Тёмный

#LIVE 

SIRI ZA BIBLIA
Подписаться 106 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Ujumbe: Mtafuteni Bwana
Andiko: Yohana 9:4
Pastor: Innocent Leonard Mashauri
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Опубликовано:

 

23 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 91   
@DelaneyWambui
@DelaneyWambui Месяц назад
Amen pastor hili neno ni langu na ninaamini litanibadilisha nitaacha kumkopa MUNGU , MUNGU nisaidie mwizi mimi😢 sitaiba Tena ninaahidi mbele ya hii madhabahu ROHO MTAKATIFU tafadhali nikumbushage kuitimiza hii ahadi amen
@aminambuligu4571
@aminambuligu4571 26 дней назад
Mungu Sina mwingine wa kunisaidia ni wewe tu nisaidie ,usiniache peke yangu,nisaidie bwana.
@lontinaMtenga
@lontinaMtenga 16 часов назад
Mungu kubariki Sana kujazenguvu ekimanamarifa zadinazaidi kuwezeche
@QueenMage
@QueenMage 23 дня назад
Eeh Mungu nisaidie mwanao nibadilike,naacha njia zangu mbaya nakufuata Yesu naomba uniongoze 🙏 Asante naomba pia umbariki mtumishi wako Asante Yesu 🥰
@ChikondiMadaliso
@ChikondiMadaliso Месяц назад
Mungu tusaidie tusikie neno tutende neno tushike neno tuishi katika utii na utakatifu kwa reo somo nirangu mungu nisaidie
@hdgHdhd-eu7vf
@hdgHdhd-eu7vf 22 дня назад
Mungu nisaidie ninaangamia kwa kukosa marifa...asante kwa kunikutanisha na madhabahu haya,kilicho chako bwana wacha nikitoe kwa ukamilifu
@kapamevenas79
@kapamevenas79 18 дней назад
Ata na mimi na omba Mungu ani sameh juu ya zaka. Na anipe nguvu ya kutowa saka sasa na mapato yangu.
@user-ju2vf4wr7e
@user-ju2vf4wr7e Месяц назад
Mungu naomba unirehemu Mimi na wanangu tuondolee nguvu za giza zinazotufuatilia kwenye kazi na biashara mungu nisaidie
@damarismuli8364
@damarismuli8364 Месяц назад
Mungu wangu Asante sana kwa mafudicho Aya, the man of GOD GOD bless you 🙏
@LuandaBushashire
@LuandaBushashire Месяц назад
Asante sana baba unanisaidiya sana mutumishi wu mungu
@furahamichael6047
@furahamichael6047 Месяц назад
Asante mungu naomba ukutane na mimi katika maisha yangu🙏🙏
@truphenakhagori9387
@truphenakhagori9387 29 дней назад
Amen napokea neema yangu mwezi huu katika jina la Yesu Kristo
@FeliciteNiybitanga
@FeliciteNiybitanga Месяц назад
MUNGU BABA nisameh mimi mtenda dhambi🙏🙏🙏
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Месяц назад
Asante Muñgu Baba wa mbingu ninaomba Rehema kwaajili yangu na familia yangu nawengineo wote kwa kuwa Muñgu najua utatuwazia mema mubariki mtimishi wako Asante Yesu❤❤❤❤🎉🎉
@Yesslarry
@Yesslarry Месяц назад
Nyimbo ilioanza anaeijua aniambie nitumie kusifu 🙏
@lontinaMtenga
@lontinaMtenga 16 часов назад
God bless my messenger
@rosemarymsekela1774
@rosemarymsekela1774 Месяц назад
Amina 👏👏wimbo jumla na neno lako vimenibariki sn Mtumishi wa Mungu...
