221 17 дней назад
So fun, So interesting, so ginious
@mudrickbarton8911
@mudrickbarton8911 6 месяцев назад
Kina darasa
@mugishadavidsengati5119
@mugishadavidsengati5119 5 месяцев назад
Smart sana
@geffects1141
@geffects1141 6 месяцев назад
Unjuuuuuuu ❤❤❤❤❤❤❤
@raymondkanyama1890
@raymondkanyama1890 5 месяцев назад
Genius man
@negredorapha7591
@negredorapha7591 6 месяцев назад
🔥🔥🔥🎤🌎Unjuuuuuuuu.. 🔥🎤🌎
@chazmwasele8238
@chazmwasele8238 6 месяцев назад
still uwezo wa freestyle ni mkubwa
@dostovan5142
@dostovan5142 5 месяцев назад
Best freestyler in Tz
@astonlupiafilmz
@astonlupiafilmz 5 месяцев назад
Ni sad sana tu here how awa presenters wanachoma. Hii fewd ya tz na ke mnaitake it too far. 😊😊😊😊
@fabiantanzania5795
@fabiantanzania5795 5 месяцев назад
Jamaa hoji vizuri❤
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 6 месяцев назад
Nikki lazima ajue maumbile ya mwanamke na mwanaume ni tofauti ni lazima watumie muda mwingi kujiandaa
@eliazebedayo1802
@eliazebedayo1802 6 месяцев назад
Lawama za Chid- benz 21:50
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 5 месяцев назад
Daah shukran mzee Mungu akueke
@suhailsodeh5444
@suhailsodeh5444 6 месяцев назад
Unju kiboko ya fid q....nani anabisha
@lubda1617
@lubda1617 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@samchris1914
@samchris1914 5 месяцев назад
😅😅
@emmanurichares6589
@emmanurichares6589 4 месяца назад
unju freestyle moto sana
@msemaomary4081
@msemaomary4081 6 месяцев назад
Baba marcom...unju
@vinchystyles1675
@vinchystyles1675 6 месяцев назад
Unju conscious!
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 6 месяцев назад
Unju bin unuku
@michaelkimaro
@michaelkimaro 6 месяцев назад
#UNJU
@Thadei_kameta5458
@Thadei_kameta5458 6 месяцев назад
Unjuneering
@leslienakara9890
@leslienakara9890 3 дня назад
HUYO RAPSODY NOMA KWANZA ANA MA BEAT ANA MA LINE
@abrahammustafa6162
@abrahammustafa6162 2 месяца назад
Engineer Wa Rap💻🔌📱🛰⚡🛠⚙
@jayfarsaga4935
@jayfarsaga4935 6 месяцев назад
😅😅😅😅 that freestyle
@RobertMwamlima-ek9pd
@RobertMwamlima-ek9pd 6 месяцев назад
Unju bin ukoko
@muuh_barber8578
@muuh_barber8578 5 месяцев назад
Mbona amjamuuliza kuhusu dizasta Chochote tu
@shabanrajabu8359
@shabanrajabu8359 4 месяца назад
sikupingagi mkali wangu👊👊👊
@maufijose2294
@maufijose2294 5 месяцев назад
👏👏👏
@VisualsByEnokaOti
@VisualsByEnokaOti 5 месяцев назад
Mi mkenya na Nikki anasema ukweli, currently bado tunadhamini wasanii wa zamani bongo🇰🇪
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 месяцев назад
Kenya namkubali sana kitu sewer, just kali
@jastinarts
@jastinarts 6 месяцев назад
Vip kuhusu Tanna??
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 6 месяцев назад
Ana maneno mengi huyu😂💙🇰🇪
@fabycreation1962
@fabycreation1962 6 месяцев назад
Hii ngoma aloimba Nikki kaimba nani na inaitwaje??? Please mtu anaeijua 🔥
@t.ikingtz5703
@t.ikingtz5703 5 месяцев назад
Iyo ngoma ili uipate mcheki unju mwenyew
@yasnshaban9827
@yasnshaban9827 5 месяцев назад
Uyo no mack d
@sidiqmhina7823
@sidiqmhina7823 5 месяцев назад
Anaitwa Mack D ngoma inaitwa Baishoo
@fredstarch5184
@fredstarch5184 6 месяцев назад
Plz njoo kwny akaunti yng uone nnachofanya plz njoo
@rostaduccibilly9046
@rostaduccibilly9046 5 месяцев назад
Piwa Mathias shv yupo wasafi?
@bittersweet1683
@bittersweet1683 5 месяцев назад
Nikki Mbishi na chid Benz ni ma psychologists
@Barakah001
@Barakah001 6 месяцев назад
Hajulikani kenya
@nelsonmasolwa8343
@nelsonmasolwa8343 6 месяцев назад
Ww hata nyumban kwenu hawakujui
@khalidhashim6082
@khalidhashim6082 5 месяцев назад
Wewe ndo humjui
@khalidhashim6082
@khalidhashim6082 5 месяцев назад
Wewe ndo humjui
@breakingkenya8826
@breakingkenya8826 5 месяцев назад
Humjui Otile Brown? Nani akujuaye Kenya??? Nafikiri hakuna ! Hakuna ! Labda wakongwe wenzako
@impeccablerito7922
@impeccablerito7922 5 месяцев назад
Otile brown ndio nani..??🇹🇿
@user-vp6ol3kq6g
@user-vp6ol3kq6g 6 месяцев назад
Nilisema Kenya Kuna akina nonino jua kali jagwa
@stanslauschatata3483
@stanslauschatata3483 5 месяцев назад
unju🎉🎉🎉🎉
@shadiamohamed1113
@shadiamohamed1113 6 месяцев назад
😂😂anaitwa unju b
@modricnoma3686
@modricnoma3686 5 месяцев назад
Unju 😂😂😂
@nicksoncharles-kx3gr
@nicksoncharles-kx3gr 6 месяцев назад
Unjuuu
@mdachiog5211
@mdachiog5211 5 месяцев назад
Niki 🎉 freestyla uliye baki kati ya wale wa Kali zilla ,ngwear n.k
@SaidiBeho
@SaidiBeho 5 месяцев назад
Noumaaa
@hamismohamed3541
@hamismohamed3541 5 месяцев назад
Huyo mtangaza boya Bado mpaka Leo unazungumzia play boy ya Niki mpaka Leo mbona soja ananyimbo nyingi sana au ndio nyie mamluki mpo kufata mkumbo tu
@roblyohmtana
@roblyohmtana 5 месяцев назад
Huyu bwana mkubwa kwanza ndio hajulikani kenya...... Pumbavu...
@dankhany3385
@dankhany3385 4 месяца назад
nikki mbishi A.k.A baba mariki Mc mwenye ukata na dhiki kama Mc ni mbovu mina mchana hata sisikiki
@g-boybabji8936
@g-boybabji8936 5 месяцев назад
This nibba hata sikuwa namjua bana. Lazima atuongelee ndio ajulikane?
@kilayogeyejakobo6688
@kilayogeyejakobo6688 5 месяцев назад
Kama haumjui ni wewe...sisi wanahip hop tunamjua
Далее
Почему-то хочется плакать
00:17
Просмотров 500 тыс.
Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa
55:54
Просмотров 61 тыс.
Dakika kumi za maangamizi Bassat Waboe
12:44
Просмотров 1,2 тыс.
Почему-то хочется плакать
00:17
Просмотров 500 тыс.