Amen.leo hii Niko kw maombi ya kufunga bwana amenipa nguvu na nimeona mabadiliko mkono Wg wa kushoto ilikuwa haiyezi shika kitu ilikuwa kujikaza Tu kw sababu na Fanya Kazi ya nyumba.sahizi nimeona Mukono Wa Mungu sahizi Niko sw kabisa mahumivu imepotea.Asante Mungu
Nimekutana na neno hili leo nasikia kuinuliwa leo tena, asante sana mtumishi Mungu aendelee kukutunza, naomba maombi yako juu ya familia yangu hasa mama yangu na ndugu zangu hatuelewani kabisa mpaka mambo ya uchawi yanaingizwa. Rehema ya Mungu ionekane juu yetu,
Naweka ombi langu mikononi mwako bwana nikisema, bwana yesu naomba ni pate mtu sahihi wa kazi wa dukani bwana usichukue cku 2 niwe nimepata msichana bwana. Ninaomba cku hii ya Leo Kenny anitumie hela zangu zote bwana.ninahitaji msaada wako bwana yesu ninasema asante kwa kibali chako bwana. Niko mbele zako nakamura siku hii ya Leo sante bwana namshukuru mfalme wa amani nisipumgukiwe na kitu chochote nkombele yako cku hii bwana. Cku hii yaleo iwe ni cku ya heri. Adui asipate nafasi. Fanya jambo jipya mfalme wa aman. Bwana na ukatende jambo.ninajikabidhi mbele zako bwana. Tuma malaika wako bwana, nope bwana kibali yake ktk jina la yesu kritu amen.
Baba ktk jina la yesu kritu ninasema sante kwa kuniamsha asubuhi hii nema ninasema bwana asante kwauzima ba uhai ulionipa cku hii ya Leo. Asante kwakuiona cku mpya. Sante kwa pumzi bwana. Tazama nintafanya jambo jipya, najikabidhi mikononi mwako mm na familia yangu. Nawakabidhi watt wangu mikononi mwangu parro eli, na Rogathe na familia zao. Mungu ww ndyo unayojua maisha yangu. Naomba rehema zako bwana. Naomba nisamehe dhambi zangu bwana. Nipe kibali cha uzima ili niweze kusogea mbele zako bwana. Sante kwa watt, sante kwa biashara. Yote bwana ni kwa nema yako bwana yesu. Amen.