@user-hf7vg1rs4f
@user-hf7vg1rs4f Месяц назад
Nashukuru sana Mchungaji, Mungu akubariki tena sana
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Месяц назад
Ee MUNGU naomba unirehemu mimi na watoto wangu na mumewangu,,,,nirehemu Bwana
@JanethUrasa-qs5ot
@JanethUrasa-qs5ot 7 дней назад
Ubarikiwe mtumishi
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Месяц назад
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Месяц назад
Ameni naomba MUNGU ANISAIDIE
@ezekielmwau7320
@ezekielmwau7320 Месяц назад
Mungu akubariki kw Neno nzuri Mtumishi unanitia moyo kila ukihubiri neno la uzima🙏
@JoyceMlelwa
@JoyceMlelwa Месяц назад
Mungu nipe neema yako
@user-ys6gi1bt6j
@user-ys6gi1bt6j Месяц назад
Ubarikiwe Sana mtumishi.
@kapamevenas79
@kapamevenas79 18 дней назад
Amen ! Ubarikiwe pastor
@AnnachristopherRobert
@AnnachristopherRobert Месяц назад
🙇🙇Tunashukuru sna kwa ajili ya neno la Mungu,Hakika linaniuwisha tena na kunifanya nipate nguvu ya kumtafuta Mungu zaidi🙏✍
@mukamutsinzimarygorette5108
@mukamutsinzimarygorette5108 Месяц назад
Ubarikiwe sana Pastor👏
@roselynerose
@roselynerose Месяц назад
Ninapo sikiliza haya mahubiri huwa yananitia nguvu hata mara nyingine😢😢naona kama nafika mwisho lakini najuwa cku moja mungu ataniinua kulingana vile nakufatilia😢😢najuwa mungu atanifuta majozi cku moja
@rosemarymsekela1774
@rosemarymsekela1774 Месяц назад
Aliyeimba huu wimbo ni nani,watumishi wa Mungu nisaidieni..
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 Месяц назад
Asante ntumishi kwa kutufundisha neno la kweli ambalo linatusaidia kutoka sehemu moja kwenda nyingine, Mungu akuoandishe viwango vya juu zaidi
@qeenimringo4136
@qeenimringo4136 Месяц назад
Amen MUNGU atukumbuke
@NeemaIvan
@NeemaIvan Месяц назад
Napenda ivi vipindi vya mafundisho nifanyaje ili kila kipindi niwe nakipata Kwa wakati Kila unapo ingia
@laurentndowa2304
@laurentndowa2304 Месяц назад
Sahihi kabisa, MUNGU atusaidie 🙏
@agnethapaul6057
@agnethapaul6057 Месяц назад
Amen mtumishi wa MUNGU.
@mukamutsinzimarygorette5108
@mukamutsinzimarygorette5108 Месяц назад
Aksante Mungu kwa rehema na neema yako kwa uzima wetu🙌🙌🙌 Zab103:3🙏
@MalaikaBrighton
@MalaikaBrighton 24 дня назад
Hakika pastor maubili yako yamenilenga huyo ni mm 😭😭😭 eee mungu nisaidie na mm; postor nisaidie niombee natamani sana kuokoka na mm yatosha kutumikishwa na ibilisi shetani eee mungu nikumbuke
@herinitiative4789
@herinitiative4789 Месяц назад
Barikiwa Mtumishi
@user-nk3qw1cn2l
@user-nk3qw1cn2l Месяц назад
Natamani kabisa kuishi nawe bwana mungu wangu
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Месяц назад
Naomba neema yako ya uzao
@user-gh8rr6mj2x
@user-gh8rr6mj2x 27 дней назад
Hiyo,ni,kweli,kabisa,mtumish
@salomekilavi6421
@salomekilavi6421 Месяц назад
Amen and Amen
@user-ez5jf1un7g
@user-ez5jf1un7g Месяц назад
Ndiyo baba sio huongo kabisa
@veronicajohn7645
@veronicajohn7645 Месяц назад
Amen. Barikiwa
@user-ez5jf1un7g
@user-ez5jf1un7g Месяц назад
Bwana asante kwa yote
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 Месяц назад
Asante ntumishi kwa kutuelekeza namna ya kuenda kwa Mungu, namna ya kuomba rehema kwa Mungu,namna ya kumtolea sadaka na zaka, namna ya kuwa mwaminifu kwa Mungu, namna ya kutengeneza na Mungu, Mungu akubariki sana
@JolleetNiaze
@JolleetNiaze 9 дней назад
Amen sana
@user-ks3vd4cv8p
@user-ks3vd4cv8p Месяц назад
Hakika tunatakiwa kutubu na kusimama Tena amen
@DelianNyambu-pu3gc
@DelianNyambu-pu3gc Месяц назад
Amen
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Месяц назад
MUNGU nikumbuke mana natumika kanisan kwa nguvu zangu na sadaka
@tunuhaji
@tunuhaji Месяц назад
Asante mtumishi wa mungu unanifundisha ukweli uliopo nakuelewaa sanaa na kila uombapo unanigusa mimi
@NeemaKomba-vn6sh
@NeemaKomba-vn6sh Месяц назад
Mmmm sina nilillolifanya ili nikumbukwe na Mungu yaani nahitaji neema ya kuanza naye sasa
@user-ez5jf1un7g
@user-ez5jf1un7g Месяц назад
Bwana mungu naomba toba kutoka kwako pia siwezi tena kupinga na sauti yako wala kupuzia maelekezo yako yoyote bwana nisamehe
@Judith-mw4ys
@Judith-mw4ys Месяц назад
You're right the man of God 👏🙏mimi nikiwa ujauzito huwa siombi 😢nipe neema ya maombi baba yangu 🙏ulimwengu mna dhiki nipe nguvu ya kushinda😭🙏
@SailisMsuha
@SailisMsuha Месяц назад
Amen 🙏🙏🙏🙏
@ELIYAMWANA
@ELIYAMWANA 24 дня назад
Amen❤
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo Месяц назад
Uongee ukweli mtumishi Kwa sababu IPO siku tutasimama mbele za Mungu na kutuonyesha ukweli unaotufundisha🙏🙏🙏
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Месяц назад
Leo MUNGU mkali kupitia mtumishi wake,,,,naomba unisamehe MUNGU wangu,,,naacha wizi
@oman798
@oman798 Месяц назад
AMINA
@user-ez5jf1un7g
@user-ez5jf1un7g Месяц назад
my pastor mungu wako ni mungu ambaye anaona mambo yote yangu pia anadjuwa makosa yangu nania yangu
@user-ez5jf1un7g
@user-ez5jf1un7g Месяц назад
Mungu wa mbunguni Leo uliingia kwenye chumba changu ukaona kila kitu Leo kwa sababu mchungaji ameongea neno kubwa kabisa tena sana mungu wewe ni mungu wa kweli
@EuphrasiaNtawatawa
@EuphrasiaNtawatawa Месяц назад
Hakika umenirudisha kwenye mstari ubarikiwe sana mtumishi
@MercyWanjala-ki5nn
@MercyWanjala-ki5nn Месяц назад
Nashukuru mtumishi Kwa maubiri,you make me move closer to God
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Месяц назад
Nakupenda sana mtumishi wa MUNGU kwani hunijui sikujui ila kupitia neno la MUNGU nimehama kituo kiimani
@ChikondiMadaliso
@ChikondiMadaliso Месяц назад
Kwa neno hiri kama hujabadiirika mmmm
@franciscakija1702
@franciscakija1702 Месяц назад
😂😂😂😂 usisubiri kukabwa usiku. Wapendwa tumrudie Mungu maisha ya duniani ni mengi ila tusikubali kushusha mahusiano yetu na Mungu. Mtumishi ubarikiwe sana endelea kutupa Neno 🙏🙏🙏🙏🙏
@JolleetNiaze
@JolleetNiaze 5 часов назад
Ameeeeeeen
@sophiawetoto7873
@sophiawetoto7873 Месяц назад
Nashukuru kwa mafundisho yako yame nitia moyo kwa sababu nilikuwa nimekata tamaa kazini
@victoriaaman6628
@victoriaaman6628 Месяц назад
Amen Mtumishi Asante sana Mtumishi 🙏
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo Месяц назад
Nikumbuke Mungu wangu naomba usiniache 😭😭😭
@SelinaRaphael-dr5lg
@SelinaRaphael-dr5lg Месяц назад
Mungu nirehemu sawa sawa na fadhili zako amen
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Месяц назад
Jamani jamani jamani MUNGU kanionya leo
@RenathaKatambala
@RenathaKatambala Месяц назад
Naomba roho mtakatfu aingie ndani yamoyo wangu
@JolleetNiaze
@JolleetNiaze 9 часов назад
Amien sama
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Месяц назад
Amen amen
@user-ld1uj2gz4z
@user-ld1uj2gz4z Месяц назад
Ubarikiwe saana Mtumishi wa Mungu
@AaAa-ue5di
@AaAa-ue5di Месяц назад
Ameer
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo Месяц назад
Ubarikiwe Sana mtumishi 🙏🙏
@Ursain.IKE.jesuis9365
@Ursain.IKE.jesuis9365 Месяц назад
AMEN AMEN 🙏🙏🙏
@kaisammy5848
@kaisammy5848 Месяц назад
Amen amen 🙏🙏🙏🙏
@user-nk3qw1cn2l
@user-nk3qw1cn2l Месяц назад
Bwana nikumbuke
@KagoyireSarah-xw4xx
@KagoyireSarah-xw4xx Месяц назад
Ubarikiwe
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Месяц назад
Mtumishi Muñgu akubariki Nimekuelewa sana niombee na Müñgu anisamehe Kuna vingi Sana umenifuraisha hujaongea Sana umetufundisha Sana Muñgu awe nawe ❤❤❤❤ ubarikiwe mno wewe na familia yako umeponya nafusi za wengi kupitia Neno hili
@carolinekigembe4426
@carolinekigembe4426 Месяц назад
Ahsante Bwana Yesu
@lusilusi8687
@lusilusi8687 Месяц назад
Amen
@user-ju2vf4wr7e
@user-ju2vf4wr7e Месяц назад
Mungu naomba unirehemu Mimi na wanangu tuondolee nguvu za giza zinazotufuatilia kwenye kazi na biashara mungu nisaidie
@RahabkRuth
@RahabkRuth 27 дней назад
Eeee Bwana Yesu naomba unirehemu unisamehe maovu yangu, unipiganie kutokana na roho za kipepo,nshike mkono uniongoze safarini peke yangu siwezi
@user-ks3vd4cv8p
@user-ks3vd4cv8p Месяц назад
Mungu akuariki mtumishi neno zuri ❤❤
@Evansserede-uw4tb
@Evansserede-uw4tb Месяц назад
Amen
@user-nk3qw1cn2l
@user-nk3qw1cn2l Месяц назад
Amen
Далее
MAOMBI YA KUFUNGUA MBINGU // OMBA MPAKA MBINGU ZISEME
1:04:55
KATAA KUPUNGUKIWA,OMBA MAOMBI HAYA KWA ANDIKO HILI...
1:06:57
Документы для озокомления😂
00:24
LIVE: MAOMBI YA KUZUIA UHARIBIFU MAISHANI MWAKO
1:07:38
LIVE:  AMKA ANZA NA BWANA // MAOMBI YA ASUBUHI
51:46
Просмотров 34 тыс.
AINA YA MAOMBI AMBAYO MUNGU ANAJIBU Mwl Mpoki Jafari
21:44
LIVE: MABAYA YASIKUPATE WEWE // MAOMBI YA USIKU
38:44
SIRI ZA SIKU ZA MWISHO |Rabbi Abshalom Longan
54:56
Просмотров 15 тыс.
#LIVE: UKILALA TU, ADUI YAKO ANAAMKA // Wednesday 19,2024
1:28:58
JIFUNZE KUOMBEA NDOTO UNAZOZIOTA KILA SIKU // DAY 7
35:50
Документы для озокомления😂
00:24